Khaibaria-Official audio kasida iliyotikisa mwaka 2004

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 3 роки тому +2

    Maashaallah naikumbuka zaman sana Enzi hizo 2005 nipo madrasa daah...kwa kweli kipindi hicho hakukua na CD zaidi Tape cassette...Allah awarehem waliotangulia mbele ya haki na awasamehe makosa yao na Sisi atuongoze Katika njia ilio nyooka inshaaallah

  • @sultanpakia9375
    @sultanpakia9375 4 роки тому +3

    MashaAllah...Full support from MSA - Kenya and we love you so much our brothers.

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому

      Asante brother

    • @sultanpakia9375
      @sultanpakia9375 4 роки тому

      @@jumafaki1697 karibu Sana brother.. inshaAllah tuombe kheri tutawasiliana vizuri karibu

  • @khamisshehe8634
    @khamisshehe8634 4 роки тому +1

    Ma Sha Allah Izi QASWIDA za zamani hakuna mbaya kila moja inamshinda mwenzake

  • @rahmakhamis3300
    @rahmakhamis3300 4 роки тому

    Mashaa ALLAH Juma Faki ALLAH Akulipe Kila LA Kheyr

  • @AliKimeshu-e3g
    @AliKimeshu-e3g 18 днів тому

    Ulikuwa mwaka wangu wa kuzaliwa 😢😢

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 роки тому +3

    😁😁ya zaman sana

  • @alikombohassan3961
    @alikombohassan3961 4 роки тому

    rabbi tusitiri sisi isilama nuru ya rasuli iangaze vyemaaa...

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 4 роки тому

    Waoo....hiii kali sanaaa maashaallah

  • @alyjumafaki2997
    @alyjumafaki2997 4 роки тому

    MASHA ALLAH QADIRIA IPO VZR NA KWA UWEZO WA ALLAH ITAZD KUGHAA INSHA ALLAH

  • @binahmed9047
    @binahmed9047 4 роки тому

    Mashaallah Allah akuengezee kipaji chako brother

  • @allysaharifsaidi7563
    @allysaharifsaidi7563 4 роки тому +1

    Warbi tusitiri tusitiri sisi isilama nuru ya rasuli ingaze vyema mpk mwisho hii naijuwa

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 10 місяців тому

    Lazma nitoe chozi nkisklza hii mana hutaka sku zirudi nyuma ila ndio haiwezkani 😢😢

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 4 роки тому +1

    Za Ramadhan ile album ya 2011 shahr-ramadan ustadh endelea kuztuma

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому +1

      Tunakwenda kwa hatua zote nitazituma

  • @sahimtourstravel2156
    @sahimtourstravel2156 3 роки тому

    Naomba kaswida ya pekeake chumwa ya Juma faki kasida ya kwanza kusoma qadiria

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 роки тому

    Mashallah×3 Allah barki Ramadhan kareem all

  • @salumbadalu3456
    @salumbadalu3456 3 роки тому

    Zmepita zama kutoa kaswida kwa albam na kila albam htr hngrn wana AQAZ

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 3 роки тому

    Ust Juma tunaomba utuwekee Qaswida ya Jabal Swifa na Qadiria

  • @jumahalimu3590
    @jumahalimu3590 Рік тому

    MA SHAA ALLAH

  • @sabrialharthy7090
    @sabrialharthy7090 3 роки тому

    Mashaallah Qaddiria

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому

    Sasahivi hamna qaswida mnasherehe za maharusitu tu mambo ya kumsifu Mtume na kumtukuza hakuna tena

  • @abeidmussasuleiman5693
    @abeidmussasuleiman5693 4 роки тому

    Maalim juma ktk hizi za zamani ww ulisoma kaswida ipi.

  • @yuualab5777
    @yuualab5777 4 роки тому

    Juma naisbr yako mkal wa kasda tanzania nzima

  • @abdulswamad9870
    @abdulswamad9870 3 роки тому

    Iweke kasida ya PEKEE YAKE TUMWA

    • @abdulswamad9870
      @abdulswamad9870 3 роки тому

      Yaan boss naikubali sana ile kasida naiomba maana nishaidownload sana siipati

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 роки тому

      Sawa nitaiweka Kaka usjali

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 Рік тому

  • @khalfansaid9402
    @khalfansaid9402 4 роки тому +1

    Hii qaswida kasoma nani na nani?

  • @khamisshehe8634
    @khamisshehe8634 4 роки тому +1

    Ust Juma niekee ya zamzama +97431124903