my mom to have customers at work and my father be a contractor me to pass my exam and my sister and receive these blessings in the mighty name of Jesus Christ
Mungu wangu Baba yangu ninakuomba uni funguliye mamilango ya baraka ya biyashara yangu ninaomba roho ya ufanisi kutoka kwako Mungu wangu ninakabidhi watoto wangu wote na wajuku wangu mikononi mwako uwalinde nimewafinika na damuyako wherever they are masomo yao iwe mikononi mwako uwabariki na roho ya ufanisi wakuwe vichuwa wala si mikiya alama mzuri EXCIDING EXPECTATION AAAA in Jesu name
Mungu wai madhabau Naomba wanapo pigana namimi kwa biashara bigana nao mganga mchawi wasione biashara yangu na kibanda yangu mganga mchawi wasinione na wasione watoto wangu angel bianca Chris wasione familiar yangu kila mikosi mbaya zingolewe tufunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu wai madhabau Naomba kufunguliwa kila roho isiyo ilio ndani yangu kuota ndoto mbaya za manyoka paka mbwa kuota watu walio kufa kuota majeneza ya watoto kukimbizwa kwa ndoto nifunga biashara siuzi kila roho isiyo Yako ilio ndani yangu na ka biashara yangu Ikamatwe zingolewe uhai zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu naomba kupitia kwa sacrifice yangu bariki biashara yangu niiletee wateja fungua hii kazi ijitengemee ilipe rent na stock na nipate profit mungu mpesa yangu isiwahi fungwa ijmn Amen
Mungu wai madhabau Naomba kufunguliwa kila maroho yanayo funga biashara na kibanda yangu yakamatwe yangole uhai yapigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen mungu wai madhabau Linda kibanda yangu waganga wachawi madui wasinione amen mungu wai madhabau ulie ndani ya past Ezekiel Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu wai madhabau ulie ndani ya past Ezekiel na past Sarah Naomba kufunguliwa pamoja na familiar yangu ifunguliwe watoto wangu angel bianca Chris tufunguliwe ndoto mbaya za kukimbizwa na manyoka kuota majeneza ya watoto maden umasikin talaka mupango wakando kila roho isiyo Yako zingolewe ndani yetu tufunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo tufunguliwe amen
Mungu wai madhabau kila roho isiyo yndani ya nyumba yangu kunguni mende zinazo leta mikosi magojwa umasikin maden talaka mauti kilaroho isiyoyako ndani ya nyumba yangu zingolewe ndani ya nyumba yangu zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo nyumba yangu ifunguliwe shetani ashndwe amen
Plant me permanently in your Kingdom Help me understand how to operate in your Kingdom Give me the Spirit of Maturity. Give me inheritance in this your Kingdom.
Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu chri afunguliwe kila roho inayo mkamata kumchelewesha kuongea na homa kikohozi kila maroho na mikosi ilio mkamata isiyoyako zingole ndani yake zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo Chris afunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen mungu wai madhabau
Mungu Kupitia Nguvu Ya Maombi Ya Mtumishi Wako Nakuomba Mungu Watoto Wangu Wakafunguliwe Kwenye Masomo Wakawe Vichwa Si Mkia Na Zaidi Waishi Uweponi Make Kwa Jina La Yesu Amen
Amina baba yangu mpendwa naomba unisaidie kuniombea tafadhari biashara maana nimekaa tu Sina wateja msako wadamu yayesu wamoto upite kwanye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara msako wadamu yayesu wamoto upite kwenye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu nipate wateja wengi napesa nyingi nyota yangu ingare kimataifa biashara ndoa
Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu bianca afunguliwe kila maroho yanayo mtesa ya kutafuna meno kwa usingizi masikio kufunga na mikosi kilaroho isiyoyako zikamatwe zipokonywe uhai wai zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo bianca afunguliwe katika jina la yesu Kristo afunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen
Nilihusika week moja tu nikashndwa kuendelea juu nakaa na watu wengine kwa nyumba na n bedsix tu so kupata nafasi na wakati wa kuomba ilikuwa shnda tu 😢 Mungu nipee nyumba ya maana aki hili lisije likajirudie tena😢
Nifanye hata mmoja wa wajakazi wako Bwana Mungu wangu kwa madhibau yako Baba ndilo nakuomba natamani ili nikutumikie. Niko hapa jinsi nilivyo unifanye wa dhamana in Jesus Christ Mighty name 🙌I receive the blessings 40 times and I tend above only in Jesus Mighty name. Ministry Star 🌟 locate me in this 40 date in Jesus Christ Mighty Name Amen
Just wanted a revelation on my dream l dreamt that everyone one from where l stay had no water and l gave them my even the richest came to fetch from me then l saw a huge man on the road he looked like a giant he was wonded so l lifted him up and helped him to his home.another day l dreamt that my home pastor sent me in the mountains l went to one that was very tall and had a head like a bottle l took something that looked like hair or a head but was producing water then instead of me taking it to my pastor l hid it and my pastor knelt on his knees and said l am more powerful than l think with that head so l should be very careful.please help me understand this
LORD PLEASE VISIT MY LIFE. HOW I DESIRE YOUR POWER YOUR BLESSINGS OOH LORD LET YOUR KINGDOM COME LET MY TESTIMONY LOCATE ME. I PRAY THAT I SHOULD SERVE YOU IN SPIRIT AND TRUTH. REALIGN ME OOH FATHER THANK YOU FOR ALL YOU HAVE DONE TO MY LIFE SINCE BORN. ALMIGHTY GOD SHOW ME THEE WAYS
Baba yangu kwa hii sadaka yangu funguaaisha yangu pamoja na uzao wangu,unitendee Jambo ,shangaza maadui wote babaa ,nianze Maisha mapya na biashara yangu inawiri in jesus name
God forgive me my sins I have upon you, nipkee EE Yesu wangu nanyenyekea mbele zako Kwa hii 40days prayer and fasting unipe tamanio la Moyo wangu in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaamen
Mungu wai madhabau Kuna Shamba yenye ikona vibanda zenye watu wamer rendisha iyo shamba Ina uzwa milioni kumi mungu wai madhabau Naomba kupitia wa maji na mchanga nilio mwaga kwaiyo kibanda Kutoka kwai madhabau na dai hi shamba niyangu ninunue hi madhabau ya past Ezekiel na past Sarah mungu ulie ndani Yao nfunguliwe nipate roho ya ufanisi ninunue hi shamba sijuwi pesa itatoka wapi Bali najuwa mungu wai madhabau achezi ni mungu waukweli Naomba anze nasi sikuyaleo anipe roho ya ufanisi chochote ninacho guza kifanikiwe watoto wangu angel bianca Chris apate nyota zao wafanikiwe kwa kila jambo Wacha Leo ikuwe zaidi ya Jana amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
LORD I REPENT I DIDN'T MADE IT UPTO 40 DAYS ATTENDING THE SERVICE AND FASTING AND PRAYING BUT OOH LORD GOD I PRAY THAT YOU PROVIDE FOR ME A WIFI IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME THAT I WILL NEVER MISS THE LIVE SERVICE ANY OTHER TIME. BABA INAWEZKANA NIPATANISHE NA HAYA MADHIBAU NA MTUMISHI WAKO NIKUTUMIKIE 🙏🏼 AMEN
Shukurani baba was online for watching you special service fasting and prayer so that I get something I was praying irecieve through these alter test mommy irecieve I can't give up
LORD GOD USE ME. I GIVE YOU MY LIFE AS A LIVING SACRIFICE. UPLIFT ME IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME 🙏🏼 TEACH ME HOW TO FAST HOW TO PRAY HOW TO KEEP A WATCH AND PRAY. HOW TO SERVE HOW TO MINISTER HOW TO OBEY HOW TO MOVE I REALLY DESIRE YOU JESUS.
