Kwani wanakuja kufanya nini kenya kama wanajuwa sisi niwatu hatupendi ujinga, siwambaki makwao. Kenya kama mbaya nimbaya hatumbembelezi ujinga wakee kwao
@@MozDee-jv8nk wewe ni msaniii🤣🤣🤣 hao wako biashara na watakuja 🤣🤣🤣aty Haina amani 🤣🤣 ...kwanza wengi wamefungia uko mwaka.🤣🤣alikiba,zuchu,Mario na Paula,shusho,rose muhando,harmonize,ule wa oledomure 🤣🤣🤣🤣🤣na wanataka waitwe tena🤣🤣huku kwenu sijaskia foreign artist amekuja na hio amani yenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kenya yetu naipenda yaani machafuko, ooh madawa...ooh siasa...lakini bado majirani na wageni wanafurika iwapo Kenya ni mbaya mnavyoaminishwa mbona wasisalie kwao??
People come to take your money na unashangilia, wanao umia ni orgernizer wenu na mashabiki waliolipa pesa zao. Itafika muda organizers nao wata kata tamaa maana wanapata hasara tu
@@giftmeela6250 You think we don't know all that for your information this events are pre- subscribed to...those artists pay taxes to perform...food n drinks are sold... you want to wail more than we ....I'd take advice but not from Tanzania
Broken English nyingi zero knowledge, kwani hao wasanii wa bongo smnawaita wenyewe na mnawalipa au wanakuja bure, wakenya bado hamjajitambua, na ndimaaana mnakufa kila siku and u gain nothing @@keyzytowangilah591
Wakenya wanachamoto sana ya kichwa wengi wao hususa vijana sasa ugomvi vita SI msubiri mtu amalize madaraka aondoke zake ruto na mziki ni wapi na wapi mnachafua Brandi sana ya taifa la Kenya kwa magomvi yasio na maana wasanii wa nje ya Kenya hawata weza kuja Tena hapo mnakasumba sana na kuichafua nchi kisa siasa raisi anakula pesa nyie mnapigana kweli aibu
Tatizo la Kenya vijana wengi sana wanaleta machafuko ni madawa ya kulevya vitamin heloini cokeni ni nyingi sana vijana hawana pesa ndio wanazicha mandamano kuleta vurugu na kupola mali za watu kupata madawa na kuna vigogo wanawapa madawa kwa kuandamana
Kenya hawana akili sasa maandamano Kila siku mtafanya kazi lini inabidi mumpe Rais wenu mda wa kufanya kazi ndo mumuhukum Kila siku maandamano atawaza lini maendeleo pole sana Ruto watu wako wanahitaji afya ya akili
Nasikia wakenya wameambiwa wakate kichwa Cha msaanii yeyoye ndoo nchii Yao itulie ko jichungeni wasanii munaoenda kuperform Kenya ndoo maana yanajitahiidi kureta fujo Kwa wasanii😂
Acheni ujinga wakenya Kuna mta wa siasa na Kuna mda wa watu kufulahi mnacho kitaka akiwezi kupatikana Kwa vulugu mda wote shida Moja mna ushamba sana dawa yenu inachemka IPO jikoni 😡😡😡😡😡😡🌱☘️🌳🌵🌱🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwani ndiyo umejuwa sisi wakenya niwapumbafu ? naupumbafu wetu mbona bado wanakuja kenya? asikwambee Mtu sisi wakenya na upumbafu wetu in Est Africa pesa yetu 🎉ikiko juu na inathamani
@yasminoluoch169 Sikulaumu stress za kukwepa mabomu lazima zikuwehue akili unajikuta unatukana watu, kwa jina Mlilo mbatiza zakayo kasongo nyie wenyewe kwa upuuzi wenu hd kwa jeneza mkamuweka mmemfanya kinyago 🤣🤣🤣 AMIA KWETU RAHA TUPU TUNASHEREHEKEA MWAKA NA MHE. RAIS WETU MAMA SAMIA HALO HALOOO SHOGA ANGU 👌
Wakenya wako sawa siasa ndio inabeba maisha ya kila siku ndio maana uchumi wao upo juu na hawataki ujinga wa kujipendekeza kwa maraisi sio uku kila siku mama mama mama kama mama samia amewazaa bandari imeuzwa mambo yanaenda hovyo hovyo bado manyumbu tunashangilia eti amani
Msani mkubwa hawezi kuendelea ku perform kwenye hali kama hiyo ila KIBA kwa kuwa ukubwa ndo hivo tena hakuwa na jinsi ilibidi aendeleze performance 😂😂😂😂
@@Happy-n5i5x ananizidi nini Sasa? Kama mke anae Mimi pia ninae, kama mtoto anae ninae, kama nyumba anayo ninayo , kama gari anayo ninayo pia kama kupanda ndege anapanda mwenyewe napanda na hivi tunaongea nipo nje ya Africa nakula upepo Sasa atanizidi nini?
