Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Brother K ndo comedian no moja ninae mkubal apa Tz 🇹🇿... 😂😂😂
❤
Bro k wew ni Noma sana ...yaan nimecheka mpaka machozi dah
Kaz nzur brother tatzo unachelewesha sana kaz mpka tunasahau kisa cha mwanzo kilikuaje asee!
Kabisaaaaaa
😂😂😂 aaah brother k chiz eti hela imentoka apo
😂😂😂😂😂😂😂😂😇😂😇😇😇😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ...Br.. K.. Unaziumiza mbavu zangu.. Haaaaaa haaaa. Haaaa.. Kudadadeki ... Sasa unamtongoza mdada huku unasoma kwenye daftari.. karatasi ..halafu unataka mdada ajibu.. Ngoma sasa ikaja kukwama pale br.. K.. Aliposoma.. NAKUONA UNAAAPITAGA.. Harafu huyu kanichanganya ..hajamuandikia vizuri..
hahahaha yan ulivoanza kutoa book na kusoma mistari nilicheka kwa saut kubwa aisee brother k big up.
Tatzo bro unachelewesha sana burudani yetu aisee
Safi sana mabomba aka brother k
Mmh wanawake walixha ona maajabu ya kutongozwa kwa wanamme mmh acha Burudan iendelee
🤣🤣🤣 et Ngoja nimeze mafaili daaa unaweza sana brother
Dada mambo sema poaw 😅😅😅😅
Haki hii kiboko,mmetisha 💪🤣🤣
unamiaka mingapi yeyeyeee yaani mi umri umeenda ningekuwa mbali isingekuwa kuuguwa 😂😂😂
hiyo noma 😢😢😢
Hahahahaha asee noma sana
Pasingekuwa kuuguaugua ningekuja mbali🤣🤣🤣
, hahaha duuuuh aiseee hatar
Sasa Mujomba unavyo igiza itafika mahali utakao kuwa unaigiza nao watakuwa wanacheka wenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaa hakili yako unaijua mwenyewe
hapana huyu jama kipaja kaka mwenye nikimuonagatusulayake nikicheko
😂😂😂😂😂yaani
ila Ww brother K mmmh hybhn Burudan iendelea maan naenjoy Sana
Eti hii ni kumtongozea mwanamke mweusi hahah
Umekaa kwenye hewa et😀😀😀🤣🤣
Yaani huyu mwamba fundi sanaaa 🤣🤣🤣
Unayemtongoza Anaweza Cheka
Oya nenda kwa joti mfanye kazi.
Kweli kabidaa brother k na joti wanawezaa sanaa aiserr
daaaah 😂😂😂😂😂😂 kunanamnavya mweupe na mweus hahahaha
Mbn kucheka kulia nikawaida nimecheka kiukwelii duuuuu!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaaaaaaah kichangizo
😂😂😂mobimba bora niuze tv
Nakubali sana kazi zako my brother
Brother k unatishaga kinoma aise
Hahahaha jamani huyu mobimba akapimwe akili
Utacheka mpaka ufe ua-cam.com/video/2XKsuurDfEk/v-deo.html
Bangi mbaya
Mpk huyo mdada ameshindwa kujizuia😀😀😀
Sasa ww jamaaaa kwer umepewa misitari halafu unaenda kutoa Sili kwer
Kiboko brother k
Bro k umetisha sana
Kaka unatuchereweshea sana tatizo nini ujuwe tuna penda sana ulivo fundi jitaidi kk
Bila kuuguaugua ningekuwa mbali
Nawakubali sana
Kaka omba kazi ufanye kazi na joti mtaitikisha afrika
Daah kwel kaka bonge la 9dea jamaa mtamu sana kwa comedy wanakutanaa wakali wotee
Daaa brother big up xana
Tisha sana😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mimi
Jamaa kaamua tutoa nondo mbele ya Toto
Utauza kila kitu🤣🤣
Hatari sana
Ahaaaa the best one
Kali iyo kk
big up mobimba na suda son.....tuko pamoja
Ngoja nimeze mafaili
Anasemaje? Tena🤣🤣🤣
Huna akl kweli ww
Fantastic comedy
Big up sana
Hahahhahha brother k hahaha
Humu hamna kitu kama ni ndugu yangu mitama mingi sana
Mbavu zangu😂😂😂
😂😂😂 wewe bwabwa kweri yani
Jamaa mjinga kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 daaah nacheka sana
Brother k ,,shida iko wap wenzio umewauza ,,gongalai,ntoronyonyo,,njerekela na mama yake,unatumaliza bundle peke yako,,,,,
Mobimbaa mbavu zangu mie eti uyu nae hapa alinichanganya hapa
Noma Sana mujomba nihatari
😂😂😂😂noma sana
chuo cha memukwa, pamoja sana
😁😁😁 blaza n Msenge Divansi
Dah karata hii baraa
😂 ila brother k
Huyu dada amejitahidi kukaza maana wewe ni kituko
Ni shidaaa😂😂😂😂😂😂
Ila bro k wewe ovyooo kbs nimejua kucheka
Brother K Akiri hauna kweli 🤣🤣🤣🤣 Utauza hadi nyumba Kama kutongoza ndo huko🤣🤣🤣
Shida za kukariri mitihani ndo zinaanziaga hapo 😜🤣🤣
Kuigiza na huyu jamaa yahitaji moyo maana duh unawezashindwa kujizuiah ukacheka
Sasa wewe umepewa matirial unaongea tena je na he 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Dada mambo😂😂😂
Hahahahaaaaa tex🤣🤣🤣🤣
Braza K fahari yetu🌹🌹🌹
Tayariiii sasa hapo
Divance😂😂😂😂
Ila braza K unatisha
Weee jamaa Hauna akili kabisa na ukitoka hapo ukadai ela yako
Kaka unachelew san broo
Kwa hizo mikwala brother k kama unasmat umeshaweka protect nying sana kwa kuangusha sm
ua-cam.com/video/2XKsuurDfEk/v-deo.html
Eti unaacha ela inapotea 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
❤❤❤❤❤ nakubali sana ila kazi ndohvo unachelewesha
Jitahidi kwenda na wakati
Anapiga teka fuko la hela 🤣🤣🤣🤣
Uuuuuuwiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣
Tunaweza kuonana je?😀😀😀
Duh nimechek san
Kkkkk du hii kali
Sauti hamna ama pande yangu ndiyo inatatizo
pande yeko mujomba
@@brotherkmobimba Asante kaka
Upande wako ndio tatizo
Kwa hiyo unafanya mapitio? 🤣🤣
Upadri 🤣🤣
Dada mambo
😂😂nikikujengea shule haukai wewe
😅😅😅 eti nn umbea tuu
Katishet tyu ndiy kananikosha
😅😅😅😅
ua-cam.com/video/mTzMi2JZyc8/v-deo.html kwenye hii video dakika ya 7:43 nimecheka mpaka nimekojowa 😀😀😀😀😀
Dah 😀😀😀😀😀😀