Simba ilivyoichapa Alliance 5 - 1 na kuwaaga mashabiki Dar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara, Simba SC wameidunga Alliance FC jumla ya mabao 5-1, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Magoli ya Simba yamefungwa na Medie Kagere mawili, Luis Miquissone, Deo Kanda na Said Ndemla huku Martin Kigi akifunga la kupozea machungu. Highlights - 19/07/2020.
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 77

  • @goodlucklinus141
    @goodlucklinus141 4 роки тому +7

    Timu inayonipa raha kuliko timu zote duniani .....Mnyama💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💥💥🔥🔥🔥

    • @stevenmaketa8051
      @stevenmaketa8051 4 роки тому +1

      Sanaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sm5tv
    @sm5tv 4 роки тому +7

    Rahaaaaaa this is Simba
    Mwakani tena tunachukua tenaa
    Gongaaa like kama unaamini tunachukua tena mwakani

    • @kahabiwilliam9862
      @kahabiwilliam9862 4 роки тому

      Hongera SImba sports tunataka FA cup tuhitishe ubingwa wetu

  • @kombokombo3929
    @kombokombo3929 4 роки тому +4

    Nice game, good job azam tv

  • @khadijakhadija-ve7tv
    @khadijakhadija-ve7tv 4 роки тому +10

    Hawa simba wakiamuaga wanaamua tokanan na jins wanavyopangwa wakipangwa kiholela mambo yanakuwa mabaya hongeren wanasimba wote hakika mmetupa Raha 😋😋😋 sema huy Luis magol yake yambali yanipa mzuka mtu mfup mmakonde hatarii🔥🔥🔥🔥👌👌❤️❤️❤️Simba mbele daima mwiko nyuma mtanikoma siku nying sijacoment humu leo nimerejea piga kelel moj kwa simba yke weuwee🤸🤸🤸🤸🤸

    • @ambakisyemwakabana5113
      @ambakisyemwakabana5113 4 роки тому

      Has ndo mabingwa wa tz wengin wanagombania maana makombe yote yapo msimbaz km VP waj kyela kuna ndondo cup zinaendelea huend wakaokota japo kamoja

  • @mwanaharakatidjguy6546
    @mwanaharakatidjguy6546 4 роки тому +11

    Kama umesikia kono la nyani nipe like zangu

  • @majaliwakajinga1828
    @majaliwakajinga1828 4 роки тому +9

    Kama humpendi unaweza kuingiwa na baridi Kama umesikia nipe like, huyu Messi lakilufungia msimu

  • @hamzanurdini6789
    @hamzanurdini6789 4 роки тому +1

    Kimziki Cha lala salama hichooooo Simba mnyama anatisha dar nakupenda Simba mno. Simba wanau moja Sana nguvu moja 🦁

  • @afrorango512
    @afrorango512 4 роки тому +6

    mpenja maneno anatoa wapi

  • @rajulmasoud7099
    @rajulmasoud7099 4 роки тому +1

    Ongereni azam tv na simba

  • @jabdizzytz6984
    @jabdizzytz6984 4 роки тому +2

    Rahaaaaaaaa simbaa rahaaaaaaaa

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 4 роки тому +7

    Huu siyo ushambuliaji jamani , Simba mtaacha watu waanze kuharisha wakiwasikia😁

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 4 роки тому +3

    Simba+974 🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @erastotippe4901
    @erastotippe4901 4 роки тому +8

    Kesi ya mwngn hukumu kapewa mwngn😂😂😂 Simba hatutak utan

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 роки тому +7

    Goli alilofunga miqeuson kama la kichuja 2014 kama sikosei akifunga Yanga

    • @ntimifrank2770
      @ntimifrank2770 4 роки тому

      Kweli kabsaaaa goli tamu kuliko 4-1 za yanga😂😂😂

    • @amirlehao8945
      @amirlehao8945 4 роки тому

      @@ntimifrank2770 saaaana goli sukar

  • @philimonisamweli8347
    @philimonisamweli8347 4 роки тому +2

    Uzembe umewazembea zembe baraka mpenja big up kwako mkubwa

  • @hassanseif6452
    @hassanseif6452 4 роки тому +6

    Mapema kabisa bull bull

  • @josephmbogo4439
    @josephmbogo4439 4 роки тому +2

    Simba Bingwa hakuna ubishi timu ipo vizuri idara zote .Kuna watu wanateseka sana

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 4 роки тому +1

    Sauti nzuri sana ya baraka mpenja dah tutaimiss kweli

  • @shabanisaid7888
    @shabanisaid7888 4 роки тому +9

    Leki za Simba Kama unaipenda Kama mm

  • @makameibrahim8507
    @makameibrahim8507 4 роки тому +9

    Mtangazaji amesema mabao manne kama wale lkn kaogopa kutaja jina hebu wewe ulioisoma hii comment yangu malizia hapo et mabao4 kama nani vileeeeeeee

  • @juniorleonard9140
    @juniorleonard9140 4 роки тому +5

    makosa ya mbao hukumu kwa wanafunzi

  • @melancolin1207
    @melancolin1207 4 роки тому +6

    Et kashika iyo kwio 😂😂😂

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +4

    Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂 😂

  • @baloonmedics163
    @baloonmedics163 4 роки тому +2

    Goli la kufunga mwakaaaaaa la konde boy safiiiiiiiiiiiii saaana.