Simba alisema alishindwa fany show sababu ya vurugu. Ali ameanza show vurugu zikatokea akastop show kwa muda na badae akarudi tena pamoja na uwepo na vurugu.
@@emmakicham4664kuwa muelewa kwa shenseea hawezi rudi tena huko na kwa NGUVU aliyonayo akiandika kitu kwenye akaunti yake na mastaa wenzake wakaona unadhani watakuja hata kama watahitajika acha ushabiki mandazi kingereza chako hakiwezi kukuonyesha mema na mabaya vurugu za ivo kwa celebrities kama hao ni mbaya sana
Hata akiondoka Ruto haiwasaidii labuda mushushe malaika awaongoze lakini Binadam Kila atakaye kuja anauzaifu wake hawezi kuft pote hata wewe unamazaifu
Yes this is call Kenya ya maandamano hooray, 💃🏼💃🏼💃🏼
Safi sana aliongea upumbavu yamemkuta sasa
Alikiba alitumbuiza akamaliza kabisa,,usiumie pole pole uumia vizuri ukiwa unaanza mwaka na maumivu makubwa.
KENYA NI AFGHANSTAN NDOGO 😂😂😂😂😂😂
Kenya epecially Nairobi kuna shida kubwa sana kwa vijana wao.
Wakenya kila sehemu wanataka kuleta siasa, kila sehemu wao ni "Rutto must go"😂😂🙌
Kimemramba😂😂😂😂😂😂😂
Kenya wanataka siasa awataki mziki ....😂 Sasa siasa adi kwenye staalee ....duu vijana wakenya wachache mnaalibu taifa lenu acheni ujinga
Kwani wanakuja kufanya nini kenya kama wanajuwa sisi niwatu hatupendi ujinga, siwambaki makwao. Kenya kama mbaya nimbaya hatumbembelezi ujinga wakee kwao
Kwani hilo taifa lenyu ndilo lizuri .
mnazingua kweli, wamekuja kulingana na mulivyowahitaji ila Fujo zenu ndo maana mlifungiwa Hadi mpira @@marymayeye7947
@@marymayeye7947kwani wanakuja wenyewe au wanaitwa sasa kumbe hamuwataki mnawaita wa nini
Acha umalaya kwani wanakuja wenyewe si mnawaita..acheni roho mbaya
Wakenya ni wapumbavu kila sehem wanapeleka siasa
Siasa Ipo kila sehm, hata Hilo tamasha wanasiasa wakiamia haliwez kufanyika
Ongea kwa ustara wala hakiharibiki kitu siyo matusi
last time mlisema diamond kafanya na team yake wamefanya vurugu ali kiba akacheka haya sasa viko wapi
Alikiba alicheka wapi acha uongo
@@IreenJuma-b4ttafuta interview ipo akicheka
😂😂😂😂yamemkuta alionesha zarau
@@IreenJuma-b4t aliongea upumbavu sana
kweli kabisa watu wawe na akiba ya maneno
Jamaaaaa hawa da
Aaaah RUTO MUST GO!
