"Nilipelekwa nikaolewe na mtu yuko na ukmwi" Mwikalisha speaks on interview with Faith Nzilani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 170

  • @faithnzilani36
    @faithnzilani36  2 роки тому +26

    Ni Kila wakatatu na wakana Vaa kamba tv nakwa faith Nzilani saa kumi 🔥💯💯 Sunday kwakya tene tene

  • @blessingsndunge1319
    @blessingsndunge1319 2 роки тому +2

    Pole sana Mwikalisha kwa yote umeyapitia jipe moyo MUNGU yu pamoja nawe 🙏Not all rejections are bad some are from GOD so that He can take you to your next level, huyo mwanaume alikuwa amekalia baraka zako so there was no way God could allow him stay with you, na hiyo kukufukuza alikuwa anakufukuza ni MUNGU alikuwa anataka utoke hili akupeleke kwenye mafanikio yako but vile ulikatalia ilibidi MUNGU amtoe yeye 🙏 Be strong dear girl ❤️❤️❤️

  • @MICHAELmbuvi-g9z
    @MICHAELmbuvi-g9z Рік тому +2

    Almost to cry coz of your story.!. Worry not mwikash,every pain must be rewarded with joy.

  • @ruthflorence-vi5vs
    @ruthflorence-vi5vs Рік тому +2

    Mwikalisha shine in Jesus name... And may God be with you in whatever you do

  • @dannydaniels501
    @dannydaniels501 Рік тому +2

    She was my classmate, she passed alot, i remember one teacher used to flog her for nothing, i used to pity her but what to do...may God help her and keep her safe

  • @Wemayediaries
    @Wemayediaries Рік тому +1

    The first day l met you nikikuuzia simu you looked so stressed but now l know you're a strong woman

  • @JacklineNdanu-s8y
    @JacklineNdanu-s8y Рік тому

    Pole sana mwikalisha mungu atakuinua saidi pia mm nlipitia hyo n xai nmelea mtoi wangu n amekua mkubwa said jipe moyo fei Asante sana qwa hyo support yako

  • @lizzyndambuki2592
    @lizzyndambuki2592 Рік тому +2

    Faith. Nzilani nakupenda sana God bless. U sister

  • @linetmutie1101
    @linetmutie1101 2 роки тому +1

    I just found myself crying. Mwikalisha take heart,we are in this journey together. may God strengthen your dear.

  • @damarismwende457
    @damarismwende457 Рік тому +2

    Do mara ya kwanza kuona uyu dem hii Stori imeniuma Sana mwikalisha I will support u utoe wimbo moja

    • @sweetshe8095
      @sweetshe8095 2 місяці тому

      Nilisikia ilikuwa uongo 😅

  • @damarisndunge3136
    @damarisndunge3136 2 роки тому +1

    Mwikalish mungu akubariki sana mm ukufuatilia sana na unaeda mbali

  • @annmungami1811
    @annmungami1811 4 місяці тому +1

    Mimi nimesikia hio story nikalia lakini najua Mungu Ako utabarikiwa mpaka washangae.

  • @lilianmoraa1938
    @lilianmoraa1938 2 роки тому +1

    Pole dear Mwikalisha hug mum I feel sad history from you. Ladies please who always we are with this lady TikTok may you join me there please we assist our sisters

  • @carolynekavila7994
    @carolynekavila7994 2 роки тому +1

    Mwikali eka kuiya mwenyezi mungu yu pamoja nawe 🙏🙏🙏🙏kila wakati kila saa 🙌🙌🙌

  • @ednanduku1010
    @ednanduku1010 2 роки тому +3

    Ndina thina lakini aini aa maitu tumendete Muno lakini mevundiasye kuneenaa kikamba ,,, station ya kikamba niya kikamba.. nonete mena mutuo usu na ndyiwaa maimbika nesa kuweta uw'o...Ngai amaathime na ayiendeeya na kumokilya...na kwaku we Fei ona ndyisi ngwie ata...Ngai nowe wisi..athimwa muno

  • @emmanuelkalelu8247
    @emmanuelkalelu8247 2 роки тому

    Surely Faith you are not just a woman...but an angel from God...I usually call you my mom...more grace to you and mwikalisha...

