ONA SKILLS, MAGOLI, ASSIST ZA JEAN CHARLES AHOUA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA BALAA/ NDIE MRITHI WA CHAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • #BATTLETV

КОМЕНТАРІ • 17

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 21 день тому +2

    Maisha marefu Mo dewj.. kazi tunaiona wanalunyasi❤

  • @rahmapesazangu934
    @rahmapesazangu934 21 день тому +1

    Inshallah atakuwa zaidi ya chamaaa dua zetu ni kwake mwamba huyu hapa

  • @AhadiMoses
    @AhadiMoses 21 день тому +1

    Safisanaaaa ,,,, apo unyamaaaa, wanasimba tunaenda kuvuma Africa nzimaa💯💪

  • @NkilijiwaKakinda
    @NkilijiwaKakinda 21 день тому +1

    Jaman yanga wataogopa maana vyuma vinashuka vingi

  • @mustafamohamed-y1i
    @mustafamohamed-y1i 21 день тому +1

    Simba unyama nimwingi wanasiimbaaaaa

  • @HawaUtegele
    @HawaUtegele 21 день тому

    Duwa zetu na imani yetu ipo kwako

  • @MashauriMbusiro
    @MashauriMbusiro 21 день тому +1

    Skillz za mkware mchezaji mpya simba

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 21 день тому +3

    HUYU AMECHEZA NA MICHUANO YA AFRICON KARIBU SANA

  • @MartinLudigery
    @MartinLudigery 21 день тому

    Huu ni mwaka wetu

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 21 день тому +1

    Kwa tambo za mdomoni Simba hamjambo vitendo ziro

  • @BakariBakari-u2u
    @BakariBakari-u2u 21 день тому +1

    Hata chama alikuwa wa kawaida sana umaarufu kaupatia simba

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 21 день тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JAMESMATHEW-hn1cx
    @JAMESMATHEW-hn1cx 21 день тому +2

    Kazi ya MO hii hakuna mchezo ni kweli waache afanye kazi ya usajili mwenyewe

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 21 день тому +2

    Mtangazaji umejichanganya...historia inaonesha huyu mchezaji kuna msimu alitoa assists 2500 peke ake ni mtu zaidi ya pele, ronaldinho, maradona, messi wajumlishe kwa pamoja hawamfikii huyu dogo