Team Nyiha we finally got our Revenge prank. Gonga Like and Subscribe 😍 Natural Hair Lovers Check out Nyiha Mwai TV tumfikishe thao leo leo 🙏 ua-cam.com/video/Vwt5aFY3vi8/v-deo.htmlsi=E7NTRBGybUv98Ckt
😂😂😂😂never even wish to find yourself in such a situation where by you have to defend 2 most important people in your life yaani huyu ni sister yangu na huyu ni wife wangu Mwai anajaribu mpaka kusmile ndio watu wakue sawa instead kunaharibika kabisa have come across your channel today and im team Nyiha mothey was chilling then mwai walai napigia mothey hii imenipata off guard iswear nimecheka nikalia machozi 😂😂😂😂
Team Nyiha we finally got our Revenge prank. Gonga Like and Subscribe 😍 Natural Hair Lovers Check out Nyiha Mwai TV tumfikishe thao leo leo 🙏 ua-cam.com/video/Vwt5aFY3vi8/v-deo.htmlsi=E7NTRBGybUv98Ckt
Done and subscribed
Wapi Likes za Ivy 👍
Team Ivy
Ivy aanze acting careeer😅😅😅😅. Hadi amehema
@sharonwangari3505 🤣🤣🤣🤣
Umeona eeh😂😂@@sharonwangari3505
Ogopa Ivy😂.
She us a good Actor❤
Wapi Likes za Team Nyiha 👍
I was expecting a revenge prank but not this soon. Team Nyiha on thiiis 🔥🔥🔥🔥 😂
We aint joking . Lazima walipie machozi 🤣
Kai😂😂😂😂😂acha nirudishe meno ndani Kuna baridi 😂😂😂😂Kai pole mwai
🤣🤣🤣🤣
Nyihamwais next mfungulie mwaka na eno prank😂😂bado team nyiha hatujaheal ile ya kufukuzwa😂
Lazima tumpate
Mwai na Bado,vile ulitufanyia team nyiha lazima tukusubue😂😂😂,Leo umewezwa bro😂😂,waow ❤❤❤,much love from apa eldy 🎉❤,Leo mwai amepatikana🤣🤣🤣
Aki nilipatikana proper 😂
Team Mwai ketini tuwaonyeshe vyenye pranks hufanywa. Can’t wait 🤣🤣🤣
Kabisa 🤣🤣🤣
Hii iliweza😅😅😅😅.....wow I thought ivy is your blood sister kumbe ni sister in-law you relate so well❤...ama piganenj iyo kitu iwatoke😂😂
She is the best 🤩… 🤣🤣🤣🤣
First time to be in premium gang 🥳 team Nyiha hii nayo tumeshika Baba Nat 😂😂😂
Asante sana… Amepatikana proper 🤣
Mwai ungeacha walimane hiyo kitu iwatoke 😂😂😂😂😂hii imeweza mbaya no peace for team mwai😅...hv been a silent follower guys 😊✌️✌️
🤣🤣🤣🤣🤣… Thank you ☺️
😂😂😂😂never even wish to find yourself in such a situation where by you have to defend 2 most important people in your life yaani huyu ni sister yangu na huyu ni wife wangu Mwai anajaribu mpaka kusmile ndio watu wakue sawa instead kunaharibika kabisa have come across your channel today and im team Nyiha mothey was chilling then mwai walai napigia mothey hii imenipata off guard iswear nimecheka nikalia machozi 😂😂😂😂
Aki alikuwa confused 🤣🤣🤣🤣
This family makes my days to be just wonderful
Much love 🤩
Nimecheka nikalia ivy ni moto i love the vibe😂😂😂😂😂team nyihaaa
Moto sana 😂😂
Mimi nmeona ya kufukuzwa nkaamua kuzurura niwatch zote😂😂
🤣🤣🤣🤣 Enjoy
Not Mwai trying to balance kumbe criminals wamempangia 😂😂😂
Imagine 🤣
Kuna time karibu Ivy achome. Karibu acheke 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂nimalizeni mbavu aki nikae bila coz u guys are the best 😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣 asantee
Irriz waririzzzzz mambo ni kama haya,wengi wenyu mtalia 😂😂😂😂 but content must be king .
Kazi murwa sana team nyiha
🙌🙌🙌🙌
The love Mwai has for the wife and sister made him feel helpless to a point of wanting to call the mum.
Well done team Nyiha!
