TAZAMA PAPAA MAFIDO ALIVYOLETA VURUGU WASAFI FM AKIDAI NAULI KURUDII ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 116

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 3 роки тому +5

    Papa mafido nimawenge mwanzo mwisho umetisha bbk

  • @raynaeafrica9464
    @raynaeafrica9464 3 роки тому +8

    Kama na wewe umeona geti limekanyagwa gonga like twende sawa😂😂😂

  • @huslamsafi9033
    @huslamsafi9033 3 роки тому +12

    Gonga like kwa papa mafido

  • @nicasinigo2528
    @nicasinigo2528 3 роки тому +6

    Wasafi arusha👏👏 tunakubalii kinomaaaa♥

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 3 роки тому +2

    Karibuni Arusha Wasafi fm
    Hii ni yetu sote...

  • @lyimoej7198
    @lyimoej7198 3 роки тому +1

    Daiwizzagga platingwakwax mbumeku papa mafiwizzagga apo andichi fasi ya ngwakwax wasawere asee

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 3 роки тому +24

    Aaaaaa muhasibu me simjuwi namtaka diamond platnade

  • @kelvinpatrick5305
    @kelvinpatrick5305 3 роки тому +1

    Tunashukuru sana asee maana Arusha mnatutengaga sana

  • @thabitilinolo740
    @thabitilinolo740 3 роки тому +2

    Nimekubali hili tangazo @Arusha ongeren bahan namaeneo mangine ambapo wasafi hipo sis kusin uku bado Tunaililia mapka tunaishia kulala tu eti ongern sn

  • @ndilanajunior
    @ndilanajunior 3 роки тому +19

    ubunifu mzuri wa kuwasha Arusha Wcb awafeli 🤣

    • @mrh2812
      @mrh2812 3 роки тому

      Kibonde pes🤣🤣🤣🤣

    • @ndilanajunior
      @ndilanajunior 3 роки тому +1

      @@mrh2812 😎 kajifunze pes nitakuuwa

  • @lucykanyopa5350
    @lucykanyopa5350 3 роки тому +1

    Daaaaah ndiyo maana ktk Biblia Mungu alisema, nitashindana na mwanadamu nilomuumba mpaka lini?

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 3 роки тому

    The boy have a talent,tumuache awe anachotaka.....

  • @simondotto1364
    @simondotto1364 3 роки тому +1

    Mating ting yangu hayaaa

  • @nicasinigo2528
    @nicasinigo2528 3 роки тому +2

    Kitu icho kimenuka wasafi fb chugaa✌✌

  • @Chugacomedyofficial
    @Chugacomedyofficial 3 роки тому +7

    🔥🔥🔥💥🔥🔥💥💥

  • @obagoabhiathan3565
    @obagoabhiathan3565 3 роки тому +7

    Diamond platnadee machalii wa R tunamtafuta😄

  • @kingmasio8148
    @kingmasio8148 3 роки тому +1

    Chuga penyewe aipo kwa hewa mnatuchosha tu na UA-cam alfu tcra ndo Ivo na online

  • @esamabrand8999
    @esamabrand8999 3 роки тому

    Kwani we ni diamond platinade.

