NAFASI YA MAMA NA BABA KULEA MTOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Unajua nafasi na mchango wako kwenye kulea mtoto?
    Unajua faida za mtoto kulelewa na wazazi wote wawili?
    Unajua athari za kisaikolojia anazopata mtoto anapolelewa na mzazi mmoja?
    Je, unaweza kuhusianisha mfumo uliolelewa na haiba yako ya sasa?
    Karibu ujifunze hapa
    Kwa msaada zaidi wa ushauri na kupata flash za mafundisho zaidi ya familia, malezi na ndoa wasiliana nasi kwa 0746104034

КОМЕНТАРІ • 20

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 Рік тому +3

    Huyu pastor Yuko tofauti sana na wanasaikolojia wengine yani nimejifunza kitu kipya kutoka kwake ambacho sijakisikia kwingine

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  Рік тому

      Asante sana..Mungu akubariki na kuzidi sana kukufundisha

  • @Moyowamama
    @Moyowamama 2 роки тому +3

    Very powerful school

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому +1

    Mchg deo Mungu Anaona mpaka ubongo wako,sijawai kuona Wala kusikia maneno magumu Kama haya,Mungu wangu🙏🙏

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  Рік тому

      Mungu azidi kubariki na kuponya maisha yako kwa neno lake..nakuombea

  • @geofreymodestmushema9371
    @geofreymodestmushema9371 Рік тому +2

    Wewe ni Chuo kikuu cha Ustawi wa jamii kinachojitegemea. Mwenyezi Mungu akuzidishie Umri na Nguvu.

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  Рік тому

      Asante sana..namshukuru Mungu kwa neema yake

  • @damianandrew3074
    @damianandrew3074 Рік тому +3

    Mungu you mwema anakutumia vzr mchungaji sifa kwake yeye mungu inatumika vywema

  • @barakandabunganie6585
    @barakandabunganie6585 2 роки тому +3

    Nimekupata pastor

  • @Goals592
    @Goals592 Рік тому

    Safi sana mchungaji

  • @williamshija8154
    @williamshija8154 Рік тому +1

    Da! Namshukru MUNGU kwaajiri ya kukutana na Huyu MTU katika wakati wangu huu wa ujana, najisikia kuandaliwa kuwa Mme Bora ajayee, MUNGU akubariki Sana pastor Sukumbani 🙏🙏🙏🙏

  • @sesiliakasianindimbo5442
    @sesiliakasianindimbo5442 Рік тому +1

    Ameni past .mungu nimwema

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +1

    Asante sana

  • @asiliyetuafrika9542
    @asiliyetuafrika9542 Рік тому +1

    Nimefurahi sana, hili ni somo ambalo nimelipata kwa wakati sahihi

  • @chax255
    @chax255 2 роки тому +1

    Mafundisho mazuri sana pastor nmejifunza kitu.

  • @shindokilawa4075
    @shindokilawa4075 2 роки тому +2

    Inafundisha