Kdf Officer in tears after wife plans to kíll him to get Property😭She also burn his child to date Dr

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 616

  • @seniordave
    @seniordave  2 місяці тому +17

    Watch part 2...ua-cam.com/video/VPstPS6JUM8/v-deo.htmlsi=WVmudadXAnU1011I

  • @EuniceNjuguna-gv5pu
    @EuniceNjuguna-gv5pu 2 місяці тому +12

    This guy is mature walai ❤I like his maturity and calmness . God I pray for such . Madem tunatakanga nini and the way anakaa ameekwa life poa

    • @sheilamusinga815
      @sheilamusinga815 2 місяці тому

      Kuna madem they won't be satisfied hata umfanyie Nini ,halafu the calmness of the person wanachukulia for granted

    • @gladyskavinya
      @gladyskavinya Місяць тому

      vey true mrembo. this guy looks very mature ata kaa ni kdf but knows what he wants in life si zile beliefs tuko nazo ati ni waanyaji aki. this lady na vile alikuwa anajifanya ni mwaminifu. so bad.

    • @margaretmuema
      @margaretmuema 4 дні тому

      Huyu ndiye alipuliza SD,alipotoka kwa maji?

  • @PhiliceIsutse
    @PhiliceIsutse 2 місяці тому +37

    Watu cjui huwa wanataka nini😢May this officer find peace 😮

  • @MarineAtieno-l3d
    @MarineAtieno-l3d 2 місяці тому +48

    Security officers are in danger,, majorly wenye wameoa wakamba na Kikuyu wah

    • @VeronicaDorcas-fc2kz
      @VeronicaDorcas-fc2kz 2 місяці тому +1

      Walah 😢 shida tupu

    • @rosewanjiku5153
      @rosewanjiku5153 2 місяці тому +10

      Pia wajaluo wanakuanga maraya sana nimeishi na wao miaka saba lakini hakuna kitu ya wajaluo unaweza niabia ata ingawa kuna wachache wazuri lakini wengi wao ni maraya

    • @Mzalendo-l6b
      @Mzalendo-l6b 2 місяці тому

      Most go for yellow yellow... with risky repercussions

    • @pspdep6405
      @pspdep6405 2 місяці тому +2

      Tom ni kabire gani umalaya mpaka anapoteza kasi na watoto juu ya pesa ya doloo

    • @dorophinenelima1319
      @dorophinenelima1319 2 місяці тому +1

      acha kiwapate pia juu wao wakipata pesa wanatafuta wakikuyu na kamba anatuachua sisi maskini😂😂😂

  • @lydiahmurugi4520
    @lydiahmurugi4520 Місяць тому +7

    Her: Unangoja nini
    Dave: Nangoja upigwe kofi😂😂

  • @mgenisimba5902
    @mgenisimba5902 2 місяці тому +15

    Senior niconnect na huyo officer plz😢, am very loyal walai😂

  • @cleahwabwile6132
    @cleahwabwile6132 2 місяці тому +47

    Mbona ss 😂hutupati hwa watu wazuri, mungu nipe wangu nasinicheze😢 congratulations Sd endelea kusaidia watu anaye kutakia mbaya yamrudie🙏

  • @sandraawour
    @sandraawour 2 місяці тому +34

    now I understand not evry single mom is single by choice but by eliminating thier hubby's

  • @PurityLove-g9b
    @PurityLove-g9b 5 днів тому +2

    Huyu nd nilisema fred anguke nae ndio maan akiulizwa km yuko single anasem akon bwana yesu 😂😂😂😂😂😂😂😂my love nitakuleta kw dave wew

  • @teresiakamau9400
    @teresiakamau9400 2 місяці тому +48

    Senior David Mungu anakutumia kuokowa KDF Na police officer

  • @SheilaAkodoi
    @SheilaAkodoi 2 місяці тому +12

    Murima nayo weee kama mother inlaw siwezi taka😂😂😂😂

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 2 місяці тому +38

    My brother God has saved you surely. Don't give her the phone📱 and report to the police station immediately for further action😢

