Mbosso - Amepotea (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6 тис.

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv Рік тому +295

    duuh, hili goma limepenyaaa, Mana Kuna Demu Ameniteka Wiki mzima Akanifungia ndani, Nyumbani walizani nmepotea😅😅 naomba mnipe likes zakutosha tumpe nguvu huyu mwamba Mbosso 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💯☑️✍️

  • @abdulbiasha2766
    @abdulbiasha2766 Рік тому +386

    Waaah….ngoma Tamuu sana lakini mbosso hii video imenimaliza 😂😂😂😂…..ukikubaliana nami Nipe likes za mbosso …..all the way 🇧🇭🇰🇪

  • @Dizoboy_Classic
    @Dizoboy_Classic Рік тому +250

    Kazi kubwa sana mwanangu tumesoma shule moja lakn mambo yemekuwa tofauti ila pamoja sana dua ndo kila kitu ndugu yangu naomba likes za mbosso hapa

    • @aishaabdallah4560
      @aishaabdallah4560 Рік тому

      Usife moyo bro kla mja na cku yake

    • @kichuboy5737
      @kichuboy5737 Рік тому +3

      mi nimesoma shule na mtot wa mwinyi ila mzeee mambo yammenda tofait

    • @priscachristopher2992
      @priscachristopher2992 Рік тому +2

      Me nimesoma na mtoto wa Samia ila mambo yamekua tofauti

    • @aishaabdallah4560
      @aishaabdallah4560 Рік тому +1

      @@priscachristopher2992 kla mja ana majaaliwa yake na tumbo moja wengine huwa wajuu wengine chini kikubwa uwe wapata rizk

    • @ticia950
      @ticia950 Рік тому +4

      ​@@kichuboy5737 😂😂😂😂 Mungu hapendi uongo

  • @malemba7330
    @malemba7330 Рік тому +15

    I like tz song they're original swahili sio kujifanya kama orther countries especially Kenyans mara ni wazungu mara ni kinajeria kazi ni copy cat tuu hata hawanaga mistari I'm sorry to say soo afadhali wacopy Tanzanian big up tznian

  • @kenafriq
    @kenafriq Рік тому +2271

    Mbosso ndiye King wa BONGO 😮 Mnipe Likes za wakenya 🎉

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie Рік тому +74

    Wangapi tumekuwa twamuulizia bwana tiriri mbosso Khan made it mazee wapi likes za love ya mbosso wadau 🇰🇪🎉🎉

  • @jeremiekatuwene576
    @jeremiekatuwene576 Рік тому +59

    Wa kwanza kutoa maoni, hongera sana 🎉 msanii wangu pa Tanzania , kutoka DRC 🇨🇩

  • @ntakirutimanavicent-lj2tn
    @ntakirutimanavicent-lj2tn 9 днів тому +10

    😂😂😂 who's still here 2025 mbosso amezama kwenye kina kilefu cha UTI na magono😅

  • @SixpointSix
    @SixpointSix Рік тому +89

    Support from Burundi🇧🇮🇧🇮
    Likes zangu warundi wenzagu wenye mnakubali kazi za uyu Young Legend

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy Рік тому +55

    Sikutegemea kuwa ni MOVIE ya mapenzi ❤❤HONGERA MBOSSO

  • @redbienv
    @redbienv Рік тому +139

    Wa Congomani Kama munampenda MBOSSO Weka Like🙏🏽🔥🔥🔥

  • @gitonga412
    @gitonga412 11 місяців тому +6

    On behalf of nairobians...fam inasema jamaa ameingia mitini,kumbe ako kwa shore flani side za ofafa. 😅 anyway thumbs up Mbosso

  • @jaydannychawaboy9093
    @jaydannychawaboy9093 Рік тому +40

    Hayo ndo mapenzi... Mbosso tulikumisi sana kwenye mziki ❤️❤️❤️... Walommisi mbosso acha tujuane hapa ❤️🇰🇪🇳🇬🇹🇿🇺🇬

  • @jonster7973
    @jonster7973 Рік тому +16

    Sio NIGERIA 🇳🇬 tu. Bali bongo tuna vipaji vikubwa na creativity. Ya next level. This it's the Best county for music bussines especially WCB 🤞

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 Рік тому +23

    wakawanza Leo naombeni like hata 10 Kama nawewe ulikua unaisubili hii nyimbo kwa ham

