Jamani huyo yobo hajajenga mpasasa Hana Nyumba🙄🤔jamani D amwangalie huyo mkatamauni wake amshawishi mshahara wake ajenge ata chumba kimoja jamani maana ni muda mlefu Yuko nae bado Tu pakuishi anatangatanga kama Bendera fuata upepo😢
Ina maana huyu mose iyobo hadi leo ameshindwa kujenga na kuhangaika kote na diamond platmunz mbona kama wao wanamsindikiza diamond kwenye utajiri tu alaf wao wako kawaida hawakui pamoja 😂😂😂😂😂
Masha amekua mzuri jamani
Ila masha mzuri sna
Jamani huyo yobo hajajenga mpasasa Hana Nyumba🙄🤔jamani D amwangalie huyo mkatamauni wake amshawishi mshahara wake ajenge ata chumba kimoja jamani maana ni muda mlefu Yuko nae bado Tu pakuishi anatangatanga kama Bendera fuata upepo😢
Mwanaume wa kupiga hapana 😂😂
Mmmmmmm
Ina maana huyu mose iyobo hadi leo ameshindwa kujenga na kuhangaika kote na diamond platmunz mbona kama wao wanamsindikiza diamond kwenye utajiri tu alaf wao wako kawaida hawakui pamoja 😂😂😂😂😂
Kwa kitendo Cha kuonesha alama tu jamaa anafaa kushtakiwa,
Masha kiswahili bado😅
Mbona hapo uliungua na pasi😏
Hii comment nlikua naitafta😂😂😂
Ndomkome kuzini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