Roho Yangu , Yako, Yao, ROHO YETU YA AMANI TUNAYOITEGEMEA (JITEGEMEE). AMANI JWTZ MUNGU AWAONGOZE KATIKA UTIIFU WA UTENDAJI WA MAJUKUMU YA KUJITOLEA. YENYE HATA RISK SOME TIME KWA UTAYARI WAO JWTZ (WAZALENDO WAKWELI) I SALUTE JWTZ.
Aisee hii amani tuliyonayo sifa njema zote anastahiki mwenyezimungu na yeye tunamuomba atuepushe na watu wabaya lazima kuna mataifa wakiona hivi wanaumia maana waonsizani kama wakubwa wa majeshi wanapata muda kama huu lazima iwaume tumuombe mungu atulinde.
A man who is blessed for having a very powerful spiritually intelligence appeared in Arusha in Tanzania.God blessvTanzania;God bless Africa.He is not only the president of Tanzania but also for the whole Africa.
Hivi intellegencia ya nchi hii mnaijua nyinyi kweli haiwezei kukabidhi nchi kwa mtu kam Tundu lissu na kule zanzibar yule babu haiwezekani jamani mnapoteza muda wenu bure kumuongelea mtu kama Lissu na yy anajua hilo hawezi kupewa nchi hii
Kuna MTU anaumia anapowaona vijana wa uvccm mahala pa mikutano ya serikali( mh rais,makam,waziri mkuu) anasahau kuna uhusiano kati ya chama na serikali ,chama ndio wasimamizi wa ilani ya uchaguzi serikali wao wanatekeleza mengineio tujifunze tusilete uchama ama chuki binafsi hata hao chadema,cuf,act nk mnaowasema hata wao wakishika dola vijana na wanachama wao mtawaona katika mikutano yao pia sote wa Tanzania tuijenge nchi yetu
Niliwahi kusoma sehemu kuwa Mabeyo ni pilot wa fighters, helicopters na ndege za kawaida kama alivyokuwa Mboma. Sikujua kuwa kuwa anajua muziki pia; ila ananifurahisha kuwa uhusiano wake na wakuu wengine wa majeshi yaliyoko chini yake kama polisi, magereza, uhamiaji na uokoaji umekuwa ni mzuri sana kwa maana ya kuwa wanauonyesha wazi wazi hadharani.
Angalia chuki hiyo isije ikakupunguzia umri, huo ni upumbavu kuwachimba wenzako kila mahali, hata kama hupendi ndio wako madarakani, nenda kwenye nchi anayotawala Lissu na Chadema yake!
Sherehe hazina campaign, watu wanaburudika watu waache kama hupendi kuburudika wewe! Maisha haya ni mafupi ikitokea nafasi ya kufurahi itumie vilivyo kwasababu watu wanaoudhi kama wewe ni wengi mno!
Shangilieni sana lakini akishinda Magufuli mjiandae kufilisika kwa kodi kubwa mtakazolipa kufidia gharama za CCM kwenye kampeni. UKIONA MTOTO ANASHANGILIA SANA KILIO CHAKE PIA KIKO KARIBU" Hizi ni sherehe za wakubwa wa CCM, Majeshi wakishangilia kukatwa kwa Madiwani, Wabunge wa upinzani na Mawakala wao.
Nimeona kundi kubwa la wanyonge wanapepea mikono Ila sura zimekata tamaa kwa kuwaza kilo ya dona usiku,wenzenu hata wakihenyeka huko ATM zinawasubiri Kila mwisho wa mwezi,sitakubali kuitwa mnyonge labda nkifa
CCM chama lao TRC shirika letu. Hakuna safari najiskia raha Kama nikienda kigoma kwa treni napanda gari hadi iwe dharura isiyokwepeka sipendi kujibana hta nikiukwaa urais siachi panda treni Af nakaa daraja la tatu kwenye stori zote 😋😋😋😋😋😋😋😋
Kazi nzuri amani idumu tanzania mungu bariki jeshi letu
Naipenda Tanzania, najivunia kuwa mtanzania.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika
Roho Yangu , Yako, Yao, ROHO YETU YA AMANI TUNAYOITEGEMEA (JITEGEMEE). AMANI JWTZ MUNGU AWAONGOZE KATIKA UTIIFU WA UTENDAJI WA MAJUKUMU YA KUJITOLEA. YENYE HATA RISK SOME TIME KWA UTAYARI WAO JWTZ (WAZALENDO WAKWELI) I SALUTE JWTZ.
