ALITOA SACRIFICE YA 5 bob BWANAKE AKAWACHANA NA MPANGO WA KANDO // Pastor Ezekiel

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 149

  • @joycengugi4703
    @joycengugi4703 16 днів тому +1

    One thing I love about pastor Ezekiel is how he take time to understand these young people without judgement and also offer solutions.

  • @rwampororosamuel2329
    @rwampororosamuel2329 18 днів тому

    Gospel ya pastor nikusaidia watu kurudi kwa maisha Yao ya kawaida ...Imani inapande by just kuzungumza na pastor Ezekiel ❤
    This is so nice.people get improved in faith here.
    People also change from here,,,just after listening to the teaching of Ezekiel
    Be blessed pastor ❤

  • @WinfredLouis
    @WinfredLouis Місяць тому +1

    May this blessings and such kind of faith locate me

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому +2

    I connect many people who are following my life in jesus name with this higher alter in jesus name

  • @magdalenesyombua8085
    @magdalenesyombua8085 5 днів тому

    Mungu naomba unirudishe kwa ndoa yangu

  • @CelestineJoel-or6ch
    @CelestineJoel-or6ch 6 днів тому

    Bwana yesu. Kupitia haya madhabao. Naomba. Urejesho wa ndoa😢😢😢😢namiss mtoto wangu sana

  • @HylineOrwaru-fq3vv
    @HylineOrwaru-fq3vv 27 днів тому

    Amen hata Mimi nitarudi kwangu kwa jina la yesu mwenye Ako kwa ndoa yangu tuma moto atoke mbio pastor 👏👏👏👏👏

  • @janetkalu3870
    @janetkalu3870 8 днів тому

    Ushuhuda uu uwe wangu mwengine atoke nami nirudi kwangu in Jesus might name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
    Pia mm Janet nipigiwe simu Rama aniombe msamaha nirudi kwangu in Jesus might name Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @BrezyMary
    @BrezyMary Місяць тому +3

    Mungu n mwema,,, naomba nirudi kwa ndoa yangu awachane mipango za kando

  • @AnneSanau
    @AnneSanau 11 днів тому

    Mungu naomba leo uwe mwanzo wa maisha yangu nimewaza kuuwa mtoto wa miaka mbili ju ya huyo mwanaume mungu kuwa mwanzo sasa

  • @ClareNanjala-c5m
    @ClareNanjala-c5m Місяць тому +2

    Mungu n mzuri ata mm ndoa yangu iirudi katika jina layefu

  • @I.D.S-r7r
    @I.D.S-r7r 27 днів тому

    Amen and amen.hata mimi nimekosa ndoa miaka nyingi na sahizi nashukuru mungu nimepata mme ananioa na tunapendana sana.

  • @Macksonyuleyule-gp1zv
    @Macksonyuleyule-gp1zv 19 днів тому

    Mungu kwa madhabahu haya naomba ubariki mifugo yangu na nipate kazi nzuri

  • @helenmaina3789
    @helenmaina3789 11 днів тому

    Mungu ni kubuke ,ukikubuka wengine Amen

  • @HellenLuckier
    @HellenLuckier 18 днів тому

    Glory be to God forever and ever amen

    • @CarolineWanza-rl5qd
      @CarolineWanza-rl5qd 17 днів тому

      Mungu kama huyu alikombolewa juu ya hii kisirani ya imani pia mimi si unipe NDoa,ya Amani,fedha na nijengewe nyumba ya kifarahi na uasifinye damu yangu iwe nyeupe kaa bamba.leo von iueze yote naivas sokoni in jesus name😅

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому

    Thank you jesus am where I am because of this higher alter.amen

  • @levyobudho-r2n
    @levyobudho-r2n Місяць тому +2

    mungu nitendee na mimi

  • @sannywanja786
    @sannywanja786 Місяць тому +1

    what a blessed man of God

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому

    I connect my life with this higher alter in jesus name

  • @Imaclatethobias
    @Imaclatethobias 14 днів тому

    Napokea ndoa nzurii

  • @JanetSidi-o4i
    @JanetSidi-o4i 21 день тому

    Najiunganisha na hii madhabahu , Mimi na watoto wangu Kwa jina la yesu

  • @CarolineWanza-rl5qd
    @CarolineWanza-rl5qd 17 днів тому

    Lord of this alter,mwezi wa nane husifike kabla nipeanwe kwa heshima kwa mzungu tajiri na apende mtoi wangu zaidi

  • @Faithkasyoo
    @Faithkasyoo 21 день тому

    Mungu ata mimi nitendee nimalize mjengo kabla mwaka huu kuisha

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому

    I connect Sophias family with this higher alter in jesus name

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому

    I connect every person who is following my life /my family with this higher alter in jesus name

