Mchungaji Aomba Msamaha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2014
  • Siku nne baada ya kunaswa katika hali ya uasehrati na mke wa mtu,kasisi Anthony Maina wa kanisa la PAG kule Embu ameomba msamaha tukio hilo.akizungumza na wanahabari baada ya ibada huko Embu, Maina alikuwa ameandamana na familia yake,ambayo pia ilidai kumsamehe.lakini kwa sasa amesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea.mwanahabari wetu Victor Wetende anatuarifu yaliyojiri zaidi.

КОМЕНТАРІ • 80