  • @Ivan-y6h1u
    @Ivan-y6h1u 3 місяці тому +6

    Ndo nafika I hope mbosso amepatikana and I hope nyinyi wote mko hai🎉❤

  • @christianangelo4832
    @christianangelo4832 Рік тому +205

    Kwa niaba ya watanzania, we appreciate all Kenyans who gathered here to enjoy this masterpiece

  • @dusengimansjohns8146
    @dusengimansjohns8146 Рік тому +122

    Nyimbo nzuli za kitanzania zilinifanya nisome kiswahili Ili niwe nikiweza kuskia wanachokisema kati ka nyimo hizo. Huku Rwanda tunawapenda wasani kutoka TZ sana sana Mbosso!! Be blessed brother

  • @AlmaCisse
    @AlmaCisse Рік тому +2660

    On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥

    • @miles_4926
      @miles_4926 Рік тому +51

      And all the witches of the village 😂😂

    • @ericohtv3834
      @ericohtv3834 Рік тому +46

      Was word wicked necessary 😂😂😂😂

    • @MrZart
      @MrZart Рік тому +108

      Your Wicked Landlord is not as wicked as my Wicked Landlord. My Wicked Landlord is wickider than the World's Wickidest Landlord's Wicked Landlord! Truth! 😅😅

    • @jbryantz
      @jbryantz Рік тому +3

      @@miles_4926 🤣🤣🤣for sure

    • @jbryantz
      @jbryantz Рік тому +2

      🤣😅😂

  • @collinskegodizo6530
    @collinskegodizo6530 Рік тому +16

    Only in kenya can listen to bongo music Tanzania 🇹🇿 wanaimba vizurii sana kenya 🇰🇪 tunapenda mbosso sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kenafriq
    @kenafriq Рік тому +498

    Kenyans let’s gather here and show some appreciation for King Mbosso❤

  • @priscusgodwin
    @priscusgodwin Рік тому +66

    😂😂😂😂😂
    Wangapi walianza kwa kujua kwamba ni story ya kuhuzunisha
    Mwisho wa siku wakakuta ni mtu katekwa na mwanamke.
    Ama kweli mapenzi noma🙌🙌
    Kama umekubaliana na ngoma...NIPE LIKE...❤

    • @zawadiemmanuel1617
      @zawadiemmanuel1617 Рік тому +2

      Mm

    • @zawadiemmanuel1617
      @zawadiemmanuel1617 Рік тому +2

      Jmn nilianza kusikitika kabisaaa mbona nimecheka kwa tabasam mwanana nilijua kapotea kwer 🥱🤣🤣🤣gonga like jmn

    • @priscusgodwin
      @priscusgodwin Рік тому

      @@zawadiemmanuel1617 😂😂😂😂
      Hata mimi nilikuwa nishaamsha hisia za huzuni

    • @irenengila1585
      @irenengila1585 Рік тому +1

      I found myself laughing 😂😂

    • @Mteste101
      @Mteste101 Рік тому +1

      Me too, pindi niliposikia "Mimi,,,,,,nimeeezama...."

  • @victorseda8979
    @victorseda8979 Рік тому +10

    Imeweza ,wakenya wenzangu wapi likes 👍 👌 ♥️ ❤️ 💯💯💯💯💯💯

  • @hadijabakari7232
    @hadijabakari7232 Рік тому +39

    Kama wampenda mbosso nipe like yako😊

  • @juliasnjoroge6868
    @juliasnjoroge6868 Рік тому +23

    Masterpiece watching from shakahola kenya

  • @HassanMukoma
    @HassanMukoma Рік тому +335

    I’m glad that I am half Tanzania/ Kenyan. Mbosso never fails me 🇹🇿🇰🇪

  • @eddieafricanboy179
    @eddieafricanboy179 Рік тому +42

    Mbosso never disappoints, fan number 1 nikiwa Kenya🔥🔥nipeni likes jameni

  • @AnnMwanginjeri
    @AnnMwanginjeri Місяць тому +10

    Hizi like hua mnaomba hua mnapeleka wapi nisione mtu ame like yangu😅😅😅😂😂😂

  • @ojb-star
    @ojb-star Рік тому +6

    Mbosso n mtalamu kweli wa mistari za bongo flavor🥰🥰🥰🏃🤝❤️ kama umeikubali hii song ka mm npe like ya khan

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 Рік тому +9

    Kwa sababu ya ndugu zetu watanzania naomba tukomenti kwa kiswahili ju kizungu kwao ni usiku wa giza😂😂😂😂

