#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • • #live SEMAJI AHMED ALL...

КОМЕНТАРІ • 12

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 3 місяці тому +5

    Ahsante Viongozi wetu Kwa kumbakiza Aubin Cramo

  • @AnastaziaCharles-cz2yv
    @AnastaziaCharles-cz2yv 3 місяці тому +3

    Asante Mo kumbakiza kramo

  • @ShaibuMlowe
    @ShaibuMlowe 3 місяці тому +1

    Mungu ibaliki simba yet mashabiki tupopamoja nanyie

  • @mohamediraphaeli4343
    @mohamediraphaeli4343 3 місяці тому +4

    Mungu ibariki simba ijayo maana wewe ndio uwezae

  • @sudisilako5468
    @sudisilako5468 3 місяці тому +2

    semaji la caf

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 3 місяці тому +2

    Tanzania haijawahi kufanya usajili bora kama wa simba safari hii..
    Wafalme wapya wa soka la Tanzania wanakuja soon..
    Haya majina tuliyoyazoea yanaenda kupotea muda si simrefu..
    Time will tell

  • @MlekwaMlekwa-d1k
    @MlekwaMlekwa-d1k 3 місяці тому +2

    Jiweken vzur wachezaji watu tarehe 8 tukutane nao hao utopolo tuwakande

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 3 місяці тому +2

    Baado senk you ya Onana hatutaki wachezaji wavivu hapo hamna kuvaa hereni tunata mishababi ya uwezo wa kupambania tim

  • @MartinKimbwi
    @MartinKimbwi 3 місяці тому +2

    😅😢😅😮😅😅 0:25 0:25 😮 0:27

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 3 місяці тому +6

    Kanout aondoke anapenda yellow card sana na faulo za kijinga

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 3 місяці тому

    Nashkuru Kwa Aubin kraamo kuwepo

  • @LUCASSANGARUFU
    @LUCASSANGARUFU 3 місяці тому +1

    Moja ya makosa makubwa tuliyoyafanya ni kumuacha kanoute