🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 17 днів тому +1

    Musiba sikufikiria kama soka liko kwenye damu umeongea mazuri sana hongera

  • @makamezubeir973
    @makamezubeir973 15 днів тому

    Hongera sana umeongea vizuri sana kuhusu Abubakar salum alicheza vizuri sana

  • @walespamba8989
    @walespamba8989 15 днів тому

    Job ni bora sana kuliko hao

  • @kilalak2932
    @kilalak2932 17 днів тому

    Safi sanaa Musiba hakika unajua boli

  • @CathelineMagawa
    @CathelineMagawa 17 днів тому

    Sahihi kabisa.nabi majivuno yalimzidi

  • @FahadAbubakari-y3f
    @FahadAbubakari-y3f 17 днів тому +1

    Musiba umehamia kwenye soka sasa siasa hailipi au

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 16 днів тому

    Ni musiba wa tabora united?? Na mazishi ya Musiba huu ni wapi???

  • @susumantalanta8505
    @susumantalanta8505 16 днів тому

    Huyu mwamba namfahamu sana, tangu utoto alikuwa akipiga sana boli....Sema kipindi hicho mpira bongo haukua mchongo

  • @DanielKapongwa-e9z
    @DanielKapongwa-e9z 17 днів тому

    Huyu jamaa ni m2 wa bol sana fact kabix kaongea

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 17 днів тому

    Mbona yupo siku nyingi,alimlipa kakolanya kipindi yanga inapitia hali ngumu akagoma,huyu alimlipa M 2 na alishiriki kumsajili sure boy

  • @danielmkalimoto773
    @danielmkalimoto773 16 днів тому

    Kwani huyu mpira kaanza kuuzungumzia lini

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 15 днів тому

    HUYU IPO SIKU ATAWAAMBIA HERSI SIO RAI KATUMWA NA WA MAREKANI KUHARIBU SOKA LA TANZANIA

  • @DanielBenard-c5m
    @DanielBenard-c5m 16 днів тому

    Msiba kila wakitushambulia wa kina kazumari wewe piga kwenye mshono