  • @janewanjiru4869
    @janewanjiru4869 2 місяці тому +20

    Davi connect this guy na mimi he is very humble i will take good care of him

  • @mgenisimba5902
    @mgenisimba5902 2 місяці тому +11

    Wanawake ni nini tunataka surely😢😢😢. Ukute ata huyo doctor jack ako na bibiake, mtaka yote hukosa yote😂, msiba wakujitakua hauambiwi pole😂. WAmboi kula chuma icho😂😂

    • @marywali5885
      @marywali5885 2 місяці тому +1

      Wenye wamebarikiwa na bwana mzuri utakuta anahanya inje huyu jama alimpenda huyu demu

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 2 місяці тому

      ​@@marywali5885Kikuyu nao wako too much na Wakamba aiii

  • @Faustinesimasi
    @Faustinesimasi 2 місяці тому +12

    Ni,nani alikwambia catholic mungu hawatumii, bora imani yako, kwani mungu ni mungu wa watu wa kiroho peke yao, ama ni wa kila mtu, bora umtumainie tu, bora ukae strong in faith, mungu anakufungulia kila kitu

  • @FlorenceNely
    @FlorenceNely 2 місяці тому +9

    Oooh lord, cover my son with your blood if one day he marry a God sent wife🤣🤣🤣🤣

  • @CharlesNyambu-m3p
    @CharlesNyambu-m3p 2 місяці тому +2

    SD ati "yaani umekua ukikuliwa na Doctor Jack"😂😂😂😂

  • @nasykanjawakanyoni1421
    @nasykanjawakanyoni1421 2 місяці тому +9

    Woiii tikwega
    Madam kimekuramba caitani 😢

  • @mariengajane2673
    @mariengajane2673 2 місяці тому +3

    Mirima imeguswa jamani what a humble may God give this man peace he deserves

  • @estherwavinya6788
    @estherwavinya6788 День тому

    kumbe ni kichapo ya Mungu..... Wambo saa hii ungekuwa unakaa maisha poa

  • @ocholarose4654
    @ocholarose4654 2 місяці тому +5

    Dave you have saved so many men ..what's wrong with people this days

  • @HillaryKoech-q6f
    @HillaryKoech-q6f 2 місяці тому +33

    Senior today nakufulia kofia bro,,be blessed but sitaki nisikie story za waganga.Gooood work senior.

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 2 місяці тому

      Aki waganga washindwe katika Jina la yesu

    • @harrietkambua1399
      @harrietkambua1399 2 місяці тому

      Nipitie please ❤❤❤

    • @patiencemwandairo5434
      @patiencemwandairo5434 2 місяці тому

      Dave will never ingilia mastory Na waganga madakitari wakali never my son tegemea Mungu Kwa mambo yako Yote,mambo Na madakitari wakali achia Lemo,Levyne,Pl Na wakina sijui Johncina whatever.

    • @jacklinembithe236
      @jacklinembithe236 2 місяці тому

      A very calm, composed guy anapatana na shetani😢

  • @LornaMakena-b4m
    @LornaMakena-b4m 29 днів тому +11

    Nimekuja kurundia hii video tena after kuona wamboi😂😂😂

  • @FlorenceKaimuri-u3l
    @FlorenceKaimuri-u3l 2 місяці тому +1

    Mungu nipee wangu nimpendee❤❤❤

  • @Wfidelis
    @Wfidelis 2 місяці тому +3

    Gatanga iko tu muranga pole kwa huyu boy 😢😢😢 Dave umefanya kazi poa

  • @anncilla
    @anncilla 2 місяці тому +1

    Hivi awa watu wazuri upatikana wapii aki woyee duu mungu naomba uni saidie nipate ata mmja aki siezi sumbua nita tulia ooohh no wana wake mna takaga nini nyinyi😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 День тому +1