  • @Jacinta-ck3dt
    @Jacinta-ck3dt Місяць тому

    I connect my job with this higher alter in jesus name

  • @JanetSidi-o4i
    @JanetSidi-o4i 21 день тому

    Nachukua hio ndoa ya heshima Kwa jina la yesu

  • @JanefferGikuma
    @JanefferGikuma 20 днів тому

    Naomba nyota ya masomo kwa watoto wangu na wafanikiwe maishani and no weapon fashioned against them shall prosper in the name of Jesus Christ of Nazareth

  • @Imaclatethobias
    @Imaclatethobias 14 днів тому

    Mungu naomba kabla ya pasaka unijib maombi yangu yotee🙏🙏🙏🙏

  • @EmillyOdhiambo-zh5zt
    @EmillyOdhiambo-zh5zt 24 дні тому

    Mungu sababisha Sera awache mume wangu pia Mimi,, msababisha Sera anipigie simu aniombee msamaha kupitia sacrifice no 5

  • @Imaclatethobias
    @Imaclatethobias Місяць тому +1

    Mungu naomba ndoa nzur

  • @AgnesMaroa
    @AgnesMaroa 16 днів тому

    Mungu nikumbuke jinzi ulivyo kumbuka huyu dada

  • @MaulidKalinga
    @MaulidKalinga 28 днів тому

    mungu mwema pasta naomba uniombee nikuwe namoyo wakuomba

  • @MarionKadzo
    @MarionKadzo 12 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @LucyKathoni-e3t
    @LucyKathoni-e3t 25 днів тому

    Kupitia sadaka yangu Mungu nitendee siku ya leo

  • @AgnesMaroa
    @AgnesMaroa 16 днів тому

    Kupitia madhabau haya pastor anisaidie sina ndoa bwanangu aliowa na akanikataa na akanifukuza, Nina watoto 5 akajukua 2 akanifikuza na watoto 3 naomba mungu amuondoe Jane aliyefanya ndoa yangu azambaratike aondoke kwa jina la yesu na mume wangu anirudie

  • @JudeOdere
    @JudeOdere 18 днів тому

    Naomba kazi, maana imeisha juu ya uchawi kwa familia,nina jukumu kubwa juu ya ukombozi wa familia na mimi na watoto wangu

  • @Favoured-k8l
    @Favoured-k8l Місяць тому

    Im connecting my job with this alter after 2 week i will come to also give testimony

  • @VincentOtunga-pt5lv
    @VincentOtunga-pt5lv 22 дні тому

    Baba nitendee Leo

  • @ChristineKasandi
    @ChristineKasandi Місяць тому +2

    Mungu unitendee hata mimi jinsi huyo Dada ametendewa

  • @JuliusWere-cq8dp
    @JuliusWere-cq8dp Місяць тому

    Hata mimi mwaka ukianza mungu uwe na mimi ,pia watoto wangu wawe sawa

  • @MichaelMichael-qf7jv
    @MichaelMichael-qf7jv 23 дні тому

    Mungu nisaidie nijaze machine leo

  • @VincentOtunga-pt5lv
    @VincentOtunga-pt5lv 22 дні тому +3

    Bwana, yesu kupitia hii altar ninaomba nipate dereva mzuri kesho WA gari yangu iingie kazi bila kukosa in Jesus name

  • @CarolineWanza-rl5qd
    @CarolineWanza-rl5qd 18 днів тому

    That day I was live to this service,huyo God aliguza mzee yako naomba atembee baba ya mtoi wangu na Aache kiburi na alipie mtoto yake school fees tena saa hizi ,I'm giving up

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita amen amen hata mm napokea ndoa yangu ya kwanza kwa jina la yesu kristo amen

  • @jamfier9115
    @jamfier9115 Місяць тому

    I connect my self and family in Jesus name God please i need a promotion in Jesus name

  • @KangitaMweene
    @KangitaMweene Місяць тому

    mungu ufanya kaz ivo

  • @rhodatarus6104
    @rhodatarus6104 Місяць тому

    Mungu pandilisha mbwana yangu

  • @liliankwamboka273
    @liliankwamboka273 Місяць тому

    Ameeeen pokea yangu pia kwa Jina la yesu amen

  • @JanefferGikuma
    @JanefferGikuma 20 днів тому

    No premature deaths in both kamau and Gikuma families in the name of Jesus Christ of Nazareth

  • @Jacinta-ck3dt
    @Jacinta-ck3dt Місяць тому

    Let my boss pay me in jesus name

  • @JanetSidi-o4i
    @JanetSidi-o4i 21 день тому

    Nachukua hio ndio Kwa jina la yesu

  • @marynafula7836
    @marynafula7836 Місяць тому +4

    N kama ukishika hii 🎤 ya new life unatoka kuwa ww mwenyewe unaanza kutoboa siri tu😅 imgn...