He must go
Kwa sasa Kenya haina Amani Hakutakiwi kufanyika tamasha lolote na wasanii wetu wanapaswa kulijua hili. brother sky
@@MozDee-jv8nk wewe ni msaniii🤣🤣🤣 hao wako biashara na watakuja 🤣🤣🤣aty Haina amani 🤣🤣 ...kwanza wengi wamefungia uko mwaka.🤣🤣alikiba,zuchu,Mario na Paula,shusho,rose muhando,harmonize,ule wa oledomure 🤣🤣🤣🤣🤣na wanataka waitwe tena🤣🤣huku kwenu sijaskia foreign artist amekuja na hio amani yenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio walale njaa au utawalipa ama unadhani ni free
Kenya mbadilike kwakweli daaa
Ndio mwanzo tu
Amekaribishwa kenya
Ila jamani hapa ingekuwa ni Diamond ingekuwa noma asee
Mandamano promax 😂😂
shenseea remember u talked shit about Diamond? u thought you're the shit, ok now go to Jamica and tell them what happened hahahaha
It's not Shenseea learn to differentiate it's Etana and in fact Shenseea doesn't know Who is Diamond
@@JULIUSAbongon Huon aibu?🙄
Et Shensea hamjui Simba?😂😂😂
@@LeylathYahsin kama Sean paul hamjui shensea ndio atamjua 😂😂😂😂😂🤌
Wameyatimba
Naona sky umezingatia maoni yangu ya kuamz akupop up na story za Kiba
😂😊
Daimond ana maadui weng hawez imba sehem yenye vurug
Hao maadui umempa wewe au
Kwani wajamaika na Kenya na jamaika kuna husiano gani
Hapa Kenya we are like man united. No matter the player
Naam huyo ndio 👑
Ila kenya yetu naipenda yaani machafuko, ooh madawa...ooh siasa...lakini bado majirani na wageni wanafurika iwapo Kenya ni mbaya mnavyoaminishwa mbona wasisalie kwao??
Yan mtu atoke kwao aje asali kwenu nyumba za ibada hakuna makwao au😅😅😅
People come to take your money na unashangilia, wanao umia ni orgernizer wenu na mashabiki waliolipa pesa zao. Itafika muda organizers nao wata kata tamaa maana wanapata hasara tu
@@giftmeela6250 You think we don't know all that for your information this events are pre- subscribed to...those artists pay taxes to perform...food n drinks are sold... you want to wail more than we ....I'd take advice but not from Tanzania
Broken English nyingi zero knowledge, kwani hao wasanii wa bongo smnawaita wenyewe na mnawalipa au wanakuja bure, wakenya bado hamjajitambua, na ndimaaana mnakufa kila siku and u gain nothing @@keyzytowangilah591
Wakenya wanachamoto sana ya kichwa wengi wao hususa vijana sasa ugomvi vita SI msubiri mtu amalize madaraka aondoke zake ruto na mziki ni wapi na wapi mnachafua Brandi sana ya taifa la Kenya kwa magomvi yasio na maana wasanii wa nje ya Kenya hawata weza kuja Tena hapo mnakasumba sana na kuichafua nchi kisa siasa raisi anakula pesa nyie mnapigana kweli aibu
Tatizo la Kenya vijana wengi sana wanaleta machafuko ni madawa ya kulevya vitamin heloini cokeni ni nyingi sana vijana hawana pesa ndio wanazicha mandamano kuleta vurugu na kupola mali za watu kupata madawa na kuna vigogo wanawapa madawa kwa kuandamana
Hawana pesa kuna Mali yako waliiba
😂😂😂kwani niko Kenya nyingine
Heloini ndo kusemaje🤣🤣🤣
all over the world if you go to Kenya is on risk
Yet they still come??! You believe the media with no facts
wakeny uhuru umewazidi sana na ushamba pia wao kila kitu maandamano tu
Wakenya tunajwa haki yetu sio kama Tanzania mnanyanyaswa Kenya Kila mtu amesoma
@JosephAlakonya mpka kwenye burudani nyie mnaleta vurugu???
@@mickydadferooz7235Burudani zann wkt Raia wapo kwnye shida na Haki zao
Kama usomi ni kuandamana andamana ata kwa vitu visivyo na msing basi nyie maprofesal@@JosephAlakonya
Kenya hawana akili sasa maandamano Kila siku mtafanya kazi lini inabidi mumpe Rais wenu mda wa kufanya kazi ndo mumuhukum Kila siku maandamano atawaza lini maendeleo pole sana Ruto watu wako wanahitaji afya ya akili
Ujanja ya wakenya ni furugu na siaza
Nasikia wakenya wameambiwa wakate kichwa Cha msaanii yeyoye ndoo nchii Yao itulie ko jichungeni wasanii munaoenda kuperform Kenya ndoo maana yanajitahiidi kureta fujo Kwa wasanii😂
Daa wakenya mnakyela
Mtafute facts sio siasa watu walivuka gate na hawakuwa na tickets ...be professional
True 😂😂😂
RUTO MUST GO,
Mda wote mnawaza maandamano
Madawa ya kulevya hayo.... So sad!
