Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
WAKILI KIBATALA ATOA TAMKO KALI SAKATA LA WAKILI MWABUKUSI, "NI AIBU KWA NCHI, TUNAONEKANA WAJINGA"
- Додати в
- Мій плейлист
- Переглянути пізніше
- Поділитися
Поділитися
Вставка
Розмір відео:
- Опубліковано 7 лип 2024
- Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
КОМЕНТАРІ • 43
Наступне
Автоматичне відтворення
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'The Chanzo
Переглядів 46 тис.
HUYU HAPA ALIYETOA SIRI NZITO ILI MWABUKUSI KUSHINDA URAIS WA TLS | ALISHITUKIA NJAMA MBAYAMwanzo TV Plus
Переглядів 5 тис.
MWABUKUSI AJIBU SAKATA LA MAKONDA, WANANCHI WAAMBIWE UKWELI, AFUNGUKA UTEKAJIJAMBO TV
Переглядів 112 тис.
Танки ВСУ в Курской области. Что происходит? Руслан Левиев о прорыве границыТелеканал Дождь
Переглядів 2,3 млн
бедный дед на ламборгини- меняет вейп на секретные шкатулки - выиграл айфон, но отказался от призаABRACADABRA TV
Переглядів 6 млн
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shortsБискас
Переглядів 5 млн
«Hummer - ласа ціль для окупанта» #shorts #війна #зсуСуспільне Запоріжжя
Переглядів 186 тис.
MWABUKUSI AFUNGUKA YEYE NI MWANASHERIA WA MPINA, AMTETEA NI SHUJAA, SERIKALI IVUMILIEJAMBO TV
Переглядів 32 тис.
MWABUKUSI AMVAA MWANASHERIA MKUU/ASEMA SIOGOPI, SIISHI KWA VYETI, AMTAJA CHONGOLO, HAMJUI MSANDOMwanaHALISI TV
Переглядів 48 тис.
MAWAKILI 18 WAOMBA KUSIMAMIA KESI YA MPINA KUWASHTAKI SPIKA NA BASHE"WANATUMIA MAMLAKA KWA FAIDA YAOUhondo TV
Переглядів 36 тис.
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in ChicagoFOX 32 Chicago
Переглядів 393 тис.
FULL INTERVIEW: Donald Trump takes questions from NABJ panelABC News
Переглядів 1,2 млн
HILI BALAA! WAKILI DENIS AELEZEA FIGISU UCHAGUZI WA TLS | MWABUKUSI HADI KUSHINDA | POLISI WALIJAZWAMwanzo TV Plus
Переглядів 1,1 тис.
VIJANA WAKIWASHA WIZI WA FEDHA ZA UMMA | UTEKAJI | NGORONGORO | KATIBA MPYA | WATANGAZA MAANDAMANOMwanzo TV Plus
Переглядів 41 тис.
SWALI ZITO LA KAKA YAKE LISSU KWA MWABUKUSI KAMA AKISHINDA URAIS TLS/MWENZIO ALIPIGWA RISASI..JAMBO TV
Переглядів 71 тис.
FULL EVENT: Trump Gives Fiery Interview At National Association Of Black Journalists Convention Q&AForbes Breaking News
Переглядів 2,7 млн
Почему саморез не держится в дереве. Столярные секреты.Стройхак
Переглядів 2,3 млн
«Не хочу, щоб мій син жив в країні, де війна», - за що воює 24-річний морпіх #україна #війна #зсуСлідство.Інфо | Розслідування, репортажі, викриття
Переглядів 842 тис.
«Його, каже, не зламали. Ви гляньте на його очі - вони злі»: Розповідь матері полоненого бійцяСуспільне Донбас
Переглядів 545 тис.
ТРОЙНОЕ ПУТЕШЕСТВИЕ В КИТАЙ, ГОНКОНГ и КОРЕЮTheBrianMaps
Переглядів 5 млн
🔥Огненный фокус с зажигалкой Zippo! #обучениефокусам #александрнапорко #напоркоАлександр Напорко
Переглядів 7 млн
СТАСЯ МАКЄЄВА: СЕРДЮЧКА на гендер паті. Тато ЗРАДЖУВАВ, коли мама хворіла на РАК. Коли українською?Okay Eva
Переглядів 280 тис.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Переглядів 12 млн
У ТЦК втік "улов"ТРК Аверс
Переглядів 259 тис.
