EXCLUSIVE:HII HAPA SIRI YA SHULE YA KEMEBOS KUWA YA KWANZA KITAIFA KIDATO CHA SITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @victoriakiwanuka5428
    @victoriakiwanuka5428 2 роки тому +13

    Hongereni Walimu na Wanafunzi kwa juhudi zenu Mungu azidi kuwabariki 🙏🙏🙏Go Ijuganyondo 👏👏👏👏👏👏👏

  • @amiryjuma4269
    @amiryjuma4269 2 роки тому +9

    Kagera oyeee! Wahaya oyeee

  • @monicafedrick9
    @monicafedrick9 2 роки тому +9

    Kumbe Kila mtoto ana akili ni juhud tu za waalimu na nizam kwa wanafunzi

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 роки тому +7

    💕💕 mashallah natamani mwanangu asome sekondary hapo

    • @fathefirst1935
      @fathefirst1935 2 роки тому +1

      Mpeleke hutojutia. Ila kuna viboko

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 2 роки тому +1

      @@fathefirst1935 😂😂 tatzo ada parefu

    • @benobuyoya8675
      @benobuyoya8675 Рік тому

      @@prettyh7509 naomba ya simu tafadhari

  • @zainasangoda2873
    @zainasangoda2873 2 роки тому +4

    Hongereni sana walimu mmefanya kazi nzuri sana

  • @leilahasani3118
    @leilahasani3118 2 роки тому +9

    Tuwape hongera lakini naona km nature ya shule hyo sio yakufanya Wanafunzi 34 isiwe pna ujanja ule washule nyingi za Taasisi wanaufanya but big up 💪 although huwa inauma Mtoto wako kumwandikisha shule km hii Afu unaskia mwisho wa Siku alifanya Mtihani shule yao Nyingine bila mzaz kuwa na Taarifa

    • @fathefirst1935
      @fathefirst1935 2 роки тому +1

      Wanangu wanasoma hapo, those people are serious bwana! Hakuna ujanja ujanja. Mtoto anabanwa na kulazimishwa kuitumia akili yake kwa kiwango cha juu kabisa.
      Wana shule 2, Kaizirege na KEMEBOS. Na zote zinafanya vizuri

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 роки тому

      ​@@fathefirst1935 Ada yake shilingi Ngapii

    • @fathefirst1935
      @fathefirst1935 2 роки тому +1

      @@lucykapinga369 4.2m Arts, 4.6m science

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 роки тому

      @@fathefirst1935 nipe namba za uongozi Wa shule

    • @benobuyoya8675
      @benobuyoya8675 Рік тому

      @@lucykapinga369 simu naipataje tafadhari

  • @mamacaroline6046
    @mamacaroline6046 2 роки тому +4

    Shule zote watoto asilimia kubwa wamepata ufaulu mzuri. wameachana vipoint tu. watoto sasa hivi wanauelewa. cyo cc akina kajampe nani tuliyosomea chini ya mwembe halafu tumekaa kwenye mawe. 🤣🤣🤣 Hongereni sn watoto wetu.

  • @boningassa4302
    @boningassa4302 2 роки тому +6

    Mwl Kishaa😁 am proud of you

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 роки тому +6

    Ongereni sana Kemiboz

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 роки тому +7

    Waongo hawa. Wanasomesha wanafunzi shuleni Kaizirege. Halafu wanachagua 30 plus vipanga wanawasajili kufanya mtihani shule ya Kemibos. Hivyo Usalama wa Taifa sekta ya Elimu fuatilieni Kaizirege idadi ya wanafunzi wanaosajiliwa Kaizirege form One na Form Five na idadi inayomaliza Form 4 na form Six.

    • @erastuskajuna812
      @erastuskajuna812 2 роки тому +5

      Acha wivu

    • @MaaneML
      @MaaneML 2 роки тому

      @@erastuskajuna812 wivu gani? Matokeo ya Kimtindo hayo.

