Wafanya biashara wanatofautiana level, ukifiatilia utagundua maduka makubwa ya wafanyabiashara wakubwa wenye stoo za mizigo ya bidhaa za biashara hawafungui, na hao ndio hasa wanaathirika na hizo kero za kibiashara zilisabisha mgomo. Na hao ndo wanaolipa kodi, hao wa level za chini wengine hata TRA wakipita wanafunga wanakimbia.
Vyombo vya ulinzi siku zote viko upande wa serikali hata ingekua mandamano ni haki ya mwananchi kuandamana kupinga juu ya kitu furani, police watasimama upande wa serikali na kuwashughulikia waandamaji kuwa wanafanya uharifu, kila kitu siasa hata kwenye jambo la msingi utafikiri tunatawaliwa na wakoroni
Na unakuta hao hao polisi na wenyewe wako kwenye janga la ugumu wa maisha. Badala wasupport wananchi kudai haki ili nchi ikae vizuri. Yenyewe yanakaa upande wa serikali. Nasikia hasira kweli
Ni sahihi ambae wanafanya biashara wafanye ambao hawataki Basi lkn kumzuia anaefungua ni kosa maana wamekosa ushirikiano wao Ila nijuavyo MTU akitangaza kiongoz mgomo unakuwa wote mgomo atakaefungua inakuwa amekiuka wanamtoa kwenye chama chao
Cheki hicho kifupi et kwa nini wafunge harafu wapo hivi kinajua kulipa Kodi kweli au kwa vilee cheneyewe kinazurula mtaani tu et, ndio maana kifupi na cheusi
Uko sio kulinda anani uko ni kuwatisha wafanya biashara baada mupunguze kodi munaleta police na bunduki uo si ndo ukoloni sasa .munachokitaka sio kulinda amani bali maduka yafunguliwe na wafanyabishara wanyamaze
Huyu dogo nae hazimtoshi eti kwanini afunge?utamlazimisha mtu kwa mali yake alipo tafutia akapata ulikuwepo?anayo hiyari kukuuzia au kufunga huwezi kuingilia uhuru wake.we dogo umezoea kuzurura hebu ondoa kiwingu wanapolipa kodi sizizo za msingi wewe huusiki.
Mtu aliyehojiwa mwisho nae anaongea pumba tu. Eti kuna waliofunga maduka yao lakini wapo nao wachukulie hatua kwa nn wamefunga maduka yao na wakati wapo. Sasa unamlazimisha mtu kufungua duka lake?
Hajui anachokiongea akikamatwa akaulizw amefunga NN anakwambia naumwa lile no duka lake ninchokiona wamefanya hivyo kumsikiliza maongezi kesho na waziri mkuuu km yataenda sawa basi
Wachukuliwe hatua wote waliofunga maduka kwahiyo wanashindana na serikali au jana hawajamuamini waziri mkuu au ni vp hao wote wachukuliwe hatua kali za kisheria wasituletee balaa katika nchi yetu
Huyo chinga nae chiz ehh wa2 tunasumbuka xana hasa sis wa mikoan unapo kuja kuchukua mzigo dar unashikwa alaf unaambiw kupewa mzigo wako mpka utoe M 1.5 hv ww umechukuwa mzigo wa M 5 utoe tena M 1.5 utabakiwa na nn ,kwa hiyo yy ruto anazuia mgomo usiwepo ili iwejee

Yaan muliro nakupenda Bure mungu akulinde baba
Watanzania hawana msimamo ,,kama kungekuwa na azimio moja la wafanyabiashara basi serikali ingekuja na majibu kwa haraka ili uchumi wetu usiasilike
Afande upo sahihi kauli nzuri anaefunga afunge anae fungua asitishiwe ishu wafanya biashara hawana msimamo mlitakiwa mfunge wote walio fungua ni wanafiki wakubwa,
😂😂😂 wanyoshe baba chala, jeshi linajua unakuja 😂😂 tetema mnyalu kama mayere, yule leader tandika sana
Mama ameongea sana point
Hii tanzania ainaga umoja ndo mana tunaburuzwaga tu ao walofungua utakuta alipi kodi kabisa ya duka
Aah hakna maana kabsa unalinda kwenye nini acha mambo yako afande wewe syo mungu watu wanateseka hamuon hayo kazi zenu ni kutetea wanyang'anyi
Wafanya biashara wanatofautiana level, ukifiatilia utagundua maduka makubwa ya wafanyabiashara wakubwa wenye stoo za mizigo ya bidhaa za biashara hawafungui, na hao ndio hasa wanaathirika na hizo kero za kibiashara zilisabisha mgomo. Na hao ndo wanaolipa kodi, hao wa level za chini wengine hata TRA wakipita wanafunga wanakimbia.