Nimenogewa nikakaa kabisa, hongeren kaz nzur sana
Mungu ameipenda Tz kweli, vipaji Kila kona
“🤩 MWENYEZI MUNGU IBARAKI TANZANIA 🇹🇿🦚🦒🌴🏝🏔🥀❤️💫, AMEN 🙏🏽”
Kwakweli mmenogesha. Safi sana. Wabaya wenu wafe.
Dah! Mungu atupe nini watanzania jaman kwa furaha hii Mungu ibariki Tanzania
Hadi raha kabisa.Mungu wabariki viongozi wa vyombo vya ulinzi.
Safi sana..
Hii ndio Tanzania yetu Imara. Imependeza sana
TANZANIA ni raha sana
Hongeren watanzania
Kweli tuna mshukuru mwenyezi mungu kwakila jambo,tunamuambia magufuli asante kwa alioyafanya hapa nchini.
Mungu awabaarik tz
Naipenda Tz jamani hadi raha maashaallah,
Tanzania is a Gifted LAND 🇹🇿✔
My Country love you🇹🇿🇹🇿❤❤
Mungu Ubariki Tanzania ..
Mungu Abariki Tanzania yeti
Pamoja na jpm na ccm
Yote
Congratulation Tanzanians from Kenya
Tudumishe AMANI AFRICA. BRAVO TANZANIA , BRAVO AFRICA. FOR REAL
Tudumishe AMANI AFRICA. BRAVO TANZANIA , BRAVO AFRICA. FOR REAL
Kama band ya Gare boys.hangereni sana.Nimekumbuka mbali.. MAISHA HAYA....mmm Mungu ibariki Tanzania kwa vipaji.
Mungu ibariki Tanzania
Ccm kuzuri nyee
Mpo juu juu kabisa
Hii imetulia, Hongera sana wadau wa Amani..
Yani zamani tulikua atupati raha kama ihii wacha kabisa
Tanzania naiombea kwa mungu baba was ukweli na haki aibariki.
Najisikia fahari kuwa Mtanzania
Natamani niwape zawadi ila niko mbali hongereni kaz nzuri sana jeshi letu Tanzania
Najivunia kuzaliw tz
Aisee hii amani tuliyonayo sifa njema zote anastahiki mwenyezimungu na yeye tunamuomba atuepushe na watu wabaya lazima kuna mataifa wakiona hivi wanaumia maana waonsizani kama wakubwa wa majeshi wanapata muda kama huu lazima iwaume tumuombe mungu atulinde.
An display of humility and good leadership.
Mabeyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
A man who is blessed for having a very powerful spiritually intelligence appeared in Arusha in Tanzania.God blessvTanzania;God bless Africa.He is not only the president of Tanzania but also for the whole Africa.
Parsonal
Jameni unaona nginsi C.C.M Tanzania ni salama na amani Kwakweli TUNDU lisu ni shetani
Nafurahi kuzaliwa Tanzania ♥️🇹🇿🇹🇿
Safi sana
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Wakubwaaaaaaaaaaa
Oyooooooooo!!. God "Goooood...!!
Hivi intellegencia ya nchi hii mnaijua nyinyi kweli haiwezei kukabidhi nchi kwa mtu kam Tundu lissu na kule zanzibar yule babu haiwezekani jamani mnapoteza muda wenu bure kumuongelea mtu kama Lissu na yy anajua hilo hawezi kupewa nchi hii
😂🤣😂🤣Nyumbu hawaelewi wanapoteza muda
Inaleta msisimko sana ukiitizaman kuna kihali fulan hivi kinakuja ❤❤❤
Maashaallah
Tumebarikiwa sana Tanzania
Penda Tanzania
A special display of peace of heart through aesthetic music.