    Duuuh uyu wambo wa seniorDeve jo uyu?😮😮 mmmmmm😮

  • @violet.mmauya2611
    @violet.mmauya2611 2 місяці тому +10

    Woiyee Mungu nipe mwanaume km hyu am very loyal aky .God hear my prayer and bless me one day

  • @zainabmakokha
    @zainabmakokha 4 дні тому +4

    Ime bidi nfatilie hii story ya wambo ki u makini kumbe pia wambo ulkua una cheat😅😅😅😂😂😂

    • @festoke9677
      @festoke9677 3 дні тому

      Ndio pia nafuatilia sahi , ghai nmeshangaa

    • @YahwehmyGod-s6j
      @YahwehmyGod-s6j 3 дні тому +1

      Niko hapa saa hii nimeanza uchunguzi😂😂

    • @festoke9677
      @festoke9677 3 дні тому +2

      @@YahwehmyGod-s6j nmemcheki analia kwa video mrng ,sahi naelewa sababu

    • @irynejames5161
      @irynejames5161 2 дні тому

      I had to come back to get to the bottom line, where the rain started beating 😢😢😢😢

    • @christine4072
      @christine4072 2 дні тому

      ​@@festoke9677me tooo hisikue ni karma 😢😢

  • @Liz-nje
    @Liz-nje 2 місяці тому +1

    Waaah kugongewa imekua real 😮😮😮😮😮kwan huku inje kuko aje

  • @murilashivoni4098
    @murilashivoni4098 9 днів тому +4

    Huyu c ni wamboi waaa sai ako kwa dave❤😢😊

  • @GloriaKawira-w5u
    @GloriaKawira-w5u 2 місяці тому +4

    Dave eti unangoja upigwe kofi😂😂😂😂😂unapenda shida ww

  • @danielmosiria5063
    @danielmosiria5063 2 місяці тому +2

    My brother, mr, Dave is , God's send er , 💪💪💪💪this Lady is a killer

  • @MercyChepchirchir-dx6yx
    @MercyChepchirchir-dx6yx 2 місяці тому +1

    Iyo favorite chunga usianguke nayo😂😂😂😂

  • @MagdaleneMaingi-p7c
    @MagdaleneMaingi-p7c 2 місяці тому +1

    Aki dave,ety nangoja upingwe kofi😂😂😂

  • @faithmwende4760
    @faithmwende4760 2 місяці тому +6

    Wooooi.....mi nipate mtu mpoa natulia tu

  • @maureenkaranja654
    @maureenkaranja654 2 місяці тому +3

    Oooooi ngai i wish u can bless m with this kind of a man.

  • @lucychege5717
    @lucychege5717 2 місяці тому +1

    God is Good Umejulikana mapema coz labda ungemuua alafu injulikane uende ukaozee njera Nyang'au hii,,,,ata dressing code yako inaonyesha,,,,hauna heshima Nkt 😢😢😢😢😢

  • @hawababy120
    @hawababy120 2 місяці тому +3

    Mrembo ameskia doo anakubali interview badae kikamramba😂mwanaume handsome hivo unatoa wapi nguvu akii yakumfanyia kivaya😢

  • @JaneWaweru-hn7tp
    @JaneWaweru-hn7tp 2 місяці тому +7

    Dave we want such contents. Fupi zinaisha hatutaki wachawi

  • @WamboxBobo
    @WamboxBobo 2 місяці тому

    Uyu dem ameniaribia jina😢😢😢😢"WAMBO" we respect marriage maybe tuchezwe😢😢😢

  • @FloraMeeme
    @FloraMeeme 2 місяці тому +6

    Dave is God's sent

  • @JaneWanjiru-jm2qj
    @JaneWanjiru-jm2qj 2 місяці тому +5

    Mimi siku hizi sitaki kukaa bila wifi nisihate show zako senior Dave,,,naona very soon ntakuita usanitize my husband