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 2 роки тому

    💥💥💣💣😁😁😁

  • @rozinamassawe4083
    @rozinamassawe4083 3 роки тому +1

    Anafaaa kwa matangazo jamni

  • @alphonceskapu9416
    @alphonceskapu9416 3 роки тому +3

    Hahaha daaah kama mganga wakienyeji chuga man

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 3 роки тому

    Noma sanaaaaa

  • @selemankipoto5173
    @selemankipoto5173 3 роки тому +1

    Diamond Platnade

  • @charlessway8226
    @charlessway8226 3 роки тому

    Ime kaa poa sana kuigiza kitemi papaa una weza mzee

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 3 роки тому +3

    Chuga ni kwere😅😅😅

  • @sarahhamisi2070
    @sarahhamisi2070 3 роки тому +8

    😂😂😂😂platnade ?, jamais😂😂

  • @shadracknyese3307
    @shadracknyese3307 3 роки тому +3

    diamond nani vileeeeee

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 3 роки тому

    Hahaha mmetisha daah

  • @izackhaji4883
    @izackhaji4883 3 роки тому

    Woooozay Hakikaaa

  • @wilonjahaloni9858
    @wilonjahaloni9858 3 роки тому

    Dah

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 3 роки тому +1

    Baadae muwashe mwanza mnadema Wasafi mnafeli wap

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 3 роки тому +2

    Yaani mumepanga kilakitu mpaka camera mtu unawezaje kwenda ofisi zawatu na mlizi akakuachaupite ivyo kitemi bila kukuzua sio kweli msitupange

    • @emmanueljoseph6509
      @emmanueljoseph6509 3 роки тому

      Acha kutufokea....kama ulivyoelew ndo ivo

    • @mrizzy5424
      @mrizzy5424 3 роки тому

      Hilo ni tangazo we dada

    • @barakamatovu4277
      @barakamatovu4277 3 роки тому

      Mbona km uwezo wakufikiria mdogo? We huon km ni tangazo Hilo?

  • @juraybeeb
    @juraybeeb 3 роки тому

    Kweli ni noma 😁😁😁

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 3 роки тому

    Mafidoooooooooo

  • @brightonefred2301
    @brightonefred2301 3 роки тому

    nimshacorupt na mambo zangu

  • @hamzadasso5573
    @hamzadasso5573 3 роки тому

    Buddah ☆☆★ mzay analrleta kelele mob machalii Watundu Papa Mtu Mbadwise

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 3 роки тому

    Arusha Oyeeeeee

  • @YOBOYSADIO
    @YOBOYSADIO 3 роки тому +13

    Kwa wale wapenzi wanao penda kutazama the story hii ndio account mpya ya the story book video zitakuwa zina postiwa kila siku fanya kusubscribe ili usipitwe