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 2 роки тому

    Mwikalisha I know there is a day you will give a testimony&very soon God will wipe away your tear!!!Na faith mi pia nadai kweda studio please guide me

  • @angelinemumo5934
    @angelinemumo5934 2 роки тому

    Mwikalisha jitie nguvu kabisa,mungu aachangi watoto wake,,she will shine to the nations in Jesus name

  • @algorithmanthony740
    @algorithmanthony740 Рік тому

    Pole sana mwikalisha fumilia ata Mimi nimepitia hayo nimelelea mama mwingine watoto for 12 years nikaenda masishi ya my bro kurudi akani ambia akuna KAZI mungu atuzidie

  • @janetmwende6460
    @janetmwende6460 2 роки тому

    Mwikalisha pole kwa chochote ulichokipitia ,,,nakuombea xana mungu akutie nguvu kwetu n kakuyuni kathiani na mm ni muombaji ila nimeyapitia ,,na najua mungu ubariki xana Mimi naenza kudancia bure

  • @piusnjaunyambura3236
    @piusnjaunyambura3236 2 роки тому +1

    Huyu dame hua anajituma kwa kila KAZI ,may God bless you in everything

  • @esthernyamasyo5761
    @esthernyamasyo5761 2 роки тому

    Why am I even crying...mwikalisha you'll go far my dear ...I once met this gal Doni and I felt for her

  • @lydiamasyukoumbalinimetoka444
    @lydiamasyukoumbalinimetoka444 2 роки тому +1

    Aki pole dear ata ingawa mm sio yatima nimepitia heard time like you

  • @winniemwongeli1641
    @winniemwongeli1641 2 роки тому

    Worry not Dr there is a God in heaven who answers our prayers , keep on trusting him.

  • @mutheubonn4128
    @mutheubonn4128 Рік тому

    The same God that has raised Faith will rise you Mwikalisha na mtaenda mbali🙏🙏

  • @lydianjenga2053
    @lydianjenga2053 2 роки тому +1

    Faith salimia mwikali sana na umwambie nimemsalimia nikiwa pale kwa wajose Pipeline honey suckle,,na umwambie ajipe moyo,,ni Lydia madam wa airtel

  • @PaulMwathe-ow8dj
    @PaulMwathe-ow8dj Рік тому

    Take much courage mwikalisha the Lord is with you.

  • @romnex5394
    @romnex5394 Рік тому

    Hata mm naeza mshow ajipe moyo,,,hii maisha si ya milele,,,when you pass through a valley when ur ordinary you will come out extraordinary

  • @maryannepaul6777
    @maryannepaul6777 Рік тому

    Mungu azidi kukubariki at Mimi natamani kuwa ww faith nzilani

  • @everlynekivondo9288
    @everlynekivondo9288 2 роки тому +1

    Mwikalisha pole Sana haki mungu akutie nguvu

  • @rosendungwa763
    @rosendungwa763 2 роки тому

    God bless you mwikalisha ,there is God in heaven guys let's keep praying

  • @beatricekavindu430
    @beatricekavindu430 2 роки тому

    Mwikalisha God will take you far.good work faith keep up

  • @EuniceMNzioki
    @EuniceMNzioki 2 роки тому

    Faith nzilani you are one in one million. May God bless the gal and his favor locate her

  • @ElijahKilonzo-y9d
    @ElijahKilonzo-y9d 9 місяців тому

    pole sana mwikali ata Mimi kwetu ni kathiiani weka biidisana naujue kasau kakya nikokenyenya muongo

  • @alexmaithamaundu4804
    @alexmaithamaundu4804 2 роки тому

    Congratulation Nzilani,,,,,, na Mungu akubariki sana kwa kuinua talanda za waibanji,,,🙏🙏🙏 Naomba siku Moja nifike Kamba TV siku Moja,,,,,,bele iko sawa na Yesu

  • @nthenyamarrieta8845
    @nthenyamarrieta8845 2 роки тому +2

    I can relate being orhan theres more challenges akh

  • @kikuvishadrack5111
    @kikuvishadrack5111 10 місяців тому

    we have GOD IN HEAVEN. nice song

  • @isaacmutati4135
    @isaacmutati4135 Рік тому

    Mungu akubariki sana mwikalisha.

  • @mercymutheu6088
    @mercymutheu6088 Рік тому

    napenda mwikali sana yenye hko ajipe moyo ajitie nguvu juu hta mm nimetoka from nowere so God can change that his not your potion .

  • @deborahnzioka3498
    @deborahnzioka3498 Рік тому

    Mwikalisha,may you shine in jesus name

  • @patriciawango7229
    @patriciawango7229 2 роки тому

    Pole sana mwikalisha Mungu akutie guvu

  • @justuskisyula9069
    @justuskisyula9069 17 днів тому

    When it comes to interview is where we draw the lines

  • @rosenzisa1763
    @rosenzisa1763 Рік тому

    Woii mwikalisha Kuna mungu mbinguni may God bless you

  • @eunicemueni6242
    @eunicemueni6242 2 роки тому

    Wimbo unabariki sana,may God bless u.