    • @Morgan-k8q
      @Morgan-k8q 11 днів тому

      😂😂😂😂😂😂alafu kikurambe pole pole tu😅

  • @sheshiwanjiku8573
    @sheshiwanjiku8573 2 місяці тому +2

    KDF BE WISE a wise man.
    Dave follow up on this case ya mtoi apate hospital trestment. Amefichwa kwa Recho ndio hubby asijue

  • @eunicewanjiru5162
    @eunicewanjiru5162 2 місяці тому +1

    Ukisikia nipee mick yangu,,,unjue its about to go down 😮

  • @olivierjuma7919
    @olivierjuma7919 2 місяці тому +1

    Wakikuyu nini mbaya na wasichana wenu haki surely....mali zimepatwa kwa hii njia hazisaidii,mpende hard work

  • @fredrickmuli4857
    @fredrickmuli4857 2 місяці тому +10

    Nilijua tu uyu mwanamke NI mkora 😢😢😢her behaviour na dressing code😮😮😮😅

  • @millicentojala
    @millicentojala 2 місяці тому +2

    Dave good job endelea ku fagia masimu😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nightiebinti5236
    @nightiebinti5236 2 місяці тому +14

    THE GUY IS VERY COOL.

  • @janetsikuku1176
    @janetsikuku1176 2 місяці тому

    Sd huwa unadoma txt vizuri sana so funza anita naye kusoma txt kama wewe bht🎉good job you are God sender to save some families

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 13 днів тому +1

    👏👏👏wambo ngai ni ww kwani mlikuwa mkidate na kuzo wako

    • @LydiaNyaboga-fp3uh
      @LydiaNyaboga-fp3uh 9 днів тому

      Kumbee😅😅

    • @irynejames5161
      @irynejames5161 2 дні тому +1

      Karma is a bi***. Wambo anahangaika saa hii hana p kulala, whereas angekuwa ametulia kwa ndoa with such a cool guy.... Sorry though for what is happening. I wont judge.

    • @christine4072
      @christine4072 2 дні тому

      Hio story imenifanya nitafute the origin yake​@@irynejames5161

  • @violetoketch
    @violetoketch 2 місяці тому +1

    Dave mungu akubariki.umesaidia office wengi.

  • @wanjirajackfred4686
    @wanjirajackfred4686 8 днів тому

    yaani you got auch a nice gentleman a kdf that is loyal unamcheat nikikumbuka vile my ex a kdf too showed me pepe infact i sanitised him nikiwa tu kanairo na yeye akiwa coast and it only took Gods grace for me to heal from that heartbreak 5yrs wasted,GOD remember me

  • @MutaiIrene
    @MutaiIrene 2 місяці тому +2

    Hakuna mapenzi hapo Hadi kupangga mauanji,kwani wanawake wengine wanatamaa kwely😢😢

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 2 місяці тому

    hata ma broo wangu wanne ni Mungu anawapenda juui my Mum alikuwa prayer worrior

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 2 місяці тому +4

    mimi siku nitakutana na Dave ama mtu yeyote wakusanitaizi mimi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @nmogaka889
    @nmogaka889 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂aki dav ati unangoja apigwe kofi 😂😂😂😂😂😂

  • @TabbyThiga-g7v
    @TabbyThiga-g7v 2 місяці тому +2

    Nipewe huyu mwanaume akhi mungu,,, ww unapea wanawake wamejaa unyama mabwana ubatuwacha Sisi nje

  • @cewaki799
    @cewaki799 2 місяці тому +1

    These sanitizers ni kama wametumwa na Mungu wuuiye 💪💪💪

  • @LilianKarisa-nv3sr
    @LilianKarisa-nv3sr 2 місяці тому +2

    Mungu anakupénda bro

  • @DavidwafulasimiyuDavidwafulasi
    @DavidwafulasimiyuDavidwafulasi 7 днів тому

    Yani Dave unatubeba aje huyu sii wambo ako kwako!??? Ama mi Bangi imebanda 😢😢😢😅😅😅😅😅😅