  • @aslamialphani9352
    @aslamialphani9352 4 роки тому

    nakubali chamalangu simba

  • @paschalkisimba9222
    @paschalkisimba9222 4 роки тому +3

    Hii inaitwa heri lawama kuliko fedheha

  • @babyraa9852
    @babyraa9852 4 роки тому +1

    Muhammed hussein keshamtambuka mtu tambu baraka mpenja nakupenda bure

  • @abdulrahmanseif3571
    @abdulrahmanseif3571 4 роки тому +1

    Hii simba hatarii

  • @daniellazurus4031
    @daniellazurus4031 4 роки тому

    Wooooow

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 роки тому

  • @engineerkim8678
    @engineerkim8678 4 роки тому +1

    Ok

  • @bernardchibwana9411
    @bernardchibwana9411 4 роки тому +4

    Huyu mmakonde anabalaa sana

  • @musajulius3667
    @musajulius3667 2 роки тому

    Mnyama najambo lake

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому +2

    ALHMDHULILLAH

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 роки тому +5

    Kuna kupiga chenga na kulamba chenga,, pale kapombe alimlamba chenga golikipa yuleee😂😂😂😂😂😂😂

  • @afrorango512
    @afrorango512 4 роки тому +2

    et kwio

  • @minaside6717
    @minaside6717 4 роки тому +2

    Mambo bull bull 😁😁

  • @autobengani3746
    @autobengani3746 4 роки тому

    Simba na kosito

  • @bernardchibwana9411
    @bernardchibwana9411 4 роки тому +1

    Hiki ndio kikosi kazi!!!

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +1

    Sasa mpira unapigwa kwingine keeper anaangukia kwingine hatar tupu

  • @isayachisanza7748
    @isayachisanza7748 4 роки тому +2

    4 kama yanga

  • @mudydonyi8570
    @mudydonyi8570 4 роки тому +1

    Play station

  • @halifabakariperembo5012
    @halifabakariperembo5012 4 роки тому

    Hindio simba

  • @mussakiula7481
    @mussakiula7481 4 роки тому +1

    Kombe la corona

  • @ezekielimarro1340
    @ezekielimarro1340 4 роки тому +1

    Hawa ndo mabingwa bn

  • @jonasifungameza7535
    @jonasifungameza7535 4 роки тому +1

    Umebeba guruneti kumuwinda sungura kitoweo utapata kweli???

    • @eliasadecto93
      @eliasadecto93 4 роки тому

      Mbona utopolo mmekula miguu ya meeza

  • @Hance-Kiteve
    @Hance-Kiteve 4 роки тому

    😂😂😂😂Like mlio sikia Msimu ulio pita

  • @jacobkilagalila-gu2mh
    @jacobkilagalila-gu2mh Рік тому

    Zile nne kama wengne

  • @mohamedimtotela346
    @mohamedimtotela346 4 роки тому

    Bulubuluu

  • @salimually500
    @salimually500 4 роки тому

    Salimu Ali kuoka uswahilini tunamuhitaji morsoni aje simba atunashi washabiki

  • @samomnanka2779
    @samomnanka2779 4 роки тому +2

    Jamani nisaidien namna ya kum inbobo mtu ambaye nimemuona apa kwenye comments

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому +1

    Mbona grunet tena barak mpenja 😂😂😂😂

  • @henrymulengera
    @henrymulengera 4 роки тому +1

    Bonyeza link kuangalia Simba ya kihistoria
    ua-cam.com/video/EWg-BkM_048/v-deo.html

  • @htvtanzania3483
    @htvtanzania3483 4 роки тому

    Kushika hio hio kwio

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 4 роки тому

    Msimu ujao marefa wajikosoe

  • @ahmedishabani9102
    @ahmedishabani9102 4 роки тому +1

    Magoliyot yakizemb mkude tuu lilee nayang tuliepigwa mkude hilii lajuz tuliewapig mkude na laleo mkudeee ach ubweg ajiangalie xfa hua znamzid

  • @hassanmo2620
    @hassanmo2620 4 роки тому

    chama kubwa

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 роки тому

    Keshamtambuka mtu tambu 😁😁😁😁

  • @jemuswaryoba8266
    @jemuswaryoba8266 4 роки тому +1

    Hii nihatari kuliko corna