ALIYEOKOA WATU 24 KISHA NAYE KUZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI AFUNGUKA - AJALI YA NDEGE BUKOBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • ALIYEOKOA WATU 24 KISHA NAYE KUZIDIWA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI AFUNGUKA - AJALI YA NDEGE BUKOBA
    Kijana aliyejulikana kwa jina la Majaliwa Jackson mkazi wa Nyamkazi kata Miembeni Manispaa ya Bukoba ameeleza mwanzo mwisho alivyowaokoa abiria waliokuwemo kwenye ndege na baadae na yeye kujikuta anaokolewa.
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 655

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +103

    Pole mdogo angu Mungu akufungulie milango ya kheri kwenye maisha yako umefanya kazi kubwa sana kuokoa roho za watu 23 si mchezo BIG UP

    • @charlesrobert8379
      @charlesrobert8379 Рік тому +1

      Polen kagera

    • @marryfelician1426
      @marryfelician1426 Рік тому +1

      Nasikia kutokwa machozi kwa ujasiri wa huyu kijana Asante Mungu kwa kumtuma kuokoa watu wako si kwa akili zake za kibinadamu bali ni nguvu ya ujasiri uliyompatia ee Baba M/Mungu amrejeshee hali yake ya kuumia na serikali imfikirie mara mbili kwa kweli

    • @mamakeali2677
      @mamakeali2677 Рік тому

      Aamiyn

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 Рік тому +1

      Mpira usingempiga angeojowa wengi🙏🙏🙏

    • @joycewanjiru2202
      @joycewanjiru2202 Рік тому

      Mungu akurinde bro

  • @maryr4033
    @maryr4033 Рік тому +94

    This boy is a HERO deserve RECOGNITION! Mungu akubariki sana kwa huduma uliyotoa. One day naamini watakutambua!

  • @komandowainjiliyayesu
    @komandowainjiliyayesu Рік тому +171

    Jamn kweli maisha tusibaguwane angalia aliye wawokowa watu nimtu wakawaida Sana hata elimu Hana kwahyoo wasomi msibague MUNGU Niwawote

  • @mwachilumokai5242
    @mwachilumokai5242 Рік тому +156

    This boy deserves all the praises,he is a hero

    • @ummyremmy3803
      @ummyremmy3803 Рік тому

      Absolutely

    • @floraelias8769
      @floraelias8769 Рік тому +7

      Serikali impe ajira jeshini moja kwa moja km hana kz, ni asante tosha

    • @mohammedsalum3502
      @mohammedsalum3502 Рік тому +1

      Hongera na pole

    • @jonaskabonda741
      @jonaskabonda741 Рік тому +3

      @@floraelias8769 Rais ashampa ajira kwenye jeshi la Zima moto na uokoaji

    • @floraelias8769
      @floraelias8769 Рік тому +1

      @@jonaskabonda741 haaaa kweli, mungu apewe sifa jmn🙏🙏🙏🙏😭

  • @Swahili14
    @Swahili14 Рік тому +46

    I'm so happy ametunukiwa kujiunga na jeshi la uokoaji tayari
    We need more patriotic and brave men like you in our country ❤️🙏

  • @ummyremmy3803
    @ummyremmy3803 Рік тому +48

    MashaAllah mdogo wangu kma ndege ilikua na abiria 40 na yy kaokoa 23 basi yy ndo kaokoa ndege nzima na nivile kapata hio ajali ya kamba kumchapa usoni lakini anteokoa wote coz yuko na experience ya hapo mahali MashaAllah am so proud of you young man mungu akujazie palipopungua

    • @monicakimaro5079
      @monicakimaro5079 Рік тому +5

      Ni kweli kabisa huyu anfeweza kuokoa wote hata mm nimefkr .. ila shetan nae alikua kazin akamtoa ili asimalize

    • @marynombo5318
      @marynombo5318 Рік тому +1

      Huyo alitumwa na mungu kuwasaidia mungu ape maisha marefu nawatu wamfikirie kwakweli

    • @neemamaganga7699
      @neemamaganga7699 Рік тому

      Hakika Mungu mwema sana! Kijana ni shujaa hakika anastahili hata apewe zawadi jaman kasaidia mno.