Mungu kupitia hii sadaka naomba ulizi wako uwe nasi kila roho chafu y kukamata mimba kukamata mume wangu kila vifo zote z ngiza zikamatwe n nguvu z Mungu n Jesus name amen

Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu angel afunguliwe amerudi nyuma kwa masomo watoto kumpiga vita shuleni mikosi mbele yake kila maroho yalio mkamata yasiyo Yako yakamatwe yapokonywe uhai yangole ndani yake yapigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo afunguliwe wanapo pigana naye pigana nao afunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen

Yesu nipe nyota ya nyimbo za kuabudu na pokea roho wa bwana kwa madhabahu haya nibariki yesu tawala maisha yangu yote in Jesus name amina
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote anaye niwinda ndani ya hii nyumba apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo usiku wa leo
Mungu wangu Baba yangu ninakuomba uni funguliye mamilango ya baraka ya biyashara yangu ninaomba roho ya ufanisi kutoka kwako Mungu wangu ninakabidhi watoto wangu wote na wajuku wangu mikononi mwako uwalinde nimewafinika na damuyako wherever they are masomo yao iwe mikononi mwako uwabariki na roho ya ufanisi wakuwe vichuwa wala si mikiya alama mzuri EXCIDING EXPECTATION AAAA in Jesu name
Mungu wai madhabau Naomba wanapo pigana namimi kwa biashara bigana nao mganga mchawi wasione biashara yangu na kibanda yangu mganga mchawi wasinione na wasione watoto wangu angel bianca Chris wasione familiar yangu kila mikosi mbaya zingolewe tufunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu wai madhabau Naomba kufunguliwa kila roho isiyo ilio ndani yangu kuota ndoto mbaya za manyoka paka mbwa kuota watu walio kufa kuota majeneza ya watoto kukimbizwa kwa ndoto nifunga biashara siuzi kila roho isiyo Yako ilio ndani yangu na ka biashara yangu Ikamatwe zingolewe uhai zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu naomba kupitia kwa sacrifice yangu bariki biashara yangu niiletee wateja fungua hii kazi ijitengemee ilipe rent na stock na nipate profit mungu mpesa yangu isiwahi fungwa ijmn Amen
Mungu wai madhabau Naomba kufunguliwa kila maroho yanayo funga biashara na kibanda yangu yakamatwe yangole uhai yapigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen mungu wai madhabau Linda kibanda yangu waganga wachawi madui wasinione amen mungu wai madhabau ulie ndani ya past Ezekiel Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
i receive chochote naguza kimebarikiwa napokea ulizi na baraka wazazi kiroho wabarikiwe huduma juu wahindi wazungu weusi amen👏🏿 @NewLifeTVKE
Nakemea kila roho ambayo si yangu pamoja na familia yangu through this higher altar in Jesus name
Mungu wai madhabau ulie ndani ya past Ezekiel na past Sarah Naomba kufunguliwa pamoja na familiar yangu ifunguliwe watoto wangu angel bianca Chris tufunguliwe ndoto mbaya za kukimbizwa na manyoka kuota majeneza ya watoto maden umasikin talaka mupango wakando kila roho isiyo Yako zingolewe ndani yetu tufunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo tufunguliwe amen
Mungu wai madhabau kila roho isiyo yndani ya nyumba yangu kunguni mende zinazo leta mikosi magojwa umasikin maden talaka mauti kilaroho isiyoyako ndani ya nyumba yangu zingolewe ndani ya nyumba yangu zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo nyumba yangu ifunguliwe shetani ashndwe amen
Plant me permanently in your Kingdom Help me understand how to operate in your Kingdom Give me the Spirit of Maturity. Give me inheritance in this your Kingdom.
Yesu Kristo amuondelee dadangu Margaret Maleche roho ya mauti, na pia ulinzi wa uzao la tumbo langu - kupitia Newlife alter, Amen.
