Sports Star HD
Sports Star HD
  • 179
  • 1 044 683

Відео

SEMAJI AHMED ALLY AUNGURUMA LIVE KUHUSU CHE MALONE KUOMBA MSAMAHA/ WASAFI WAWAONYA CS COSTANTINE
Переглядів 1,7 тис.День тому
SEMAJI AHMED ALLY AUNGURUMA LIVE KUHUSU CHE MALONE KUOMBA MSAMAHA/ WASAFI WAWAONYA CS COSTANTINE
CHEKI UCHAMBUZI WA WASAFI KUHUSU SIMBA NA BRAVOS/ AMBANGILE AMVULIA FADLU KOFIA/ SEMAJI AUNGURUMA
Переглядів 1 тис.День тому
CHEKI UCHAMBUZI WA WASAFI KUHUSU SIMBA NA BRAVOS/ AMBANGILE AMVULIA FADLU KOFIA/ SEMAJI AUNGURUMA
SEMAJI LA CAF AUNGURUMA MARA BAADA YA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI SHIRIKISHO/ ATOA TAHADHARI🔥🔥
Переглядів 770День тому
SEMAJI LA CAF AUNGURUMA MARA BAADA YA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI SHIRIKISHO/ ATOA TAHADHARI🔥🔥
DILI LA KIUNGO FUNDI IMOURANE HASSAN KUTUA SIMBA IPO HIVI/ WAZUNGU WAINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO
Переглядів 395День тому
DILI LA KIUNGO FUNDI IMOURANE HASSAN KUTUA SIMBA IPO HIVI/ WAZUNGU WAINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO
SEMAJI AUNGURUMA LIVE CROWN KUHUSU HALI YA KIKOSI/ AFUNGUKA SABABU KUACHWA KWA MANULA
Переглядів 6 тис.День тому
SEMAJI AUNGURUMA LIVE CROWN KUHUSU HALI YA KIKOSI/ AFUNGUKA SABABU KUACHWA KWA MANULA
SEMAJI AUNGURUMA LIVE WASAFI KUHUSU KIKOSI KUELEKEA ANGOLA/ FADLU ACHEKI NA MTU/ WASAFI WACHAMBUA
Переглядів 2,7 тис.14 днів тому
SEMAJI AUNGURUMA LIVE WASAFI KUHUSU KIKOSI KUELEKEA ANGOLA/ FADLU ACHEKI NA MTU/ WASAFI WACHAMBUA
ISHU YA SIMBA KUSHUSHA STRAIKA LA BOLI WASAFI WACHAMBUA/ AHMED ALLY AFUNGUKA KILA KITU
Переглядів 38 тис.14 днів тому
ISHU YA SIMBA KUSHUSHA STRAIKA LA BOLI WASAFI WACHAMBUA/ AHMED ALLY AFUNGUKA KILA KITU
SEMAJI AUNGURUMA LIVE WASAFI KUHUSU USAJILI/ JOSHUA MUTALE ATAJWA/ KUIFUATA BRAVOS TAREHE TISA
Переглядів 38 тис.14 днів тому
SEMAJI AUNGURUMA LIVE WASAFI KUHUSU USAJILI/ JOSHUA MUTALE ATAJWA/ KUIFUATA BRAVOS TAREHE TISA
CROWN SPORTS WAMCHAMBUA ELIE MPANZU NI LEVEL NYINGINE WAPINZANI WAJIPANGE GEOF LEA AFUNGUKA
Переглядів 11 тис.14 днів тому
CROWN SPORTS WAMCHAMBUA ELIE MPANZU NI LEVEL NYINGINE WAPINZANI WAJIPANGE GEOF LEA AFUNGUKA
CHEKI UCHAMBUZI WA CROWN KUHUSU SIMBA AHOUA ANA BALAA/ DAKIKA 22 ZA MOTO BRAVOS WAJIPANGE
Переглядів 2,5 тис.14 днів тому
ua-cam.com/video/xLEl81ZoJ_k/v-deo.html
MNYAMA UHAKIKA ROBO FAINALI/ SEMAJI AUNGURUMA LIVE ATEMA CHECHE AICHIMBA MKWARA BRAVOS KUIVAMIA
Переглядів 4,2 тис.14 днів тому
MNYAMA UHAKIKA ROBO FAINALI/ SEMAJI AUNGURUMA LIVE ATEMA CHECHE AICHIMBA MKWARA BRAVOS KUIVAMIA
KUHUSU KUTUA SIMBA …. FEI TOTO AVUNJA UKIMYA….ATAJA MSIMAMO WAKE KWA AZAM FC…
Переглядів 30221 день тому
KUHUSU KUTUA SIMBA …. FEI TOTO AVUNJA UKIMYA….ATAJA MSIMAMO WAKE KWA AZAM FC…
CHEKI UCHAMBUZI WA CLOUDS FM SIMBA DHIDI YA JKT PENALTY ILIKUWA SAHIHI, SIMBA AMECHEZA KIKUBWA
Переглядів 1,4 тис.28 днів тому
CHEKI UCHAMBUZI WA CLOUDS FM SIMBA DHIDI YA JKT PENALTY ILIKUWA SAHIHI, SIMBA AMECHEZA KIKUBWA
HII SIMBA NI BALAA FADLU AUKUBALI MUZIKI WAKE/ WACHEZAJI WAMEIVA/ SIKIA UCHAMBUZI WA AMBANGILE
Переглядів 14 тис.28 днів тому
ua-cam.com/video/1dNaTT9VWgo/v-deo.html
HUU ELIE MPANZU ANA BALAA/ KOCHA FADLU AMVULIA KOFIA/ CHEKI ALICHOKISEMA NASRI
Переглядів 947Місяць тому