    • @hawahabibu3881
      @hawahabibu3881 Рік тому +2

      Cku ikifka imefka maana bila iyo kamba kuachia wengi wangenusurika😭😭

    • @marryfelician1426
      @marryfelician1426 Рік тому +2

      Mimi nasema milioni ni ndogo kwa kazi aliyofanya wa Tanzania wengi wanatamani hata wamrushie chochote maana dah

  • @irinejerop1221
    @irinejerop1221 Рік тому +33

    THE YOUNG MAN SHOULD RECEIVED HEROIC AWARD

  • @nurdinmkwachu28
    @nurdinmkwachu28 Рік тому +13

    Ingalikuwa nchi nyengine huyu dogo jeshin Moja Kwa Moja aisee

  • @edinahmaganga2722
    @edinahmaganga2722 Рік тому +30

    Pole sana mwanangu Mungu akufungulie malango ya baraka umefanya kazi nzuri kuwaokoa wenzetu maana ulijitoa kwa ajiri yao Mungu akutunze akupe maisha marefu yenye baraka na mafanikio pia ❤

  • @josephyegella4816
    @josephyegella4816 Рік тому +15

    Mungu akubariki sana kijana kwa upendo mkubwa kiasi cha kuhatarisha maisha yako. Unastahili tuzo kubwa.

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 Рік тому +11

    MUNGU kakutumia wewe uokoe wengine
    Kila la kheri na akulinde na mabaya ya dunia na azidi kukufungulia riziki za halali ktk maisha yako yote in shaa Allah
    Wema ulio utende ni mkubwa na wa ujasiri

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Рік тому +29

    Hongera sana kijana Mungu alikupa ujasiri sana Mungu aendelee kukupigania na uendelee na moyo huohuo Oh jamani Mungu mwema pole sana Mungu akuponye

    • @flouncywouncyoyando8224
      @flouncywouncyoyando8224 Рік тому +2

      Ilike the boy,iyo ndio mana tunasemanga usichukie mtoto wa mwenzako,kuwa na roho nzuri,ata ukiisi kwa gorofa,elimu unayo,wacha madharao,vinadamu ni vinadamu.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +33

    Mwenyezimungu akuponye haraka dogo! Hongera sana Kwa jazi ya ushujjaa uliyoifanyia Taifa lako Kwa Watanzanua wenzako!

    • @colmanmwero7473
      @colmanmwero7473 Рік тому

      Pls naomba kutoa maoni hapa huyo sio dogo pls ni kamanda

  • @molincreative817
    @molincreative817 Рік тому +14

    This is a hero! This boy should be awarded and given a job in the disaster management dept and if possible encouraged to study

  • @elizabethachi3049
    @elizabethachi3049 Рік тому +17

    Mama Samia mpeleke jeshi Moja kwa Moja mzalendo wetu shujaaa

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 Рік тому

      Unafikiri wanaweza basi,wakati hawa ndo wakupewa vipaumbele kwanza,ata apelekwe akajifunze mafunzo ya jeshi la ukoaji wa majini

    • @josephraphael425
      @josephraphael425 Рік тому

      Kweli apawe kazi

    • @ahuriladaniel9849
      @ahuriladaniel9849 Рік тому

      Washampeleka mapemaaaaa sanaaaa

    • @Swahili14
      @Swahili14 Рік тому

      @@ahuriladaniel9849 ln?

  • @aminasaid9382
    @aminasaid9382 Рік тому +19

    Allah akujazie Kheiry zako kwa mkono wa kulia ,akujaalie Afya na Umri Tawil Maashaallah Tabarakaallah .

  • @KassimUmeya
    @KassimUmeya Рік тому +15

    Alhamdulilah Mashaallah Allah Subhana Wataala Akujaalie Afya na Akupe Kula la Kheri, Inshallah Ameen Yaarabbil Alaamin.Naomba Management ya Hiyo Campui ya Ndege IMUAJIRI /IIMPE KAZI HUYU KIJANA KWA SABABU ALIHATARISHA MAISHA YAKE NA KUNUSRU ABIRIA ISHIRINI NA TATU. Please take care of this Man, He has a lot of Potential and Experience.Thank you.