Naomba mungu umuondolee kakangu kifua na kichwa.kila nchawi anaemsumbua aangamie mwenywe
mshahara wangu uongezwe kesho🙏🙏🙏in jesus name
Naomba baraka zetu ziwachiiwe kupitia sadaka y siku y leo..na mtu ambaye ananena maovu juu yangu n nyumba yangu back too the send n Jesus name amen
Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu chri afunguliwe kila roho inayo mkamata kumchelewesha kuongea na homa kikohozi kila maroho na mikosi ilio mkamata isiyoyako zingole ndani yake zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo Chris afunguliwe shetani ashndwe katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen mungu wai madhabau
Mungu Kupitia Nguvu Ya Maombi Ya Mtumishi Wako Nakuomba Mungu Watoto Wangu Wakafunguliwe Kwenye Masomo Wakawe Vichwa Si Mkia Na Zaidi Waishi Uweponi Make Kwa Jina La Yesu Amen
Amina baba yangu mpendwa naomba unisaidie kuniombea tafadhari biashara maana nimekaa tu Sina wateja msako wadamu yayesu wamoto upite kwanye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara msako wadamu yayesu wamoto upite kwenye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu nipate wateja wengi napesa nyingi nyota yangu ingare kimataifa biashara ndoa
Rita nakemea roho ya makelele ndani ya hii nyumba ishindwe katika jina la yesu kristo amen
Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu bianca afunguliwe kila maroho yanayo mtesa ya kutafuna meno kwa usingizi masikio kufunga na mikosi kilaroho isiyoyako zikamatwe zipokonywe uhai wai zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo bianca afunguliwe katika jina la yesu Kristo afunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen
Ee Mungu unisaidie,umponye kaka yangu umuondolee maroho ya kichawi in Jesus name amen
Nilihusika week moja tu nikashndwa kuendelea juu nakaa na watu wengine kwa nyumba na n bedsix tu so kupata nafasi na wakati wa kuomba ilikuwa shnda tu 😢 Mungu nipee nyumba ya maana aki hili lisije likajirudie tena😢
Amen yesu nahomba nisitoke kwa jia yako nifunuliye uwepo wako nikaye ndani mwako
Nimetoka sadak kwaajili ya ndoa nawatot mapacha kwakupitia madhabahu yangu MUNGU ukanitendee kwautukufu wajinalako katika jina la Yesu kristo Ameen
Nifanye hata mmoja wa wajakazi wako Bwana Mungu wangu kwa madhibau yako Baba ndilo nakuomba natamani ili nikutumikie. Niko hapa jinsi nilivyo unifanye wa dhamana in Jesus Christ Mighty name 🙌I receive the blessings 40 times and I tend above only in Jesus Mighty name. Ministry Star 🌟 locate me in this 40 date in Jesus Christ Mighty Name Amen
Just wanted a revelation on my dream l dreamt that everyone one from where l stay had no water and l gave them my even the richest came to fetch from me then l saw a huge man on the road he looked like a giant he was wonded so l lifted him up and helped him to his home.another day l dreamt that my home pastor sent me in the mountains l went to one that was very tall and had a head like a bottle l took something that looked like hair or a head but was producing water then instead of me taking it to my pastor l hid it and my pastor knelt on his knees and said l am more powerful than l think with that head so l should be very careful.please help me understand this
Rita watoto wangu nawafunika na damu ya yesu kristo usiku wa leo kwa jina la yesu kristo amen
LORD PLEASE VISIT MY LIFE. HOW I DESIRE YOUR POWER YOUR BLESSINGS OOH LORD LET YOUR KINGDOM COME LET MY TESTIMONY LOCATE ME. I PRAY THAT I SHOULD SERVE YOU IN SPIRIT AND TRUTH. REALIGN ME OOH FATHER THANK YOU FOR ALL YOU HAVE DONE TO MY LIFE SINCE BORN. ALMIGHTY GOD SHOW ME THEE WAYS