    • @erastuskajuna812
      @erastuskajuna812 2 роки тому +2

      Matokeo yametolewa na watu wanasherekea! Asiyependa bora akanyamaza akasubiri ya mwaka kesho. Kulalamika, kunungunika, wivu, gere havitabadili matokeo

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому +1

      Fafanua vzr iyo shule wanawachukua ni shirika moja

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 2 роки тому +1

      Wafatilie ya nini sasa? Kuna watu wa hovyo Kweli kweli

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 роки тому +4

    Hongereni cn wanafunzi wa kidato cha 6

  • @julianakatasiku8508
    @julianakatasiku8508 2 роки тому +3

    Hongereni kemebos and kaizeregi

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому +4

    Hongereni walimu Kwa juhudi zenu

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 2 роки тому +6

    Wahaya msifa ila mpo vizur

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 роки тому +5

    Sema kwanza mungu kisha huo upwekezej

    • @givenjackson5449
      @givenjackson5449 2 роки тому +3

      Nilijua swala hili naliona peke yangu yaan hajamtaja Mungu kabisa

    • @nallysismartine594
      @nallysismartine594 2 роки тому +1

      Mmetishaa BUKOBA KAIZIREGE.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥BUKOBA YA WASOMI

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 2 роки тому +2

    Noma sana

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 2 роки тому +3

    Hongera sana mungu azd kuwabariki

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 2 роки тому +4

    HONGERA SANA KEMEBOS

  • @nai7876
    @nai7876 2 роки тому +3

    Wow Hongereni sana

  • @broadfuturetv9406
    @broadfuturetv9406 2 роки тому +3

    Hilo jina la mwekezaji labda nilisikilize mara mia ndo ntalitaja vizuri

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 2 роки тому +2

    Excellent

  • @nancyjonas3484
    @nancyjonas3484 2 роки тому +2

    waooooh hongereni sana

  • @iziraatv6029
    @iziraatv6029 Рік тому

    Hongereni sana Kemebos

  • @monicafedrick9
    @monicafedrick9 2 роки тому +4

    Ila jaman ilitakiwa mitihani itolewe kutokana na mazingira maana shule zingine nichangamoto

    • @alenialex6941
      @alenialex6941 2 роки тому

      Kwenye shule kumi Bora ya private nadhani zipo mbili

  • @festoanthony2200
    @festoanthony2200 2 роки тому +1

    Safi.

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 роки тому

    ongelen seee yn niwasafiiii mpkaaaaa mnaboaaaa daaaaa saf snanaaaa🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @deogratiaskasheshi5042
    @deogratiaskasheshi5042 2 роки тому +1

    Super Dooper

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Рік тому

    Hongereni kemmy boy Kila mwaka siyo six tuu hata form 4 mnapiga juu miaka yote shule ya msingi ni kemmy tuu miaka yote hivi mnafanyaje ? Au mnachukua wenye akili tuu mnachukua cream Sasa mlitakiwa wasiyo na akili darasani ndo muwachukue tupone km watafaulu ndo tutajua km mko vinzuri chukueni walioshindika alafu tujue km mnawenza kuwabadili wawe na akili darasani

  • @denisyesukristo5011
    @denisyesukristo5011 2 роки тому

    Waooooo waooooo

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 2 роки тому

    Hii shule imeniheshimisha sàna! Safiiiiiii

  • @kizbeka369
    @kizbeka369 2 роки тому +2

    Noma sana 🔥🔥🔥🔥

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 2 роки тому

    Unajua mwalimu mzuri ni yule unaye mpa mtoto aliyefeli kidato cha nne na akaondoka na div 1 au 2 form 6. Si shule ambazo zina mchujo. Yaani mtoto kuingia lazima apate A kila somo. Hapo ni uzuri wa watoto wala si walimu.

  • @sonsonsam4936
    @sonsonsam4936 2 роки тому +1

    UONGO TU MZEE WATOTO 30 hata Mimi nikipewa wanaongoza KITAIFA

    • @livinusmugisha5469
      @livinusmugisha5469 2 роки тому

      kama wewe mmoja ulionɡoza taifa bila shaka hao 30 wataonɡoza kama wewe

  • @kamarukamaru7768
    @kamarukamaru7768 2 роки тому

    Nimependa magari kama yanga

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 роки тому +1

    Ok

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 роки тому +1

    Vipi? Wale wanaopeleka watoto wao wanaopeleka watoto academic na international