Matunda ya ugatuzi Marsabit
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Hivi maajuzi Rais Uhuru Kenyatta alitia sahihi na kuufanya sheria mswada wa ugavi wa fedha wa mwaka 2018/19 kwa kaunti zote 47 humu nchini. Fedha hizo zitazingatia usawa ikilinganishwa na maendeleo yanayopaswa kushuhudiwa katika kaunti hizo. Kadzo Gunga alizuru eneo la Marsabit na kushuhudia jinsi fedha za ustawi wa kaunti zimechangia pakubwa katika kubadilisha taswira ya kaunti hiyo mbali na kuleta maendeleo katika miaka mitano ya kwanza ya ugatuzi.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya
My county has developed thanks president kibaki
Keep up marsabit. Barabara imefungua maendeleo
Grand transformation evident...bravo my county!
Very nice to hear this.tired of evil news.
Wow can't wait to visit such a plac
Why are you lying about fruits and vegetables being a novelty in Marsabit. I grew up in Marsabit and we grew fruits and vegetables.
We need such news
Msisahau Raila ndiyo alipigania ugatuzi, mpaka hatua ilyofika hivi sasa. Ruto, Uhuru. Kibaki, Kalonzo na wengine wote walipinga.
Job well done
Well job congrats bwana Governor.
One of the best places I wish to live
proud of ma county
Good
My home town
woow😊😊😊
Congratulation bwana governor.. Kumbe we made right choice
First governor alifanya kazi yake lakini huyu Wa saa hii kazi yake ni wizi peke yake.
Na tuendelee.
90% lies 10% Truth their always cry for problem
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
proud of ma county
Job well done