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 Рік тому +8

    Pole sana na hongera nyingi kwako .naamini usingepata ajari na wewe huenda ungeokoa wote ujasiri wako niwaajabu ukilinganisha na umri wako .hongereni wavuvi mliopata ujasiri bira kujari ninikingewatokea .

    • @hawahabibu3881
      @hawahabibu3881 Рік тому

      Kifo kikifka kimefka Ndio mana kamba iliachia Mungu alitaka afanye lake😭😭

  • @mrpotential4861
    @mrpotential4861 Рік тому +53

    Vifo vingi vya nchi zetu hizi sio mipango ya Mungu ni uzembe wetu na ujinga, inamaanisha msaada ungefika mapema ruban angepona pia. Hongera Sana kamanda

    • @mozespatnam7469
      @mozespatnam7469 Рік тому

      Fact

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 Рік тому

      100% correct

    • @maryamconstantine2232
      @maryamconstantine2232 Рік тому +3

      Wachache watakuelewa

    • @salumkupenda1250
      @salumkupenda1250 Рік тому +8

      Na kama wewe ni mwenye imani Kali na dini yako basi juwa huwezi kufa bila ya sababu na huwezi kufa bila Mungu kutaka,juwa ahadi yako ikifika lazima ije na sababu na hao waliokufa ndio wamepata sababu na ahad zao na Mola wetu ndio zimewafikia

    • @salumkupenda1250
      @salumkupenda1250 Рік тому +7

      Ahadi ikifika hauna sababu ya kukaa kwenye mgongo wa ardhi hata kama una afya nzuri kwa wakati huo,cha muhimu tukae karibu na Muumba wakati wowote tunakufa

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 Рік тому +4

    Unajua hapa duniani hautakiwi kumdharau yyt
    Sisi wengine tukipita mtaani tukiwasalimia hawa vijana kuna watu wanatuona kama wauni kumbe ni watu muhimu sana maishani mwetu

    • @donkaloza6985
      @donkaloza6985 Рік тому +2

      Kila binadam anaumuhim wake kwa wakat wake kujiona ww ni zaid ya mwingine hicho ni kibuli 2 lakn Kila mtu anaumhim kwenye Dunia hii kama hajakufaa wewe bac atamfaa mwingine Mungu ni wetu sote🙏🙏

  • @lastcallministry2020
    @lastcallministry2020 Рік тому +7

    This guy is a hero! May God bless him abundantly

  • @zainabndete8713
    @zainabndete8713 Рік тому +2

    Salamu Kwa waliokolewa na huyu kijana wamuamgalie Kwa macho mawili Kwa kuonyesha shukurani zenu kwake kama mna uwezo muwezesheni atoke katika hali ya maisha aliyonayo,amefanya kazi kubwa kuokoa maisha yenu bila kujali Nini kitatokea.

  • @esthermaluki5593
    @esthermaluki5593 Рік тому +34

    he's a hero I celebrate him may God bless him

  • @rosejoseph2228
    @rosejoseph2228 Рік тому

    Ubarikiwe sn kijana wetu Mungu akufanyie wepesi kwakila Jambo
    Umeweza kuokoa watu 23 aikuwa rahisi bali Ni Mkono wa Mungu ulikufanya ufanye hivyo
    Hongera sn tena sn

  • @ReactorsWatcher
    @ReactorsWatcher Рік тому +1

    He is Hero, Ingekua inchi zengine huyu jamaa angepewa medani ya ujasiri na kusaidiwa kimaisha. But serekali ya kibongo kimyaaa

  • @agnesmalanga1765
    @agnesmalanga1765 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana kijana ila shetani alishapanga kumwaga damu kwani usinge umia hata hao wengine wangeokoka na ndio mana wakataka kukuangamiza ila mkono wa bwana umekuokoa Mungu ashukuliwe

  • @fideahyera2599
    @fideahyera2599 Рік тому +5

    Asante Mungu kwa ajili ya kijana huyu. Kwa akili yangu ya kibinadam naamini bila kamba kukatika wangeokoa zaidi ya hapo. Lakini bila shaka ni mpango wako wakaokoke hao 23.Naomba mtunze kijana huyu na utupe funzo ya kuwa tayari wakati wowote.

