Utenzi wa kumbukumbu ya Maalim Seif

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лют 2022
  • Thubayta Makame anaghani utenzi ulioandikwa na Maalim Kombo Khamis unaozungumzia mwaka mmoja tangu kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 12

  • @muuminikweli
    @muuminikweli 2 роки тому +8

    Allah amrehemu kipenzi chetu Wazanzibar, daima yu ndani ya mioyoni mwetu

  • @muuminikweli
    @muuminikweli 2 роки тому +6

    Utenzi umepata msomaji maa shaa Allah

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 роки тому +5

    Allah amsameh makosa yke amuondoshee adhabu ya qabr amjaalie miongoni mwa waja wema amjaalie pepo yke Amen yarabby na kila muislam.

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Masahaallh yarabi wasamehe wajawako walio tanguliya na sisi tuli nyuma yao tujaaliye mwisho mwema

  • @juweiriyaah7040
    @juweiriyaah7040 Рік тому

    Mungu amsamehe baba yetu kipenz inalillahi wainna ilaih rajiun

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Рік тому

    Mashaallah dah 😭😭

  • @alinassor391
    @alinassor391 2 роки тому +2

    Mashaallah m.mungu akulinde saut mwanana

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 роки тому +2

    😭😭😭😭😭

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 2 роки тому

    Jamani haya mambo sio sawa kwenye dini yetu, kweli tulipata pigo kubwa Zanzibar lkn kuhuzunika kwa msiba kuna muda maalum ulowekwa na sheria, tuseme alhamdulillahi Allah atupe mwengine alokua bora kuliko alokuwepo lkn tusiwe tunahuzunika kila siku mwisho tutakuja kumkosea Allah

  • @abduliauni8048
    @abduliauni8048 2 роки тому +3

    Roh inaniuma