  • @zainabujuma7252
    @zainabujuma7252 3 роки тому

    JUA KUHUSU UVIMBE KWENYE MFUKO WA UZAZI(fibroids)
    Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama uterine myoma au fibroid.
    Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Tatizo hili huwakumba wanawake wengi ambapo huwapata kwa asilimia tano wanawake wenye umri kati ya miaka 20 hadi 30, asilimia karibu 20 kwa wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 40, na zaidi ya asilimia 40 kwa wale wenye umri zaidi ya miaka 40.
    Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa MYOMA ni aina ya uvimbe unaowapata wanawake wengi hasa katika umri wa miaka ya uzazi. Hii inamaanisha kuwa kadiri umri unavyokuwa mkubwa mwanamke ana nafasi kubwa ya kupata ugonjwa huu, pia ni tatizo ambalo linashuhudiwa sana katika jamii kwa sasa na pengine ni kutokana na jinsi watu wanavyoishi.
    Kuna aina kuu 3 za fibroids, kwanza ni
    1.Uvimbe unaotokea kwenye tumbo la kizazi na unaweza kuwa ndani ya kizazi unaojulikana kama submucosal fibroids.
    2.uvimbe unaotokea ndani ya nyama ya kizazi yaani intramural fibroid,
    3. ni ule unaotokea nje kwenye ukuta wa kizazi ambao hujulikana kitaalamu kama subserosal fibroids.
    Uvimbe katika mfuko wa uzazi huwapata zaidi kina mama ambao wako katika umri wa kuweza kuzaa (reproductive age). Uvimbe huwa wa ukubwa tofauti huanza kwa mdogo na baadaye kuwa mkubwa sana na hata baadhi ya wakati mwanamke kuonekana kama ni mjamzito. Uvimbe huu unaweza kuwa mmoja lakini baadhi ya wakati hutokea uvimbe zaidi ya mmoja ambao hutanda katika mfuko wa uzazi.
    🙄Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa wanawake wa asili ya Kiafrika hupata zaidi tatizo hili kuliko wazungu.
    🙄Pia huwapata zaidi wanawake ambao hawajazaa kabisa au wamekaa muda mrefu bila ya kuzaa, wanawake wanene, na pia wale ambao wana ndugu wa karibu aliyepatwa na ugonjwa huu.
    🙄Wengine walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu wa fibroids ni pamoja na wale wanaopata hedhi mapema.
    NB:Inafaa kuelewa kuwa, fibroids sio kansa bali ni uvimbe wa kawaida tu ambao hukuwa kwa kutegemea kichocheo au hormone ya estrogen na ndio maana wakati wa kupata uvimbe huo ni kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi. Hata hivyo ingawa fibroids si saratani, lakini uvimbe wa aina hii umekuwa tishio kwa wanawake wengi duniani na kusababisha wengi wao kuondolewa vizazi.
    Pamoja na kuwa sababu kuu ya uvimbe katika kizazi haijajulikana, lakini zipo sababu ambazo zimehakikiwa kusababisha mwanamke kupata uvimbe wa fibroid
    Sababu inayopewa kipaumbele zaidi ni
    1.Wingi wa vichocheo vya estrogen ambavyo vipo katika miili ya wanawake na vichocheo hivi ndivyo hufanya kazi katika mwili wa mwanamke na kumsababishia kupata siku zake.
    Mara nyingi uvimbe huu huwa unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu ili kulinda makuzi ya mtoto. Unapaswa kujua kuwa, kwa watu waliofikia kikomo cha hedhi au menopause huwa hawapati fibroids na kama wakipata basi huwa na hatari ya kuwa kensa.
    Dalili za uvimbe katika kizazi
    Uvimbe katika kizazi cha mwanamke ukiwa mdogo unaweza usiwe na dalili zozote na dalili hutegemea sehemu ulipo kwenye mfuko wa uzazi na pia ukubwa wake. Hata hivyo dalili za ugonjwa huu mara nyingi ni
    1.kutokwa damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi ikiambatana na mabonge mabonge isivyo kawaida, au kutokwa damu isiyo ya kawaida katikati ya mwezi au hedhi zisizokuwa na mpango.
    2 Dalili nyingine ni kupata maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi, kutokana na ugonjwa kubana viungo vingine vya mwili (pressure symptoms). Wengi hupata maumiu makali ya tumbo, maumivu wakati wa tendo la ndoa, maumivu ya mgomgo na kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo.