  • @Busianprince
    @Busianprince Рік тому +10

    Mwalimu wa mziki wa bongo content uko nayo ndugu congratulations from Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @patsa7445
    @patsa7445 Місяць тому +6

    Mbosso ndiye king was muziki wakenyan like 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @akbarrich257
    @akbarrich257 Рік тому +18

    From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kama mnajivunia mbosso kua msani wetu East Afro pandisha bendera lako apa🇧🇮🇧🇮

  • @koppagekon
    @koppagekon Рік тому +229

    100 REASONS TO STAY ALIVE😊😊:
    1. to make your parents proud
    2. to conquer your fears
    3. to see your family again
    4. to see your favorite artist live
    5. to listen to music again
    6. to experience a new culture
    7. to make new friends
    8. to inspire
    9. to have your own children
    10. to adopt your own pet
    11. to make yourself proud
    12. to meet your idols
    13. to laugh until you cry
    14. to feel tears of happiness
    15. to eat your favorite food
    16. to see your sAiblings grow
    17. to pass school
    18. to get tattoo
    19. to smile until your cheeks hurt
    20. to meet your internet friends
    21. to find someone who loves you like you deserve
    22. to eat ice cream on a hot day
    23. to drink hot chocolate on a cold day
    24. to see untouched snow in the morning
    25. to see a sunset that sets the sky on fire
    26. to see stars light up the sky
    27. to read a book that changes your life
    28. to see the flowers in the spring
    29. to see the leaves change from green to brown
    30. to travel abroad
    31. to learn a new language
    32. to learn to draw
    33. to tell others your story in the hopes of helping them
    34. Puppy kisses.
    35. Baby kisses (the open mouthed kind when they smack their lips on your cheek).
    36. Swear words and the release you feel when you say them.
    37. Trampolines.
    38. Ice cream.
    39. Stargazing.
    40. Cloud watching.
    41. Taking a shower and then sleeping in clean sheets.
    42. Receiving thoughtful gifts.
    43. “I saw this and thought of you."
    44. The feeling you get when someone you love says, “I love you."
    45. The relief you feel after crying.
    46. Sunshine.
    47. The feeling you get when someone is listening to you/giving you their full attention.
    48. Your future wedding.
    49. Your favorite candy bar.
    50. New clothes.
    51. Witty puns.
    52. Really good bread.
    53. Holding your child in your arms for the first time.
    54. Completing a milestone (aka going to college, graduating college, getting married, getting your dream job.)
    55. The kind of dreams where you wake up and can’t stop smiling.
    56. The smell before and after it rains
    57. The sound of rain against a rooftop.
    58. The feeling you get when you’re dancing.
    59. The person (or people) that mean the most to you. Stay alive for them.
    60. Trying out new recipes.
    61. The feeling you get when your favorite song comes on the radio.
    62. The rush you get when you step onto a stage.
    63. You have to share your voice and talents and knowledge with the world because they are so valuable.
    64.Breakfast in bed.
    65. Getting a middle seat in the movie theater.
    66. Breakfast for dinner (because it’s so much better at night than in the morning).
    67. Pray (if you are religious)
    68. Forgiveness.
    69. Water balloon fights.
    70. New books by your favorite authors.
    71. Fireflies.
    72. Birthdays.
    73. Realizing that someone loves you.
    74. Spending the day with someone who loves you
    75.Go to hawaii n swim with the dolphins
    76. Seeing your grand children
    77. Leaving a legacy behind
    78. Experience new technology
    79. Break the chain of poverty in your family
    80. make your momma Proud
    81. Make your ex Jealous😃😆 (Deep down we all want that)
    82. Be on national TV
    83. Win a an awesome award based on what you do
    84. Be a living testimony of what HE has done for you
    85. Being wrapped up in a warm bed by someone you love.
    86. Someone’s skin against yours.
    87. Holding hands.
    88. The kind of hugs when you can feel a weight being lifted off your shoulders. The kind of hug where your breath syncs with the other person’s, and you feel like the only two people in the world.
    89. Singing off key with your best friends.
    90. Road trips.
    91. Spontaneous adventures.
    92. The feeling of sand beneath your toes.
    93. The feeling when the first ocean wave rolls up and envelops your toes and ankles and knees.
    94. Thunderstorms.
    95. Compliments and praise.
    96. The taste of your favorite food.
    97. The child-like feeling you get on Christmas morning.
    98. The day when everything finally goes your way.
    99. To look on this moment in 10 years time and realise you did it.
    100. To help me hit a thousand Subscribers☺☺.
    Ps : Never forget you are a beautiful person 💕You Gotta Love Yourself First b4 Others💯 Life is so beautiful so live, live like no one else exist, live for yourself, don't care bout bad people, you are stronger than you think 💪💪I LOVE YOU , 🆂🆄🅱🆂🅲🆁