Elimu muhimu sana 😢😢
😁😁Hiyo inaitwa devide and rule,mchezo umesetiwa imeisha hiyo,RIP JPM
Huyu kamanda fire
Daah nawaonea huruma sana ambao wanategemea wapate kwa siku ndo mambo yaende 😢
Nimkweli kabisa mkuu 😂😂😂😂😂😂
Kamanda Muliro congrats!
Kama hatutafany kaz kwa uburu tutaripaje kodi?
Kutoka Zambia 🇿🇲 na sisi tutaacha kununua mizigo Tanzania mnatukamata sana tutaeenda kenya au tutaenda wenyewe china
Acha uongo mndar na Zambia wap na wap😂😂😂
We nenda t ujalazimishwa
Vyombo vya ulinzi siku zote viko upande wa serikali hata ingekua mandamano ni haki ya mwananchi kuandamana kupinga juu ya kitu furani, police watasimama upande wa serikali na kuwashughulikia waandamaji kuwa wanafanya uharifu, kila kitu siasa hata kwenye jambo la msingi utafikiri tunatawaliwa na wakoroni
Na unakuta hao hao polisi na wenyewe wako kwenye janga la ugumu wa maisha. Badala wasupport wananchi kudai haki ili nchi ikae vizuri. Yenyewe yanakaa upande wa serikali. Nasikia hasira kweli
Ndugu tupo hata hivyo kwenye ukoloni wa watu weusi
Dah hawana hata ushirikiano hawa wengine😢
Hiyo afande anatisha watu hiyo siyo kazi yake kazi yake yeye mwenyewe kachoka
Kwan lazima kufungua duka langu ni ihari yang unanipangia
Mambo yakiwashinda mnaita police siasa bhn
Hakuna unalo ongea hapo Mzee wangu, watu wanateseka Mzee, hata YALIYO finguliwa wameamu kfunga kabisaaa
UNGEJITAHIDI KUWAITA NA WAGENI ILI WAJE WAENDELEE NA MANUNUZI YA MIZIGO
Itakuwa analinda mageti yaliyofungwa .
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Ni sahihi ambae wanafanya biashara wafanye ambao hawataki Basi lkn kumzuia anaefungua ni kosa maana wamekosa ushirikiano wao Ila nijuavyo MTU akitangaza kiongoz mgomo unakuwa wote mgomo atakaefungua inakuwa amekiuka wanamtoa kwenye chama chao
Cheki hicho kifupi et kwa nini wafunge harafu wapo hivi kinajua kulipa Kodi kweli au kwa vilee cheneyewe kinazurula mtaani tu et, ndio maana kifupi na cheusi
Criss merchy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Apo mnatumia mbinu wagawe huwatawale.
HUO USALAMA MBONA KAMA VITISHO HIYO MIBUNDUKI YA KUULIA NANI ? MBONA MNAVYOTUKAMATA NA DEFENDER HUWA HAMZUNGUMZI KITU ZAIDI YA KUTUUMIZA TU(RUSHWA)
Uko sio kulinda anani uko ni kuwatisha wafanya biashara baada mupunguze kodi munaleta police na bunduki uo si ndo ukoloni sasa .munachokitaka sio kulinda amani bali maduka yafunguliwe na wafanyabishara wanyamaze
JE, Akibughudhiwa aliye funga yeye hatetewi?