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 Рік тому +5

    Huyu ndio the navy seal KOMANDO mwenyewe achana na mbwembwe uchwara kazi kukimbiza ndege tu kushangilia matokeo ya sensa...kuokoa maisha ya watu kwa wakati hawajui.....BIG UP SON

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 Рік тому

      Hakika ,check 9 December siku ya sherehe za Uhuru, mbwembwe zao

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 Рік тому

      @@winfordmwangonda5375 kwenye vitu vya muhimu sasa field penyewe wanapotakiwa kuwa serious# hoooooi hamna lolote!! Wanachojua ni kukazingua raia tu wakivaa nguo zao mtaani basi😂😂😂😂😂

  • @gracemwasi1087
    @gracemwasi1087 Рік тому +1

    he is so young and smart!Mungu akutunze umefanya kazi kubwa sana.Asante sana🙏🏻 Mungu akubariki

  • @jamilaabdallahsalim9284
    @jamilaabdallahsalim9284 Рік тому

    Kilichotokea hapo aliofanikiwa kuwaokoa mungu alikuwa bado hawahitaji hivyo akaruhusu watoke lakini hao waliokuwa wamebaki siku zao ziliwadia ndomana kijana akastopishwa kwa njia fulani kuruhusu mungu kufanya kazi yake, mungu awalaze marehem mahal panapostahili amina🙏

  • @daviddao4725
    @daviddao4725 Рік тому +5

    Watafutwe watu wa hiv wapewe ajira Mungu kampa Bingwa elimu dunia

  • @jacquelinemuthoni7527
    @jacquelinemuthoni7527 Рік тому +14

    God give you long life.
    He should get govt recognition even a job

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 Рік тому +1

    Pole sana dogo mungu akutie nguvu, serikali ebu muangalieni uyu mtoto

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 Рік тому +1

    Hongera sana kijana Majaliwa jina kubwa la waziri mkuu wetu hakika umelitendea haki jina hilo. Hebu weka namba yako ya simu hapa walau tukushike mkono mtoto mzuri, umefanya kazi ya kujitosa!

  • @victorkimanthi1127
    @victorkimanthi1127 Рік тому +2

    God bless that young man....he is an hero award should be already prepared

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 Рік тому

    Mungu akutunze dogo umefanya kazi kubwa mno Yani serekali ikuangalie kwa jicho la pili maana ww Ni shujaa Mama Samia nae anatakiwa akuunge mkono 🙏

  • @innokirigiti
    @innokirigiti Рік тому +3

    Ubarikiwe sana, Hakika Mungu atakulipa kwa mema uliyofanya hadi kurisk maisha yako

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Pole sana masikini Mungu akubariki saana, tunamshukuru Mungu kwa walinusurika na ulitamani kumsaidia Mungu alimpenda zaidi

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 Рік тому +6

    Hongera saana baba yangu umejitahidi saana kuokoa watu. Huyo mafrudhi mumpe zawadi ya jitihada yake. Mashaallah

  • @amazing_grace5392
    @amazing_grace5392 Рік тому +7

    Jamani,, alijitahd alivoweza mtoto wa watu...Mungu amsaidie

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 Рік тому +5

    Mashaa Allah,, kijana ukopoa namoyo saan Allah akufungulie mambo yako yawe mepesi naakujaalie afya naumri mrefu,,
    Walinzi wawajibishwe hawajui chochote lakini wanajifanya wajuaji et maji hayaingii pumbavu zao

  • @ProchesJulius
    @ProchesJulius Рік тому

    Ukiangalia vizuri utamuona akiwa anatolewa kwenye Maji dk 2:18 amevaa Tisheti ya Buluu akiwa hajiwezi. Mwamba Kweli Kweli anstahili Tuzo/Nishani ya Heshima. MUNGU AMBARIKI SANA SHUJAA HUYU

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 Рік тому +1

    Mungu akubariki sanasana kijana na umejaaliwa na Allah kuwasaidi hao basi Allah atakufungulia milango ya kheir. HONGERA HONGERA SAAAAANA KIJANA ALLAH AKUBARIKI WEWE NA WAZAZI WAKO.

