ALLY KAMWE ALIVYOKIAMSHA UWANJA MZIMA KUWAINUA WANANCHI BAADA YA KUBEBA KOMBE - ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

КОМЕНТАРІ • 118

  • @gililwise
    @gililwise 3 місяці тому +35

    Mungu ametupigania haikuwa rahisi.sifa tunamrudishia Muumba wetu Ameen

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 3 місяці тому +17

    Mwenyekiti Wa Wasemaji Ni M’moja Tu Africa #Ally Kamwe#🏆🥉💚💙💚💚🩶💚🩶

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 3 місяці тому +2

      Hili halina ubishi! Mwamba huyu hapaaa.

  • @abdunnurahmedsilim7456
    @abdunnurahmedsilim7456 3 місяці тому +15

    Ukitaka dua na maombi yako Mungu ayajibu mapema basi unatakiwa kuambatanisha na SADAKA. Na sisi Yanga Mabingwa ndivyo tufanyavyo, huwa tunatoa misaada kwa yatima ndo maana Mungu anakuwa upande wetu...

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA 3 місяці тому +11

    Ally kamwe ni mmoja tu 💚💚💚💚💚🙅‍♂️🙅‍♂️

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 місяці тому +10

    Mashallah mashallah mashallah hongereni wananchi daa uwanja umejaa kinoma

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 3 місяці тому +7

    Glory to Jesus, utukufu na heshima kwa Mungu mfalme wetu milele na milele ,hii game aliingia mwenyew

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 3 місяці тому +19

    Hapa Mungu alikuwa upande wetu pekee

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 місяці тому +2

      UNAFIKIRI KWANINI YANGA TUNATOA SADAKA KWA WAHITAJI KILA TUENDAPO? NDO KAS YA DUA HIYO

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 3 місяці тому +1

      Kabisa kabisa aisee

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 місяці тому +5

    Alhamndulilah Hakika M/Mungu umpa Rizki Ampendae bila Hesabu Kilalakheir Wanajeshi wetu M/Mungu awazidishie Inshaallah

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 3 місяці тому +12

    Ally kamwe msema hi wa mwaka💚💚🇹🇿🥀

    • @Maryc2G
      @Maryc2G 3 місяці тому

      Msemaji wa mwaka Ally kamwe.

  • @godfreymihumo7766
    @godfreymihumo7766 3 місяці тому +15

    Tuzo ya msemaji bora "ALLY KAMWE"

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 місяці тому

      We Sasa unataka kina Tatu waandamne yaan wakose kila kitu😂😂😂

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 3 місяці тому +10

    Viongozi wetu mungu aendelee kuwapa maono makubwa namsiache kutoa sadaka

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian 3 місяці тому +8

    Afisa habar wetu furaha kutoka moyoni nyieee 💚💚💚

  • @marrymwinuka3105
    @marrymwinuka3105 3 місяці тому +6

    Mungu mbele hakika ametupigania❤

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 3 місяці тому +7

    I love you yanga mwaaaaaaaaa💚💛💛💛💚

  • @MrGoatAi
    @MrGoatAi 3 місяці тому +40

    Kama unaangalia huku unasmile kama mbuzi weka like hapa

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 3 місяці тому +4

    Great Ali 🎉🎉💚💚💚💚💚

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 3 місяці тому +4

    Kamwe anapambana aseh🙌🏾

  • @charlesmkisi8052
    @charlesmkisi8052 3 місяці тому +5

    Safi sana yanga tamu

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 3 місяці тому +5

    Haikua rahisi alhamdulillah

  • @DaudiTungira
    @DaudiTungira 3 місяці тому +2

    Alipangalo Mungu hakuna mtu yeyote wa kuweza kulizuia,hakika Jana ilikuwa ridhiki letu walimbana lakini waliachia tu,yanga oyeeeeee

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 3 місяці тому +4

    Asante sn yangaaaaaa🙌🏆🏆🏆🏆🏆

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 3 місяці тому +4

    Home sweety home hatuna jambo dogo full house full shangwee🎉🎉🎉

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 3 місяці тому

    Shukrani Baba mwenyezi kwa yote aminaaaaaaaaa

  • @Manywele.Maluja
    @Manywele.Maluja 3 місяці тому +5

    Mwenyekiti wa wasemaji afrika aliy kamwe komediani wengine mda wote anawaza vipi atawatia madole ya kuwaongopea makoro wenzio