Unatungua papai na gobole
Amni Tanzania wengi wao hatujielewi amni sasa pols munafoc nini et munataka kutumia nguvu et
Vyama vya upinzan ndo wafuatiliwe kwa ukaribu wanataka kuharibu Mana hata hao wanaoleta vurugu hapo hawana biashara ni wapinzan
Nyinyi mnazingua na hao tra wenu
Bado TRA watawasumbua wafanyabiashara.
Tena Tanzania nzima katika biashara zote
Hawa jamaaa bana ,
Inatakiwa katiba2
Too late t r a wamezidi...
Madaraka🤦♂️
Vyama vya upinzan ndo wanahimiza wagome kufungua maduka
Huyu dogo nae hazimtoshi eti kwanini afunge?utamlazimisha mtu kwa mali yake alipo tafutia akapata ulikuwepo?anayo hiyari kukuuzia au kufunga huwezi kuingilia uhuru wake.we dogo umezoea kuzurura hebu ondoa kiwingu wanapolipa kodi sizizo za msingi wewe huusiki.
IGP tuondole makamanda kama Hawa
Mtu aliyehojiwa mwisho nae anaongea pumba tu. Eti kuna waliofunga maduka yao lakini wapo nao wachukulie hatua kwa nn wamefunga maduka yao na wakati wapo. Sasa unamlazimisha mtu kufungua duka lake?
Hajui anachokiongea akikamatwa akaulizw amefunga NN anakwambia naumwa lile no duka lake ninchokiona wamefanya hivyo kumsikiliza maongezi kesho na waziri mkuuu km yataenda sawa basi
Maongezi ya lisu yanawaumiza
Wanti wameshikilia bunduki kama kuna magaidi
Wachukuliwe hatua wote waliofunga maduka kwahiyo wanashindana na serikali au jana hawajamuamini waziri mkuu au ni vp hao wote wachukuliwe hatua kali za kisheria wasituletee balaa katika nchi yetu
We chizi kweli
Ww unafanya biashara unajuwa hasara za biashara
HIVI HAWA SI WANA CHAMA CHAO? MAAGIZO YA USALAMA WA BIASHARA ZAO UTATEKELEZWA NA NANI?
Huyu kijana wa mwisho anaongea pumba tu. Watu wanatumia na makodi makubwa yeye analeta habari ya kuuza vyombo mitaani.
Arudi kwao dah hapa sasa tusiwalaumu police tuangalie usalaama Kwanza
Wacha kuwatisha wewe watu
Mm ninavyowaogopa nyie ..mkiwa mmevaa hizo nguo..
Vijana wako wanasumbua sana
Huyo chinga nae chiz ehh wa2 tunasumbuka xana hasa sis wa mikoan unapo kuja kuchukua mzigo dar unashikwa alaf unaambiw kupewa mzigo wako mpka utoe M 1.5 hv ww umechukuwa mzigo wa M 5 utoe tena M 1.5 utabakiwa na nn ,kwa hiyo yy ruto anazuia mgomo usiwepo ili iwejee
WEWE MULIRO ACHA UBABE UTAJIJUTIA KARIBUNI 2
sasa mtu dukarake kafunga zibiwe @
Nguvu nyingi akilikidogo
Sana
Kwann unajitokeza2 kwenye matatizo nyie wwenyewe mnayenu kibao
Wanao onewa na tra vipi mnawafatilia pia
Wafanyabiashara Wana stoo wameficha mizigo mikubwa walipa kodi ndogo
Bunduki kama wako msituni na waasi
Acheni ujinga sasa nyinyi polisi mnataka kutuletea vurugu viongozi wetu ni wajinga mno