YANATESA YANAUMA YANACHOMA MAPENZI MBONA NIMEMWAMINI NIKAMPA THAMANI KUMBE MOYONI MWAKE HANA IMANI MALI HUMPA UKICHAA AMEJAWA NA TAMAA HANA UTU KABISA HANA HURUMA UKWELI KAWEKA MBALI USALITI BILA KUJALI. Wallah huu wimbo umenikaa na unanigusa sana 😢
M uyu anaejiita pink sipendi Alf kwenye kaz Kama mtu mliokua nae ana dharura namnataka kubadilisha tafuta mwenye atakuja Kama yey ko ajataidi aw mpole Kama pink
Kinachomharibu mdogo wake happy anamapozi ya kishamba bila kujigundua kuwa anamakengeza mabaya wenzake wanafanyaga mazoezi ya kuyatazamisha macho Ili kuficha makengeza, wakati mwingine vipande vyake hata sitazami naviruka kanaboa.
Napenda jaman huyu pink anayoigiza na ni murembo kweli, aiseee hata mm ningeua mtu pokea maua yakoo🎉❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
YANATESA YANAUMA YANACHOMA MAPENZI MBONA NIMEMWAMINI NIKAMPA THAMANI KUMBE MOYONI MWAKE HANA IMANI MALI HUMPA UKICHAA AMEJAWA NA TAMAA HANA UTU KABISA HANA HURUMA UKWELI KAWEKA MBALI USALITI BILA KUJALI. Wallah huu wimbo umenikaa na unanigusa sana 😢
Mm mwenyewe napenda na sijui kaimba nan😢😢
Duuuuh wanawake wengi huaga tuna feli apa kwa kutumia hasira kuliko busara
Kijungu ana majungiu
Nimewahi❤❤
Kinyungu mimba n ya mooh😅😅😅😢
Natamani kumwambia kijungu ile mimba sio yake😢😢😢
Jmn location kwenye kiswaswadu? Loooh! 😂😂😂😂
Ndo nashagaa na mm😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂hp pia mm ndo nashangaaa kumbe tuko wengi
Anaweza kumpa location kwa maelezo
😅😅😅😅😅😅😅😊😊
Hiyo akili ficha😂😂
Kijungu waniacha hoi unavyotembea😂😂😂😂😂
Tafuta muigizaji mwingine uliplace huyo mdogo wake Na happy coz kanakera sana kibogoyo asiojua nyuma Wala mbele🎉🎉❤
😂😂😂😂pia mm sikapendi kanaboo sanaa
Hongera Man joka kwa wimbo mzuri
Duuu salung kaliza mtot mzulii ukuuu ayo ndo mapenzii sasa yanachoma kuliko bisbis
Kwishwa maneno kinjungu kanyaga hapo hapo 😂😂😂😂😂
Wazo nzuri sanaaaa Mr.sarungy kwa kumjanua kijungu inapaswa nawewe uchanuke pia nenda mkapime DNA na huyo Aisha wako
Póle sana pinki EP 11
Sijacelewa sana munip like atakumi wandug
Mnawaonea wanaume sana kijungu pole sarungi pole
Kijungu na sarungi wote mmekua kichwa moto 😮😂
Sarug icho kiziki na kikumbali sijui takipataje
huy dada kafanya nichek na hapa nilipo nina mawazo ety salung hadi mimbaaaaaaaa😃😃😃
kazi poa
Kijungu kalikoroga
Jamani sarungi lini atapata furaha 😮alafu pink naye Ana makubwa eti atumiwe location kwenye kisim cha batoni 😂😂😂😂makubwa
Ndo muache umalaya akin kijunguu heee mnajua hamuyawezi mnahangaisha vi buku miambili nyeni yamekukita sasa na ukome ata uyo chala utamkosa kampat gaid wake ukoo wataendereza genge la ugaid watazaa watot weng watakua magaidi man emuumiza san chal wanguu sikuoendii umalaya waachie akina moooo wewe kijungu kajifunzee kuoga nakivaa ukooo imalay huuwezii🥱🥱🙅🙅😂😂😂
Kijungu unanifurahisha uvyo tembea
Kesi ya nyani himepelekewa ngedere
Uyu mdogo wake happy hapana kwakweli
Tujuane wakutumiw location kwenye kiswaswadu
Simpendi mdg wake happy
Apo mnatupiga za uso loceshen kwenye kiswaswadu jmn pink mnatupiga za uso😂😂
Yani kijungu na sarungi matatizo yenu nisare nyote wawili
M uyu anaejiita pink sipendi Alf kwenye kaz Kama mtu mliokua nae ana dharura namnataka kubadilisha tafuta mwenye atakuja Kama yey ko ajataidi aw mpole Kama pink
We Cham challah atakuvutia waya we endelea 😂
Kinyungu mimba sio yako niya moh kuwa makini
Kinachomharibu mdogo wake happy anamapozi ya kishamba bila kujigundua kuwa anamakengeza mabaya wenzake wanafanyaga mazoezi ya kuyatazamisha macho Ili kuficha makengeza, wakati mwingine vipande vyake hata sitazami naviruka kanaboa.
