MBWADUKE: WHY SARE? SABABU SARE YA SIMBA VS COASTAL UNION NI HIZI/ TSHABALALA, ATEBA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 16

  • @IssaSalmin
    @IssaSalmin 9 годин тому +2

    Yaani hapa tanzania hakuna mchambuzi wa mpila kama RAMADHAN MBWADUKE 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 8 годин тому +5

    Kipa siyo machine anahitaji kupumzika timu Ina makipa wengi fanyeni rotation ya makipa

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 8 годин тому

    Wewe noma Sana ndugu yangu Tunakuombea Sana kwa MUNGU Akubariki Sana

  • @ZaydShafii
    @ZaydShafii 9 годин тому +1

    Asante mzee wa data

  • @muxxajadon8086
    @muxxajadon8086 13 годин тому +1

    Nomaaa sanaaa

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 13 годин тому +1

    Simba wamepata haki Yao, na wamshuru refa

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 8 годин тому +1

    Simba inakosa magoli kwsbb ya viungo watatu ws ushambuliaji na wala siyo straika wanao ikosesha magoli, simba iliacha kufunga magoli baada ya kuanza kupanga Kibu ambaye si mzuri wa kupokea na kutoa pass

  • @mathewmshiu1424
    @mathewmshiu1424 13 годин тому +1

    Coastal wamejua kumnyamazisha simba😂😂😂

  • @ConstantineNyanje
    @ConstantineNyanje 10 годин тому +1

    Na Bado simba mpka mseme poo msimu huu,octb 19 hiyo ooooh inakuja nyooo!😅😅😅😂

  • @JamesMaiga-z1n
    @JamesMaiga-z1n 8 годин тому

    Kamara atulie golini. Acheze kama kipa, asnapocheza kama beki, mabeki wake wanabweteka. Akiendelea kuwa analiacha goli namna HIYO, Azizi K atatufunga magoli mengi mno ya mbali

  • @saitotimeshilieki1217
    @saitotimeshilieki1217 13 годин тому +1

    mtaala wa boll mambo

  • @tresphoryngao2367
    @tresphoryngao2367 11 годин тому +1

    Mech yakufukuzisha watyu kaz

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 8 годин тому

    Simba tuache kupaka mafuta mpira one touch mpira wa kizamani na uoga wa kukimbia uwanjani

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p 7 годин тому

    Kipa katutia aibu kipa mshenzi sana

  • @FahadSalum-o9v
    @FahadSalum-o9v 7 годин тому

    Kochaanazinguaongeanawachezaji

  • @GelesKanyika
    @GelesKanyika 6 годин тому

    Ahuoa mutale hamna kitu pale ujinga tupu