  • @JOCLED
    @JOCLED 3 місяці тому +4

    aaaaaaah hii ni next level

  • @JOCLED
    @JOCLED 3 місяці тому +5

    zanzibar mmetishaaaaaa

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 3 місяці тому +6

    Watu humu wengi hawalali😅😅😅

  • @PeruthNehemia
    @PeruthNehemia 3 місяці тому

    Asante mungu hakuna kisichowezekana kwake amen ❤😢

  • @DatuDatu-rr4oj
    @DatuDatu-rr4oj 3 місяці тому +2

    Katika wasemaji alikamwe ni msemaji bora anaejuwa kuhamasisha sio kusifia team zingine uyu anajuwa kuwekeza elimuyake kwenyempila

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 3 місяці тому +4

    Hakuna kitu kizuri kama sadaka na nia ya mtoaji sadaka hiyo kiukweli haikuwa kazi nyepesi

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 3 місяці тому

    Dah next level mlituwakilisha vyema when God say yes no body can say no

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 3 місяці тому +2

    Humuuu tu dadadeki💛💚💛🤣🤣🤣

  • @UmmyMwalim
    @UmmyMwalim 3 місяці тому +4

    Katika penati zote penati iliyoniwek na unyongge ua aziz ki

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 3 місяці тому +1

    Aweee What A Vaibuuuuiii 💚💛💯💥🔥🥂🍾🍻

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 3 місяці тому

    MUNGU NI MWEMA.....🙏🙏🙏🙏💚💚💚💛💛💛

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 місяці тому +2

    Feitoto kameza matapishi yake hii ndo YANGA MBELE DAIMA NYUMA MWIKO

  • @Rashid-ms7mn
    @Rashid-ms7mn 3 місяці тому +1

    Safi sana afisa habari wetu

  • @HasnatShaban
    @HasnatShaban 3 місяці тому +2

    Yanga mambo

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 3 місяці тому +1

    Bravo YANGA!!!

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 місяці тому +3

    I wanna to take you Zanzibar ❤

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 3 місяці тому +2

    Alhamdullillah

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 3 місяці тому +1

    Allaah Akbar

  • @BeatriceSylvester-gu8mm
    @BeatriceSylvester-gu8mm 3 місяці тому +1

    Viongoz wa yanga wasiache kutoa sadaka haya ndio malipo haikuwa kazi rahis kwakweli ni Mungu tu

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli 3 місяці тому +3

    Rahaaàaa rahaaaaaaaàa

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 3 місяці тому +3

    Azam hana mashabiki kenge huyu

  • @NadiaNadu-r3v
    @NadiaNadu-r3v 3 місяці тому +2

    🏆🏆🏆🏆🔥🔥🔥🔥🎉🎉

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 3 місяці тому +2

    Nic san

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 3 місяці тому

    Huyu Kamwe ni zaidi ya semaji.

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 3 місяці тому

    OYOOOOOOOOOOOOOOOO YANGAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAA

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 3 місяці тому

    Yanga damu

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 3 місяці тому

    💚💚💚💚💚💛💛💛💛🏆🏆✔️ good 👍

  • @edsonsambala4545
    @edsonsambala4545 3 місяці тому

    🎉

  • @JamesMaruwa
    @JamesMaruwa 3 місяці тому +1

    HIVI HAKUNAGA TUZO YA MSEMAJI BORA WA MWAKA.😂 MWENYEKITI WA WASEMAJI✊

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg 3 місяці тому +1

    Ila kamwe jamani unavituko wenzio watajinyonga uko

  • @Adje244
    @Adje244 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @HappyPalingo-br8zs
    @HappyPalingo-br8zs 3 місяці тому

    Kwakweli mana Jan yanga tumepiga chafya kwenye jeneza

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 місяці тому +2

    😂😂😂leo fei ajasalimiana na wachezaji kam mechibiyopita aliyopata offside goal

  • @SubiraMaluma
    @SubiraMaluma 3 місяці тому

    Yani kuna ile maumivu ya furaha😂😂

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 3 місяці тому

    🔥🔥🔥

  • @mohdmtopa5831
    @mohdmtopa5831 3 місяці тому

    Sisi hao🟢🟡🔥⚫

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 3 місяці тому

    💚💚💪

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 3 місяці тому

    Hamed ally😂anasemaje...

  • @DatuDatu-rr4oj
    @DatuDatu-rr4oj 3 місяці тому

    Semaji kijana sio yule mzee

  • @scopy0428
    @scopy0428 3 місяці тому

    Dogo kamwe anavaibu sana

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 3 місяці тому +1

    😂😂

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 3 місяці тому

    Ukute mechi ya jana iliandikwa ashinde Azam shida ikaja pale kwa kijana kunyamazisha Wakubwa nazani malaika wa nidhamu akaone abadilishe matokeo.