Nchi imejaa matahila iyo
Nyinyi werevu endeleeni kufinywa na ccm miaka 60 sasa 😂😂😂
@@muzafarsharif9465sasa toka mufanye izo vurugu kimebadilika kitu gani?
Bwanawee hii yaitwa Kenya twayaona sisi hatutaki kufinywa sisi
@@MwanashaAli-e9yco kufinywa....nyie mmeharibiwa na western ndio maana
Mbna sasa kila cku mnafanya maandamamo lakini maisha yanu bado nimakumu sana hayabadiriki
Kenya nima pimbi tuu
Kenya itakuja kuwa Mexico ya Afrika. Watanzania tuwe makini sana hawa watu ni wa kuwaangalia kwa ukaribu mno wasije wakaambukiza matatizo yao kwetu
Ushinwe sanaaaa watu wachache usipelekee kila mmoja,kwani huko huyaoni ni vile yanafanyika kimyakimya...
Kenya 🇰🇪 shida menu iPo wapi?
Acheni ujinga wakenya Kuna mta wa siasa na Kuna mda wa watu kufulahi mnacho kitaka akiwezi kupatikana Kwa vulugu mda wote shida Moja mna ushamba sana dawa yenu inachemka IPO jikoni 😡😡😡😡😡😡🌱☘️🌳🌵🌱🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shida wakenya mnaruhusu bangi then mnakataa sigara yani wakenya nyie mna akili mbili na meno 32, #mnazingua
Kweli hapa unatamini kuwa wakenya ni wapumbavu ya kila kitu mnaandamana
Kwani ndiyo umejuwa sisi wakenya niwapumbafu ? naupumbafu wetu mbona bado wanakuja kenya? asikwambee Mtu sisi wakenya na upumbafu wetu in Est Africa pesa yetu 🎉ikiko juu na inathamani
🤣🤣🤣 Na wao wameyataka mtu nchi imechafuka kwa maandamano, wao wanalazimisha Amani 😂😂😂 Zakayo achelewi kuwachomea moto ndani ya kanisa uyo 😂😂
We koma kumuita rais wetu zakayo wewe si mkenya hiyo right ni yawakenya tu mute na heshima..kaone
@yasminoluoch169 Sikulaumu stress za kukwepa mabomu lazima zikuwehue akili unajikuta unatukana watu, kwa jina Mlilo mbatiza zakayo kasongo nyie wenyewe kwa upuuzi wenu hd kwa jeneza mkamuweka mmemfanya kinyago 🤣🤣🤣
AMIA KWETU RAHA TUPU TUNASHEREHEKEA MWAKA NA MHE. RAIS WETU MAMA SAMIA HALO HALOOO SHOGA ANGU 👌
Zakayo kasongo 😂😂😂😂 Kenya ote maamaaaaeeeee😂😂😂
Hili jambo watu WENGI hawalijui always namshukuru unaijua wewe 255 but hili jambo nalijua
@@SteveAdiema Haya tupashe mwanahabari wetu kutoka 254
unaanza na lipi na la ZAKAYO, KASONGO ama?🤣🤣🤣🤣
Wakenya wako sawa siasa ndio inabeba maisha ya kila siku ndio maana uchumi wao upo juu na hawataki ujinga wa kujipendekeza kwa maraisi sio uku kila siku mama mama mama kama mama samia amewazaa bandari imeuzwa mambo yanaenda hovyo hovyo bado manyumbu tunashangilia eti amani
Yes is true
Fanyeni kazi hii nguvu ya maandamano haifai
wakenya wana tabia chafu yan cjui wakojeee.. 😒🤦🤦 yan sio wastarab hata kdg hawawez ata kupretend kuficha makucha yao yan😏😏😏 wanachefua kwakwel
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Msani mkubwa hawezi kuendelea ku perform kwenye hali kama hiyo ila KIBA kwa kuwa ukubwa ndo hivo tena hakuwa na jinsi ilibidi aendeleze performance 😂😂😂😂
amekuzidi kimaisha huyu humfikii ht robo na upunguze wivu
Kaka fanya Kazi uyo umfikii kimeisha tusome hbr tupite utumuez kiba kaka anahela cc hela zetu za bando ata Zanzibar upajui wkt unaishi bongo Una nauli
@@Happy-n5i5x wivu upi na uo ndio ukweli kwa maisha gani aliyonayo na sisi hatuna hahahahahahaha
@@Happy-n5i5x utakuwa na wivu na mtu ambae hana maajabu yoyote uyo kibamia hana ishu zilipendwa
@@Happy-n5i5x ananizidi nini Sasa? Kama mke anae Mimi pia ninae, kama mtoto anae ninae, kama nyumba anayo ninayo , kama gari anayo ninayo pia kama kupanda ndege anapanda mwenyewe napanda na hivi tunaongea nipo nje ya Africa nakula upepo Sasa atanizidi nini?
