Unapenda Kua Msanii Mzuri Wa Filamu? Jifunze Hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Mtayarishaji Wa Filamu Tanzania Lamata Leo Anatupatia Tip Namnagani Unaweza kua Muigizaji Bora Kupitia Kazi Ya Filamu Katika Kiwanda Cha Bongo Movie

КОМЕНТАРІ • 61

  • @queenMaeda4722
    @queenMaeda4722 2 роки тому +10

    M nahtaj sana mam mm nipo taar kwa Lolo na naipenda uigzaj

  • @hudhudfilm
    @hudhudfilm 2 роки тому +2

    NAPENDA SANA.KUIGIZA .NI KAZI NZURI .HONGERA SANA LAMATA KWA HAPO ULIPO FIKA MUNGU AKUZIDISHIE.NASI PIA TUNAOMBA SUPPORT YAKO TUWEZE FIKIA MALENGO

  • @elikamtumishi
    @elikamtumishi Рік тому +2

    Duh iko ndani ya damu natamani sana

  • @stumaymsingwa3180
    @stumaymsingwa3180 2 роки тому +4

    My sister please naomba unisaidie napenda sana kuigiza naomba unisaidie kutimiza ndoto zangu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @LovelyBooks-tn3bf
      @LovelyBooks-tn3bf 8 місяців тому

      Jamani namimi nakipaji natamani kukioneshaa nindoto yangu

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 2 роки тому +3

    Mnaangalia muonekano bhana, huyo Gara.B hajui kabisaaaaa ni vile tu jina linambeba

  • @levaniahyyusuph8224
    @levaniahyyusuph8224 Рік тому +1

    Dada natamani sana kuwa muigizaje mnapatikana wap

  • @enockmanyangu1459
    @enockmanyangu1459 2 місяці тому

    Ahsante sana Dada ramata nimekuelewa vizur ederea kutupa darasa tuelewe zaidi

  • @japhethmusa-hm2wl
    @japhethmusa-hm2wl Рік тому +1

    Asante Sana natamani kua mwigizaji napenda Sana ulivy pamoja na wengine

  • @ZainabuChomba-em3jx
    @ZainabuChomba-em3jx Рік тому +1

    Madam mm napenda sana kuigiza nandoto yang siku moja niwe msann naomba msaada wako

  • @imranimutlu48
    @imranimutlu48 Рік тому +1

    nami nataka kuwa msanii bnora✌✌✌👍

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 5 місяців тому

    Hongera my sweet kaz nzuri unafanya me muigizaji na napenda in Sha Allah Allah akibariki nitatimiza ndoto yangu

  • @irenewilliam6047
    @irenewilliam6047 Рік тому +1

    Mam napenda dad

  • @Kilizon8
    @Kilizon8 Рік тому +1

    Sasa hivi kuigiza kwa wale mastar akishakuwa star nyota kwenye mziki basi anaweza kuigiza wakati wapo wengi wa chini wanaweza basi tunaomba mtupe saporti yenu kwani hatawao walianza chini sasa hivi wako juu Muvi ni talent na vipaji wanavyo watu sio mastar pekeyake.

  • @mtungirey5973
    @mtungirey5973 2 роки тому +1

    Nataka kuwa muigizaji napenda sana iyo Sanaa

  • @ixhadrama-eb3xf
    @ixhadrama-eb3xf Рік тому +1

    Me nna kipaji na pia napenda sana kuigiza no ndoto yangu ya mda mrefu

  • @SonlizerKigahe
    @SonlizerKigahe 11 місяців тому +1

    Asant Kwa Tp

  • @fahmidirector3729
    @fahmidirector3729 2 роки тому +1

    Nataka kujiuna na sanaa ya kuingiza bongo movies

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 Рік тому

      Tafta kitale musa au comedy yyt

    • @zechally3465
      @zechally3465 Рік тому

      Hi! Naitwa Zena ni mkazi wa temeke dar es salaam, Naomba Kama kutakuwa na nafasi natamani niipate kwa sababu Nina kipaji pia napenda sana kuigiza ni kitu ambacho kipo kwenye damu please!

