Napiga simu kule mbinguni,Yesu shuka utende nimeshinda na wote waliokaribu wameshindwa peke yako Yesu unaweza .najiunganisha na maombi ya wimbo huu. Dada Mungu akubariki
Mungu akutende wema dada Anastacia, Mungu asikie maombi yako na akuponye. Kila anayesoma hii comment na kusikiza huu wimbo Mungu ayajibu maombi yako na asikie sauti ya kilio chako. Barikiwa
Mungu wangu umponye Anastazia ‘ nyimbo zake zime okowa watu wengi ‘ nikiwemo Mimi ‘ sasa mungu na wewe umponye ili aendelee ku okowa watu wengi ‘ na ku omba mungu
Nime jipata huku direct am so emotional 😢😢😢 oh God help to pass through all difficulties moments 🙏🏼. Napiga simu kule mbinguni nakuita Yesu shuka utende🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Who wimbo umeniguza roho 5 6:11 sana; my sistar annastacia mungu atashuka na atatembea utamuona loida from khayega mukumu; nakupenda sana my sistar❤🎉❤🎉🎉
I once facilited your crusade for 5day , and on the last day you saw what church leadership did to me, i was crying in tongues you took me away to my house and talked to me and gave me hope after three day our then overseer who started havoc and insulted me before thee was dismissed at her work place, God heal you.
Napiga simu eee bwana nitembelea leo bila wewe mimi 😂😂😂siwezi unaweza dhauriwa lakini yesu anaweza mambo yote never give up dear sister God bless you...see more
Napiga simu kule mbinguni,Yesu shuka utende nimeshinda na wote waliokaribu wameshindwa peke yako Yesu unaweza .najiunganisha na maombi ya wimbo huu. Dada Mungu akubariki
What does it cost someone to do such a touching song this is what I want .......hii neema ni kubwa mungu ndio nataka kuimba sio kuimba tu 😢
Be strong
Some songs are birthed out of painful experience that people go through.
Why am I crying when listening to this song 😭😭😭 hata sijielewi. Kwa wenye tunakata onions tusanyike hapa and lay our petition known to God.
I know he will give us a testimony
Same here, may God pick calls of everyone in need, amen
Am calling you today Jesus...come and do for me 😭😭😭😭
Shuka tutende yesu😢😢
Huu wimbo unaguza moyo dada,Mungu anakutumia kwa njia ya kipekee sna 🎶🎸
Hili ni ombi la kila mtu shuka utende yesu
Hongera sana dada yangu wimbo mzuri
Shuka utende Bwana wangu 😭😭😭
Nimebarikiwa sana 🙌
Mungu akutende wema dada Anastacia, Mungu asikie maombi yako na akuponye. Kila anayesoma hii comment na kusikiza huu wimbo Mungu ayajibu maombi yako na asikie sauti ya kilio chako. Barikiwa
Weeh wacha nimalizane na kazi ya waiguru narudi kucomment but the song is 🌟🌟🌟🌟🔥🔥🔥🔥
Dear Lord 🙏 REMEMBER THAT SOUL CRYING IN EMERGENCY ROOM, REMEMBER ALL THE SICK LORD YOU SEND YOUR WORD TO HEAL US PSALMS 102: 20.
Amen and Amen
Woow great song❤thank you for representing us.Shuka Yesu utende🙏
😭😭😭 nimejipata nikilia pekeako Mungu sikia maombi yangu yesu😢😢
Napiga simu nia yangu yesu utende yaliyo makuu Yako juu Yangu najiungamanisha na maombi katika wimbo huu❤🙏🙌
Asante ila nyimbo zako za kizamani azipo kwenye mitandao ,nazo zngine zpo nusunusu mbona
Amen mungu shuka .
May God bless and keep you Big Siz neema Tu inaponya moyo
😢😢😢Mungu ndiye jibu kwa shida zetu zote.😅
Mungu wangu umponye Anastazia ‘ nyimbo zake zime okowa watu wengi ‘ nikiwemo Mimi ‘ sasa mungu na wewe umponye ili aendelee ku okowa watu wengi ‘ na ku omba mungu
All things will work for His Glory to be revealed to the world
Mungu akubariki dada akuinue zaidi
Shuka utende Kwa maisha yangu Yesu 🤲😥
Shuka utende baba 🙌🙌🙌🙌
Fanyeni kitu pamoja inaeza kua fire ..na Mungu ata ajitukuze🙏
Mbingu zimesema ndio🙏🙏
Simu yangu ni maombi yangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Thanks for nice song i need you to gide me i can sing bt i don,t have guidance
Nime jipata huku direct am so emotional 😢😢😢 oh God help to pass through all difficulties moments 🙏🏼. Napiga simu kule mbinguni nakuita Yesu shuka utende🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
I only need you Jesus in my life, please shuka utende maishani mwangu.