Dahh! Hivi kuwakodi kwenye shughuli binafsi ni sh ngapi? nimeirudiarudia mpaka GB moja imeisha
🤣🤣 GB imeisha eeeeee
Enda central kaulize wautaratibu wao
Tanzania oyeeee
Jeshi langu nalikubali miaka mia
Tanzania INA wanawake wazuri sana halafu tundu anataka wawe na makovo.
Tanzania nchi ya furaha
Tanzania ni nchi tamu angalia at a maskali was like wana band wazuri kweli.
Congratulations
LlSSU HANA NCHI HAPO... KAMA ANA AKILI ATAFUTE TU SHUGHURI NYINGINE YA KUFANYA.
Walitaka kumpa kazi yakusimamia TAUSI pale ikulu kaleta jeuli sasa atabaki kama makonda🤣😂😂🤣
@@narmyheart2021 jmn kwan makonda hana kaz eeeeee maan simsikiii popote ck hiz
kazi nzuri
My nation
Kuna MTU anaumia anapowaona vijana wa uvccm mahala pa mikutano ya serikali( mh rais,makam,waziri mkuu) anasahau kuna uhusiano kati ya chama na serikali ,chama ndio wasimamizi wa ilani ya uchaguzi serikali wao wanatekeleza mengineio tujifunze tusilete uchama ama chuki binafsi hata hao chadema,cuf,act nk mnaowasema hata wao wakishika dola vijana na wanachama wao mtawaona katika mikutano yao pia sote wa Tanzania tuijenge nchi yetu
jaman
Najua kuna wakiovimbisha mishavu , kufeni km mnakufa
Exactly mpendwaa
Naipenda nchi yangu tz
Asie ipenda ccm ajinyongee
Brass band, imenikumbusha enzi zangu za primary in 1970's. Irudisheni mashuleni
Yani mmetisha
Tanzania ayeee
Jeshi likovizuri naloo🤣🔥🔥🔥🔥❤️🙌
Niliwahi kusoma sehemu kuwa Mabeyo ni pilot wa fighters, helicopters na ndege za kawaida kama alivyokuwa Mboma. Sikujua kuwa kuwa anajua muziki pia; ila ananifurahisha kuwa uhusiano wake na wakuu wengine wa majeshi yaliyoko chini yake kama polisi, magereza, uhamiaji na uokoaji umekuwa ni mzuri sana kwa maana ya kuwa wanauonyesha wazi wazi hadharani.
mwanae ndo alikuwa pilot ila alifariki kwa ajali ya ndege
@@jaydenbanga Kumbe! Asante sana kwa ufafanuzi.
Aitamiweeee
Haitotokea tena collabo km hili
Wape salamu wambie nchi haikabidhiw leave mbeligij
Hizo hela walizotoa hapo ukizikusanya hata laki 2 haifiki askari ni wabahili sana sijui hela zao zinaishia wp?
Jamani Mzee kwani anaapishwa liiin jamn raah hii kaablaaa duuuu!!! JPM MI🖐️ TENAAA...
Tundu ana mawazo ya kishetan
Tutaona Mengi kabla ya Mwaka Kuisha
Hata ukiisha yajayo yanafrahisha ata usiwaze
Na utayaona mpaka kufa unafikili yanaisha tulia dawa iingie
@@agnesshanah2825 DAWA gani sasa
@@estermathias8354 Esta wewe nawe Una Jambo lako Unaonesha kabisa
@@newforcejv9721 jmn ko ww hauna jambo.mbona naww unaonesha unajambo
Hapo ndo walipo halibu jeshi limekuwa lasiasa
Lushoto moja hyo
Kama tumetoka kupokea kipaimara vile
HILI JESHI NA CCM CHAMA DOLA... THIS PROVES LACK OF CREDIBILITY
How!!?
Ukishajua madhaifu ya watz....unawadanganya kwa mziki tu, then wanasahau mabaya yote uliyowafanyia 😂😂😂
Kafie huko unapopajua watu wanapiga kazi
@@seifmketo2421 Wengine wana roho mbichi hakuna jema kwao, wakuwapuuza ndugu yangu!