  • @Ndenza
    @Ndenza Рік тому +7

    Mnaonaje atufungulie shule ya mahaba in shot amejaaliwa anajua na hakuna wakumpangua Yuko kwenye Dunia yake huu wimbo ni first kwa zilizo toka mwez huu I like it

  • @forchinthierry
    @forchinthierry Рік тому +72

    I won't force my children to follow my choice of music. They will either love Mbosso or leave my house.
    Much love from Cameroon

  • @migilnyambura
    @migilnyambura Рік тому +19

    Waaah nimechanganyikiwa mwanzoni kumbe ulikua wimbo wa mapenzi alala😅😅😅❤ nimepigwa na butwaa ila wimbo mzuri huo ....tafadhali nawaomba mnifikishie salamu kwa mbosso napenda nyimbo zake na.pia naomba usiku kucha nikaweza kufanya mziki nae plz follow me 🎉❤❤

    • @rosierajabu2280
      @rosierajabu2280 Рік тому

      yaan kama mimi nilijua wimbo wa majonz ila huku mbele nimecheka sana😅😅😅😂

    • @migilnyambura
      @migilnyambura Рік тому

      Yar it's funny and good also

  • @lucynjeri3395
    @lucynjeri3395 Рік тому +146

    I've played this song repeatedly. I've always loved the poetic richness in Mbosso's work. A great fan from Kenya🇰🇪

  • @lynoxreagan
    @lynoxreagan Рік тому +66

    We Kenyans we love you guys from Tanzania show love to 🇰🇪

  • @GeoffreyMatete-hg2pd
    @GeoffreyMatete-hg2pd Місяць тому +2

    Due to public demand.....this song is my song of the year.....very emotional

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 15 днів тому +6

    Tunaoanza kuangalia hii song 2025 tujuane apa😊😊😊

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 Рік тому +35

    Proud to be Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯Mbosso hutuangushagi

    • @loraynwyali9746
      @loraynwyali9746 Рік тому

      Jamani niambie maana ya tukoveree

    • @emarilynemarura3587
      @emarilynemarura3587 10 місяців тому +1

      The fact that you used shagi inasoma tu we ni mkenya😅

    • @marychuwa8159
      @marychuwa8159 10 місяців тому

      @@emarilynemarura3587 🤣🤣🤣 Mimi ni Mtanzania 🇹🇿

  • @faithmickie3841
    @faithmickie3841 Рік тому +412

    On behalf of my fellow family from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we really respect this song

  • @ElyseDusengimana
    @ElyseDusengimana 2 місяці тому +1

    Kama unamupenda mbosso Sema oyooo

  • @davidmarik4633
    @davidmarik4633 Рік тому +38

    Kijana kaenda Tanga kupambana bahati kaangukia Kwa Mshangazi Bonge La ngoma Gonga Like🔥🔥

  • @KevinWakliFitness
    @KevinWakliFitness Рік тому +344

    Tanzanians don't know how much we Kenyans love them...Tanzania🇹🇿 Kenya🇰🇪 loves you❤

    • @mutulehephsiba5961
      @mutulehephsiba5961 Рік тому +9

      Sasa nani atawapa tafsiri ya uandishi wako huu jamani,penda lugha waitumiayo iwapo kweli mwawapenda

    • @2464hellen
      @2464hellen Рік тому +5

      Stop lying. We love their spoken Swahili which tickles down to their music but not their personalities off course theirs a thin line between the two. Twihamwe? 😢

    • @soulfulyuyu_
      @soulfulyuyu_ Рік тому +1

      SAWA ILA SISI HATUTAKI ...NICHAMBENI MKIMALIZA LALENI 😂🤣

    • @alisterlexter1115
      @alisterlexter1115 Рік тому +3

      We love you moreee

    • @agnesjohnson2393
      @agnesjohnson2393 Рік тому

      @@soulfulyuyu_ 😂😂😅😅

  • @OscarOjango-u1d
    @OscarOjango-u1d Місяць тому +1

    Wewe ni stima mbosso naku rank.ata diamond hawezi

  • @Legrand_Cheetah
    @Legrand_Cheetah Рік тому +22

    At first I almost cried only to realise while at the middle that this a love song😂... tumeikubali sana huku 254