    3.Dalili nyingi za fibroid ni pamoja na kutotunga mimba au mimba kuharibika na kutoka, na wakati mwingine ugumba.
    NB:Tatizo la uvimbe katika kizazi mara nyingi huambatana na maradhi mengine. Maradhi hayo ni kama,
    😎upungufu wa damu,
    😎kufunga choo,
    😎matatizo ya figo na mara chache huweza kuwa saratani.
    Pia uvimbe wa fibroid unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo,
    😣 mkojo kubaki kwenye kibofu, haja kuwa ngumu, miguu kuvimba na kupungukiwa damu.
    Uchunguzi
    Ni rahisi kwa mtaalamu kugundua ugonjwa huu au uvimbe katika mfuko wa uzazi kwa kumkagua, au kumpima mgojwa (bimanual examination). Daktari anaweza kuhisi uvimbe kwa kutumia mikono miwili anapokuwa ana pima tumbo, hata hivyo kipimo cha Ultrasound ya nyonga hutumika kugundua uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke. Kipimo cha MRI pia huweza kutumika kupata usahihi wa ukubwa na eneo uvimbe ulipo.
    MUHIMU:fibroids zinaweza kuzuia kupata mtoto kwa njia tofauti.
    □:kwanza kabisa uvimbe huu unapokuwa sana hukandamiza mirija ya kupitisha mayai kutoka kwenye ovari au sehemu mayai yanapotengenezwa.
    □Uvimbe huu pia unaweza kuzuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi hasa ikiwa ni submucosal fibroids. Pia hufanya mfuko wa kizazi ukaze na hivyo kushindwa kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
    MATIBABU
    Matibabu ya tatizo hili yanaweza kulenga kutibu dalili au kupunguza uvimbe. Hata hivyo kama ugonjwa huu hauna dalili unaweza kuwa ukifuatiliwa tu bila kuchukuliwa hatua zozote. Tunapaswa kujua kuwa, mwanamke anapokoma siku zake tatizo hili nalo hutoweka. Wanawake wengi wana fibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili huwa hawaendi hospitali na pengine hubainika pale wanapofanyiwa ultrasound. Lakini iwapo watabeba ujauzito uvimbe huu huongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka.
    Kwa ajili hiyo tunashauriwa kuwa na mazoea ya kufanya uchunguzi wa afya zetu mara kwa mara ili kuweza kushughulikia haraka matatizo kama haya.
    Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo:
    1. Dawa ambazo kwanza ni kwa ajili ya kurekebisha kiwango cha vichocheo vinavyosababisha uvimbe huu na aina ya pili ya dawa ni vidonge vya maumivu ili kutuliza maumivu yanayosababishwa na fibroids.
    Vidonge vingine vinavyoweza kutumika ni vya kuzuia damu dawa za uzazi wa mpango.
    2. Njia ya pili ni upasuaji, ambao hutegemea na ukubwa wa uvimbe,pia sehemu ya mfuko wa uzazi ambapo uvimbe upo, na wingi wa fibroids. Kuna aina mbili za upasuaji : 1. Myomectomy - njia hii hutumika ikiwa kuna uvimbe mmoja na si mkubwa sana, na iwapo mwanamke ni kijana anayehitaji kuendelea kuzaa na kwa wale wenye uvimbe mmoja ulio katika sehemu nzuri. Operesheni hii ni kwa ajili ya kutoa uvimbe tu na kuacha kizazi. Hata hivyo katika upasuaji wa aina hii kuna uwezekano mkubwa wa uvimbe kujirudia.
    2. Total abdominal hysterectomy - Hii ni aina ya upasuaji ambapo kizazi chote hutolewa na hufanyika ikiwa kizazi kina uvimbe mmoja mkubwa sana au vivimbe vingi.
    Sio vibaya kujua kuwa aina ya upasuaji wa uvimbe katika kizazi hutegemea pia umri wa mgonjwa,sehemu ya mfuko wa uzazi ambayo imeathiriwa na uvimbe huo,aina ya fibroid, idadi ya watoto na maamuzi binafsi ya mgonjwa. Baadhi ya wakati pia hata baada ya kufanyiwa operesheni uvimbe
    ●●●●●●●TUNA HABARI NJEMA KWAKO
    Sasa unaweza tibu fibroids bila upasuaji kwa kutumia bidhaa kutoka bfsuma ambazo ni
    1.Pure and broken ganordema
    2.Yunzi
    Wengi wamepona na wametoa shuhuda kwa mawasiliano karibu ofisini kwetu +96879161307/+255 769 381 343