Umefeli
Sasa hizi ni sherehe za ccm au za jeshi la ccm au ccm ndiyo wenye hii shughuli
We unaonaje
Hakil t utumie
Utajijibu
Kila kitu mawazo potofu kaulize mwenyewe
Serikali yote ipo arusha
Tz raha Sana mungu ibarik
@@arnoldkimaro3887 one Love
Huu ni mkutano wa kampeni wa ccm au??
Hapana ni uzinduzi wa reli dar- tanga-arusha
Mkutano wa kampen huo
@@anoldykamugisha9993 siyo
@@alexkiria1901 jez gan zmevaliwa hapo????? Acha kufumbwa macho wew
@@shaurimtanda1128 kiangazi hichi
Saf San mkuu
CCM inafanya mambo ya kutisha. Wazazi angalieni watoto wenu wanatumiwa na CCM ndivyo sivyo.
Ni yeye
Ccm mumechoka kwa uongozi ndiyo munatumia Jeshi la wananchi hili siyo jeshi lenu ndiyo maana ninakosa lidhaa ya wananchi
Inakosaa lidhaa ya wanachadema rekebisha kauli zako
Angalia vzur mbele ya kofia afu tujulishe kama jeshi LA wananchi au polisi.
Angalia chuki hiyo isije ikakupunguzia umri, huo ni upumbavu kuwachimba wenzako kila mahali, hata kama hupendi ndio wako madarakani, nenda kwenye nchi anayotawala Lissu na Chadema yake!
Tafuteni nchi yenu na lisu
Jeshi nasiasa wap nawap
MNAYAFANYA HAYA WAKATI WA KAMPENI?WHAY???????
Ni moja ya kazi za serikal tutajuaje Kama wao ndo wamefanya lazima waonyeshe
@@arnoldkimaro3887 mmmmhh
Sherehe hazina campaign, watu wanaburudika watu waache kama hupendi kuburudika wewe! Maisha haya ni mafupi ikitokea nafasi ya kufurahi itumie vilivyo kwasababu watu wanaoudhi kama wewe ni wengi mno!
Shangilieni sana lakini akishinda Magufuli mjiandae kufilisika kwa kodi kubwa mtakazolipa kufidia gharama za CCM kwenye kampeni. UKIONA MTOTO ANASHANGILIA SANA KILIO CHAKE PIA KIKO KARIBU" Hizi ni sherehe za wakubwa wa CCM, Majeshi wakishangilia kukatwa kwa Madiwani, Wabunge wa upinzani na Mawakala wao.
Hiyo ndo tz hela zilishatoka siku nyingi na ndo maana ya bajet ya nch
UNA ROHO MBAYA NA DUA LAKO!
Hapo wananchi wanaona kama hawana shda,kumbe wakitoka hapo ni shda tupu,any ways
Nimeona kundi kubwa la wanyonge wanapepea mikono Ila sura zimekata tamaa kwa kuwaza kilo ya dona usiku,wenzenu hata wakihenyeka huko ATM zinawasubiri Kila mwisho wa mwezi,sitakubali kuitwa mnyonge labda nkifa
Chezeni kwa mara ya mwisho maana Tar 28 ndo kwa heri yenu
Wewe ulisikia wapi????? 🤪🤪🤪🤪
Hahaha
Madenge Wewe unaumwa c bure.
Endelea kujidanganya na kujifariji
Ahahaaaa
Ccm mwaka wenu wa mwisho huuu kwaiyo mukikaaa mujuwe
Angalau hta huku kuandika kwa uwezo mdogo ni CCM hyo ndo imesababisha maana bila shule usingekosea
@@kabefiramadhani7610 😀😀😀😀
Lamda wew ndiyo mwaka wako wamwisho naona unatapatapa sana.
Mtaweza kwli! Aaa wapi hata mkiungana na matusi kutukana ccm chama laooo
CCM chama lao TRC shirika letu.
Hakuna safari najiskia raha Kama nikienda kigoma kwa treni napanda gari hadi iwe dharura isiyokwepeka sipendi kujibana hta nikiukwaa urais siachi panda treni
Af nakaa daraja la tatu kwenye stori zote
😋😋😋😋😋😋😋😋
Safi sana
Safi Sana