Kama ulipata mwanaume akakutoa shule na ndio amekuoa tayari ukifika kwake unapata kuna mwanamke wake walikozana so huyu mwanamke akupige alafu aondoke muendelee kuishi na huyo mume baada ya mwaka moja na na miezi umezaa alafu akufukuze na mtoto wa mwezi moja hadi wa leo mtoi amemaliza shule haujawai olewa so ni vizuri kuoleka na mwanaume mwingine ama ni kurudi kwa yule mume aliyekufuka ju hata yeye hajawaioa story ni ndefu but l need help ju nashindwa hata kuolewa ni shida sasa
Mimi nko na swali naomba nijue vile naweza kukupata unizaidie ndio niweze kuelewa ju sasa nko na 33 years but hii shida iko tu kwangu how can you help me
Praise God yes everyday this message is new with new understanding,God bless you my pastor.
Wow what a wonderful revelation,God bless you Pst.
Kama ulipata mwanaume akakutoa shule na ndio amekuoa tayari ukifika kwake unapata kuna mwanamke wake walikozana so huyu mwanamke akupige alafu aondoke muendelee kuishi na huyo mume baada ya mwaka moja na na miezi umezaa alafu akufukuze na mtoto wa mwezi moja hadi wa leo mtoi amemaliza shule haujawai olewa so ni vizuri kuoleka na mwanaume mwingine ama ni kurudi kwa yule mume aliyekufuka ju hata yeye hajawaioa story ni ndefu but l need help ju nashindwa hata kuolewa ni shida sasa
Thank you mu for preaching
The messages are powerful and am following daily. Wish the message was all in English 😢