Baba yangu kwa hii sadaka yangu funguaaisha yangu pamoja na uzao wangu,unitendee Jambo ,shangaza maadui wote babaa ,nianze Maisha mapya na biashara yangu inawiri in jesus name
God forgive me my sins I have upon you, nipkee EE Yesu wangu nanyenyekea mbele zako Kwa hii 40days prayer and fasting unipe tamanio la Moyo wangu in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaamen
Iconnect all my family in this higher alter
Nibariki Mungu Na Mimi Nikapate Watoto Na Tena Ninamiaka 7 Sipati Mtoto Mimba Imeharibika Mara 2 Eehh Yesu Nisaidie
PASTOR SARAH , EV.EZEKIEL I need prayers for and children 🙏🙏🙏🙏🙏🙏I want to Bless me financially healing my SISTER FANISI pray for her too
Prayer request 🙏 to my cousin Trish mmbaya for her success in her high-school education that she may perform well in school
I believe in God. .intercede for my daughter Ruth Who's in ICU for break through.from mt. Elgon
Through my sacrifice Lord niondolee spiritual husband na unibariki na mtoto Amen 🙏🙏🙏
Yesu Nipe kibari siku moja nifike kenya 🇰🇪 sikuu moja
Rita mungu naomba unitetee kwa mikono ya maadui zangu kwa jina la yesu kristo amen
Mungu wai madhabau Kuna Shamba yenye ikona vibanda zenye watu wamer rendisha iyo shamba Ina uzwa milioni kumi mungu wai madhabau Naomba kupitia wa maji na mchanga nilio mwaga kwaiyo kibanda Kutoka kwai madhabau na dai hi shamba niyangu ninunue hi madhabau ya past Ezekiel na past Sarah mungu ulie ndani Yao nfunguliwe nipate roho ya ufanisi ninunue hi shamba sijuwi pesa itatoka wapi Bali najuwa mungu wai madhabau achezi ni mungu waukweli Naomba anze nasi sikuyaleo anipe roho ya ufanisi chochote ninacho guza kifanikiwe watoto wangu angel bianca Chris apate nyota zao wafanikiwe kwa kila jambo Wacha Leo ikuwe zaidi ya Jana amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo tufunguliwe shetani ashndwe amen
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau baba yangu apone mguu kwa jina la yesu kristo amen
Kupitia hii sadaka Mungu unisaidie na watoto wangu wapone na nyota yangu ingae na wachawi wafe wote wote
Nibariki na ndoa yagu kupitia kwa hii madhabahu
Madhabau ya wachawi chomeka I declare in the name of Jesus Christ
Roho ya maombi iingie ya kuweza kuomba zaidi ya lisaa iingie ndani yangu kwajina la yesu
Mungu nikumbuke nimekua mtoto mpotevu niondolee roho wa kiburi na fikira potovu
I recieve my healing ..amen
Huu mwezi nataka ukanitetee Jambo yesu wangu
Damu ya yesu ikawafunike watoto wangu shuleni , wakapate alama A
LORD I REPENT I DIDN'T MADE IT UPTO 40 DAYS ATTENDING THE SERVICE AND FASTING AND PRAYING BUT OOH LORD GOD I PRAY THAT YOU PROVIDE FOR ME A WIFI IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME THAT I WILL NEVER MISS THE LIVE SERVICE ANY OTHER TIME. BABA INAWEZKANA NIPATANISHE NA HAYA MADHIBAU NA MTUMISHI WAKO NIKUTUMIKIE 🙏🏼 AMEN
Shukurani baba was online for watching you special service fasting and prayer so that I get something I was praying irecieve through these alter test mommy irecieve I can't give up
I receive it might Jesus
Baba Mungu nipe kibali cha uombezi
Naomba tu mungu aniponye nami siku moja niwe na hushuhuda
Baba wa hii matibau najua unatenda yesu nitendee
Mungu kupitia kwa tilth yangu bariki biashara yangu
Nijase na roho ya maombi munguwangu
Mungu nikumbuke nioleke huu mwaka
Roho ya mauti kwa familia yangu itoweke kwa jina la yesu
Ninaomba mungu kile alichoweka kwa pastor Sarah aweke ndani yangu leo.
