Jinsi ya kupika Chukuchuku ya Ngisi (How to cook Simple and delicious Squid soup Recipe )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @ummsalamahrashid7920
    @ummsalamahrashid7920 4 роки тому +2

    Mashaa Allah mimi ni mpya kwenye channel yako nimependezwa sana na mapishi yako tunaomba uwe unatuletea vyakula haswaa vya kitanga originally nimepitia mapishi yako yote toka umeanza shukran

    • @mapishitanga9861
      @mapishitanga9861  4 роки тому

      Shukran hbbty😍😍...tuko pamoja na tutalifanyia kazi😘😘😘

  • @abdulkannady1705
    @abdulkannady1705 4 роки тому +1

    Chaneli yenu ina mapishi original ya ukweli. Hongereni sana

  • @ashakhamis9093
    @ashakhamis9093 Рік тому +1

    Nimeionja Dada kwel Tam mno

  • @fatmaal-ismaili5514
    @fatmaal-ismaili5514 3 роки тому

    Mashallah mie napenda mapishi ya tanga

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 2 роки тому +1

    Salam alekum mashaallah

  • @tumarey3894
    @tumarey3894 Рік тому +1

    Sas uyo ngisi hawi mbichi

  • @asiyamuscat-oman2283
    @asiyamuscat-oman2283 3 роки тому +1

    ❤❤

  • @mariambintsaid3814
    @mariambintsaid3814 3 роки тому

    Mashallah habibty wajua vile napenda channel yako. Naomba kujua
    1.chukuchuku hukaangi vitungu na nyanya kwanza?
    2. waweza tia bamia ama biringani katika chukuchuku?

    • @mapishitanga9861
      @mapishitanga9861  3 роки тому

      Asante hbbty😍😍😘
      1.kwa mm ninavojua haukaangi vitungu na nyanya. sababu ukikaanga unakuwa mchuz tena. Chukuchuku kama chukuchuku haitakiwi kuwekwa mafuta..inakuwa ni mchemsho tuh
      Lakini ww mwenywe ukipenda kukaanga mwnzo inawezekan ni mapendekezo yako tuh
      2. Ndio.. bamia na biringanya zte znaweza kuwekwa

    • @mariambintsaid3814
      @mariambintsaid3814 3 роки тому

      @@mapishitanga9861 Asante sana uhkty.. bado umeniroga niko natizama video zako za zamani. Shukran sana kwa mapishi mazuri

    • @mariambintsaid3814
      @mariambintsaid3814 3 роки тому

      @@mapishitanga9861 samahani apoapo kwenye uliposema Mchuzi. Hivi tofauti ya Mchuzi wa samaki na Sotojo la Samaki ni nini? Ama moja una nazi wengine hauna?

    • @mapishitanga9861
      @mapishitanga9861  3 роки тому

      @@mariambintsaid3814 sottojo sijaelewa ni nini??

    • @mapishitanga9861
      @mapishitanga9861  3 роки тому

      @@mariambintsaid3814 Asantee kipenzi...nashkur sanaa😍😍😍😘😘😘

  • @nuruvinny5141
    @nuruvinny5141 3 роки тому +1

    Chuku chuku ya ngisi