Mpeni mwambukusi urais wa TLS yule ni mtetezi wa wanyonge
Atakayempigia kura mwabukusi atabarikiwa mpaka ashangae
Safi saaana wakili msomi kwa darasa huru 😊😊 Asante sana
Safi sana wakili msomi.❤❤❤
Safi sana kibatala umeonyesha ukomavu na hakika ww ni wakili bora tanzania lisaidieni taifa nyie mnao jua sheria
Mabukusi oyeeeeee
Safi sana Wakili, nyie ndio wa kuokoa hili taifa, tunawategemea sana, nyie ni watu muhimu
Yaani Kibatala , nakupa big up , msikubali kuwekewa kiongozi asiyetokana na maamuzi ya mawakili wote.
Mawakili hebu mpeni huyo mwamba hiyo nafasi , naamini watawala watajifinza kusimamia sheria. Sio kuzitunga kisha kuzivunja.
Kibatala❤❤❤❤❤❤
Super kibatala.myonge mnyongeni kwa haki sio kwa kumwonea
Safi sana kibatala umeongea point
Hii ni ushahidi tosha kuwa mifumo yote inayounda serikali haiaminiki!
Akili kubwa sana
Kama mtu anasifa mwacheni ashindwe Kwa kura siyo kumuwekea vikwazo mwabukusi tuko vizuri
Safi sana this our country 😢 😞
Msikubali kuwa mandondocha na idara za chama like kama chama cha cwt wafanyakazi and allies
Safi
Kibatala hongera kwa kulitambua hili
As a very important institution, Your reputation and integrity is at stake. All eyes are on you now. Tumieni busara zetu zote kupunguza au kuondoa tofauti zenu. Ninyi ni nuru na taa ktk taifa. Twawaombea heri
Hongera wakili msomi, taasisi nyigi nchi hii zimelezwa kwa ruzuku ya serikali ,hata mawkili hawajapona pengine wakili
Mwambukusi na Fattuma Karume.
✌️👍👊.
Safi sana umeongea kisomi
Mhe Wakili Kibatala Kwa.sisi watu chini tulio wengi Nyie ndiyo jicho letu kwenye kutafsiri ya Haki kwa kuwa ni Wataalamu kisheria na ndiyo mhimili wa haki kisheria kwa Umma Kinachotokea kumwengua Mhe Wakili Mwabukusi kinaweka doa na mnatuacha njia panda
Safi sana
Hvi kwa hali hyo kweli kama una haki na huna pesa unaweza kusinda kesho mahakamani
Kunywa soda kwa mangi baba nitalipa
Tunawaachia nyinyi ,tulippembeni sio mawakili tunsmuona Mwambukusi.
Anasema wao ndio Muhimu halafu hao hao ndio wanapindisha Sheria kwa Masilahi yao Fatuma Karume Alifungiwa na kufanyiwa kila na kuvamiwa Mulikuwa Kimya BORE KABISA
Piter kibatala, piter madereka, mwabukusi, nani mkali kwenye kesi akisimamia kesi huchomoki ??
Ss kama srkl inapindua huu uchaguzi mdogo hivi wamawakili sembuse huu unaokuja wa nchi nzimaaa hahaahahha shem sana.
Nadhani Dola inapenyeza watu wa kuulinda udhaifu Kila "field of aspect",tutayaona mengi muda ukifika!
Sio shem sana bali ni kilio na kusaga meno sana.
Hii sio taarifa kamili ni ujinga tu
Kama Kibadala kasema mi nani nipinge
Achukue tu,ili tujue mbichi na mbivu za bandari na wamasai sheria inasemaje,maana nanukuu mijitu ina kengeuka tu.
YAANI TLS IMEHARIBIWA SANA NA WATALA WA SERIKALI HII. TLS SASA HAINA RAIS
Ipo siku msiomkubali mwabukusi ipo siku mtakuja kumuona akiwa mkubwa kwenye hili Taifa, Hata kama mtadanganywa lakini usipompigia wewe Watanzania wasiofaidi keki ya Taifa hili tutajiunga nae. Na ipo siku Mwabukusi tutamfanya kuwa mkubwa ndani ya Taifa hili.
Mbona unamtetea huku unampigia mtu kampeni?
Umemsikiliza vizuri?
Safi sana
Kama usingempgia kura 😂😂 mh mwabukusi ni jembe bhn tutakufa nae.