#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 54

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Місяць тому +6

    ❤Asante kwa mafunzo mema wakili msomi Madeleka. Mungu akubariki.

  • @user-jt4lo1og8w
    @user-jt4lo1og8w Місяць тому +4

    Mawakili wamekuwa machawa wa watawala ,hivyo basi wananchi tumebaki yatima .❤❤❤❤

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 Місяць тому

    Shangazi Fatma and Peter Madeleka we are receiving valuable lessons. Thanks so much and God bless you. You are planting seeds that will produce future fruits for all.

  • @PatricePatrice-ue4yl
    @PatricePatrice-ue4yl Місяць тому +5

    MADELEKA WE LOVE U❤ BRO FROM AMSTERDAM 🫶🏿❤️🫶🏿

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому +6

    Madeleka Hongera sana 🎉🎉🎉

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 Місяць тому +1

    we still have a very long journey,hongereni sana kazi yenu ni njema sana kwenye Taifa letu.Watanzania tunawahitaji watu kama nyie ili taifa letu lisonge mbele

  • @lupakisyoassa1579
    @lupakisyoassa1579 2 місяці тому +3

    Ni vizuri majaji wote wakapigiwa kura kuliko kuteuliwa, maana watamtumikia aliye wateua, hata hivyo majaji ni kwa ajiri ya watu.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

    Madeleka nakukubali sana.Mungu akubariki sana.Umeongea mambo mengi muhimu na ya msingi sana.Taifa hili la Tanzania linahitaji watu wenye ujasiri na uthubutu kama ww.Ww ni mzalendo na kizazi cha wana wa Mungu wenye kujiamini.

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff Місяць тому

    I appreciate adv. Madeleka...he's a phenomenal lawyer...Fear is bad than cancer...yes! Bad than death!..

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 Місяць тому

      I'm sorry Sir,ni worse than na siyo bad than

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 2 місяці тому +3

    Anzisheni chama cha mawakili binafsi ili kuusimamia haki bila kufungwa na mifumo

    • @user-eo4bl3do8k
      @user-eo4bl3do8k Місяць тому

      Unasema kweli kabisa, kwasababu nchi hii ni lazima iwe na mawakili wa kweli ,kwasasa mpaka mawakili wametekwa na mfumo wa kichawa wa ccm

  • @yonnasamwel2145
    @yonnasamwel2145 Місяць тому +2

    Mrithi wa Tundu lisu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Місяць тому

    Madeleka one of the brave lndipendet privet advocate in Tanzania vary brave we thanks advocate madeleka with fatuma karume we head your pin point adress tanzania jenelist

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 2 місяці тому +2

    Nyie mawakili kama hamta simama kidete nchi hii utakuwa wa ajabu sana

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 місяці тому +2

    Inasikitisha sana kuwa Rais wa Tanzania ndie anachagua viongozi wa Tz, hapana hapa anakosea, viongozi wanatakiwa kuchaguliwa na wananchi,

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Місяць тому

      Hajakosea, anafuata katiba ina vyosema. SI yeye tuu, hata waliopita na wajao watafanya hivyo hivyo, kwa mujibu wa katiba

    • @mayrfrimi4759
      @mayrfrimi4759 Місяць тому

      @@1961nungwi anajua ugali wao uko wapi na ndio maana kuipitisha katiba mpya inakuwa ngumu kwake,

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Місяць тому +1

    Duhh! Hii nchi imeoza

  • @PatricePatrice-ue4yl
    @PatricePatrice-ue4yl Місяць тому +1

    MWABUGUSI im MACHO'S ❤💯❤

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 2 місяці тому +1

    Mawakili waaminifuhebu saidieni nchi inaangamia hakuna haki katika nchi hii jamani tusaidieni.

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 місяці тому +1

    Inasikitisha sana kwa Tz yetu unakuta baadhi ya viongozi wanafanya uongozi kwenye lazi ambayo jata hawajawah kuisomea, haya ni maajabu ya dunia, wakifeli utakuta wakisema eti unajua nchi zilizoendelea wanapata maendeleo , sijui nn na nn, shem on you.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Kama mahakimu na makarane ni mungu watu hasa makarane ni shida wakaguliwe wafukuzwe na wafungwe

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    Well said

  • @nyandonashon7429
    @nyandonashon7429 Місяць тому +1

    WE JAMAA UNGEGOMBEA URAISI WA TLS NINGEKUPIGIA KURA

  • @knight6757
    @knight6757 2 місяці тому +1

    Madeleka 💪

  • @user-el7ni7xb8k
    @user-el7ni7xb8k Місяць тому

    Nakujubali sana piter madereka wakili msomi

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw Місяць тому

    Katiba mpya ni muhimu,mahakama iwe huru,isipokee amri kutoka kwa watawala.

