@@elishambukwa7469 Mungu akubariki Sana kwa jinsi anavyo kutumia ni nyimbo ambayo ukisikiliza unauwona uwepo wa Roho Mtakatifu akikuhudumia barikiwa Sana na muomba Mungu nifike viwango kama vyenu barikiwa nime okoka mwezi 3 /2021 nikiwa bado nipo huku Oman naomba Mungu anisaidie
Mtazamo wangu ,Ni vizuri kujaribu vitu tofauti Ili upate kilicho Bora binafsi naona Taito uliyoanza nayo ulipotoa albam ya hufananishwi na chochote ilikuwa pendwa kwangu mpaka Sasa Bado sijaona albam yenye ujumbe mzuri kama Ile na sijajua kwa Nini umeizuiya nyimbo zisipatikane
Tulilala kama wafu ukatuamsha asubuhi tena dah kwakweli iye Mungu hafananishwi
Kaka Elisha Mungu akuzidishe.. Mimi ni shabiki wako katika kristo since udsm cct ukiwa unaimba Hossana choir
🙌🏽 Barikiwa Dada Vaileth, Asante kwa kuniombea
Amen.
Hakuna wakulinganishwa naye .Kazi nnzuri sana barikiwa.
Amen 🙏 Sebene society
Mungu awainue sana
After a long wait
HAKIKA HAKUNA WAKUFANANA NAWE BWANA
Oh Bwana Yesu...hakuna..hakuna...hakuna wa kulingana na wewe hayupo...Pokea ukuu wako na Enzi Bwana🙌🙌🙌
My brother 🙌🏽
The music saasa hadi hasira 🙌🙌😀, wapigaji wanajua saaaana
HUFANANISHWI ni ya moto sana💥💥💥💥😘😘
Glory to God broh
Ooooh hallelujah
Aaaamen🙌🙌🙌🙌🙌🎷🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aisee, manukato ya wimbo huu yafike mbinguni kwenye enzi yake. Bro be blessed
In Jesus name Amen 🙏
Amen amen
Hakika hafananishwi
Kazi Nzuri Sana
Ubarikiwe Brother 🙌🏾
Amen 🙏
Hii nyimbo imeimbwa mara nyingi katika Praise and Worship lakini sio katika namna hii na kiwango hiki!ROHO wa BWANA ameuatamia huu wimbo kwa kweli!
Utukufu una Mungu Mtakatifu sana
Hakuna wa kufanana naye!! Hakuna
Hakika hakuna
Beautiful music
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Great song kwakweli.... No one shall be compared with him🙌🙌🙌, ubarikiwe sana brother and keep it up for the glory of God
Hakika glory to God
Wonderful song bro
Barikiwa sana sana kaka
Hongera kwa kazi njema
Amen 🙏
Mungu akubariki ktk huimbaji wako
🙌🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakuna wakufananishwa nae, huu wimbo unanibariki sana, sauti zimetulia ujumbe unapenya, ubarikiwe sana
Waow ...amazing
This is Waooooo🥰🥰🥰
Kak mkubwa this song am speechless 🙌🙌🙌
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu wimbo huu unanihudumia sana
Always wow.... 💥💥💥
Wimbo huu una mafuta ya Roho Mtakatifu na nguvu zake
Sifa kwa Roho wa Bwana 🙌🏽
Unanibariki sana sana sana....au basi tu!! Mungu akuzidishie uzidi kugusa mioyo ya watu!!
🙌🏽🙌🏽 Asante kwa kuniombea
Kabisa tunahifadhiwa na rehema za Mungu
Mpangilio wa sauti, yaani the whole team is lit🔥🔥🔥🔥 kwakweli
Mungu amefanya
Kaka kwani kujiunga huku bei gani barikiwa sana
waoow good
Woow hafananishwiiii
This is Elisha I know🔥🔥🔥
I’m humbled
Brother hongera Sana Yesu akubariki, Nataka uje kuhudumu kigoma please
Asante sana, nitazishusha nyavu
Nitakaribia
Hongera sana Kaka Mungu akubariki Sana
Huu wimbo Ni Mzuri sana
Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu.
Brother ubarikiwe sana huduma yako ni njema sana
Amen 🙏 broh
Haleluya,be blessed man of God ,good work
Glory to God.
Hakuna wa kulingana na Mungu.
Hakuna na hatakuwepo
Wonderful song 🎵
God bless you abundantly, it so powerful message that spread the kingdom of God
Yesu atuwezesha
OMG this song Elisha 🔥🔥
Umenibariki saaana
Mungu akubariki 🙏
Glory to God
Sifa ni za Bwana Yesu pekee
Zote ni zake zote 🙌🏽
Much love brother ❤❤❤❤❤❤
Glory to glory
Always God 🙌🏽
Oooh Bwana wewe ni wa pekee
Truly powerful 🙌🙌🙌🙌
Mungu mkuu atenda
Acha niku tumaini wewe Bwana wangu 👏
Amen 🙏
@@elishambukwa7469 Mungu akubariki Sana kwa jinsi anavyo kutumia ni nyimbo ambayo ukisikiliza unauwona uwepo wa Roho Mtakatifu akikuhudumia barikiwa Sana na muomba Mungu nifike viwango kama vyenu barikiwa nime okoka mwezi 3 /2021 nikiwa bado nipo huku Oman naomba Mungu anisaidie
What a blessing to hear such a wonderful testimony
@@elishambukwa7469 yes brother ni matendo ya Mungu tu yanazidi kunishangaza nabaki kufulahiaya ukuu wake Amen
Timely song..barikiwa sana bro
Glory to the living God fam
Sweet music.
Be blessed
🔥🔥you guys❤🔥.
i'm blessed
God bless you my brother....
Glory to God
nice song,i appreciate you brother Elisha.
Glory to Almighty 🙌🏽
Ndugu yangu 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
Ndugu yangu 🦾
Haatar mma leka ghwimbile nkamu
Kyala atufighweghe kikolo 🙌🏽
Yesu haufananishwi
Powerful
Great.......
Ubarikiwe sana kaka Eliaha Mungu akakupeleke viwango vingine ,ebrania 1:9 amina
Amen 🙏
Hii kali sana brother
Kwa utukufu wa Mungu 🙌🏽
Amen
Gloreeey
Amen
God bless u man of God
Amen 🙏
Here we go
Beautiful worship there
Glory to glorious God 🙌🏽
Mtazamo wangu ,Ni vizuri kujaribu vitu tofauti Ili upate kilicho Bora binafsi naona Taito uliyoanza nayo ulipotoa albam ya hufananishwi na chochote ilikuwa pendwa kwangu mpaka Sasa Bado sijaona albam yenye ujumbe mzuri kama Ile na sijajua kwa Nini umeizuiya nyimbo zisipatikane
Powerful 🙌🔥
Mungu amefanya Sis
Utukufu kwake aliye juuu barikiwa milele amina
Is there any way of liking the song twice on my account?? 🙌🙌🙌🙌 GLORY TO GOD
Blessed with this great song. God bless you Minister
Glory to God
Iyee iyee haufananishwiii
HAUFANANISHWI NA KITU BWANA
Glory to God in the highest.
Amen 🙏
👌
Wonderful🔥🔥
tulilala kama wafu atukukumbuka chochot lakin ukatuamsha salama asantee sana yesu
This is amazing. Blessed ministry.
Amen 🙏 man of God
🔥🔥
Hallelujah
🙌🙌
Gloreeey
Iyee iyee haufananishwiii