  • @AwitiFrank
    @AwitiFrank Місяць тому

    Jamani naomba sana dada angu mm pia naenda sana kuigiza Iko moyoni na ninakipaji hicho naomba unisaidie

  • @typhahchimamy2754
    @typhahchimamy2754 7 місяців тому +1

    Me napenda kuigiza pia

  • @NeemaMsuya-s9b
    @NeemaMsuya-s9b Рік тому +1

    Nahitaju kuigz dad Nina kipaji nilbki tuu shule nkigzaaa nakupewa sifa bila mafnikio naomb nxaidie dad

  • @mussamatondo4886
    @mussamatondo4886 Рік тому +1

    Natamani kuwa muigizaji naomba msaada wako

  • @johnludovick2736
    @johnludovick2736 2 роки тому +1

    Naipenda sana jamani

  • @omarmwinyi2224
    @omarmwinyi2224 2 роки тому +1

    Kwa majina naitwa Saum abdhalla napenda sana kuigiza na nishajiunga na magroup kadhaa lakin sikupata mtu wakunishika mkono

  • @munilamohamedi673
    @munilamohamedi673 Рік тому +1

    Jama dada lamata na mimi naitaji nakipaji pia ninacho

  • @borayahmiddle7865
    @borayahmiddle7865 2 роки тому +1

    Sio kwa wabongo jmn

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 2 роки тому +1

    Kumbe jinarangu 💃💃💃💃💃💃

  • @onesmomfugale9361
    @onesmomfugale9361 Рік тому +1

    much thaks madam

  • @juliaslukas3305
    @juliaslukas3305 2 роки тому +1

    Nahitaji kua msanii wa bongo movies sijui kama unaweza kunisaidia kujiunga na company yenu dada angu

  • @magelethimsokwa62
    @magelethimsokwa62 Рік тому +1

    Yani napenda uigi zaji tangu mtoto natamani sikumoja niwemui gizaji mzuli

  • @gidionmwasenga
    @gidionmwasenga 5 місяців тому

    Napenda kuigiza nixaidieni

  • @zulfahamissi9266
    @zulfahamissi9266 9 місяців тому +1

    Msaada bc jmani

  • @magelethimsokwa62
    @magelethimsokwa62 Рік тому +1

    Ninaimani na ndoto zangu

  • @fatumamohamed5376
    @fatumamohamed5376 2 роки тому +1

    Hi ni hadija kutka Kenya natamani Santa kuigiza tafathali nope nafasi

  • @hellenbayanga9511
    @hellenbayanga9511 3 місяці тому

    Napenda Sana kuigiza lakini sijui wapi nikaigizie

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 2 роки тому +1

    Kwenye muonekano nakataa

  • @fatimafa3434
    @fatimafa3434 2 роки тому +1

    Asante sana

  • @mauzo_production
    @mauzo_production 6 місяців тому +1

    nimemuelewa san

  • @rahmamusa3282
    @rahmamusa3282 3 роки тому +1

    Kweli kabisa dada asante

  • @artvipajitv3134
    @artvipajitv3134 2 роки тому +1

    Dada ramata napateje namba yako

  • @Kariorachungu
    @Kariorachungu Місяць тому

    Mm nimezunguka San kuigiza najuwa san

  • @gidionmwasenga
    @gidionmwasenga 5 місяців тому

    Namba dada

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 2 роки тому +1

    Na Mimi nahitaji kuigiza

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Рік тому +1

    Duuu namba zenu

  • @abdallahmrope5626
    @abdallahmrope5626 2 роки тому +1

    Napenda

  • @Onefamily10
    @Onefamily10 Місяць тому

    Mm napenda sn kuigz n nimeanz kufatilia Sanaa tok 2009 ninamiak 8 mpk Leo py nnakipaji Ila jijapat wa kununua Zaid y kudharauliwa t n hii ndo chanal yang

  • @LovelyBooks-tn3bf
    @LovelyBooks-tn3bf 8 місяців тому +1

    Namim nakipaji

  • @Kariorachungu
    @Kariorachungu Місяць тому

    Mamb

  • @babatanzania
    @babatanzania 2 роки тому +2

    Angalia kwa kujifunza sio kuomba na wewe uwepo ktk project zake. Angalia wangapi wamejibiwa? Sasa Dada Mimi nahitaji kukuuliza ni maana ya msanii? Ni maana ya kuigiza? Maana watakiwa kutufundisha ni maana ya msanii na kuigiza na sio kuongea kama upo na mshikaji wapiga story tu unayatoa kichwani ukiambiwa uludie uta ongea vingine

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 Рік тому +1

      Ndomaana mim napenda zangu kinakitale, sidhani masharti km haya yapo.nampenda sana kitale musa na full team ya binadam series.big guys

  • @shafiirajabu5207
    @shafiirajabu5207 3 роки тому +1

    Nkuba 100%%% tupe mamb

  • @MaureenTrivia
    @MaureenTrivia 3 місяці тому

    Nisaidie

  • @Mohamed-yt8zp
    @Mohamed-yt8zp 3 роки тому +1

    Hy

  • @JoramSimion
    @JoramSimion 5 місяців тому

    Nipe no yako

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 2 роки тому

    Mama uko wapi nahitaji na Mimi kuigiza

  • @johnludovick2736
    @johnludovick2736 2 роки тому

    Yani nimeandika yote uliyosema dada

  • @bestkilimanjarohike
    @bestkilimanjarohike 2 роки тому

    Love lamata