Hivi nyie, Mnaakili kweli? Diamond awe msanii mkubwa dunia nzima? Nyie wanaohoji hapo na anae hojiwa hamjitambui! Dunia mnaijua lakini? Msije mkawa mnaamini kuwa kinondoni ndo dunia!
@@onedaymakomandomusic4882 MGAMBO BANGI MBILI TAYARI ANAJIONA TUPAC,LABEL SIYO MAKARIO KILA MTU ANAYO.MJOMBA NCHUMARI HAWEZI KUMFIKIA RAYVANNY HATA SIKU MOJA......APAMBANE NA JAY MELODY,MARIOO.
B levo baa unaongea facts sana
Woyoooo nime comment wa kwanza nipe like zangu bana
Ww ni mjinga na waliolike wajinga
Eti nikawaambia nilikuwa nashoot movie😂
Baba Levo hapo kwa Juma ni kweli anafa kuombiwa watu wakuchezia mavi hao Kisha yuwajifanya yeye ako sawa
King 👑 chuiiii ✈️🛫👑⭐ 🔥🔥🙌
levo 👌👌👌🙌🙌🙌
Lakini B. Levo please ukiwapeke yako UNAKUANGA na busara lakini yule jinga mwijaku ndio foolish
Here❤️
Rayvanny yuko vzur
Hivi nyie, Mnaakili kweli? Diamond awe msanii mkubwa dunia nzima? Nyie wanaohoji hapo na anae hojiwa hamjitambui! Dunia mnaijua lakini? Msije mkawa mnaamini kuwa kinondoni ndo dunia!
Kwahiyo unataka kusema je?
Ww ndio chizi sasa wapo wasanii wengi wakubwa dunian akiwepo diamond🔥🔥🥰usitake kujibiw na akil yko ya kijinga
Mama lavo mpoy
Baba levo uko kunabaridi ,vipi umemusame muke wako
🤣🤣🤣uyo chawa anatetea mkate wake wa kila cku uyo rey ukubwa wake ukowap akat ngoma anatoa kila cku haziendi uyo b levo anamuhaho
Ana mhaho+muwasho hana jipya 😄
Acha roho mbaya
Ray anamzidi harmo kila kitu, makombe ni mengi ambao ray analo, harmo ana atakombe moja ni bala tu
@@rajuxcharity sio roho mbaya i say bb levo ni m binafsi bwana
@@onedaymakomandomusic4882 MGAMBO BANGI MBILI TAYARI ANAJIONA TUPAC,LABEL SIYO MAKARIO KILA MTU ANAYO.MJOMBA NCHUMARI HAWEZI KUMFIKIA RAYVANNY HATA SIKU MOJA......APAMBANE NA JAY MELODY,MARIOO.
Hiyo chain yake amezingua sana Lebo ya burna boy nina huakika hajui alicho kiva🤣🤣🤣🤣🤣