Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
yeah voice wonder alichosema kuhusu ushindani dom hasa makole na mlezi mpaka leo bado upo bt big up faza voice wonder nakukubali
Kuitwa voice wonder ilikuwa sahihi, respect Dulla...respect Voice Wonder!!!
Voice wonder 2024 planet bongo kabaki summer wengine washahama station hii😅😅 Leo mwez wa9 trh10
daaaa yani nyimbo zako uwa zinanikumbusha mbali sanaaa kiasi kwamba siwez kuyazuiya machozi😭😭😭
Hapo kesha mmic ratifa
Namkubari sana huyo mwamba kafanya makubwa
asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee weeeeeeee wounder voice
Nimekosa
Najikuta machozi yananitoka kuona msanii kama voice wonder haimbi mziki wakati alikuwa anaweza sana
Umetisha Sana wangu nakukubali sana
Namkubali Sana huyu Kaka
Wonder boe nakubalee saanaaaa....❤😘
true
nakukubali sana bro
N
Namuelewa sana huyu jamaa
Kuna wimbo wake unaitwa Mama yele kamshirikisha Banana Zorro nautafuta balaa
Ila jamaa inaonesha anajikubali sana
yaan hii ndo heshima ya bongo fleva voice wonder hakuna wa kukugusa ktk saut na mashairi
Mwamba rudi tunakuelewa sana sisi wa 205-15
Respect sana Dulla planet kwa kufufua makaburi heshima kwako
Kha! kaka makaburi tena 😂😂😂😂
Jamaa yuko poa sana ila kiukwel mzuki wa enz zao haukuwa na kipato kiivo
Frida dah
🔥
Unaweza kka
umetisha sana wonder
Huyu jamaa Yuko wap
2003 iyooo enzi izoooo
Jamaa kitambo huyu
Kitu kambaaaaa
kwa niaba y wana iko poa
voice rudi banaaa
👏
Jamaa yetu pale Nuru sec
huyo jamaaa yupo
fureshiiiiii
A weer
Aisee kumbe huyu ndo vpice wonder...daah zaidi ya miaka kumi nimekuwa nikiitafuta hii ngoma bila kujua title ns jina la msanii...nakumbuka alimshirikisha nature nahisi...daah hii ni bonge la joint ilkuwa
Sasa iyo nayo vp
huyu jamaa namzimia.jina lake kamili anaitwa nani
Ismail
Ismail Ally
Sauti ya majaabu
Huyu si Friday amani huyu dada
Duh..
Mbona mwanya hapa Hana? Wakat kwenye nyimbo anaonekana anamwanya?
Huyu mimi simfahamu kabisa
Ni kwa wakongwe tuu mkuu..!! Enzi za mkapa term ya kwanza kuwa Presda
Basi wewe mtoto wa juzi huyu ni msanii mkali miaka 14 iliyopita
Bado ulikuwa mdogo uyoo msanii alievuma vzr tu