    • @kezairene9333
      @kezairene9333 Рік тому +3

      I was also waiting for the drama behind amepotea😂😂😂 l just laughed aki 😅

    • @Legrand_Cheetah
      @Legrand_Cheetah Рік тому +1

      @@kezairene9333 very creative aki😂🤣

  • @pascalboychristopher6083
    @pascalboychristopher6083 Рік тому +6

    Muhindi wa kusini, Kirungi bin shedede 🔥🔥🔥mflalme wa mahaba

  • @IbrahimSalmin-oy9pv
    @IbrahimSalmin-oy9pv Рік тому +6

    Allah akulinde na hasad zote za Dunia bro.All the way from kuwait 🇰🇼 🇰🇼 🇰🇼 yani hii nyimbo funga file Imeweza saana

  • @MathieuKawel-c5m
    @MathieuKawel-c5m 29 днів тому +1

    Napendwa saa ziwmbo izi 😄💖💖💖💖💖💖🌹🌹🌹🌹🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ZACK_TRADES_FOREX_
    @ZACK_TRADES_FOREX_ Рік тому +70

    I LOVE THIS SONG!HIS SWAHILI 🔥🔥🔥🔥🙌... Tanzanians don't know how much Kenyans love their music

    • @mchaganaduka
      @mchaganaduka Рік тому +1

      Karibu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @aminaali6996
      @aminaali6996 Рік тому

      Mboso Kani wewe nibabalao Yani watakubali watajua mboso ninani💯

  • @simp1eone
    @simp1eone Рік тому +15

    HERE ARE LYRICS FoR MY FELLOW NON SWAHILI SPEAKERS TO SING ALONG (I'm West African 🇬🇭 learning kiswahili and found these lyrics online ). Mbosso is my favorite artist in the whole wide world.
    .
    Vipeperushi vinasambaaa
    Eti natafutwa
    Nimepotea, wiki imekata
    Ndugu wamechachamaa
    Wananitafuta
    Nimepotea mwezi imekata
    .
    Kazini sionekani
    Yupo wapi huyu
    Simuni sipatikani
    Yupo wapi huyu
    Baba kaniuoizia
    Yupo waapi huyu
    Mama haishi kulia
    Yupo wapi huyu
    .
    Mimi, nimezama katika kina Kirefu
    cha bahari ya mapenzi
    Nimezama katika kina Kirefu
    cha bahari ya mapenzi
    .
    Sio mwana rahabu mlomkuta tanga
    Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga
    Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
    Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga
    .
    Aaah ladha yake, si sukari
    Ni vichenza na malimao
    Mechi zake huwa hatari
    Ni chenga na mabao
    .
    Kazini sionekani
    Yupo wapi huyu
    Simuni sipatikani
    Yupo wapi huyu
    Baba kaniuoizia
    Yupo waapi huyu
    Mama haishi kulia
    Yupo wapi huyu
    .
    Mimi, nimezama katika kina Kirefu
    cha bahari ya mapenzi
    (Msinitafute, msihangaike)
    Nimezama katika kina Kirefu
    cha bahari ya mapenzi
    Nipo salama mimi, nipo salama mimi
    Msinitafute niko salama mimi

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Рік тому +4

    King of bongo fleva... Mbosso Khan at his best....WCB haipoi👐💪💪💪

  • @PiusMaliloMalillo
    @PiusMaliloMalillo 2 місяці тому +2

    First comment with no likes 🎉🎉
    Lakin haina Noma hii ngoma ni KALI sanaaaa🇹🇿🇹🇿🏅🏅....more

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava Рік тому +27

    On behalf of all my tanzanian Ladies and ladies from around world who KNOWS how to LOVE a man pale ukiwa nae watu wanathani ni uchawi Kumbe REAL LOVE Ndo uchawi 👌🏽🙌🏽 PROUDLY TANZANIAN.