  • @HarrisonMunyao-w2d
    @HarrisonMunyao-w2d Місяць тому

    Bwana asifiwe paster niobee niwe na kwangu nijegee sush yangu

  • @estherwanja8124
    @estherwanja8124 18 днів тому

    Aki the things pastor Ezekiel hears😂

  • @aminanikwuzwe7864
    @aminanikwuzwe7864 Місяць тому +1

    Mungu ata mimi tenda kwangu

  • @MarkJuma-og1ku
    @MarkJuma-og1ku Місяць тому +1

    Ata mm Naomba Mwaka hujao Nikuwe Na Maisha Mwema

  • @JACOBOCHIENO-c3m
    @JACOBOCHIENO-c3m День тому

    How to calculate concrete Aggregates

  • @AnneSanau
    @AnneSanau 11 днів тому

    Mmm pia risper lyne anipigie simu na aniombe msamaha isaac mume wangu anipigie simu sasa

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia Місяць тому +1

    Hiii testimony imenifunza kitu🙏🙏🙏

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita aki mungu utusamehe

  • @GressKyusa
    @GressKyusa Місяць тому

    Mungu akubark pasta

  • @RepherAndeyo-gw8jc
    @RepherAndeyo-gw8jc Місяць тому +1

    mungu anibariki na ndoa ya heshima

  • @tianatamar3961
    @tianatamar3961 19 днів тому

    NaMi pia naomba nyota ya masono kwa mwanangu miracle namafanikio na no weaporn fashioned against her shall prosper in the name of Jesus Christ. Dhamah

  • @JosephineAwinja-n9l
    @JosephineAwinja-n9l 27 днів тому

    Amen 🙏 🙏

  • @mteulenyotamchana2623
    @mteulenyotamchana2623 Місяць тому

    Westing time . Preach the word of God

    • @MrLojilo
      @MrLojilo Місяць тому

      Ain't matters of marriage instructed in the Holy Bible?It seems you are a victim!

    • @choosenelizabeth9403
      @choosenelizabeth9403 Місяць тому

      What are you doing here? if you cant listen to other things

    • @bettywamae2000
      @bettywamae2000 Місяць тому +1

      😂😂😂

  • @EstherKamau-c2q
    @EstherKamau-c2q Місяць тому

    Pastor naomba mungu abadilishie mume wangu ama aniodolee yeye nile watoto wangu sina mtoto na yeye

  • @JudeOdere
    @JudeOdere 18 днів тому

    Pastor, hata mimi nataka nikupe ushuhuda siku moja maana nitakuwa na amani moyoni mwangu, familia itakuwa imepona kabisa

  • @margaretrambei7764
    @margaretrambei7764 22 дні тому

    Protection of God is free, Jesus paid it all at the Calvary cross, what's 5bob?

  • @SilpaAwino
    @SilpaAwino Місяць тому

    Nampenda. Juu. Ya ukweli

  • @rosematasa
    @rosematasa Місяць тому

    Hata Mimi natka kumsaidia mpka go wa kando qwa ndoa yangu achilie bwana yangu

  • @richardkorir4234
    @richardkorir4234 Місяць тому

    Nimengojea niskie mhubiri akisema chenye anaambiwa na mungu sijaskia.

  • @pollinejakait
    @pollinejakait Місяць тому +1

    Haki hii ni story same na maisha yangu

  • @babianliza
    @babianliza 25 днів тому

    Mim naona huyu wa kwanza alikua wakumteza we kaa na huyu kaa hakupeleki vibaya

  • @edinascarion8379
    @edinascarion8379 Місяць тому

    Nilikuepo siku uyu dada anatoa ushuhuda

  • @Nennykhautu
    @Nennykhautu Місяць тому

    Hata mimi nirudi kwa ndoa yangu ya kwanzaaaaa!!

  • @BrezyMary
    @BrezyMary Місяць тому +1

    Pastor saidia

  • @MercyMoraa-ij3uu
    @MercyMoraa-ij3uu Місяць тому

    Pastor mm niko gulf nafanyiwa uchawi usiku na mchana natanani kufika Mombasa nipokee damu na mwili wa Yesu

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 Місяць тому

    Hatari sana

  • @AaAa-zo3yj
    @AaAa-zo3yj Місяць тому

    Rita amen amen

  • @EmilyNyachieo-b8c
    @EmilyNyachieo-b8c Місяць тому

    God help your people

  • @YvonneChepkurui-kg7bf
    @YvonneChepkurui-kg7bf Місяць тому

    Pastor nisaidie naumwa na apa karibu na matiti ndani nisaidie pastor kuniompea

  • @JonathanKilila
    @JonathanKilila Місяць тому +11

    Bona amwache bwana yule alimkumbatia wakati wa uchungu na yule wa kwanza alimwacha

