Nyimbo za kristo No. 126 -NINA HAJA NAWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Be blessed by this one
    NINA HAJA NAWE (I Need Thee Every Hour) Swahili Lyrics
    Nina haja nawe
    Kila saa;
    Hawezi mwingine
    Kunifaa.
    Yesu nakuhitaji
    Vivyo kila saa!
    Niwezeshe Mwokozi,
    Nakujia.
    Nina haja nawe;
    Kaa nami,
    Na maonjo haya,
    Hayaumi.
    Yesu nakuhitaji
    Vivyo kila saa!
    Niwezeshe Mwokozi,
    Nakujia.
    Nina haja nawe;
    Kila hali,
    Maisha ni bure,
    Uli mbali.
    Yesu nakuhitaji
    Vivyo kila saa!
    Niwezeshe Mwokozi,
    Nakujia.
    Nina haja nawe;
    Nifundishe
    Na ahadi zako
    Zifikishe.
    Yesu nakuhitaji
    Vivyo kila saa!
    Niwezeshe Mwokozi,
    Nakujia.
    Nina haja nawe;
    Mweza yote,
    Ni wako kabisa
    Siku zote.
    Yesu nakuhitaji
    Vivyo kila saa!
    Niwezeshe Mwokozi,
    Nakujia.

КОМЕНТАРІ • 4