  • @Stella-t1n
    @Stella-t1n 2 місяці тому +4

    Grown ups don't plan to eliminate close ones

  • @OdindoIrene
    @OdindoIrene Місяць тому

    KDF soldiers are gentleman imagine after going through those nasty massages he's still humble but akijam🙌

  • @harrietwawira1248
    @harrietwawira1248 2 місяці тому +1

    Kumbe simu ni hatari hivo unaweza pangiwa kila kitu ukiwa hapo pole sana gentleman

  • @mnqobi8969
    @mnqobi8969 Місяць тому

    😢😢😢 sasa uyu alicheat a man so down to earth, then sasa anakuja kusumbua Anita...
    Dave if truely you are now dating this lady you will regret, lets hope she has not come for revenge...Be careful Dave..

  • @janetsikuku1176
    @janetsikuku1176 2 місяці тому

    Uzuri wa KDF they are discipline $humble 😂😂 every where ata kwa maandamano😂🎉n ukiona dem kiherere hapo n redlfag ama kulambwane

  • @Esendib8x
    @Esendib8x 2 місяці тому +1

    Dio maans mnauliwa na wazee yani mtu anajituma juu yk na ww nimakaya😢😢😢😢😢

  • @ESTHERAKHONYA-x6x
    @ESTHERAKHONYA-x6x 2 місяці тому

    Wallahi mwenye makosa hujishuku mwenyewe,kasichana kameskia kusanitize masimu...roho mkonono hadi maneno yamemuishia.

  • @PeterKamau-gu1tx
    @PeterKamau-gu1tx 2 місяці тому +3

    Waaaaah dave you have really saved life mingi

  • @CeliyKilobi
    @CeliyKilobi 2 місяці тому +2

    Aky cku hizi madem wengine wamekuwa mapepo aky kdf run for ur life huyu n pepo usirundiane naye aky

  • @Marymuriithi-o6v
    @Marymuriithi-o6v 2 місяці тому +1

    Heartbreak of the yesr😢😢 this man is humble

  • @Esendib8x
    @Esendib8x 2 місяці тому

    Hosi ako na nani😢😢😊😢😢😢😢😢😢😢beb na uko killing apo akuna kiongea nipe huyo mtu nimyunze na mikono yote omg God 🤲🤲🤲🤲hiyo hao tamu hivo kuna watu wanataka mume woooyee

  • @MercyBarasa-o6j
    @MercyBarasa-o6j 2 місяці тому +7

    Kwan Hawa watu wanataka kumaliza kdf mbona

  • @joycemwendo6019
    @joycemwendo6019 2 місяці тому +1

    Pesa pesa pesa ikikuja kumaliza watuu,madam kaingia Kwa mtego paaa😂😂😂

    • @alexsaidi3940
      @alexsaidi3940 2 місяці тому

      PESA Gani she has to everything niyeye mjinga anataka mtu hana vision anataka vya bure eti gari already imekuwa pesa

  • @annytsonie6152
    @annytsonie6152 2 місяці тому +10

    Another tall dark ND handsome man with a well qualified height is back to the street single... Ni sawa tu wambui💔💔💔😭😭sorry bro..

  • @rolinekathure3021
    @rolinekathure3021 2 місяці тому +3

    Huyo dame anakujua 😅😅

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 2 місяці тому +2

    Mungu smeokoa huyu jama

  • @ruthmwaura238
    @ruthmwaura238 2 місяці тому +6

    Woiye another Dan

  • @Njerinjesh-q7o
    @Njerinjesh-q7o 2 місяці тому

    Wa mama hatutaona binguni mkiskia pesa mna smiles 😅😅😅

  • @JanewambuiWambui
    @JanewambuiWambui 2 місяці тому +2

    Aki hawa mapolice wako in danger na hawa mabibi what do they want aki mungu awalinde

  • @sheilawanjirunicholas486
    @sheilawanjirunicholas486 2 дні тому +1

    By the way wambui unakula shida a ulipea doc logbook na titles deed?

