Caleb Mwanjoka- NEEMA YAKO (Official live video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 35

  • @joelemmanuel9616
    @joelemmanuel9616 11 днів тому +1

    Wimbo unanihimia sana umekujawakati sahihi Kwangu
    Mungu azidi kukuinua 🙌🙌🙌

  • @Lulupeter-r4z
    @Lulupeter-r4z 12 днів тому +1

    Neema yako yanitosha

  • @fredykalongoti5054
    @fredykalongoti5054 11 днів тому +1

    Wooooo umeimba kwa wakati sahihi kwangu big up my young man

  • @HurumaAlfred
    @HurumaAlfred 11 днів тому +1

    Amen 🙌

  • @eldawilliam3541
    @eldawilliam3541 12 днів тому +1

    Mumebarikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @kituomaendeleoyamtotonakij6210
    @kituomaendeleoyamtotonakij6210 11 днів тому +1

    Neema ya Mungu ingekuwa inatafutwa hakika Kila mwanadamu angeitafuta Kwa nguvu sana lakini ni upendo ambao Mungu huwapa watu.

  • @Lulupeter-r4z
    @Lulupeter-r4z 12 днів тому +1

    Neema ya Bwana Yesu imenibeba,wimbo wa wakati,nimekaa ktk ndoa miaka 3bila mtoto kwa neema ya Bwana sasa nimepakata hakika huu wimbo umenigusa .

  • @glorywaya986
    @glorywaya986 11 днів тому +2

    Nzingana Neema kubwa sana hii..

  • @lionofjudahtv8796
    @lionofjudahtv8796 12 днів тому +1

    Barikiwa shujaa wangu

  • @derickgilbert8466
    @derickgilbert8466 12 днів тому +1

    Neema ya Bwana yanitosha🙌

  • @josuemwambaadorateur4447
    @josuemwambaadorateur4447 12 днів тому +1

    Zambe aza zambe , que le seigneur ajouter encore l’onction, nime barikiwa mtumish wa Mungu ❤

  • @PossianCharles
    @PossianCharles 7 днів тому

    🔥🔥🔥🔥🔥 waooo ni neema yakee tuu

  • @alicekapusi
    @alicekapusi 11 днів тому

    Utukufu kwake Yeye aliyekuwa anaimba nawe, yaani Roho Mtakatifu, hakika ni baraka tupu

  • @amanpeter8076
    @amanpeter8076 12 днів тому +2

    Wow Wow Wow barikiwa sana mtumishi

  • @neemabrian7390
    @neemabrian7390 12 днів тому +1

    Amen and amen ❤

  • @danielnzali5609
    @danielnzali5609 5 днів тому

    Ameeeeeen...🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @agnesbuchwa7209
    @agnesbuchwa7209 12 днів тому +1

    Umebarikiwa sana

  • @andrewnyakasi4714
    @andrewnyakasi4714 11 днів тому

    Hongera sana Kwa Kazi Nzuri

  • @melkiloth762
    @melkiloth762 10 днів тому

    Techer Mungu Azidi kukuinua Kazi Kali Sana

  • @neemamichael337
    @neemamichael337 10 днів тому

    ❤❤❤zidi kubarikiwa mwanangu

  • @benjaminanthony8625
    @benjaminanthony8625 11 днів тому

    🎉 wooh yanitosha

  • @israelmwalukasa695
    @israelmwalukasa695 6 днів тому

    Glory glory

  • @SamwelFrancis-y3g
    @SamwelFrancis-y3g 10 днів тому

    you are a blessing brother Caleb, can't stop listening to this song it blesses me so much, thnk you 🙏

  • @mlowejohn8481
    @mlowejohn8481 12 днів тому +1

    Ameni Mtumishi bariikiwa mno

  • @sigyfred6155
    @sigyfred6155 7 днів тому

    This song is so nice 🔥🔥🔥

  • @martinben1272
    @martinben1272 12 днів тому

    2025 NEEMA YAKO YANITOSHA

  • @winniembilingi4566
    @winniembilingi4566 6 днів тому

    Amen

  • @gideonmngongo8417
    @gideonmngongo8417 6 днів тому

    🔥🔥

  • @JoramBoy-f5i
    @JoramBoy-f5i 9 днів тому

    Saf

  • @Lulupeter-r4z
    @Lulupeter-r4z 12 днів тому +1

    Neema ya Bwana Yesu imenibeba,wimbo wa wakati,nimekaa ktk ndoa miaka 3bila mtoto kwa neema ya Bwana sasa nimepakata hakika huu wimbo umenigusa .