Padre Dkt KAMUGISHA:Ukizingatia mambo haya ni LAZIMA ufanikiwe katika Maisha/Waumini washangilia....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Hatupangi kushindwa,Tunashindwa kupanga.
    Hakikisha hukosi kufuatilia Magundisho ya Padre na Mwalimu Nguli wa Mafundisho ya Kanisa Dkt Faustine Kamugisha ambaye ni Paroko wa Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba.
    Tutashukuru kuona maoni yako kwenye Comment ukimtakia neno la Baraka na Matashi mema katika utume wake ambao Mungu mwenyewe Amemuitia.
    #BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #PdKamugisha
    Breez Online Tv
    S.L.P 38655
    Dar Es Salaam Tanzania
    Phone No: +255 756494796
    Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
    Mitandao Mingine ya Kijamii:
    Facebook: breez online Tv
    Facebook Link: / breez-online. .
    Instagram:Breez Online Tv

КОМЕНТАРІ • 43

  • @annmuthoka7990
    @annmuthoka7990 5 місяців тому +1

    Good job ,, ninatamka baraka juu yako

  • @user-fo9du3mt7i
    @user-fo9du3mt7i 4 місяці тому

    Asante Baba Padre kwa mafundisho mazuri

  • @bensonmwabulambo9663
    @bensonmwabulambo9663 4 місяці тому

    Ahsante Sana Father

  • @mkundejeremia3896
    @mkundejeremia3896 9 місяців тому

    Barikiwa sana

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 11 місяців тому

    Amina

  • @phillipdhahir9873
    @phillipdhahir9873 9 місяців тому

    Mafundisho ni mazuri kwa kweli.❤

  • @gidionmibaluro7085
    @gidionmibaluro7085 9 місяців тому

    nashukuru sana father ........nazid kujifunza ...Mungu akubaliki kwa kuelimisha wanakondoo," tutaota ndoto" uzid kutupa somo Mungu akubaliki.

  • @sadockkaguzi305
    @sadockkaguzi305 3 роки тому +2

    Nashukuru kwa ujumbe na mafundisho father nimejifunza mengi

  • @emmanuelmfoy3316
    @emmanuelmfoy3316 8 місяців тому

    Asante sana baba padre KAMUGISHA na MUNGU akubariki kwa mafundisho yako mazuri 🙏

  • @osamahamisi8610
    @osamahamisi8610 2 роки тому +1

    Asante sana Padre Dkt Kamugisha kwa mafundisho yako na yamenifungua sana Kimwili, Kiakili na Kiroho. Mungu Akubariki Sana.

  • @alexedward7709
    @alexedward7709 3 роки тому +1

    Nimekuelewa vizuri.
    "Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga"
    Amina.

  • @tusengecele1012
    @tusengecele1012 Рік тому

    Asante Mungu kwa kuweka vipazi vyema kwa Mtumishi wako : Padri Faustin Kamugisha.

  • @MonikaAsedi
    @MonikaAsedi Рік тому

    Asante kwa mafunisho mazur baba mungu akubariki

  • @teklakibamtura2534
    @teklakibamtura2534 2 роки тому

    Asante padre najifunza vitu vingi kutoka kwako

  • @ngishhellen
    @ngishhellen Рік тому

    We dont plan to fail,we fail to plan. Thanks fr for homily. I will start from where they left. May God bless u fr Kamingisha

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 роки тому +3

    I’m watching Padri from USA 🇺🇸 you blessed me a lot today. That massage it was for me. 🙏🙏💯

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 2 роки тому

    Father Kamugisha ninashukuru sana kwa mafundisho yako. Yaani unabadilisha mitazamo ya watu wengi.

  • @user-zs2yl6sw6b
    @user-zs2yl6sw6b Рік тому

    Father ubarikiwe

  • @christina40mwangosi97
    @christina40mwangosi97 3 роки тому

    Nimekuelewa Father Kamugisha. Mungu Aliye Hai Akubariki Sana.

  • @ozeekambale1333
    @ozeekambale1333 Рік тому

    Nachukuru baba Mungu asifiwe .

  • @marierosemukaneza6558
    @marierosemukaneza6558 3 роки тому +1

    Ubalikiwe Sana Father Kamugisha , Roho wa Mungu aendelee kukuongoza kwa kila neno lolote unataja kwa mdomo wako

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 3 роки тому

    Nimekuelewa vizuri asante kwa mafundisho

  • @mussajohn1362
    @mussajohn1362 2 роки тому

    Asante padri nimefurah sana

  • @ngangac.njenga
    @ngangac.njenga 3 роки тому

    Fr. Unanijega sana nashukuru Mungu

  • @jacksonmonyoncho2899
    @jacksonmonyoncho2899 2 роки тому

    Mimi ukuzikiza hadi saa saba usiku juu maubili yako unijenga sana 🇰🇪 from 🇶🇦

  • @silvesterhuche8002
    @silvesterhuche8002 3 роки тому

    Namsikiliza vzr sana,Kamugisha

  • @edwardambogo772
    @edwardambogo772 3 роки тому +1

    I'm watching patre kamugisha live from Kenya eldoret ,,asande saana father kwa mafuntisho ya kila juma umenifunza meng .GOD please you kamugisha

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 2 роки тому

    Ameeeeeen

  • @emmanuelpaul2446
    @emmanuelpaul2446 3 роки тому

    Asante sana

  • @gracemoruri3575
    @gracemoruri3575 2 роки тому

    I'm watching from Kenya,Father be blessed abundantly.Let God give you more wisdom n faith,unafunza vilivyo ,na ni ukweli mtupu!! Barikiwa Sana.

  • @masumbukojoseph4494
    @masumbukojoseph4494 2 роки тому

    Asante

  • @puritywachira143
    @puritywachira143 2 роки тому

    Thank you father for yr good teachings, your teachings are blessing to my soul, watching from kenya

  • @johnsonjamesmkurasi5266
    @johnsonjamesmkurasi5266 2 роки тому

    🙏

  • @juliusmvulungu4407
    @juliusmvulungu4407 2 роки тому +2

    Mafundisho yako baba yanatujenga

  • @neemasonje3992
    @neemasonje3992 2 роки тому

    Baba, unanifungua pakubwa mno, kwa mafundisho hayo, napata kuwa jasiri

  • @prospernshimiyimana8761
    @prospernshimiyimana8761 3 роки тому

    Padle unisaidie kwa maombi mtu niliesaidiya ameniyiba motagali akifungisha chauffeur at amebaka kea musingiziya akisaidiwa na police na mwanasheliya wa Ituri RDC ivi nimetembeya 700km kwa kuwafwata.aksanti.

  • @jacksonmonyoncho2899
    @jacksonmonyoncho2899 2 роки тому

    Akika wewe padri kamugisha huna upako mkubwa sana

    • @vicentndiholeye1067
      @vicentndiholeye1067 2 роки тому

      fatha nakuombea munguakuzidishie neema nyingi zakutufundisha

    • @corneliusboke3037
      @corneliusboke3037 Рік тому

      God be with you father Kamungisha,your teaching are really changing my life 🙏

  • @sadockkaguzi305
    @sadockkaguzi305 3 роки тому +1

    Nashukuru kwa ujumbe na mafundisho father nimejifunza mengi

  • @dorcusmassawe5096
    @dorcusmassawe5096 2 роки тому

    Aminaa