  • @96.634
    @96.634 3 місяці тому

    Hamridhiki tu

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @thuwaibamkana9691
    @thuwaibamkana9691 3 місяці тому

    😂😂😂😂💛💚🇹🇿🏅💚🤲🏆

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk 3 місяці тому +11

    Mungu asifiwe ndo nakumbuka za😮buri 133 ashukuriwe mungu daima mbele nyuma

  • @nyakerasamson2006
    @nyakerasamson2006 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 місяці тому +18

    Haikuwa RAHISI ila Mungu alishaitunuku Yanga team USHINDI.Hongereni sana wachezaji wetu. You did a good job.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @dicksonjanuary1262
    @dicksonjanuary1262 3 місяці тому +7

    Hii misada vingozi wanayoitoa ndio mungu anafungua njia hongeleni viongozi wetu

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 3 місяці тому +5

    Semajii lenye nyota yake kwrnye paji la uso, upande mwingine kuna semaji ambalo limeishia kusema WANATHIIIMBASAA...!!😜😜

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro 3 місяці тому +7

    Sifa kwa Mungu wetu thanks Lord yanga bingwa

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 місяці тому +10

    Home sweet home Zanzibar 💚💛💛💛💛

  • @LimseyMassawe-zv8ho
    @LimseyMassawe-zv8ho 3 місяці тому +9

    Nilikuwa namwambia Mungu akumbuke sadaka yetu na dua za wale watoto....na akajibu

  • @baruabarua1569
    @baruabarua1569 3 місяці тому +11

    Mwenyekit wa wasemaji ni mmoja tu😂

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 3 місяці тому

      Na ndiye mwenye furaha wakati wote na mafanikio, semaji letu huna baya unaupiga mwingi❤❤

    • @yasrikomba7874
      @yasrikomba7874 3 місяці тому

      Kweli kabisa

  • @benardmagere-yu4pw
    @benardmagere-yu4pw 3 місяці тому +4

    Kumbe furaha ikizidi na machozi yanatoka,mie hadi machozi yamenitoka

  • @abdunnurahmedsilim7456
    @abdunnurahmedsilim7456 3 місяці тому +3

    Ukitaka dua na maombi yako Mungu ayajibu mapema basi unatakiwa kuambatanisha na SADAKA. Na sisi Yanga Mabingwa ndivyo tufanyavyo, huwa tunatoa misaada kwa yatima ndo maana Mungu anakuwa upande wetu...

  • @FelisterYahe
    @FelisterYahe 3 місяці тому +3

    Haikuwa raisi jamnan mungu ni mema kila wakat vijana wamepabana mpka tone ya mwisho tunawashukuru xna

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj 3 місяці тому +4

    Sasa mbona uwanja umejaa mashabiki wa Yanga tu? Wa Azam wako wap?😂😂😂😂

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 місяці тому +4

    Huyu jamaa ana furaha sana kushinda wasemaji wa timu zote hapa nchini

  • @SteveAdam-j2g
    @SteveAdam-j2g 3 місяці тому +8

    Vibe kama lote viva Young African 🔥🔥🔥🔥

  • @FestoMwageni
    @FestoMwageni 3 місяці тому +4

    Mkubwa nimkubwatuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Zpauljr994
    @Zpauljr994 3 місяці тому +3

    Hakika huyu msemaji na mwamasishaji hasa

  • @abubakarkarsan31
    @abubakarkarsan31 3 місяці тому +3

    Shukrani kwa Mola wetu

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 3 місяці тому +4

    Kijani na njano

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 3 місяці тому +2

    Kak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉haikuwa rais kabisa 😋😋😋😋

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 місяці тому +1

    Dah huyu baba ndy maana kachelewa kuamka leo maana kz kaifanya uwanjani😂😂😂😂

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 3 місяці тому +2

    Diara diara diara

  • @charlesmwaipasi2884
    @charlesmwaipasi2884 3 місяці тому +2

    We are Young African

  • @helenwailly1558
    @helenwailly1558 3 місяці тому +2

    💛💚💛💚💛💛 Yanga Bingwaaaaaa

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 3 місяці тому

    Ila msemaj wetu unajitoa san:💛💛💛💚💚💚💚💚

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 3 місяці тому

    Full house 🔰🔰💚💚

  • @cchuwa6980
    @cchuwa6980 3 місяці тому

    Baba yako anateseka Wallah😂😂😂😂

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 3 місяці тому

    💛💛💛💛🔰🔰🔰💚💚🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @NadiaNadu-r3v
    @NadiaNadu-r3v 3 місяці тому

    😂😂😂