HUU ELIE MPANZU ANA BALAA/ KOCHA FADLU AMVULIA KOFIA/ CHEKI ALICHOKISEMA NASRI
NASRI AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ IPO SIKU MTU ATAFUMGWA GOLI KUMI/ UBINGWA WANASTAHILI
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
NASRI AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA/ IPO SIKU MTU ATAFUMGWA GOLI KUMI/ UBINGWA WANASTAHILI
MPANZU KUCHEZA LIGI KUU AHMED ALLY AUNGURUMA LIVE HII NI MASHINE YA KUONGEZA MALALAMIKO
Переглядів 8313 місяці тому
MPANZU KUCHEZA LIGI KUU AHMED ALLY AUNGURUMA LIVE HII NI MASHINE YA KUONGEZA MALALAMIKO
HANS GEOFF LEA WAUNGURUMA LIVE WAMCHAMBUA ELIE MPANZU JAMAA ANAJUA SANA/ SIMBA WAMELAMBA DUME
Переглядів 4533 місяці тому
HANS GEOFF LEA WAUNGURUMA LIVE WAMCHAMBUA ELIE MPANZU JAMAA ANAJUA SANA/ SIMBA WAMELAMBA DUME
CHUMA KIMETUA MPANZU TAYARI NI MNYAMA/ SEMAJI AUNGURUMA MWAMBA KUTUA KAMBINI/ KUNA CHUMA KINGINE
Переглядів 1 тис.3 місяці тому
CHUMA KIMETUA MPANZU TAYARI NI MNYAMA/ SEMAJI AUNGURUMA MWAMBA KUTUA KAMBINI/ KUNA CHUMA KINGINE
TAJIRI MOHAMMED DEWJI AUNGURUMA LIVE CROWN AUTAKA UBINGWA CAF/ MPANZU SASA KUTAMBULISHWA MSIMBAZI
Переглядів 1,8 тис.3 місяці тому
TAJIRI MOHAMMED DEWJI AUNGURUMA LIVE CROWN AUTAKA UBINGWA CAF/ MPANZU SASA KUTAMBULISHWA MSIMBAZI
MNYAMA SIMBA MBABE WA AZAM/ ATEBA NI MTU WA MAANA KABISA/ SIKIA UCHAMBUZI WA CROWN
Переглядів 5653 місяці тому
MNYAMA SIMBA MBABE WA AZAM/ ATEBA NI MTU WA MAANA KABISA/ SIKIA UCHAMBUZI WA CROWN
GB 64 AMPASUA ALLY KAMWE/ ATEBA NI BALAA, HUYU MPANZU ATAKUJA KUUWA WATU/ SIKIA ALICHOKISEMA
Переглядів 2494 місяці тому
GB 64 AMPASUA ALLY KAMWE/ ATEBA NI BALAA, HUYU MPANZU ATAKUJA KUUWA WATU/ SIKIA ALICHOKISEMA
TRY AGAIN ATHIBITISHA KUMSAJILI ELIE MPANZU/ AMESAINI MITATU SIMBA/ SIMBA HII NI HATARI
Переглядів 1,3 тис.4 місяці тому
TRY AGAIN ATHIBITISHA KUMSAJILI ELIE MPANZU/ AMESAINI MITATU SIMBA/ SIMBA HII NI HATARI
HANS AMCHANA MAKAVU JOSHUA MUTALE/ FADLU AMPEE MUDA ZAIDI COMBINATION NA MPANZU NI BALAA
Переглядів 5444 місяці тому
HANS AMCHANA MAKAVU JOSHUA MUTALE/ FADLU AMPEE MUDA ZAIDI COMBINATION NA MPANZU NI BALAA
SIMBA ATINGA MAKUNDI UCHAMBUZI CROWN /SIMBA WALIOFANYA VITU KWA USAHIHI/ ATEBA NI MTU NA NUSU
Переглядів 5204 місяці тому
SIMBA ATINGA MAKUNDI UCHAMBUZI CROWN /SIMBA WALIOFANYA VITU KWA USAHIHI/ ATEBA NI MTU NA NUSU
ISHU YA FEISAL SALUM KUTUA MSIMBAZI IPO HIVI SEMAJI AUNGURUMA LIVE/ AWATAJA YANGA
Переглядів 1724 місяці тому
ISHU YA FEISAL SALUM KUTUA MSIMBAZI IPO HIVI SEMAJI AUNGURUMA LIVE/ AWATAJA YANGA
DEAL DONE MPANZU ATUA NCHINI AKAMILISHA KILA KITU SASA NI MALI HALALI YA SIMBA/ MO AFANYA KUFURU
Переглядів 17 тис.4 місяці тому
DEAL DONE MPANZU ATUA NCHINI AKAMILISHA KILA KITU SASA NI MALI HALALI YA SIMBA/ MO AFANYA KUFURU
SEMAJI ATHIBITISHA ELIE MPANZU KUTUA NCHINI AKUTANA NA MO DEWJI ALA MKATABA WA MIAKA MITATU MSIMBAZI
Переглядів 47 тис.4 місяці тому
SEMAJI ATHIBITISHA ELIE MPANZU KUTUA NCHINI AKUTANA NA MO DEWJI ALA MKATABA WA MIAKA MITATU MSIMBAZI
UKWELI WOTE FEISAL KUITAKA SIMBA HUU HAPA/ ZAKA ACHARUKA/ FEISAL MWENYEWE ATHIBITISHA KUONDOKA AZAM
Переглядів 4164 місяці тому
UKWELI WOTE FEISAL KUITAKA SIMBA HUU HAPA/ ZAKA ACHARUKA/ FEISAL MWENYEWE ATHIBITISHA KUONDOKA AZAM