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d Рік тому +2

    MashaAllah mwanetu kwa kazi nzuri uliyoifanya Mwenyeez Mungu akulipe kheri hapa dunian na kesho akhera poleni wote mlioko hospital na waliofariki Mwenyeez Mungu azilaze roho zao mahala pema 🤲🤲🤲

  • @lifeofblessing_15
    @lifeofblessing_15 Рік тому +2

    Dah unaujasili sana Ubarikiwe wew na uzao wako 🙏❤️

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 Рік тому +8

    God bless you 🙏 young boy you were their Moses more Grace upon you and your family

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 Рік тому +2

    Milioni moja itatumika itaisha fanyeni jambo litakaloweza kuleta alama katika maisha yake moyo wake ni mkuu sana jamani hata uko jeshi la anga

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому +2

    Atiwe moyo huyu kijana fuatilieni maendeleo yake Tafadhari Mungu Ambariki kwa ujasili alioukubari Mungu Alipompa hakuogopa

    • @mwanyongamama4407
      @mwanyongamama4407 Рік тому

      Ipraise God Have purpose Have done imidietly for the boy nimefurahia nilsema wamtie moyo Raisi Abarikiwe sana Utukufu kwa Bwana

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому

    Mungu alimtuma Malaika Gabriel kupitia huyu Kijana kuokoa watu wake...ni ujasiri wa ajabu Mungu ampe maisha marefu..

  • @halimazein5718
    @halimazein5718 Рік тому

    Uongozi wa precision wampongeze kijana huyu..he is so brave and kind hearted person..

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 Рік тому

    Mungu azidi kukubariki na kukupa ujuzi mwingi kijana majaliwa Mungu halali amekuonekania God bls you

  • @rosemarymbise4863
    @rosemarymbise4863 Рік тому +1

    You deserve the best little boy. Mungu akuinue kwa viwango vya juu

  • @joanithamtabilwa8876
    @joanithamtabilwa8876 Рік тому

    Mungu akubariki Sana ,hakika nimejifunza ktu kuwa wema ni akiba shetan alipotaka kuchukua na uhai wa huyu kjana Mungu akaweka mkono wake kumlinda kutokana na wema alowatendea wengine

  • @evaponela3004
    @evaponela3004 Рік тому

    Pole Xnaa dogo mungu amekutuma ww uwasaidie wenzio dogo unamoyo xna wangekuwa wengine wangeaza kuiba

  • @adamsaad7577
    @adamsaad7577 Рік тому

    asante kijana jitahidi Sana nakazi uliopatiwa ya ajila Yako mungu akupe kila lakheiri na mafanikio kwenye kazi yako

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    Sina la kusema lkn nimejikuta nalia, pole sana mdogo wangu kwa ujasiri ulio barikiwa, nimtu wa kawaida sana lkn hukuvaa kiatu cha ujana wa sasa hivi, ulivaa kiatu cha ujana wa mababu zetu,,,, kwani ujana wa saizi ungetoa sm yako ukaanza kupiga picha na ww ukawa mtu wa mwanzo kusambaza kwa majigambo. Oh!! Mungu muwezeshe kijana huyu, mpe hitaji la moyo wake

  • @chopahtz3728
    @chopahtz3728 Рік тому

    Ongela sana majaliwa mungu aendelee kukupa moyo wa uruma kama jina lako Amen

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +2

    Pole sana mtoto wetu, Mwenyezi Mungu akupe moyo wa huruma zaidi♥️♥️

  • @anastaziabeno6062
    @anastaziabeno6062 Рік тому

    honger sana kak kazi uliofanya taji yako iko mbingun.kaz ngum sana umefanya serikali wangekujengea hata nyumba iwe kumbukumbu

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Рік тому +5

    Safi sana mdogo wangu mungu akupe kila lenye heri🤲

  • @mozahlyan816
    @mozahlyan816 Рік тому

    Tunakushukur pia nass kutuokelea ndugu zetu Mungu ata kupa mema yko inshaallah

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 Рік тому

    Serikali impatie ajira JWTZ kwa ushujaa wake. Anastahili mengi ila hatuwezi kumpatia yote basi angalau apewe hii ajira Nchi yetu itakuwa imetoa Shukrani kubwa kwa niaba ya watanzania.