From your mouth direct to God's ear ♥️ 👂 🙏🏼
Si mungu asiskie maombi yako aki😢
Who wimbo umeniguza roho 5 6:11 sana; my sistar annastacia mungu atashuka na atatembea utamuona loida from khayega mukumu; nakupenda sana my sistar❤🎉❤🎉🎉
Nakupigia simu mungu wangu tafadhali shuka utende maana usiposhika simu yangu mimi nimeisha😭😭😭
Waibishe maadui zangu baba😢🙏
What a blessing song
Yangu ni emergency Baba shuka utendee Daddy😢😢😢😢
be blessed my siz love your song
Nikweri ashuke na kwangu
Remember her and never forget me jehova
Amen it is well woman of God , He is always ready to receive our calls.
Yes lord heal of our diseases
I love your songs...continue blessing us and may the Almighty God bless you with revelation for your songs and good health.
Wooooow NYC song
Our great physician please heal mamaaa for ur glory
Am blessed with the songs you sing my sister.May God's healing be your portion in Jesus Name!I pray with you dada and it's well
Napiga simu YESU uipokee🧘🤲 nataka nifunguliwe masikio yangu na niweze kuongea vizuri 🙏🙏 sitaki kudharauliwa tena
Shuka utende yesu in my life. Enjoying it from Uganda so prophetic may God continue using sister Annasticia.
Another new hit song from our own Luhya Gospel Queen 🙏🙏🙏. Mungu shuka unitendeee
Congratulations sister nice song mum
Good job dada anastacia
God please heal this beautiful soul
The song of the year
Awesome 💯 congratulations mother....I love the lyrics
Na Mungu akutende mema mummy, It's done for you already in Jesus mighty name
I can't stop listening to this song,simu yangu ni emergency call 😭😭😭🙏🙏🙏
Amen❤Eh baba sikiahitaji la moyo wng🙏😢
Amazing!❤❤❤❤
Healing is your portion in Jesus name mummy,,,your songs has been a blessing unto our life,,it uplift us from one glory to another.
May God heal this woman😭😭😭Familia na madaktari hawawezi lakini wewe mungu waweza🙏May your will be done
KAZI nzuri mama yetu God bless you
Mimi Leo pia napiga simu yangu juu it’s urgent God😭😭😭😭😭.i have been strong but am loosing it
Wewe tu utanitendea
God,remember this woman,mponye,apate kufanya kazi yako mungu😢😢😢
Mama hii iko yuu
God bless you Mom
Powerful Song
Baba Shuka utendee
More Grace Maa,it's only God all the way
Powerful 🙌 song momy more grace 🙌 eeeshh napiga simu yesu shuka utende twakuhitaji kwa taifa letu😢
Hongera sana ninyimbo nzuri
Nyimbo yenye muongozo kwenye maombi.
Shuka utende hata kwangu Baba more grace my sister
Oh God heal our sister, you're able😭😭😭😭😭
It's very powerful. Higher spiritual levels. May God do you well
I once facilited your crusade for 5day , and on the last day you saw what church leadership did to me, i was crying in tongues you took me away to my house and talked to me and gave me hope after three day our then overseer who started havoc and insulted me before thee was dismissed at her work place, God heal you.
Pure intercessory
Oooh Yes🙌🙌 please God shuka ututendee 🙏,, tutetee kabisaa and finay ingilia Kati 🙏✨🙌....2024👌❤️
A very nice song annastacia,hakika baba shuka utende ,simu yangu ni dharura mungu wangu😢
Kando na nyimbo zako kunibariki... Hairdresser wako anadeserve award❤
Mungu ingilia kati. Mama Mungu ako pamoja nawe.
This is bigger 🔥🔥🔥🔥.
Congratulations mommy
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri.
He will heal you for sure🙏
May the Almighty Answer your call dear 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Citizen tv imenileta huku
Very touching
Ee Bwana Yesu shuka utendee ayo ni maombi yetu
Baraka teleee♥️♥️
Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu 🔥 🔥 kazi nizuli sana
Shuka utende 😭😭😭🙌🙌🙌
Mungu akubariki sana mahali ulipo
Wow mungu akuongezee kibali mtu wa mungu such a blessing one❤
Yesu mwaminifu, Jehova Rapha nyoosha Mkono wako HODARI umponye Mtumishi wako , Tunaunganisha sauti zetu kukuita mwokozi ...Mponye Anastazia Mukabwa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😭😭😭 from 🇹🇿 with love !
Your voice is a brand❤ may God lift your ministry higher🙏
Baba shuka utende
Ooh yes my case is very urgent Jehovah
Nataman kua kama ww mam❤
Shuka utende kwa maisha yangu
Grace of God is sufficient, barikiwa mama for this amazing song 🙏
Wonderful song with a powerful message
Wooow All Need is You Jesus If You don't Do No one Will Do Amazing Song mtumishi be blessed sana👌🙏
Piga simu dada, powerful song mbarikiwa ♥️🙏
Nice song madam
Amina dada
Mungu na asikie maombi ya huu wimbo na akuponye . This generation still needs you 😢
Napiga simu eee bwana nitembelea leo bila wewe mimi 😂😂😂siwezi unaweza dhauriwa lakini yesu anaweza mambo yote never give up dear sister God bless you...see more