  • @princessLattif7614
    @princessLattif7614 Рік тому

    Pole baby girl be strong 💪 their God in heaven

  • @mutuag6154
    @mutuag6154 2 роки тому

    Your star is bright gal...unaeda mbali...i am your fun tiktok i didn't know you are going through alot

  • @joyfrancy7644
    @joyfrancy7644 2 роки тому

    I love you you Nzilani "nienda Ivinda yakwa ninyoka nikale na ngai nundu kyalo kii atevo nditonya"

  • @EmmaMuthui
    @EmmaMuthui 6 місяців тому

    Pole xna dear be strong God is good

  • @neliusmwende6213
    @neliusmwende6213 2 роки тому

    Mwikalisha u will go far in Jesus name

  • @carolynemawia9128
    @carolynemawia9128 2 роки тому

    So touching en inspiring.

  • @neliuskioko2573
    @neliuskioko2573 2 роки тому

    The same story happened on my side but I trust God one time iwill encourage others through my story 😭😭😭

  • @milcahmilly5614
    @milcahmilly5614 Рік тому

    Acha mungu akasimame na wewe dadangu....it really hurts alot

  • @dermydama8289
    @dermydama8289 2 роки тому

    Poleee mommy God is under control I love you

  • @josphineVaati-i1l
    @josphineVaati-i1l Рік тому

    Osa vinya onaka natwawe nakana kamwe nanawaa nalewa nundu wathina nekala vu gakunawa idi tyakwa good nasyaa nake syana ili nomuu na ambia nisyaa kweda kwakwa lakini nikamwambia Mungu unasababu sahii natamani kutoka nyimbo Mimi nimwimbaji

  • @kalumumwandikwa211
    @kalumumwandikwa211 2 роки тому

    Faith mungu akuinue zaidi

  • @cyrusmulumba4058
    @cyrusmulumba4058 2 роки тому

    Very encouraging story....

  • @janetkalekye5488
    @janetkalekye5488 2 роки тому

    That girl is going far. God is on her side

  • @moraabironga7711
    @moraabironga7711 2 роки тому

    Pole sana mwikalisha God bless you 🙏 💖

  • @tabbytabby7162
    @tabbytabby7162 Рік тому

    Pole sana siz ata mm nmetia lakin mungu akuniacha

  • @salmajuma894
    @salmajuma894 2 роки тому

    Mwikalisha stop crying God is Faithful...😭😭 so painful story.

  • @salmajuma894
    @salmajuma894 2 роки тому

    Your favoured Faith

  • @evalynesafari4962
    @evalynesafari4962 2 роки тому

    Wow faith God bless you 🙏

  • @Carolitoh47
    @Carolitoh47 2 роки тому

    Onakwa numite kathiani... congrats gal

  • @Mcakamwanamigwani
    @Mcakamwanamigwani Місяць тому

    Good Show✊👊👊

  • @cynthiamutisya9753
    @cynthiamutisya9753 2 роки тому

    your going far my sister

  • @VincentBendatee-ld6uu
    @VincentBendatee-ld6uu Рік тому

    ❤❤❤❤❤ i love the..ni ukweli mungu utowa mtu mbali😊

  • @ruthshanice7543
    @ruthshanice7543 2 роки тому

    Faith may God bless you always 🙏

  • @reginakingola1755
    @reginakingola1755 2 роки тому

    Nawambiie ku musyi, neevundisya wia ku musyi. ♥

  • @musyokikaloki9671
    @musyokikaloki9671 2 роки тому

    Touching

  • @Apostlewilly
    @Apostlewilly 2 роки тому

    Mwikalisha mbarikiwa sana wiwakathiiani va uje uimbe kwa crusade

  • @RuthWanza-c5c
    @RuthWanza-c5c Рік тому

    hi fei muxalimie xana naumwabie ajipe moyo mufumilifu ulabifu nkana ruth kuma matuu

  • @meshmusyoka6449
    @meshmusyoka6449 2 роки тому

    So touching story.