  • @kalaluwakisaka3211
    @kalaluwakisaka3211 3 роки тому

    Haasaaa

  • @seraphinepaultine1679
    @seraphinepaultine1679 3 роки тому

    👏👏👏chugaaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @roi2553
    @roi2553 3 роки тому

    Baba kagoma ataki kuelewaaa😆😆😆😆

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 роки тому

    Mh huyu ni mwendawazimu aisee. Sio comedy hii 😀

  • @speriussimba6717
    @speriussimba6717 3 роки тому +1

    Hamna kitu hapo mi sijaelewa

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 3 роки тому

      kumbe ni wewe hujaelewa?? sasa usiseme hamna kitu wakati kumbe bichwa lako ndo halina kitu... sema ueleweshwe usikurupuke kichwa panzi.

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 3 роки тому +2

    🌈🌈🌈🌈🌈🔥🔥🔥🔥

  • @atukyando6246
    @atukyando6246 3 роки тому

    Creativity

  • @arsenemuhindo
    @arsenemuhindo 3 роки тому +3

    diamond nani? hahahahahahah Platnude hahahahahah

  • @maestro1902
    @maestro1902 3 роки тому +3

    Haaa diamond platnadeee😂😂😂😂😂😂

  • @taifahuru7686
    @taifahuru7686 3 роки тому

    Chugaree🔥🔥🔥

  • @psalm2346
    @psalm2346 3 роки тому

    Bangi

  • @hildakalembo1085
    @hildakalembo1085 3 роки тому

    Liogo boy

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 3 роки тому +1

    Namtaka diamond platnade 😂😂😂

  • @SWAGA_BOYS
    @SWAGA_BOYS 3 роки тому +1

    WAPI LIKES ZA PAPAA MAFIDO

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 3 роки тому +1

    Platinade

  • @elizabethkizota3474
    @elizabethkizota3474 3 роки тому

    Chaliii😀😀😀😀😀

  • @huslamsafi9033
    @huslamsafi9033 3 роки тому

    Mwanetu

  • @dusabenyirasenga5057
    @dusabenyirasenga5057 3 роки тому

    Chugaaaa

  • @kenallday1115
    @kenallday1115 3 роки тому +9

    Angesema sitaki kuona muhasibu,nataka nassibu

    • @roi2553
      @roi2553 3 роки тому +1

      Gud idea bro
      Nkadhan nmegutua pekee yangu

    • @rahimmarions5712
      @rahimmarions5712 3 роки тому

      Yes ilitakiwa kuwa ivyo

  • @Music_and_Movies1
    @Music_and_Movies1 3 роки тому

    Kwani we ni mond

  • @tuly_tulive_tv_online7304
    @tuly_tulive_tv_online7304 3 роки тому

    mmmeuaaaaaaa

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic 3 роки тому

    😄papa

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 3 роки тому

    😀

  • @yerikokisoma236
    @yerikokisoma236 3 роки тому

    Bongo siami

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 3 роки тому

    hahahaha nimecorrupt hela otee

  • @jumaradhomary8591
    @jumaradhomary8591 3 роки тому

    Platnale😁😁😀😁😀

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 3 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 3 роки тому

    NAOMBA NIKUKARIBISHE
    habari naitwa HERO ni msanii wa muziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya naouzindua muda huu gusa hapa kuona ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 3 роки тому

    🤓🤓🤓🤓🤓

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 роки тому

    😁😀😄😃😅😆😂🤣

  • @msamimilka5612
    @msamimilka5612 3 роки тому

    😂😂😂😂😂

  • @dusabenyirasenga5057
    @dusabenyirasenga5057 3 роки тому

    😂😂😂😂🔥🔥

  • @regankeresi6410
    @regankeresi6410 3 роки тому

    🤣🤣🤣 namtaka diamond platnade

  • @SWAGA_BOYS
    @SWAGA_BOYS 3 роки тому

    😂😂😁

  • @agreyndile230
    @agreyndile230 3 роки тому

    Saf

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @zuhurahussein5132
    @zuhurahussein5132 3 роки тому

    Kiki

  • @fizzomosha4244
    @fizzomosha4244 3 роки тому

    N

  • @zakayongwada4776
    @zakayongwada4776 3 роки тому

    Hala chuga

  • @aliaalooya3896
    @aliaalooya3896 3 роки тому

    😄🤣

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    🤣🤣🤣

  • @i.gconnectiontztv8972
    @i.gconnectiontztv8972 3 роки тому

    #JEJE YA DIAMOND PLATNAMZ YA TIKISA ULAYAA ua-cam.com/video/vf6lAEcNARc/v-deo.html

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому

    Huyu haisi joto

  • @nellywizz9631
    @nellywizz9631 3 роки тому

    Mediocre

  • @rajabuyolambisusa2848
    @rajabuyolambisusa2848 3 роки тому

    😆😆😆😆

  • @Symoob5c
    @Symoob5c 3 роки тому

    MEDIOCRES 😂😂

  • @denaddy859
    @denaddy859 3 роки тому

    hahaha mjubaaa

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 3 роки тому

    NAOMBA NIKUKARIBISHE
    habari naitwa HERO ni msanii wa muziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya naouzindua muda huu gusa hapa kuona ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html