WAPE TABASAMU | Kibwana Shomari amchimba mkwara Dickson Job

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • “Nitawafunga kwa maneno, nitawafunga uwanjani” ‘mikwara’ ya Kibwana Shomari akiwatisha timu Team Job kuelekea mchezo wao wa tamasha la #WapeTabasamu litakalofanyika Jumamosi.
    Tamasha la Wape tabasamu litafanyika katika dimba la Jamhuri Morogoro, Jumamosi ya Juni 22 kati ya Team Kibwana dhidi ya Team Job.
    #WapeTabasamu

КОМЕНТАРІ •