MIAMBA WAMEACHANA NA UFARANSA NA ECOWAS WAMESAINI UMOJA WA KIJESHI WA SAHEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

КОМЕНТАРІ • 28

  • @abduljuma7807
    @abduljuma7807 2 місяці тому +6

    Tuwaombee sana Yani haya majitu yalitumia Ukristo kututawala yalipoona yanagundudulika yakatumia Uislamu kutengeneza magaidi tusikubali tena tumesha wajua mnakumbuka Mwanza au Shinyanga eti waumini wanawauwa wenzao eti wanataka Dola ya kiisilamu ni wamagharibi hao

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 2 місяці тому +1

    Nduguyangu nakufatilia siku nyingi.
    Tunashukuru sana kwa uzalendo wenu.
    Mnatufanya siku hizi tuachane na taarifa za BBC uingereza

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 місяці тому +3

    RAHASANA. LEO NIMEONA TRAOLE AKIWA NA VIJANAWENZAKE KWENYE UWANJA MMOJA WA MPIRA. AKICHAKAZA NDINGA . ❤❤❤

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 місяці тому +7

    Ni bora Africa 🌍 tuvae magwanda ya kijeshi kuliko kuvaa Suti nguo za kinyojaji😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂

  • @bobdutchbobdutch8443
    @bobdutchbobdutch8443 2 місяці тому +2

    ❤sawasawa ni wezi vibaka❤

  • @lujjainaKp
    @lujjainaKp 2 місяці тому +4

    Mungu awatie nguvu

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 2 місяці тому +1

    Ok sawa

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 місяці тому +3

    Safi mwalimu 💚

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 2 місяці тому +4

    Afrika ina shindwa kuendelea nikuchagua wazee maana mzee anaona siku zimebaki chache kwann apambane na mabeberu baada ya kuinjoy maisha

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 місяці тому

      Samia wetu anaweza kujiunga na hawa pia

  • @michaelbukwimba-j3q
    @michaelbukwimba-j3q 2 місяці тому

    mungu awalinde sana hiii myamba

  • @user-oz3zu1qm9z
    @user-oz3zu1qm9z 2 місяці тому +2

    asande sana mwalimu napenda

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 місяці тому

    Waze kazi Yao nikuiba tu hakuna kingine waze hata barabara zinawashinda kujenga

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 2 місяці тому +2

    Yani hawa jamaa wananitamanisha minaomba itokee tanganyika nasi tufulai mana mioyo ya watnganyika wengi hawafulaii utawala uliopo tulifulai sana kwa jpm lakin baada ya kuu wa kufarik jpm tukarudi mateson bandari,ngorongoro misitu nk zimeuzwa walabu kutawala tena ndomana natamani tz yatokee mabadiliko kama ya haya yawenzetu nimazuli mpaka laha kwa wananchi wao

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 2 місяці тому

      Jifunze matumizi ya r" na l"

    • @davidmalogo7100
      @davidmalogo7100 2 місяці тому

      Jpm alipendwa na watu wengisana niwachache hawakumpenda nao niwale wavivu ,wezi ,wapumbavu, vibaraka, va mafisadi, wajinga ,wanaojifanyawajuaji kumbe wajinga wanaojifanya walim kumbe niwafiwa, kama huyu anae niambia nijifunze helufi ya r l Yani kunawatu wjinga ni wapumbavu afrika sio yawazungu ni yetuweusi Mimi nawapenda viongozi wazalendo sio wachumia tumbo ACHA upumbavu

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 2 місяці тому +2

    Kwa maoni na ushauri, hawa jamaa waendelee tuu kukaa kwenye hizo nafasi mpaka miaka 1000 ijayo, maana wakitoka hapo wavaa suti wataiyumbisha hii AES

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 2 місяці тому

      Kama Maraisi wetu wanataka tuwaombee nawaendelee maisha Yao yote wafanye kama wanavyofanya kwa Bokinafaso Mali Niger kwa nikupoteza pesa za wananchi bila faida Kila miaka mitano uchaguzi nikuchezewa akili zetu na wamagharibi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 місяці тому

    Wamaghalibi wanatuona kama wehu furani hivi mwafrica mmoja anaweza pigana. Na wazungu watu kuwapiga ngumi moja moja kichwani hawaamki lakini wamakuwa wakituchezea kichwani tujione wanyonge lakini tukijitoa ufahamu hawawezi hata chembe lakini tuna viongozi wanaogopa ndio maana wanakuwaadalali wa mali zetu .

  • @Paulmlambo327
    @Paulmlambo327 2 місяці тому

    ❤🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 2 місяці тому

    Hawa ndo wanaume

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 2 місяці тому

    Maneno mazito sana 😢😢😢

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 2 місяці тому

    Sio wamiaji brither , ni makundi ya magaidi please

  • @JoshuaLoth-qy1yk
    @JoshuaLoth-qy1yk Місяць тому

    Tanzania tunafeli wapi?

  • @IsmailAlly-zi4pq
    @IsmailAlly-zi4pq 2 місяці тому

    vijana tujitoe tuache maneno

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 2 місяці тому

    Where is mama duu dumbia

  • @mejamollel3828
    @mejamollel3828 2 місяці тому

    Mwalimu yuko wapi mamad donboya?