MZEE MAGOMA ACHARUKA AMVAA ENG.HERSI/ALITUHAIDI KUJENGA UWANJA/YANGA INA AMA AMA TU UWANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 День тому +4

    Huyu mshua kwa wale utopolo wenye akili lazima watakuwa wanamwelewa.. anayo ongea yote ni sahihi kabisa.. ila wasio kuwa na akili wataishia tu kumdharau.. kumtisha na kumtukana

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 13 годин тому

    Huyu Bwana ameongezeka kuwa mtu wa Tatu mwenye akili ndani ya Utopolo,
    Rangi ya Dhahabu wapi na wapi timu ya Yanga? Utakuwa ni ile Dhahabu ya GSM hiyo😂😂😂😂

  • @jabirihanthu
    @jabirihanthu День тому +2

    Nikama ubaya ubwela fulani hivo😁😁😁😁😁

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 День тому +1

    mshua MAGOMA kurujuani yako ishamuondoa kocha kipara nadhani IPO njiani kuwaondoa wachezaji wazee na viongozi wapiga madili.. komaa babu usikate tamaa IPO siku watakuelewa tu handsam mwamba GOMA boy.... 😂😂😂😂😂

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 22 години тому +1

    Doh eti yanga watavaa jezi nyekundu😂😂😂

  • @nbwchannel4997
    @nbwchannel4997 14 годин тому

    Mwambaa kamanda magoma.

  • @jamesmassawe1177
    @jamesmassawe1177 13 годин тому

    Huyu mzee tunamfanya mtu wa tatu kwa wenye akili pale utopolo

  • @AthumanAthuman-q3n
    @AthumanAthuman-q3n 14 годин тому

    Ana maana YANGA ni NG'OMBE wa maziwa na sio UTOPOLO tena

  • @herberthatibu8439
    @herberthatibu8439 День тому +1

    Pia Manara imemuondoa

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem День тому

    Hatajenga uwanja mpaka tufe hilo domo tu na bado

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 19 годин тому

    Magoma enzi yake alicheza mpira?

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 19 годин тому

    Kuwa na akili katikati ya wajinga ni hatari🤔🤔🤔🤔🤔