EP 6|| LUNCH MUST HAVE IN MOMBASA (SAMAKI + WALI WA NAZI)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 93

  • @balqis0377
    @balqis0377 2 роки тому +1

    Manshallah like your videos..hhhh bi manija nkupenda www na na Ahmad nawapendha snaaaa

  • @AhmedDawizard
    @AhmedDawizard  2 роки тому +4

    FOLLOW ME ON INSTAGRAM @AHMED_DAWIZARD007 👊🏼👊🏼

  • @aliismail7147
    @aliismail7147 2 роки тому +2

    Umm Ninja please 😅😅😅😅😅 weka uma mbele ya camera sio kijiko peke yake alafu ulivyo chezewa rafu kama Bayern vs bacalon 😅😅😅😅hapo Leo umechamsha

  • @hulala512
    @hulala512 2 роки тому +1

    I miss chakula ya pwani 😥

  • @yda3872
    @yda3872 2 роки тому

    Aslamualaikum SHEACK majengo sio Guraya

  • @maryamkhan313
    @maryamkhan313 2 роки тому +1

    very nice mashallah big up bro mzee dingi waweza 😄😄

  • @maryamsalim33
    @maryamsalim33 2 роки тому

    Haujaoga umebadilisha njee nguo ama

  • @mohamedabsi9874
    @mohamedabsi9874 2 роки тому

    Hapo si burnley...
    Hapo ni mnazini

  • @mamanunu26
    @mamanunu26 2 роки тому

    huyo mwanamke hapiki hahaha majengo kwetu

  • @hassanabdul22
    @hassanabdul22 2 роки тому +5

    Good evening guys you guys are doing a great job beautiful walk keep up videographer Ahmed the talking pictures the accuracy it’s just too perfect I wish you all the best from my heart I love you all

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      Thank you so much brother👏👏am humbled

  • @sameerasayed1243
    @sameerasayed1243 2 роки тому +1

    Hi ramadhan Kareem to all..
    We want to see cooking vlog

  • @mohamedabsi9874
    @mohamedabsi9874 2 роки тому

    Salamu kwa ramla...😂

  • @yda3872
    @yda3872 2 роки тому

    Ustad menu ya iftari vipi ama saum emeku kaza

  • @switysasha163
    @switysasha163 2 роки тому +1

    Natamani sana soon nitakua mombasa raha

  • @ummbassumy582
    @ummbassumy582 2 роки тому

    Mnazini mashaaAllah miaka wako hapo chakula ajab

  • @khalidhaji7738
    @khalidhaji7738 2 роки тому

    Best series on UA-cam

  • @username-ey8qu
    @username-ey8qu 2 роки тому

    Nice video but sinia ilikua ndogo

  • @saidalhooti9479
    @saidalhooti9479 2 роки тому

    Mbona Samaki sura kama dereva

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Hina Yako bi maninja pambe hongera sana Ramadan Kareem 💕

  • @mzamukhamis7760
    @mzamukhamis7760 2 роки тому

    Kwa mama mtwapa hapo utapagawa

  • @saajanji1674
    @saajanji1674 2 роки тому +1

    Ahh yani your videos are fresh straight forward no unnecessary shouting shouting like others well done keep it up. Peace from England 🇬🇧 edelea tu usi simame....

  • @hamadibaruwa2284
    @hamadibaruwa2284 2 роки тому

    Phvali pha nazi tamu

  • @kingmohammed001
    @kingmohammed001 2 роки тому +1

    Baba madevu anakifinya😂😂😂

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂kula hachemshi

    • @kingmohammed001
      @kingmohammed001 2 роки тому +1

      @@AhmedDawizard wasema kidogo😂😂😂

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232 2 роки тому

    Ningependa uache kutiatia maneno ya kizungu. Vipindi vya kizungu vimejaa tumekuja kwako kusikia kiswahili. Tafadhali

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      😂😂😂😂😂Kiswahili kitukuzwe

  • @SHARIF_HUSSEIN_006
    @SHARIF_HUSSEIN_006 2 роки тому

    Mashallah bro wanitamanisha vyakula vya waswahili 😋😍😍

  • @TheJayair
    @TheJayair 2 роки тому

    Walai wa nazi, Mchicha na samaki. Ya shuka ajab sana walai

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 2 роки тому

    Weee mburukenge Acha u zUzU toa location vizuri halafu sinia MOJA MTU 4 na samaki moja UBAKHILI HUO

  • @mbarakfullvirus1023
    @mbarakfullvirus1023 2 роки тому

    Can’t wait for ramadhan special🫡

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan 2 роки тому +1

    In food there is no deference in Zanzibar

  • @salimaziz401
    @salimaziz401 2 роки тому

    Mention the place plz

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy7312 2 роки тому

    Asalam alaikum nyote.
    Mimi ni mzanzibari lakini naishi nje.
    Ni natamani kutembelea Mombasa lakini Sina mwenyeji.

