DC KIBAHA AMPA KONGOLE RAIS SAMIA UJENZI WA DARAJA LA MTO MPIJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • HABARI NA VICTOR MASANGU/PWANI.
    SAUTI YA ALBERT G. SENGO
    Jeshi la nchi kavu limekabidhi rasmi daraja la muda la mto Mpiji linalounganisha Wilaya.mbili za Kibaha Mkoa wa Pwani na Manispaa ya Ubungo kwa mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Saimon ambaye naye amelikabidhi kwa uongozi wa Tarura.
    #kibaha
    #pwani
    #samiasuluhuhassan

КОМЕНТАРІ •