MH.ALBERT CHALAMILA AMPONGEZA MWAMPOSA KWA HUDUMA ANAYOFANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mh. Albert Chalamila ameudhuria kongamano kubwa katika ibada ya Jumapili iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa na kuwashauri watu wote kuacha matendo maovu katika kusaidia serikali kufanya maendeleo.
    #Mh.AlbertChalamila #mwamposalive #ariseandshinetanzania

КОМЕНТАРІ • 57

  • @emmanuelpele8528
    @emmanuelpele8528 2 роки тому +1

    Sina hofu, na amini nitapona kwa Jina la Yesu Kristu. Na kosa nauli ya Kuja huko ila kwa Imani yangu nitapona. Unisaidiye kimaombi nipona na kidney, sukari na roho. Amen.

  • @caritashaule3548
    @caritashaule3548 3 роки тому +2

    Mungu akubariki mtumishi uwe na Maisha marefu uzidi kutufundisha juu ya uwepo wa mungu katika Maisha yetu.amen.

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 роки тому +8

    Huyu mtumishi wa Mungu alichosema ni kweli, na mama Rais aombe kuishinda roho ya kishetani na viongozi walio mzunguuka. Kwa jina la Yesu Christ✝️ 🙏

  • @anethmartine2669
    @anethmartine2669 3 роки тому +5

    Amina mwamposa mungu azd kukulinda tunakupenda sana

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 роки тому +1

    Amina muheshimiwa mkuu wa mkoa wa mbeya kututembelea viwanja vya Tanganyika pekeaz

  • @silvanusnabothi6139
    @silvanusnabothi6139 3 роки тому +5

    Karibu sana Mwanza kiongozi mwenye maono ya kujitambua. Kweli tunahitaji viongozi kama wewe.

  • @lolakimaro8767
    @lolakimaro8767 3 роки тому +5

    Napokea miujiza kwa jina la yesu

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 11 місяців тому

    Asante mungu

  • @mikelabia716
    @mikelabia716 Рік тому

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam chalamila Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi

  • @alexpeter9709
    @alexpeter9709 Рік тому

    Ni jambo jema sana kwa Mkuu wa mkoa pia kwa Rais wetu Mama Samia Mungu awabariki sana

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 11 місяців тому

    Amin

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому +1

    Hongera chalamila.hofu ni ya shetani.tumeomba mungu amejibu.tuamini.tumepona.mm samia ana ana hofu.na hofu hiyo imetoka Kenya.Kenya mungu wamemuweka no. 2.watanzania Uzi uleule wa j.p.m

  • @richardbizimana8020
    @richardbizimana8020 3 роки тому +1

    Bwana YESU asifiwe

  • @richardkabulo3968
    @richardkabulo3968 3 роки тому +2

    j aime arise and Chine

  • @janemsigwa7343
    @janemsigwa7343 3 роки тому +1

    Mungu naomba utufungulie milango ya baraka katika familia yangu kwa jina LA yesu

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu akubarik

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +2

    Kazi inaendelea chalamila yuko kwa mwamposya hongera sana

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 роки тому +2

    CHUMA IMEHAMIA JIJI LA MWANZA MH CHARAMILA KAINYOOSHE MWANZA💪

  • @annamoka2576
    @annamoka2576 3 роки тому +1

    Ameni

  • @francismfinanga2588
    @francismfinanga2588 3 роки тому +1

    Amen

  • @divaruhumbika2877
    @divaruhumbika2877 Рік тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏Amen

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 3 роки тому +1

    Ameen

  • @gidionkadaraja1403
    @gidionkadaraja1403 7 місяців тому

    Chalamilaa yupo dar sasa

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 3 роки тому

    Aisee

  • @jamesmbesere7666
    @jamesmbesere7666 3 роки тому

    Past somoir

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 роки тому +1

    Raisi wa baadaye huyoooo!!!!

  • @greggmarshall4869
    @greggmarshall4869 3 роки тому +2

    Hahaha Mbarikiwe

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 роки тому +3

    Umeongea kwel kabisa Chalamila.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому +3

    Chalamila.... Chalamila....Duh....Kazi ipo kwa Kijana huyu....

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 3 роки тому

    👍👍👍

  • @damsonwillison435
    @damsonwillison435 3 роки тому +1

    Viongoz wa bingo ni noma sa kanisani na huyo sjuh mlinz yupo mgongon watu inabid tuwe Advanced kwenye Ulinzi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому +2

    Tanzania hawajitambui kama wana watoto kesho ndiyo maana wanaiba tuu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому +2

    Eti kweli Tanzania Corona iko wapi??

  • @selemanwaziri7653
    @selemanwaziri7653 3 роки тому +1

    Hey

  • @tunakisiwekamnyoge8061
    @tunakisiwekamnyoge8061 2 роки тому +1

    AMEEEEEEEEEEEEEEEEE🤲✅

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 Рік тому +1

    Buldoza asifiwe🥴

  • @lolakimaro8767
    @lolakimaro8767 3 роки тому +1

    Umeongea vizuri Ila umesahau kusema tuwaombee ikiwa ulishasema kua umebadiliaha kauli kua tusiwaombee Ila tuombe kwa pamoja..iweje Sasa unasema tuwaombeee?

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 роки тому

    Ni zao la wana IRINGA huyu, Mungu ni mwema sana

  • @jamesmbesere7666
    @jamesmbesere7666 3 роки тому

    Samweli somoire

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 роки тому

    Kweli magu huyooooo!!!!

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому +3

    Huyo hajui kama Raisi anakufa hahaha Chalamila vituko

  • @ntibashimashima2919
    @ntibashimashima2919 3 роки тому +2

    WAPUMBAVU KICHWANI HAMNAZO MNAOPENDA MTELEMKO KUOMBA HAMTAKI

  • @estermunis29
    @estermunis29 3 роки тому

    Huyo arudi kwenye mazabao ya mungu atubu maana huku mwanza alikuwa anawaambia watu wawashawishi walokole wanywe pombe

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому

    Umeona eee watanzania tu wanafiki mnomno tuliona wakati wa msiba wa JPM

  • @fredrickueliuta8525
    @fredrickueliuta8525 3 роки тому

    Duuu

  • @saramwambu4969
    @saramwambu4969 2 роки тому

    Huyu kiongonzi no comedy sana

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 роки тому

    Huyu mkuu wa .mkoa ni koboka,na mpenda sana.

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 3 роки тому

    Amen

  • @jeressjohn9105
    @jeressjohn9105 3 роки тому +3

    Amen