MCHUNGAJI KIMARO ASAMEHEWA RASMI, AOMBA MSAMAHA MBELE YA ASKOFU MALASUSA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @hannajoseph645
    @hannajoseph645 Рік тому

    Mungu akulinde sanaaa Mungu anabakikua Mungu vijana wakirsto wawe waaminifu waache bangi mirungi kwani wamefundishwani dhambi waache kweli itabaki kweli.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 Рік тому

    Usirudie kujimwambafai wakati umeajiriwa na KKT.Kazi ya Mungu inahitaji unyenyekevu,uvumilivu na hekima.Umaarufa ukizidi bila maarifa anguko huwa karibu.

  • @rehemailomov9648
    @rehemailomov9648 Рік тому

    Asantee Mungu tunakushukuru Mchungaji

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 Рік тому

    Tunakupenda we miss u .

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Рік тому

    Mchungaji umesoma nyakati maana ungewasikiliza wachochezi ungetenda dhambi maana ungefutwa uchungaji. Mungu akubariki sana una nafasi kuwa kiongozi mkubwa maana bado kijana

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 Рік тому

    Dah asantee munoooo unanishawishi kukusikilizaa

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 Рік тому

    Amen hii ndio misingi imara ya kkkt amen kubwa

  • @janemyinga2575
    @janemyinga2575 Рік тому

    Mchungaji kimaro mnyenyekevu huyu Mungu ni mwema

  • @modesterelisha5645
    @modesterelisha5645 Рік тому +1

    Mathayo 22:29 pia matendo ya mitume 5:9 tusome hapo