Sheikh Dedes wa Twariiqa YA QAADIRIYAH ABAINISHA UKWELI Kuhusu Swaum Ya 'Arafah

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @AbdillahisaidSuleiman
    @AbdillahisaidSuleiman Рік тому

    Mashaallah

  • @kakekofarniture.5375
    @kakekofarniture.5375 2 роки тому

    Barakallah fiih

  • @sadikisemwali4516
    @sadikisemwali4516 2 роки тому

    Aamiyn sheikh umejivua katika dhimma maana umebainisha ukwele Allah atuongeze

  • @jumaevarist9103
    @jumaevarist9103 2 роки тому

    Shukran shekh dedes tumekuelewa

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 роки тому

    Alla akupe umri na afya sheikh Dedes kuisema hakki sio jambo rahis

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 роки тому

    Hijja ni pahala pamoja kwa mahujaji sio wafungaji

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 2 роки тому +1

    Aaaaaaa sisi hatukufuati watakufuata wanafunzi wako tu

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 2 роки тому +1

    Hahahha maelezo hayana adabu ya ikhtilafuuu nisamehe mzee

  • @zakariasuleiman4113
    @zakariasuleiman4113 2 роки тому +2

    Huyu mwanzo sio mtu wa twarika Hilo la kwanza Mana tafsiri tu ubwaaa then mwamshabihisha na twarika ayumo pmoja na utafiti wake Mana kiongozi wake kamtaja hapo eti Mohamed bachu na twamjua sie mtu wa twarika hhhhh urongo auna mahali kwenye dini

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 2 роки тому

      Humjui shekh dedes bora unyamaze. Huyo shekh wake ni shekh Muhammad Nassor bin Abdallah alqadiry

    • @alkhalilmussa5633
      @alkhalilmussa5633 2 роки тому

      Swsw haswaaaa

    • @zakariasuleiman4113
      @zakariasuleiman4113 2 роки тому

      Siye wa twarika ata mkilazimisha awemo siye

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 2 роки тому

    Nyinyi ni wanafiki wa kubwa.kwakua munawaambia wafuasi wenu wafunge siku watu watao simama Arafa lakin waswali majumbani mwao

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 2 роки тому

    Mtume amesema tufunge siku ya arafa sio siku watu wanasimama arafa, na siku ya arafa tunaipata baada ya muandamo wa mwezi wa dhulhijja tunahesabu mpk tarehe 9 dhulhijja ndio siku ya arafa, na na kila watu na muandamo wao, na imamu wa Makka anatangaza kisimamo cha arafa sio funga ya arafa.

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 2 роки тому

      Na ibada zote 2 zinategemea muandamo, haiwezekani Swaumu ya Ramadhani tufuate muandamo hlf swaumu ya arafa tufuate kisimamo, kisipokuwepo hicho kisimamo kw ajili ya dharura tunafanyaje?

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 2 роки тому

    Vp kwani serekali inawakataza watu kumuabudu Allah

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 2 роки тому

    Una tatizo la mafahimu sheikh kwahyo unataka kutuambia waliofunga huko zamni pia walikuwa wanakosea na walikuwa hawalipwi c ndio?

    • @faridithomas4859
      @faridithomas4859 2 роки тому

      umeelewa lakini alichosema sheikh lakini!??

    • @khamismwadini2169
      @khamismwadini2169 2 роки тому

      Wewekijana shekhewako kakuambia hiyo ndiyohaki km unaikubali sawa km huitaki iwache ,Allah humuongoza amtakaye

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 2 роки тому

      @@khamismwadini2169 huyo wala si maasum neno lake linaweza kurejeshwa pia kwanza anadai kafanya utafiti wa siku tatu ndo kajua hiloo duuuuh mm siingii kwenye jambo ila kwa dalili zeny kutosheleza ka sitok kwny jambo pia kwa dalili hajanipa dalili zenye kukinaisha kweny hilo

    • @damondhamonaizbadowangu4559
      @damondhamonaizbadowangu4559 2 роки тому

      @@abubakarhussein2186 cku ya arafa ni mwez tisa

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 роки тому

    Hamuaminiki nyie hata siku ukija huku utakuwa kama wajinga wenzio

  • @universitylink
    @universitylink 2 роки тому

    Mashaallah