Wew upo kama mimi naruka vipande vyake kama kajinga Fulani hivi
Kanakaa kapuzi fulani 😅😅😅😅
Patam hapo 😂🔥🔥💯
jamanii pink kumbe nawe unalia mmh si umetok kumchamba aisha ndo ukaze usiachikeee, anyway kazi nzuriii san broo sarungy
Naomba like zenu pls ,kutoka kenya 🇰🇪 job Iraq 🇮🇶
Jamani kwani pink alinona gafla na akabdlika sura
🎉❤🎉❤❤❤❤❤🎉 much love
We pink hadi kuisha kipande chako kichwa kitakuuma tena ni utofauti pink original mpole mwenyew huyu mmmmmh
😂😂😂😂
Wa nane nipeni likes bana❤🇰🇪🇰🇪
Huyo pink feki yuwaongea sn kuliko yule wangu mpole hebu mleteni nimemmiss sn
Dah sio poa pink og ni kapole sana
Kisimu Cha mia 600 eti nitumie location
Ww pink acha ujinga iyo mimba ilipatikana kw ajili yk sarungi hakua na shid na yule mjinga
Mamkwe yuko wapi jmn
Wametupiga tatu bila watuona ss mafala sana Tena eti haraka
Mimba ni ya mooo
Blanche Inlet
Pinky wetu wa zamani hata asingepiga makelele kama hivyo bwana huyo anazidisha mpaka anaharibu
Leo nimewahi
Murudisha pink bana huyu ananibo pink ana kasauti fulani ivi kakuchekesha lakin huyu apana
Ww mwamke hiyo Mimba niya moo sio kijungu
Kwanza ww mwanamke usiy na nyuma wala mbele sura pia haijuilikani kama niyakike au yakiume
Mdogo akee na hepy mbaya kama yeye
🎉🎉🎉🎉🎉
WEE NA SASA MBONA PINKY UMEFUNGA MTANDIO IVO VIBAYA VIPII🤔🙄😏😏
We kijungu acha undezi mimba sio yako,,,unachezewa akili na huyo asiyejua hata kuongea,,,anaongea kama amewaka maji mdomoni
Exactly dada, nikama in real life ako na kigumizi daah
Hio location unatumiwa wapi😂😂😂😂😂😂😂
Watano naombeni likes
❤❤❤
Huyu aisha naye katoka wapi😢😢😢
😢 kazi tamu
Ako kadogo kake hapy kanakela
Kijingu jamani pole kwa mitihani unayo ipitia ila punguza mwendo😂😂😂
Kifungu unaona hebu tazama kama mwanamme usiendeshwe na huyo mjinga
Kashakuwa kifungu tena😂😂😂
Ady muslims wanawake wa tz.wanavaa suriali tu..
Rutisha pink waja shobo uyo hana lolote
Naomba like
Naomba niseme kwani location si anaweza akamtumia kwa normal sms tu kua nipo " mtaa fulani" au haiwezekani ?
Ndo Ivo lakn Nashangaa watu wanacheka
♥️♥️♥️
😂😂😂
Sii huyu mwanamke alikwa na mimba ya moo,imekwaje mimba tena niya kijungu?
Mooo mimbaa kaikataaaa ndoo maana akaonaa ampachikeee mwenzako kijungu
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉
Yani mooo nimijinga sana
How dare a you , you are slapping a man like that, really
😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