  • @catherinewilliam5348
    @catherinewilliam5348 8 місяців тому

    Mbona niki ndiwa hua tunathulumiwa na kudharariwa sana sana na watu wa familia

  • @SilaAgnes
    @SilaAgnes 4 місяці тому +1

    🎉

  • @justusmakau5883
    @justusmakau5883 2 роки тому

    huyu madam akona talanta na Mungu atatenda

  • @evalynesafari4962
    @evalynesafari4962 2 роки тому

    Such a touching story,

  • @MagdaleneMunanie
    @MagdaleneMunanie 5 місяців тому +1

    Unaeza nichezea nyimbo zangu

  • @kennedymwania-zt8uy
    @kennedymwania-zt8uy Рік тому

    Love u mwikali🎉

  • @SaraAbudalla
    @SaraAbudalla 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @MagdaleneMunanie
    @MagdaleneMunanie 5 місяців тому

    Faith sasa

  • @KitunduMwendwa
    @KitunduMwendwa 7 місяців тому

    Pole sana😢

  • @kaachonjo263
    @kaachonjo263 2 роки тому +1

    Mwikalisha eathimwa ni Ngai asyaanisye andu

  • @DOROTHYKAVUTHANZENGULA-ly7bf

    Onakwa naikiwe ni kutumia wakes nekwa operation 2013 nethiwa ndatonya kwika undu ona imwe andunga kwitu na mathina makwa, ni DOROTHY KAVUTHA NZENGULA kuma kanzau mbitini ward kithui county

  • @annkamasina8510
    @annkamasina8510 2 роки тому +1

    Kathiani VA kuunikwo kwitu

  • @VictorSila-xd7xb
    @VictorSila-xd7xb Рік тому

    Mwikalisha next time you're invited in kamba media ongea kikamba

  • @josephndeke2550
    @josephndeke2550 Рік тому

    Fairh ndaiye muno

  • @faithkaloki6889
    @faithkaloki6889 Рік тому

    I knw mwikali Gai I did not knw ulipass Mangumu hvi

  • @Sandover_tv
    @Sandover_tv 2 роки тому

    I love her tik toks

  • @alexMusangi
    @alexMusangi 2 роки тому

    Mawisilo ma mutaangiwa me vinya Indi yeova ndolawa ni alungalu make

  • @MagdaleneMunanie
    @MagdaleneMunanie 5 місяців тому

    Kwa you tube am blessed Maggie my songs so naomba msaada kwako plz cn uwezo wowote nmefka mwisho kii uimbaji

  • @JanetWango
    @JanetWango Рік тому

    The only thing I can do is to cry😭😭😭

  • @isaacmutati4135
    @isaacmutati4135 Рік тому

    Jipe moyo mrembo.

  • @dennismwanzia6501
    @dennismwanzia6501 2 роки тому

    Song zake amejiita mwikalisha

  • @sheilalizzy7065
    @sheilalizzy7065 2 роки тому

    Tunaeza sana taka kuskiza side of the story from the husband

    • @fidelismutune9232
      @fidelismutune9232 2 роки тому

      Unaezataka ukiwa na nani??sema unataka ,wengine hatuezitaka kusikiza story za mjinga ka huyo

  • @priscahmwikali6203
    @priscahmwikali6203 2 роки тому

    Wah a very good one...

  • @Phylismumbwa
    @Phylismumbwa Рік тому

    uyo mrembo anaenda mbali faith na aliemtupa atamtafuta

  • @faithkaloki6889
    @faithkaloki6889 Рік тому +1

    Indi Niki ithyi Diwa Andu matutumiaa nai wianou

    • @gracenduku
      @gracenduku Рік тому

      God remember me through faith nzilani and mwikalisha

  • @SamuelMulei-t4r
    @SamuelMulei-t4r Рік тому

    Uongo tupuu aki wewe Pauline unaongelea Mathe uongo Kwa Nini,,😢😢niwanthatyaa but siku itafikaa,,Milima ndio haipatanangi,,but GOD bless you

    • @faithnzilani36
      @faithnzilani36  Рік тому +1

      Hahahaaaaaaa wacha alitudaganya

    • @SamuelMulei-t4r
      @SamuelMulei-t4r Рік тому

      Yes aliwadaganya akii coz nimelelewa Naye na hajawai fanyiwa chochote kibaya alidanganya akii

    • @SamuelMulei-t4r
      @SamuelMulei-t4r Рік тому

      Yaani after kutunzwa Na kusomeshwa hio ndio shukrani yake,,Pauline mwikali akona sisters watatu Na hata ukiwauliza hawakuteswa akii,amekosea sana walai

    • @SamuelMulei-t4r
      @SamuelMulei-t4r Рік тому

      @@faithnzilani36 amekosea sana kuongea uongo akii,after mazuri yote yenye alifanyiwa hio ndio asante yake,,makosaa sanaa😟😒😟

    • @SamuelMulei-t4r
      @SamuelMulei-t4r Рік тому

      Kama aliteswa kwanini sisters wake awakuteswa Na walikia Kwa nyumba moja

  • @maryturf5400
    @maryturf5400 2 роки тому +1

    ataenda mbali watu wakona nyota lazima wapitie mapito magumu

  • @reginakingola1755
    @reginakingola1755 2 роки тому

    Tumepitia mangumu lakini, mengine niyakinjamii,