Wanasiasa wadaiwa kuchochea ghasia Marsabit

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Maeneo ya Oronderi na Kubi Qalo katika kaunti ya Marsabit ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika sana na machafuko ya kijamii yaliyoshuhudiwa hivi majuzi na kusababisha mauaji ya watu saba. Mauaji ya hivi punde zaidi yakiwa ya hapo jana katika eneo la Jaldesa kaunti ya Marsabit ambapo watu watatu waliuwawa.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

КОМЕНТАРІ • 11