MTUMWA WA MAPENZI 😭

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 66

  • @monicesthela6316
    @monicesthela6316 2 роки тому +4

    Mapenzi inauma sana tujikaze kupunguze kujibembeleza kwa wanaume 😭😭Asante kaka Ibra kwa mafunzo ya kila siku

  • @judywaudakazungu2144
    @judywaudakazungu2144 2 роки тому +5

    🥺🥺🥺it's really pains...ibrah nani aliimba huo wimbo please...why do we give our hearts to people who don't value our feelings😭😭😭

  • @pilimtunda9270
    @pilimtunda9270 2 роки тому +3

    Nashkl sana kaka unatufunza mengi hali hii ndio nilionayo sasa mie mungu akuweke ili tuendelee kujifunza mengi kupitia ww

  • @esthernyabuto3482
    @esthernyabuto3482 2 роки тому +2

    Asante bro kwa ushauri mzuri. Dada usijali pia mimi hiyo ndio hali ninayokumbana nayo Sasa hivi😭😭😭

  • @alicewanyanya279
    @alicewanyanya279 2 роки тому +3

    Good teachings be blessed

  • @marylwena714
    @marylwena714 2 роки тому +3

    funzo kwangu thanks

  • @felistermillinga5721
    @felistermillinga5721 2 роки тому +3

    Daaaah ,😭😭 kweli yatatuua,😭 Asante bro kwa kutuendelea kutupa mafunzo Kila iitwayo leo , mungu azidi kuimarisha kipaji chako , coz tunajifunza mengi kupitia wewe

  • @hawashabani7896
    @hawashabani7896 2 роки тому +1

    Duuh,inauma sana,yaani wanaume wangejaribu kujua HISIA za wenzao angalau wangekuwa wanasema ukweli kuwa nimekuchoka kuliko kumdanganya mtu Kwa kumpa matumaini

  • @wardapapa331
    @wardapapa331 Рік тому

    Walahi Kaka umenishi Sana mungu akuzidishiye afya na uzidi kufariji watu shukrani san🥰🥰🥰

  • @alaislazarotajewo7950
    @alaislazarotajewo7950 2 роки тому +1

    Hongera Sana Kaka Hakika Unazidi Kutuelimisha Katika Suala Zima La Mahusiano...... Be Blessed!

  • @edrickbigirimana6538
    @edrickbigirimana6538 2 роки тому +1

    Thanks for this lesson it's for me

  • @farajamario2581
    @farajamario2581 2 роки тому +1

    Inauma Sana Yani hayo yote tuna kutana nayo kuna muda tunavumilia kwasab tuna waza tutabdili wanaume mara ngap but Wanaume Wana tuumiza Sana 😭

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 місяці тому

    Hongera sana kaka najifunza mengi sana 🙏🙏

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 2 роки тому

    Nimejikuta napata mshtuko wa moyo asee mbona yananitesa mapenzi hivi kumbe yupo wa kunishauri jaman 😭 big up kaka akeeee

  • @JumaMasoudi-rc2xd
    @JumaMasoudi-rc2xd Рік тому

    Nakubali broo unacho fanya

  • @igkapinga1272
    @igkapinga1272 2 роки тому +1

    Nakukubali sana dear mamy wng nakupenda xna 😘🥰🥰❤

  • @Sally-if3yn
    @Sally-if3yn Рік тому

    Somo zuri hili ahsante sana Bro Ibra kwa haya mafunzo

  • @PaskaliaKintende-j2i
    @PaskaliaKintende-j2i 22 дні тому

    Asanter kaka ibra hua najifunza mengi kwako ♥️

  • @swemamohameed5691
    @swemamohameed5691 2 роки тому +1

    Asante bro ibrah kwa somo la leo

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 6 місяців тому

    Nakupenda kaka ibra❤❤❤😢😢 unatufuza

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o Місяць тому

    Mapenzi hayaeleweki yaani nakumbuka ..hamna siku ningeuluza swali na nijibiwe ..kila mara jibu lilikua swali pia ..hata nikimwambia i love u uanambia umekosa kazi ..eeeish ilib8d8 nijiongeze ..wanawake usiwai onyesha mwanamume eti unampenda sana hapo utakua mtumwa wake