  • @AhmedMohamed-er7sl
    @AhmedMohamed-er7sl 2 роки тому

    Viva

  • @josephotieno5978
    @josephotieno5978 Рік тому

    Prices vipi

  • @hulala512
    @hulala512 2 роки тому

    bilhana walshifa

  • @peresa2827
    @peresa2827 2 роки тому

    Ni hoteli gani ? Na wapi ?

  • @abdallahabdulrahman
    @abdallahabdulrahman 2 роки тому

    Full menu iyo, apo plate imekamilika sasawa... nyute zimenitoka🤤🤤🤤🤤

  • @sh.co.1697
    @sh.co.1697 2 роки тому

    Bro nimeku scrabuscrabu, Ramadan Mubarak

  • @mohamedabsi9874
    @mohamedabsi9874 2 роки тому

    Mzunguko cafe aka mama mtwapa..
    Wali nazi tuzi nazi

  • @switysasha163
    @switysasha163 2 роки тому

    Watching from oman

  • @yahyamummin7468
    @yahyamummin7468 2 роки тому

    Location?

  • @princessleyanna6569
    @princessleyanna6569 2 роки тому

    Ahmed Dawizard i love you 😍 you always make me and my family happy Thank you

  • @mbarakfullvirus1023
    @mbarakfullvirus1023 2 роки тому +1

    The transition was smooth at the beginning 🥵

  • @kamalaydarus6134
    @kamalaydarus6134 2 роки тому

    Say inshaallah 🥺

  • @mohamedadam7880
    @mohamedadam7880 2 роки тому

    Location ya hio place niwapi

  • @officialaftab8760
    @officialaftab8760 2 роки тому

    OKAY

  • @bagz0018
    @bagz0018 2 роки тому

    Haya next episode should be of Ramadhan near markiti oueeeee

  • @abdurrajujoo8501
    @abdurrajujoo8501 2 роки тому +1

    Assalamu aleikum

  • @officialtalents
    @officialtalents 2 роки тому

    Mashallah

  • @abdizzocomps1107
    @abdizzocomps1107 2 роки тому

    detailed location ?

  • @Africa822
    @Africa822 2 роки тому

    What is Swahili Food ??

  • @mackenziefanilovemackenzie7833
    @mackenziefanilovemackenzie7833 2 роки тому

    Hi bro and keep going

  • @SUNSHINE-fu4ec
    @SUNSHINE-fu4ec 2 роки тому

    ngoma yapigwa na wa2 wanne alafu dingi akata matonge kinoma mshllh.mama maninja kapigwa chenga kaondoka na njaa😅

  • @SHARIF_HUSSEIN_006
    @SHARIF_HUSSEIN_006 2 роки тому

    Ahmed dawizard twakungojea uje malindi tu,nasi tukuone 🤟🏼😎😎

  • @hadiabdallah1567
    @hadiabdallah1567 2 роки тому

    Dawizard uko vizuri kijana mashaAllah ❤️😍keep it up👍🏻 lkn mama maninja nae mumemkopa this tym anzoa vibajia bajia na viazi na mihogo

  • @smash7325
    @smash7325 2 роки тому

    Somo direction sijaielewa vizuri hapo ni karibu na kwa habshi before ufike kingorani stage

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      yes

    • @daudhassan1049
      @daudhassan1049 2 роки тому

      @@AhmedDawizard Kwa mama nani ama hoteli yake yitwaje tuje kuonja utamu na sisi bro

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 2 роки тому

    Nice

  • @asiaalamin6541
    @asiaalamin6541 2 роки тому +1

    Ahmed huyo mwanamke wa ninja ni mke wako kweli au acting ..walai nampendaga bure anikosha aniata Hoi ana vituko kweli

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp Рік тому

    Location babu

  • @Africa822
    @Africa822 2 роки тому

    Unakula alergic and poisonous fish

  • @Safaricom_
    @Safaricom_ 2 роки тому +1

    Mombasa ni raha

  • @umayyaali75
    @umayyaali75 2 роки тому

    Yo Ahmed is the tuktuk guy you're bro? You look alike.

  • @hadiabdallah1567
    @hadiabdallah1567 2 роки тому

    Kisha ilikuwa nasubiri tu nasema Mbona sioni drink au ziliisha wakati wa drinks tu😂 ubokhlo nao

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      😂😂😂😂

    • @hadiabdallah1567
      @hadiabdallah1567 2 роки тому

      Ndo nashangaa ati atumia kijiko… kwani yuwaona yuwala ice cream nn

    • @hadiabdallah1567
      @hadiabdallah1567 2 роки тому

      Vitu vya Nazi venyewe hivo wafaa kupeleka matonge jokes tukutane baadae 😂

  • @swalehmahdi1102
    @swalehmahdi1102 2 роки тому

    Thank you. But You ust showed yourselves eating. You were supposed to provide information on the name of the restaurant; location etc

    • @AhmedDawizard
      @AhmedDawizard  2 роки тому

      i did mention it🤷‍♂️ Location majengo sokoni opp burnley