КОМЕНТАРІ

  • @iddkawozya3714
    @iddkawozya3714 9 днів тому

    Mjadala wenu huu natuchea na unatukumbusha machingu

  • @iddkawozya3714
    @iddkawozya3714 9 днів тому

    Acheni siasa kwenye mpira huyo siyo mkubwa kuliko Simba ajitathimini anatuuza

  • @iddkawozya3714
    @iddkawozya3714 9 днів тому

    Huyo alipasia kwanini awe yeye t u

  • @iddkawozya3714
    @iddkawozya3714 9 днів тому

    Mazuri 1000 kosa Moja huyaondowaazuri yote mazuri anatutania huyo yupo upande 2

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 9 днів тому

    Hyuu mwarabu ni shoga makosa ya malon niyakujirudia

  • @Amos-z7z
    @Amos-z7z 9 днів тому

    Aposhekhe imeongea ukweli mpirani mchezo wanakosa viongozi wapez mashabiki inastahili kumsamehe malon

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 10 днів тому

    Huyu jamaa cocha ampe mazoezi ya kupiga pac

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 днів тому

    CHE MALONI KWANINI KILA CK ANARUDISHA MPIRA NYUMA MARA AJIFUNGE SASA TATIZO LIKO WAPI?SOMA HZ COMENTI KWANINI UNAFANYA HAYO?UNAIGARIMU SANA TIMU. UJIANGALIE

  • @ezramnyilinga3735
    @ezramnyilinga3735 13 днів тому

    hili semaji la ubaya ubwelaa hajawai kufel🎉🎉

  • @HumphreyShukia
    @HumphreyShukia 13 днів тому

    Simba kuingia robo niuhakika @kupitia bravos, kwanza simba inampango wakucheza fainal kwahiyo bravos apende asipende kipigo pale pale wakichega sana has sare kwenye matokeo haya mawili moja wapo simba muhim

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 14 днів тому

    Mungu tusaidie tulud na ushind mnono

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 14 днів тому

    Wew semaji ww acha bas hii ndo maana ya ubaya ubwelaaaa

  • @Veronica-z6b4t
    @Veronica-z6b4t 14 днів тому

    Wanatosha wapo vizuri ❤❤

  • @StanslausBaggo
    @StanslausBaggo 15 днів тому

    13:36 13:36

  • @StanslausBaggo
    @StanslausBaggo 15 днів тому

    13:36

  • @StanslausBaggo
    @StanslausBaggo 15 днів тому

    13:36

  • @StanslausBaggo
    @StanslausBaggo 15 днів тому

    kwa wachezaji wanatosha,kuwepo na mzunguko,wa mchezaji mmoja,mmoja

  • @MussaKassimu-w2g
    @MussaKassimu-w2g 15 днів тому

    Mbona Al hilal haujaitaja mm sjapenda

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 15 днів тому

    Wanatosha kabisaaa huyo saidi siyo simba hao waliopo ndo wameifikisha simba kileleni wenye kastreika wazuri wapo nyuma