Wakenya ni wapumbavu
Mbona simjuiiii alikiba
Si babako mulize mamako vizur bhna
Muulize mamaako anamjua
Muulize baba yako.. Atakujibu anamjua
Ach ujing
Mchana kutwa kupiga nyimbo za bongo utakosaje kumjuwa😂hata adhabu huna nenda ukalime
Kwanza wa2 wanaoenda Kenya akili zao sio nzuri hyo sio nchi yakuishi .watu hawamtaki rais wao ww nani watakuelewa waacheni na nchi yao ya kibwege
Simba alisema alishindwa fany show sababu ya vurugu. Ali ameanza show vurugu zikatokea akastop show kwa muda na badae akarudi tena pamoja na uwepo na vurugu.
@@TeacherBoda Hana ukubwa wakugomea show angerudisha ela za watu mond ana menejment ya nguvu wanaojitambua ukzingua umevunja mkatab
Brands zinatofautiana. Diamond alikuwa headliner kama shensea sio curtain raiser kama alikiba
Sikikia ela akurudish@@SalumMusa-f5l
Sidhani kama watapata tena wasani yani kila siku ujinga 😢
Hudhani na tuko na pesa😂😂😂na bado burner boy anakuja 😂😂😂we ndio mjinga shughulika na ya kwenu
@@emmakicham4664Kwan huku pesa hakuna!Tz ni tajiri kweli kweli!!we have everything here!!
@@emmakicham4664kuwa muelewa kwa shenseea hawezi rudi tena huko na kwa NGUVU aliyonayo akiandika kitu kwenye akaunti yake na mastaa wenzake wakaona unadhani watakuja hata kama watahitajika acha ushabiki mandazi kingereza chako hakiwezi kukuonyesha mema na mabaya vurugu za ivo kwa celebrities kama hao ni mbaya sana
@@emmakicham4664hujui bila Amani pesa hukataliwa??
Hatuwataki wasanii imbeni kwenu mtuache. Na maandamano yetu
Mfalme
😄😄😄😄😄
😂😂😂😂 alikiba hakugoma yeye
Msani mdogo atagoma je?😂
@@AllyNzisabira Tafuta kazi ya kufanya KIJANA Kiba kashatoboa wenye NJAA ndio kazi kuongea UJINGA
@@AllyNzisabiramtoto wa kiume utavuliwa boksa
😂😂😂😂
@@AllyNzisabiralimeni upumbavu tuu kila siku mitandaoni na kuvuta tuu😂
Ruto must go
Mbona mnamuonea Wifu Ali kiba, ndo msanii anayeiwakilisha Tanzania East africa na Dunia
We ukapimwe akili kwanza😢
Anamuwakilisha nani uyo ali kibamia hana jipya
Anaiwakilishi kariakoo
@@freelancer6368 Unawashwa
RUTO MAST GO
Hata akiondoka Ruto haiwasaidii labuda mushushe malaika awaongoze lakini Binadam Kila atakaye kuja anauzaifu wake hawezi kuft pote hata wewe unamazaifu
My friend this is kenya 😅 alikiba you know nothing about kenya 😅
Acheni sifa za kijinga mnashindwa na Alshababy wapo 15 tu wana wapelekesha kenya nzima alafu mna jisifia ujinga kila kukicha.
Mbona simjuiii alikibaaa
wewe anakujua nani
Mbona simjui alikibaaaa
😂😂😂😂
Sasa usipomjua wewe kuna shida?
@AllyNzisabira 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂
@@taseleli9181 Kuna chido nichipomfahamu
@@taseleli9181 Sasa asipimjua huoni fan base inapungua na ndo maana Hana fan base ya maana we huwezi kujua tulia