Baba ww wanijua vyema Nena neno moja kwa maisha yangu yesu
Naomba umkumbuke mtoto wangu mwenye ugonjwa wa mifupa Leo iwe mwisho wa mateso
THANKY GOD 🙏
Amen hata mchawi wetu afel leo
Naomba unikumbuke na baraka za watoto
My Alter sacrifice this morning nipate pesa through higher Alter niende church Mesa ya bwanaa
Ninaomba madhabau ya nibariki mapema huu mwaka nichengee wazazi wangu.
LORD GOD USE ME. I GIVE YOU MY LIFE AS A LIVING SACRIFICE. UPLIFT ME IN JESUS CHRIST MIGHTY NAME 🙏🏼 TEACH ME HOW TO FAST HOW TO PRAY HOW TO KEEP A WATCH AND PRAY. HOW TO SERVE HOW TO MINISTER HOW TO OBEY HOW TO MOVE I REALLY DESIRE YOU JESUS.
Prayer request for my daughter Trish mmbaya nyota yake ya masomo ikaweze kung'aa akaweze kupita mtihani wake wa chuo cha pili
MUNGU naomba uniongoze safarini.nifungulie njia as kazi
Magonjwa yote yalio ndani yetuyayayuke kwa jina la yesu
Rita nakemea roho ya mauti ishindwe katika jina la yesu kristo
Mungu mm nikumbuke tu nipate ndoa yngu
Roho ya pastor Sarah iingie kwangu leo.
Naomba NAMI bwana niuponywe kwa magonjwa Yako katika mwili
Mungu ninaomba uniondolee Kiza leo,chochote ambacho wananipangia kibaya unionyeshe mapema na uniondolee.
Amen 🙏
Ameen pastor Sarah
My Àlter sacrifice nipate pesa niende church Mesa ya bwanaa
Wachawi waganga wakufeee woteeeee
Rita wachawi na wanganga wanaoingia kwa hii nyumba wapingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo usiku wa leo kwa jina la yesu kristo
Naomba kupokea my promotion yangu Kwa kazi , hii week kuazia Leo ..niweze kwenda training cpl course.🙏🙏🙏my Lord Jesus 🙏🙏 Amen.
AMEN
Ndoto mbaya kemea bwana nyumba yangu ipone na mume wangu naomba apone
Rita nakemea mipango yote ya siri na mitengo yote ya kila aina ndani ya hii nyumba ipingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo usiku wa leo
Amen
Familia yote ya Babu mwalayo kuanzia kizazi cha kwanza Hadi cha Saba ulinzi wa moto ya damu ya yesu ituwe ndanini mwetu
Nahitaji kufika meza ya bwana ya 4/2/25 sijui nafikaje Kenya Niko Tanzania dodoma
amen
My shop to have customers
Nipokee fedha nilipe deni
i received
Andrine Angelica wapone na nyota yao ingae kama jua na roho ya mauti kemea bwana na wachawi wafe wote wenye wanaotutesa
Mungu kupitia hii sadaka naomba ulizi wako uwe nasi kila roho chafu y kukamata mimba kukamata mume wangu kila vifo zote z ngiza zikamatwe n nguvu z Mungu n Jesus name amen
Wachawi wafe wanitangulie
Business,job,shamba,gari I receive it might Jesus
Mungu wai madhabau kila roho isiyo yndani ya nyumba yangu kunguni mende zinazo leta mikosi magojwa umasikin maden talaka mauti kilaroho isiyoyako ndani ya nyumba yangu zingolewe ndani ya nyumba yangu zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo nyumba yangu ifunguliwe shetani ashndwe amen
Mungu wai madhabau Naomba mtoto wangu bianca afunguliwe kila maroho yanayo mtesa ya kutafuna meno kwa usingizi masikio kufunga na mikosi kilaroho isiyoyako zikamatwe zipokonywe uhai wai zipigwe na radi yamoto wadamu ya yesu Kristo bianca afunguliwe katika jina la yesu Kristo afunguliwe shetani ashndwe amen Anza nasi sikuyaleo katika jina la yesu Kristo afunguliwe amen
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote aliye chukuwa kiatu ya kirwa apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo usiku wa leo