  • @aminaalmas2461
    @aminaalmas2461 Рік тому +1

    Apewe kazi jaman jaman adi chozi limenitoka mungu atakujaalia Kaka

  • @barakawiseman5073
    @barakawiseman5073 Рік тому +4

    HERO. jeshi letu hasa la maji akikisheni mna pakumuweka uyu jamaa.

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 Рік тому

      Tena tunataka taharifa iyo ipitishwe siku si nyingi

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 Рік тому +11

    This boy have to declared as a hero of the nation. Absolutely he is

  • @florencenabwire1911
    @florencenabwire1911 Рік тому +1

    We call you a hero in kenya 🇰🇪🇰🇪here 🙌 👏 Mungu akubariki sana and long life

    • @sanchostylist...9719
      @sanchostylist...9719 Рік тому +1

      We've Lost a Pilot From Kenya in That Plane Crash😓

    • @florencenabwire1911
      @florencenabwire1911 Рік тому +1

      @@sanchostylist...9719 Omg the Pilot was a Kenyan? So sad 😭😭😭😭😭😭😭😭my mother land 🇰🇪🇰🇪may God comfort us 🙏

    • @sanchostylist...9719
      @sanchostylist...9719 Рік тому +1

      @@florencenabwire1911 Yeah The Pilot Was The Brother to a Female News Presenter at KBC...She Posted Her Yesterday They are Luos...

    • @florencenabwire1911
      @florencenabwire1911 Рік тому +1

      @@sanchostylist...9719 Thanks for info 🙏 My sincere condolences to the family of the late 🙏

  • @richardmoses7470
    @richardmoses7470 Рік тому +1

    Mungu huvinyanyue vinyonge ili kuviaibisha vyenye nguvu

  • @esteranton5112
    @esteranton5112 Рік тому +1

    Mungu akubaliki kaka umeokoa watu 24

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 Рік тому

    Mungu akulipe mwanangu,nakosa neno la kusema lkn kwa ufupi asante Mungu akulipe na my Rais Samia suluhun abadilishe maisha yako kwa upendo uliotuonesha. Kwa nchi yako,wewe ni mzalengo,umesaidia kuokoa Rasilimali watu

  • @devothadionise5746
    @devothadionise5746 Рік тому +8

    Mungu akubariki sana kaka🥺🥺inauma sana

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому

    Kijana,umemfurahisha Mungu.umetimiza kusudi La Mungu.Mungu akubariki sana.

  • @pendopeter1790
    @pendopeter1790 Рік тому

    Pole sana mkaka na hongera kwa ushujaa wa kuwaokoa ndugu zetu, Mwenyezi Mungu akuponye kwa matatizo yaliyokupata.

  • @sanchostylist...9719
    @sanchostylist...9719 Рік тому +5

    Real Superheroes Exist...Pongezi Sana Bro👏💯😊

  • @aminahmusa3723
    @aminahmusa3723 Рік тому

    Maashallah majaliwa shujaa Mungu akufanyie wepesi kwenye uzito Inshallah 🤲🤲

  • @assamohalhamard7189
    @assamohalhamard7189 Рік тому +3

    Mungu wa mbinguni akubariki katika maisha yako yote. Umebarikiwa Amina

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Рік тому

    Ni shetani na islael roho mtoa roho alikudhulu ili aendelee kuchukua roho za watu wengine Ila MUNGU ni mwema hakuruhusu uondoke MUNGU azidi kukubariki na kukutunza jina la bwana libarikiwe 🙏❤️🕊️🕊️🕊️💋

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 Рік тому +1

    Hongera San kijana mungu atakuponya ww ni shujaa tena jasiri kuokoa wa 23 so mchezo

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Рік тому

    dah kweli mungu hamuenuwi mtu dhaifu bali mungu anamuenuwa mtu ambaye anapambana dogo kapambana nasaivi kazi ya mjeda inamsubiri kwamaagizo ya mama samiya dah kweli mungu anahitaji sababutu kumuenuwa mjawake.vijana tupambane hatujuwi nisababugani inaweza kutuenuwa nakuwa watuwengine. pongezi kwa muanika dagaa nawe mungu ameona juhudizako

  • @esthermbaka7723
    @esthermbaka7723 Рік тому +1

    Qr in the Lord 🙏. live longer bro God protect you always

  • @antonymnapaaaantonymnapaa7939

    Mungu kwel hutumia watu mbao huto tarajia km atakuja fanya jambo kubwa kiasi hicho, mungu amubariki sana kijana huyo

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 Рік тому +1

    Naomba. Serikal imtazame huyu ndugu, kazi aliyofanya ni kubwa sana.