  • @TainiKilendu
    @TainiKilendu 15 днів тому

    Mayele hapana

  • @ShukuranBahati-f1r
    @ShukuranBahati-f1r 15 днів тому

    Kd.ddd.d

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 15 днів тому

    Mo mchukue Mayele

  • @VenanceMajiyasoda
    @VenanceMajiyasoda 15 днів тому

    Mzamiru tena😂😂

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 15 днів тому

    Kushinda kwa Bravo, Simba beki yake ipunguze makosa sana maana straiker ya Bravo nyumbani ni hatari mno.

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 15 днів тому

    Mtale anahitaji maombi tu jamani

  • @JestonMwaisaka-t3m
    @JestonMwaisaka-t3m 15 днів тому

    Mtale bado anaifaa simba swala ni muda tu!!!!!

  • @msabilamhozya
    @msabilamhozya 15 днів тому

    Chama la.nguvu kabisa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 16 днів тому

    Simba nguvu moja

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 16 днів тому

    Uhuwa tumwacĥe Mungu Mpanzu nimchezaji mzuri nategemeomno

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 16 днів тому

    Cs Constantine alishiinda nae

  • @OshtakiLikangaga
    @OshtakiLikangaga 16 днів тому

    Wapunguze na Baki pass, bravo kwao ni wakali sana.

  • @HussenMzibe
    @HussenMzibe 16 днів тому

    Mungu ibariki simba yetu

  • @innoinnovative7730
    @innoinnovative7730 16 днів тому

    Al hilal vs YANGA 2-0 Mc algers vs alhilal alihilal alipata usind kwa mc algers

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 16 днів тому

    Al Hilal naye si alipata ushindi Ugenini dhidi ya Yanga?

    • @emanuellameck-nj8nv
      @emanuellameck-nj8nv 15 днів тому

      Hao wako club bingwa Ahmed anaongelea shirikisho

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 15 днів тому

      @emanuellameck-nj8nv nimesikia km amesema kwenye Mashindano ya CAF kumbe ni CAF CC

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 16 днів тому

    Upo sawa kaka jemedari pia wachambuzi wote hapo ahuoa alikuwa mvivu sana ila Sasa tunaona anazidi kujituma

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 16 днів тому

    Huyu Jamaa anajua sana kuongea ukilinganisha na yule mwenzake

  • @SYLIVERIOKILIMILA
    @SYLIVERIOKILIMILA 16 днів тому

    No waarabu tuna wachapa kwa mkapa

  • @DullahMsafi
    @DullahMsafi 16 днів тому

    Simba nguvu moja...mungu ni mwema

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 16 днів тому

    Ni waambie Simba wenzangu ili kushinda na kuingia robo fainali tujipange kushinda mechi ya Bravos

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 16 днів тому

      Hilo lipo wazi kabisa rafiki. Baada ya Constantine kuifunga Bravos, mambo yamekuwa magumu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 днів тому

    MABEKI WA SIMBA MUWE MAKINI KULINDA LANGO LENU.

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 16 днів тому

    Mm bwana uwaga napenda sana jemedali akiongelea mpura anaongea kwa mapana sana uyu bro aisee mungu akujalie sana bro🙏

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 16 днів тому

    Angalau hii tv ya crown watu wake wanajielew ila wasafi hawajielew kabisa

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 17 днів тому

    Mpanzu jamani jembe langu sitazami kufunga natazama upambanaji wake

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 17 днів тому

    Mpanzu ni mchezaji mchezaji mara mia

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 17 днів тому

    Huyu jamaa namkubali anajua kweli kweli mpanzu ni mashine

  • @MAKONAMAYKOM
    @MAKONAMAYKOM 17 днів тому

    Naomba muwe munaweka kipindi live tunawauliza maswali mimi kaka mkubwa Jemedari huwa ninakuelewa sana

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig Місяць тому

    Wachambuz njaaa hao wanaumia sana kwasimba hii watbana lakini watafulwa tu

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua Місяць тому

    Huyu mchafuzi chizi simba wamefika Mara nying langon mpaka man of the match kawa kipa wa hit Jkt ww unasema simba hawajatengeneza Chizi kweli ww waacHe wejh

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa Місяць тому

    Vyovyote itakavyokuwa point 3 lazima zipatikane,tangazo ni UBAYA UBWELA

  • @alexmwingira7267
    @alexmwingira7267 Місяць тому

    Sheria zingeruhusu Simba angepewa penalty mbili kwa sababu matokio yote mawili yanaruhusu penati.