  • @hamejaybaba-tz6768
    @hamejaybaba-tz6768 2 роки тому +1

    🤦‍♂️Dah asee nimejifunza kitu Hapo🙏🙏🙏

  • @vokethecomedian
    @vokethecomedian 2 роки тому +1

    Nimeipenda sana

  • @judywaudakazungu2144
    @judywaudakazungu2144 2 роки тому +1

    Please ibrah niambie jina la msanii wa huo wimbo unaitwaje

  • @sarafinasagenge6597
    @sarafinasagenge6597 2 роки тому +1

    Nimeipenda hii 📌📌📌

  • @loycembukwa-js5yq
    @loycembukwa-js5yq 5 місяців тому

    Huyo ndo mimi wa enz zile lkn now najikaza maisha yanaenda

  • @ladynema7229
    @ladynema7229 2 роки тому +2

    Kweli kabisa

  • @fatmarahil3033
    @fatmarahil3033 2 роки тому +1

    Thanks sana ibra

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 роки тому

    Mapenzi nyokoo 💔 sna thanks ❤️ ❤️ broh

  • @rosemuhando6494
    @rosemuhando6494 2 роки тому +2

    Mimi nilijikatia cheti chakutopenda mwanaum kimapenz nimatumiz mabaya ya akiri

  • @fesalali4361
    @fesalali4361 2 роки тому +1

    Thanks Bro

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 2 роки тому +3

    Hayo ndo hali yangu sasa hapa marekani hata hela ninayo lakini naumizwa😭😭😭😭😭😭😭

  • @swedjabirramadhan227
    @swedjabirramadhan227 2 роки тому +1

    Hivi aka kanyimb kamkoimba kanaotwaje jmn nimekapenda

  • @lidyadamas5706
    @lidyadamas5706 2 роки тому +1

    Nice

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 11 місяців тому

    Wow doz kamili

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Рік тому

    ❤❤❤ hunambaya kaka ibra unatufuza kwakweli

  • @salumnsumyi-pk4vi
    @salumnsumyi-pk4vi Рік тому

    Jamani wimbo aliImba nani

  • @danielbudara1584
    @danielbudara1584 2 роки тому +1

    Inazuma kweli kuwa kwenye utumwa

  • @yassinsalum1750
    @yassinsalum1750 2 роки тому +1

    Mapenzii ayaaaa!! 🚶

  • @mwanamisisuleiman5442
    @mwanamisisuleiman5442 2 роки тому

    Asante sanaaaa umenipa funzo wacha nilifatilie

  • @savageemy2570
    @savageemy2570 2 роки тому +1

    Mapenzi yanakutesaj namatunda yapo mezani embu kula matunda ayo

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    Daaaa inauma😭😭😭😭 IBRA 🙏

  • @miriammkare6433
    @miriammkare6433 Рік тому

    Mapenzi yanauma kweli kabisa

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 2 роки тому +1

    Funzo kubwa nmepata

  • @mugishaclarisse8130
    @mugishaclarisse8130 2 роки тому

    Mapenzi moto moto😅😅

  • @khanifaally3934
    @khanifaally3934 2 роки тому

    Asante sana bro

  • @patiencengave7673
    @patiencengave7673 2 роки тому +1

    😪😪😭😭kweli kabisa

  • @asiamatoke4168
    @asiamatoke4168 Рік тому

    Daah kwel jaman mapenz yanauma

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 2 роки тому

    Nimeipenda hiyo

  • @isaacshikari6314
    @isaacshikari6314 Рік тому

    Bro ...Ibra nautilia manani sana wasia wako haya ni mambo ya kweli hutokea kabsa

  • @tatusalim473
    @tatusalim473 Рік тому

    Yaani najiona mwenzenu

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 Рік тому

    Nikweli kbs kaka yetu

  • @hawashabani7896
    @hawashabani7896 2 роки тому

    Kaka naomba nambari zako NAHITAJI ushauri zaidi nashindwa kutoka kwenye MAUMIVU ya kumpenda mtu asiyenijali Wala kunithamini nataka kumuacha ila nashindwa

  • @MeshackAlbelto
    @MeshackAlbelto 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому

    Shule ninayopata kwako Ibra thedon hakika ni ya kudumu na kuniweka sawa kiakili

  • @yuui1878
    @yuui1878 2 роки тому +1

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mugishaclarisse8130
    @mugishaclarisse8130 2 роки тому

    Inauma😣

  • @abdulkawimba1805
    @abdulkawimba1805 2 роки тому

    Nyimbo inaitwaje na kaimba nan?

  • @khadijaramadhani3523
    @khadijaramadhani3523 2 роки тому

    Daaah 😢😭😭😭

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому

    Asant. Kaka. Ayo. Mafunzo. Kwer

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому

    Nikweri. Kabis. Presh. Zita. Tutes😭

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 роки тому

    Najikuta kulia huku maana pia nateseka ma haya mapenzi