    • @christine4072
      @christine4072 2 дні тому

      Ujinga tu wanawake upenda nini 😢😢😢

  • @Esendib8x
    @Esendib8x 2 місяці тому

    Hosi ako na nani😢😢😊😢😢😢😢😢😢😢beb na uko killing apo akuna kiongea nipe huyo mtu nimyunze na mikono yote omg God 🤲🤲🤲🤲

  • @paulinemmbone1267
    @paulinemmbone1267 2 місяці тому

    Ety Dave.....
    Nangoja upigwe Kofi
    😅😅😅😅😅😅😅

  • @SimpleLady-k6m
    @SimpleLady-k6m 5 днів тому

    Huyu ndo funs wanasema DCI Fred ama Dave achukue!!!!hii ni kujiongezea matatizo😅😂🤣🤣😂🤣🤣

    • @christine4072
      @christine4072 2 дні тому

      😂😂😂😂 nikama wengi hatukuwatch

    • @SimpleLady-k6m
      @SimpleLady-k6m 2 дні тому

      @christine4072 Kuna part two pia🤣😂😂🤣

  • @MelvineKimetto-fn1ww
    @MelvineKimetto-fn1ww 2 місяці тому +6

    Ghai hii story tena itakuwa kama ya Dan Jesus Christ

  • @magdalinewangari7329
    @magdalinewangari7329 2 місяці тому +4

    Pole sana bro

  • @laurettabundi918
    @laurettabundi918 Місяць тому

    Upigwe kofi 😂😂nn huyu kdf aliona kwa hiki kidem na ata c mrembo.. Wakikuyu mafyaa😢

  • @sarahbaybie9759
    @sarahbaybie9759 Місяць тому

    May God give the officer, strength and peace

  • @loyalgi9326
    @loyalgi9326 2 місяці тому +5

    Nafenye kanijifanya kako holy 😅😅😅

  • @VeronicaMutuku-h7w
    @VeronicaMutuku-h7w 5 днів тому

    Najua hapo mambo ya tachemunga utamini 🏃🏃🏃🏃

  • @WinnieObongo
    @WinnieObongo Місяць тому

    Kubebwa yenye huyu dem anabebwa🤔🤔🤔🤔 hehehe namiss kubebwa ivo nkipelekwa kwa kitanda🤣🤣🤣🤣

  • @sheilawanjirunicholas486
    @sheilawanjirunicholas486 2 дні тому

    Na vile alikuwa na bwana handsome and tall

  • @jacklinembithe236
    @jacklinembithe236 2 місяці тому

    Hizi story za 'Mrima' sana sana za kunimaliza bwana to inherit property 😢😢😢😢😢

  • @olivierjuma7919
    @olivierjuma7919 2 місяці тому

    Mungu why good people do meet only Delilahs,please healp me with these kind of men and will never cheat on him i promise .......Manze usijali God will give you the right person

  • @EuniceBett
    @EuniceBett 2 місяці тому +5

    Wanaume wazuri wanaoa mangaa wazuri tunapata wazee wabaya

  • @winniemercy608
    @winniemercy608 2 місяці тому

    I wish mungu angenipata mtu faithful walai ladies loyal hupata ngombe sana

  • @VeronicaDorcas-fc2kz
    @VeronicaDorcas-fc2kz 2 місяці тому +4

    😢ila wadada nyie

  • @annytsonie6152
    @annytsonie6152 2 місяці тому +2

    Huyu dame anamjua Dave that's why anabehave hivyo, coz she knows it's about to go 👇👎

  • @FelistersKisuli
    @FelistersKisuli 2 місяці тому

    Senior Dave connect me with this man,angalau tujuane

  • @MaggyNjeri-ir1pd
    @MaggyNjeri-ir1pd Місяць тому +2

    wenye wamekimbia hapa after kuona kwa anita 😂