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 Рік тому +1

    Pole sana mdogo wangu

  • @nelsonmariki1981
    @nelsonmariki1981 Рік тому

    Hongera kwa Moyo wa uliojaa upendo wa ajabu Mungu akubariki sn

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 Рік тому

    Sasa huyu ndo baharia,, mwanajeshi muokoaji👏👏👏💪💪

  • @OFFICIALLUCKYBOYKENYA254
    @OFFICIALLUCKYBOYKENYA254 Рік тому +1

    Pole sana Tanzanian kwa ajali mbaya ya ndege

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 Рік тому +2

    Ubarikiwe xana kaka yetu Mungu akutie nguvu nawafiwa Mungu watie nguvu 😭😭😭🤲

  • @LadyveenOfficial
    @LadyveenOfficial Рік тому

    Mungu azidi kumbariki. Shujaa na jasiri alijitoa kwa moyo bila kujali uhai wake. Mungu abariki hadi kizaz chake

  • @nedmonad1175
    @nedmonad1175 Рік тому

    Pole Sana MUNGU akusaidie uendelee na ujasir huo hongera kwa moyo wa kijasir

  • @lydiaogoya9606
    @lydiaogoya9606 Рік тому +1

    You're a hero n you deserve the best

  • @imanidaraja8275
    @imanidaraja8275 Рік тому

    Hongera sana mungu alikutumia kwa ajili ya Hao 23 wawe Hai kama sio wewe basi wote wngekufa maji, pole Sana na mungu akupe wepesi utoke salama,

  • @moreenbless460
    @moreenbless460 Рік тому

    Mungu akupe maisha malefu majaliwa unastaili pongezi🙏🙏

  • @escobar6760
    @escobar6760 Рік тому +11

    Marakani anawepa tuzo ya Hero,🖤, na fedha za kutosha..
    Tanzania sijui tunalipaje fadhira kwa huyu kijana

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 Рік тому +2

      Yaan Kazi yao ni usenge usenge tu kwan kuna wanalowaza hata juu ya huyu dogo kwanza huyu ndo mjeshi na komando anayestahili heshima sio huyo waziri mkuu au huyo mkuu wa mkoa wote hamna kitu hawa madogo ndio wakipaswa kupewa msaada hata wa kifedha maake wamefanya wajibu mkubwa na hatar kwa ajili ya wenzao juu ya hii issue

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 Рік тому

      Huku kwetu ni uhuni uhuni2

  • @happyhamis537
    @happyhamis537 Рік тому

    Wow jaman Mpaka Mwili Unanisisimuka machozi yananitoka Mungu akutunze Kaka hakika wewe ni shujaa💪🏽

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Рік тому

    Big up kaka yangu kw kuokoa wa 23 isingekuwa ni wew wallahi tena mpk sasa tungesema mengi Tanzania 🇹🇿

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому

    Ubarikiwe mdogo wangu kuwaokoa ndugu zetu Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone

  • @maureenmuhenje916
    @maureenmuhenje916 Рік тому

    mungu muumba bingu na kazi iko mkononi mwako ijapokua tumekutenda mabaya utusamehe na huyu ndugu mzidishie kwa mapenzi yako

  • @andreashulla5401
    @andreashulla5401 Рік тому

    Mungu akubariki kijana. Hakika umeonesha Upendo WA dhati Kwetu watanzania. Nikuite =(Mzalendo).

  • @mwanahawakibunde4197
    @mwanahawakibunde4197 Рік тому

    Mungu akujaalie hekima kwny maisha yako ulichokifanya ni kitu ambacho ni busara unastahili maisha mema duniani na akhera

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 Рік тому

    Pole Sana, pia hongera kwa ujasiri na moyo wakujitolea, hakika Allah atakulipa kheyr zaidi

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому

    Mpeni kazi ya kudumu Huyu kijana, au Mpeleke Veta aka some kidogo tu, he is very intelligent!