  • @sammykodhek159
    @sammykodhek159 Рік тому +354

    Tanzanians dont know how much we kenyans love their music❤❤❤

  • @dannamukali6459
    @dannamukali6459 Рік тому +11

    Kwa niaba ya wakenya wote, nasema huu wimbo ni bombaaaaaa❤️

  • @gaudencesillo2609
    @gaudencesillo2609 Рік тому +4

    Mbosso kakak hongera sana kaka mm ni Sillo natokea sillo music ... Naombeni msearch lyzee naunga unga Kuna vitu vizuri na vinakuja ... Naombeni mlike na mcomment pia mshare it's a good song ... #sillo music 4 life

  • @majicwalter-lp8vg
    @majicwalter-lp8vg Рік тому +5

    Muhindi wa kusini siku zote fundii💥🔥✨

  • @musajack7276
    @musajack7276 Рік тому +14

    The sound is crazily sweet
    +254 fans are also here

  • @Mihackers
    @Mihackers Рік тому +15

    Trop d'amour depuis la République démocratique du Congo 🇨🇩. On t'aime MBOSO

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 Рік тому

    Mbosso umeua sana humo hongera sana kijana angu

  • @salindemwangana61
    @salindemwangana61 Рік тому +69

    I love the story line in the song ..simple and straight forward. Zambia 🇿🇲🇿🇲 registers for being present . Zambia 🇿🇲 approves

    • @chizashungu1236
      @chizashungu1236 Рік тому

      Always mbosso knows how to write the love story song and he is so deep.He is next to DIAMOND PLATNUMZ.

  • @gaiusfortes228
    @gaiusfortes228 Рік тому +11

    Mbosso, aujourd'hui je te le dis à cœur ouvert et avec joie, je suis ton plus grand fan depuis le Togo 🇹🇬, quand tu transcris tes chansons en anglais, je suis tellement content parce que je sais que je vais encore lire de belles paroles accompagnées de ta belle voix, t'es un vrai poète... Mec je vais apprendre le swahili pour comprendre toutes tes chansons 😎 j'aime quand tu chantes l'amour et la vie, j'aime le bongo flava, force à la musique tanzanienne.
    Félicitations à toi mon artiste Mbosso, bonne continuation.
    💪🏾

  • @tumahrizoh9152
    @tumahrizoh9152 9 місяців тому +1

    Waah hiyo ni kali Kuzama na Kupotea ni fire

  • @sistert5130
    @sistert5130 Рік тому +6

    I was touched and almost cried until the Nimezama katika kisima Cha mapenzi 😂😂😂😂😂🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️,Mbosso wangu mie nakupenda Sana..big tune.

  • @nyamwangekenyatta
    @nyamwangekenyatta Рік тому +5

    I love the use of poetry in mboso songs..utumizi wa lugha safi ya Kiswahili..mimi Mkenya na naipenda lugha yetu. Bigup jumuia ya Afrika Masharki.

  • @ronaldkipkirui587
    @ronaldkipkirui587 Рік тому +39

    Proud to be immediate neighbor to Tanzania 🇰🇪

  • @ibrahjoseph4239
    @ibrahjoseph4239 Рік тому

    Wimbo umekata kotoka trending

  • @Ousuu_boy
    @Ousuu_boy Рік тому +16

    King mbosso #1 love from GAMBIA 🇬🇲

  • @nitoblair
    @nitoblair Рік тому +5

    Mbosso to the world. Nacheza on repeat.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Mimi nitakutafuta... Kazi safi to @Mbossokhan @s2kizzy
    🔥🔥

  • @thebongoflevababe4350
    @thebongoflevababe4350 Рік тому +251

    Am Ugandan but I feel like a Tanzanian, the love I have for bongo music is unexplainable 😊, soon I will be very okay with the language and I will understand everything in every song😁

    • @fadhilangao5756
      @fadhilangao5756 Рік тому +4

      Le me teach u the language dia

    • @thebongoflevababe4350
      @thebongoflevababe4350 Рік тому +3

      @@fadhilangao5756 woooooow, so u are Tanzanian or Kenyan, because I know the two are different

    • @makabayis4843
      @makabayis4843 Рік тому +1

      ♥️

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Рік тому +2

      @@thebongoflevababe4350 Learn Tanzanians Swahili

    • @thebongoflevababe4350
      @thebongoflevababe4350 Рік тому +1

      @@Thekidp3702 that's what am on, coz my music life revolves around Tanzanian music😊

  • @nicholhansdombuyu4144
    @nicholhansdombuyu4144 Рік тому

    Sasa lava lava eko wapi asionekane😅 anapoteya vipi? Nice music mbosso keep up great job 🇿🇲🇨🇩👍

  • @BasileKayumba-kt4gq
    @BasileKayumba-kt4gq 6 місяців тому +4

    I am Congolese and I love all your songs. Because it is thanks to the love that parents have been able to grow.

