WAZO lilikuwa ni kurudiana. But shida za ndugu zake zilinishinda. ''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2024
  • Malkia wa Nasaha & Mhamasishaji '' motivator'' SABRA MACHANO afunguka kuhusu ndoa zake zote na sababu zilizo mfanya asitamani tena kuolewa baada ya kukaa Miezi 10 tu kwenye ndoa yake ya pili.
    English translated:
    Queen of Advice & Motivator SABRA MACHANO opens up about all her marriages and the reasons why she's no longer want to get married after spending only 10 months in her second marriage.
    Aliyekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa mfuko wa jamii wa Zanzibar - ZSSF (Zanzibar Social Security Fund) Sabra Issa Salim Machano afunguka kuhusu ndoa ya miezi kumi tu.
    English translated:
    The former Managing Director of the Zanzibar Social Security Fund - ZSSF (Zanzibar Social Security Fund) Sabra Issa Salim Machano opens up about the marriage that lasted only ten months.
    NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON Epsd 064 Clips "SABRA MACHANO"
    ''NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON - Epsd 064 - ''NDOA'' Aired on Cloudstv on 03 February 2024.
    Producer: Sakina Lyoka. @sakinalyoka_
    Camera: Juma Katunda @jumakatunda
    Editor: Junior Syaary @Juniorsyaary
    Tazama Kipindi cha NG'ARING'ARI Clouds Tv kila Siku ya JUMAMOSI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).
    Marudio: Jumapili saa 11 Jioni (05:00pm) & Jumatano saa 7 Mchana (01:00pm).
    Angalia Cloudstv kupitia:
    ⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497
    #sabramachano #ndoa #ngaringari

КОМЕНТАРІ • 4

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 5 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 4 місяці тому +1

    😢❤swaum njema jaman nakupendaje

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 5 місяців тому +1

    Masha allah swty wowooo jaman nipena namba yako jaman.nakupenda ee masha allah

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 4 місяці тому +1

    Unataka kuolewa tena nje na ndoa hiyo