    • @terrymachira254
      @terrymachira254 Місяць тому +1

      Kama husomi bibilia na Kufuata mafundisho huezi elewa

    • @davineosiemo176
      @davineosiemo176 Місяць тому

      Very complicated situation

    • @rebeccakhayasi6183
      @rebeccakhayasi6183 Місяць тому

      ​@@terrymachira254Obvious hajaelewa

    • @angeljoseph8103
      @angeljoseph8103 Місяць тому

      Kweli kwakuwa wakati wamachungu alimkubatia

    • @MrLojilo
      @MrLojilo Місяць тому

      Thats what the bible instructs from the beginning; Genesis 2:24 - Therefore shall a man leave his father and mother and shall cleave to wife and they shall be one flesh.Point one is the man leaving father and mother not a woman.Point two - there is cleaving.Cleaving means sticking - you dont stick two things and later separate them without causing damage to them.Point three - they become on flesh - sow how do you separate one flesh? Most of us have entered into marriage thinking marriage is a factory to make children and have sexual pleasure.Marriage is an institution which was started by God himself and has principles.In Mathew 19 Jesus speaking to the hypocritical Pharisees just like most of us about divorce said unto them;'19:8 - Moses because of the hardness of your hearts suffured you to put away your wives; but from the beginning it was not so. 19:9 - And I say unto you;whosoever shall put away his wife and shall marry another commits adultery and whoso marries her which is put away does commit adultery.So divorce is not allowed at all with or without witnesses because if we claim we are christians then Jesus teaches forgiveness because we are under the dispensation of grace and not the law.You see what happened in John chapter 8? The pharisees brought an adulterous woman before Jesus and claimed to have gotten her in the real act; but Jesus knowing their hypocrasy asked who among them had not sinned to be the first to throw a stone at the woman.The Bible says in John 8:9 that they were convicted of their own conscience and went out one by one beginning with the eldest to the youngest.

  • @EmmanuelHarrison-bd1rk
    @EmmanuelHarrison-bd1rk Місяць тому

    Amechanganyikiwa pastor Ezekiel huyo...

  • @EmilyMokaya-y9i
    @EmilyMokaya-y9i Місяць тому

    Kweli ufanyika mipango wakando utorewa kwa ndoa za watu.

  • @christinejohn7294
    @christinejohn7294 Місяць тому

    MUNGU NIRUDISHIE NDOA YANGU

  • @CarolineWanza-rl5qd
    @CarolineWanza-rl5qd 17 днів тому

    Leo wanaonipiga vita hapa kazini wakosane wenye kwa wenye adharani ,chochote wananitakia kiwarudie mara 7

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 Місяць тому

    Pasta hiyo kali hatari sana kweli thecommedy

  • @alfredusayo
    @alfredusayo Місяць тому

    Amen

  • @RhobinaOmondi-hr2eg
    @RhobinaOmondi-hr2eg Місяць тому

    emen

  • @bossraphael1247
    @bossraphael1247 Місяць тому

    Jambo pasta tumeona ufanya ishara yingi kwanini una tumiya kitambala chekunda kufunga watu

  • @SusanMwai-nz7lg
    @SusanMwai-nz7lg 22 дні тому

    Huyu ni kama amerukwa na hakili

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo Місяць тому +1

    Akili wachungaji wana sikianga mambo,aii

  • @Jacinta-ck3dt
    @Jacinta-ck3dt Місяць тому +1

    I connect my life with this higher alter in jesus name

  • @samwelnyamongo77
    @samwelnyamongo77 Місяць тому

    Kaa Kwa ndoa uko ndani

  • @josephinegagai
    @josephinegagai День тому

    Wee!!!!!! Hii n maajabu 🤔🤔🤔🤔

  • @MercyJeruto-p3c
    @MercyJeruto-p3c Місяць тому

    Nataka ndoa

  • @George-li6yu
    @George-li6yu Місяць тому

    28 years she is,
    First born is 14 years
    She got married at 28 years
    She got married without a kid🤔🤔

    • @beatricecherotich6792
      @beatricecherotich6792 28 днів тому

      She is 28yrs now she got married when she was 18 and her girl has 14

  • @SusanMwai-nz7lg
    @SusanMwai-nz7lg 22 дні тому

    Wakikuyu tulikosea wapi yawa😂

  • @wanjikuloisekifunja
    @wanjikuloisekifunja Місяць тому +4

    Niki toka gulf nitakuja huko kanisani