  • @AbubakarMaamun-pj9bm
    @AbubakarMaamun-pj9bm 5 місяців тому +3

    Umenimaliza mboso kwa wimbo huu pamoja na twasira

  • @medikamedi2821
    @medikamedi2821 Рік тому +512

    Initially, it was tearful, suddenly I realized it is contrary to my expectations😂. I must admit, the seamless transition between scenes is an extraordinary masterpiece of storytelling. The combination of cinematography, the profound love message conveyed by the song, the talented actors, the captivating sound design, the enchanting instrumentals, the harmonious chorus, and the background singers all contribute to an awe-inspiring experience. Truly, "Bahari ya mapenzi" is a splendid creation.

  • @VestorsMogaka
    @VestorsMogaka Рік тому +2

    Dah! Niliambiwa na babu ukifika city mwanangu take care usisahau nyumbani,,,lakini kama ni hivi 😂😂😂😂 nyumbani sikumbuki tena

  • @kayamusic3256
    @kayamusic3256 Рік тому +8

    From Kenya hii napiga muhuri! 🇰🇪🇰🇪 Wapi likes zangu #kaya5

  • @wizzymaxayo4357
    @wizzymaxayo4357 Рік тому +43

    On Behalf of Northern Zone, from HQ Chugastan here, we approve this song to be played at all street. 😇😇🎉🏆🏅

  • @DennisKiarie-c4o
    @DennisKiarie-c4o Рік тому +8

    mbosso is the best artist in east africa

  • @tedday4141
    @tedday4141 4 дні тому

    Yaani amepotea ndani kweli

  • @naldotz9632
    @naldotz9632 Рік тому +10

    Talented mbosso Khan 🔥📌

  • @najua_b
    @najua_b Рік тому +5

    Tanzania tuna penda music enu kenya🇰🇪oeeeeh Rwanda😍 nakupenda sana mbosso💥💥💥💥

  • @pacionthemic4030
    @pacionthemic4030 Рік тому +13

    Nyimbo nzuli kama kawaida Mbosso never disappoint All the way from Rwanda🇷🇼🇷🇼

  • @Zarysila
    @Zarysila Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤ yak I yo oo mboso

  • @Hommie45
    @Hommie45 Рік тому +6

    Wale wa Tanga Town tupa like apa🔥🔥🔥🔥😂😂💣

  • @bestmusictz6331
    @bestmusictz6331 Рік тому +29

    I never get tired listening to a genius of love. Blessed with talent

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 Рік тому +4

    Yuko wapi huyu❤🇰🇪🇰🇪

  • @Felixwamae
    @Felixwamae Місяць тому +1

    Moto sana 🇰🇪🇰🇪

  • @chaudhry257
    @chaudhry257 Рік тому +9

    As a true Burundian I'm Keen on it and then this song can lead All bongo's songs no matter how let's vibe from East to West

  • @LeroyMukok
    @LeroyMukok Рік тому +6

    Mboso shwari kabisa 😂

  • @dennistv2538
    @dennistv2538 Рік тому +8

    Wasafi are genius bcoz the audio and the music video zimeshabiiana kabisa💯🙌🔥🔥 @mbosso

  • @harunrazak1866
    @harunrazak1866 26 днів тому +1

    Hii muziki ni ya moja

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 Рік тому +4

    For the first time i salute mbosso and the entire bongo flavour

  • @BahatiKubuya-rq7ne
    @BahatiKubuya-rq7ne Рік тому +7

    Bonne chanson bro mboso tuna ku miss congo GOMA

  • @robertojwang1997
    @robertojwang1997 Рік тому +24

    The abrupt turn of the scene is breath taking, just with a smile and the witch is real.
    In my Luo dialect, Mbosso is a young GOAT

  • @SoundTherapy-Heal
    @SoundTherapy-Heal Рік тому +1

    mbosso mbosso........DAh Mbosso

  • @nelsonugesa9879
    @nelsonugesa9879 Рік тому +4

    Nimezama kweli ❤❤❤

  • @kingturner9031
    @kingturner9031 Рік тому +25

    ❤❤❤ I thought I know good bongo singers but this mbosso is just on his own world 🎉🎉