  • @user-vo7oq3gz9c
    @user-vo7oq3gz9c Місяць тому +1

    Ss wananchi tunawapata wap nyiye mawakil

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 місяці тому +1

    Asante sana madeleka kwakunifuguwa macho na akili

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 Місяць тому

    Yaani mtu kama Msomi Madeleka anapswa kuishi maisha maefu

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu Місяць тому

    P nakupogeza kweri sisi tulio wengi atujielewi kama sio kujitambia.watu wanatekwa,wanauwawa na kupigwa lisasi kama lisu.lakini tunasema ichi inaamani.sio kweri.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Місяць тому

    Chief justice in Tanzania nedd to be pointed by tanzania people not pointed by ccm leadership locel curt need printed by province avoid all this oder from politician from gavment to jurgies what to do it has been so much crush because system of ccm leadership control all gavment system from palament Curt this is really challenge on to our national tanzania

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 місяці тому +1

    Samia nadhani umesikiliza huu mdahalo, na umeelewa, maana ulituambia unapenda kuwa mtandaoni, sasa basi piga kazi acha kutuambia eti umekuwa chura, huongei unasonga . Mbele, ,huko mbele unafikaje lama huoni njia? tusikilize ss wananchi na utufanyie wepesi kuliko magumu tunayopitia sisi watanzania.

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw Місяць тому

    Saluti kwako Madeleka,watu wa aina yako ni wachache.

  • @Master-ww7ur
    @Master-ww7ur Місяць тому

    Ukisikiliza vizuri Fatma anavyoiongelea katba ya 1977 utaelewa kwanini rais wa Kenya hayati Jomo Kenyatta alisema watanzania ni kama maiti hawatakaa waamke wadai haki yao😮

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu Місяць тому

    Fatma mumeweka wazi ili tuwassikie,shida unachaganya lugha wengine atukisoma.elimu hoyo tunaipataje kama sio kutumyima?

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Місяць тому

    Siku zote nawakubali ila leo Madereka na F. Karume nimewakubali zaidi. Kuna suala la gharama za kuendesha kesi mahakamani. Ni kubwa mno kiasi kwamba wanyonge hawawezi na hivyo hawana haki! Ilifaa sana hili nalo mlimulike.

  • @KumbushoMbanga-hf3wx
    @KumbushoMbanga-hf3wx Місяць тому

    Hoja kama hizo ndizo zinazotakiwa

  • @PatricePatrice-ue4yl
    @PatricePatrice-ue4yl Місяць тому

    👍🏿👏🏿👍🏿

  • @PaskalGwandu-q2v
    @PaskalGwandu-q2v Місяць тому

    Kaka madereka rejea comment ya video hi wote wanafki kuwa pafekt

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 Місяць тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌💪💪💪💪💪💪

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 Місяць тому

    NIMEFURAHI SANA KUONA WANAWAKE NA WANAUME WA NCHI YETU WAZALENDO

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 місяці тому +2

    Wadau ukweli ni kwamba Samia anaweza kazi , ila shida kubwa ni kwasababu ameiambia dunia kuwa yeye atakuwa kama chura kwenye uongozi wake. Wanaojua tabia za chura watakuwa wamemuelewa, Mungu ibariki Tz.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 місяці тому

    Hii katiba wanaoingangania ni hawana ccm wanaoitana uchaguzi ukiisha waende Dodoma maana tungekuwa na katiba mpya Kuna viongozi wa serikali wangefia gerezani Kwa ufisadi ila ipo siku wataibadilisha bila kujua wajifunze mfano Kwa majirani zetu

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 2 місяці тому

    Tulipo badilisha, hakutikea chama au taasisi ukuelezea mabadiliko hayo.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому

    Wanakiwasha nn makenge tu hao?

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 місяці тому

    Mawakili wengi baadhi yenu ni machawa wa serikali, na hutarajia uteuzi. Mawakili!!! Umemsikia yule mzee chizi wa ccm alichokisema kuhusu mtu wa ccm na chadema?

  • @calabash4221
    @calabash4221 Місяць тому

    Mawakili wamekuwa wanasiasa. Wanapenda siasa kuliko kutenda haki. Na hili wanalifanya kwa kuwa kwenye siasa kuna mileage. Wakili, Hakimu, mwendesha mashtaka na Jaji...wote wanavutana kwenye technicalities..kama kuna watu wanavunja haki za watu ni mahakimu, majaji na mawakili....

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 місяці тому

    Viongozi wa Tz wanachekrsha walionuna kwa aina ya uongozi wao, mfano unamkuta wazir wa afya hajasomea hata nursin, people are you sirious?? Ni kosa kubwa sana, au mkuu wa majeshi ambae hajasomea hata jeshi

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 2 місяці тому

    Ninyi mawakili na mahakimu wa kike mmekuwa mbele na tayari mno kumsaidia mwanake anayelalamika bila kutafuta kwa kina ili kuweka mzani sawa.Hata ninyi mawakili wa kujitegemea mmekuwa hamfuati haki.