@@FaithMwangi-v4n🙌🙌🙌
Wale wakupitiana kujeni hapa tupitiane guys we grow tongether ❤❤
🤩
Nipitie pia
Count me in
Wallai dadi jichunge sasa tondû whiih 😂🤣 hawa ni soulmate...mathy kujia wasichana wako wamenichoza🙈
🤣🤣🤣🤣
This is a banger 🔥 nyiha we need more of this
More coming 🤩
Surely mwai uli giff up that much 😂😂😂hadi ukaamua enyewe wacha ni call mum akujie wasichana wake aende nao ocha Christmas iwakute wakisumbuana uko😂😂😂😂
Vita za wamama noma 🤣🤣🤣
Hii nayo Nyiha ni kali 🤣🤣🤣🤣......Team Nyiha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
👏👏👏👏
😂😂😂wacha nicheke iyo kitu initoke
🤣🤣🤣🤣
Team Mwai msituchezeee tena hii ni kionjo mkirudia kutulilisha tena we will come back a bad one😂😂😂team nyiha yeeeeeeeee....🎉🎉🎉
Waliguza live wire na tukawaambia 😂
🔥🔥🔥🔥🔥..... Good prank😂....the circle it's 😂
🙌🙌🙌🤩
Haki ningekua Mwai, i don't think i could have managed... slaps zingekua zimelia..papapapa.....
🤣🤣🤣🤣
I really like the humility of this man coz if it were me, kabla mseme ni prank weeeewe😂😂 aki najijua
🤣🤣🤣🤣
We are sorry while laughing 😂😂😂😂. Mwai alipewa matunda kabla ili apate nguvu for whats coming 😂
Manze 🤣🤣🤣🤣
😅😅😅 Hadi mnaketisha mwenye nyumba
Imagine 🤣🤣🤣
Finally Team nyiha we are back to where we ought to be.
Team mwai poleni sana competition is tough
Team Nyiha juu 🔥🔥🔥
Hii nayo imeweza, machozi imelipwa but team Nyiha we need to do mooooooooo before team Mwai warevenge😅😅😅
We need to do the thing again 😂
Hii ya leo 😂😂😂😂😂😂 naomba nichukue mkeka kabisa nikae chini
Inabidi 🤣🤣🤣
Ivy is a whole vibe Nyiha anapenda kusema to be honest and Mwai has also said to be honest at a point love u guys❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣… We love you right back 🤩
Woooouuúuiiii kamwai ketu kuteswa wah😂😂😂😂
Aki hawana ata huruma 😂😂😂
20k here we come🎉🎉🎉🎉🎉
Yeeees. Let’s goooo 👏👏👏
New here and pap!!! What???? I have to subscribe
Welcome to the circle🤩
We did it team Nyiha 👏👏👏
🙌🙌🙌
Team Mwai recovery labda 2025 😅
😂😂😂😂
Wueh prank of the year, big up team nyiha 😂😂😂😂
Team Mwai walie iwatoke 😂
Ivy niko kwa share yake badi 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂 tufunge hii mwaka sasa it was lit
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This man is very mature and responsible
Asantee 🙏
Iyo trailer 🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥
Aki team mwai tulikosea nani sasa 😭😭😭 ata hatuwezi celebrate for 2 weeks bila kulimwa tena
😭😭😭😭 aki
It was good 😂😂😂, lakini hata hiyvo niko team mwai😂😂😂😂
Apo sawaaa team Mwai 👍
Sorry sorry dear mwaii you ve real suffered.They became serious and it was hard to tell that they were joking😂😂😂😂😂.
Aki wamenitesa ii mwaka 😭
Eey the growth guys ❤️ nmetoka na nyinyi from 2k subscribers sahii tunaelekea 20k ❤ celebration ya 100k nisikose 😂😂pin hii
Hutakosa 🤩🤩🤩
😂😂😂😂 you made my evening. Team Nyiha ❤❤❤
Apo sawa 🤩
Team nyiha twende nalo,,,mwai tulikuwarn,, kitakuramba hadi Christmas day😅😅
Tumhurumie ama tufinye zaidi ?😂
@TheMwaisCircle the last one tufunge 2024,😅
Uweeeeeh hii ni kali ,, this two girls are on fire,,
Asantee 🤩
It my fast time to know u guys through this prank it was nice
Welcome to the Circle 🤩
Thenk u guys,,,
Does this happen in real life in other homes?if som.wueeh😢
Team nyiha🎉🎉🎉🎉🎉
Imagine it does in some homes. So sad !
Hottest Prank of the year. Team Nyiha hoiyeee
Hoiyeee
Walai nimefeelia uyo boy amjamfanyia poa😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣
Hii nayo mlipata Mwai...but he loves both of you and it was so difficult to take sides ❤❤❤
He is a wise man 🤩
@@TheMwaisCircle exactly
😂😂😂😂team nyiha,waiting this
See you 😉🔥
Woiye Mwai😂😂😂
Hajui ajifiche corner gani 😂
Team Ivy 🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
Wow prank of the year hoyee❤😅😅
Hoyeee 😂
@@TheMwaisCircle mmeanza pia script ya pranks
😂😂😂😂mwai anauliza kama mlivuta kindukuruu 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Nawapenda sana The Mwais
Much love pia 🤩
Kangesonga kidogo😅😅
🤣🤣🤣🤣
Tupitiane ❤❤
🤩
Ivy is a good Actor❤
Sana
This one came out sooo real ❤❤❤❤
🤩🤩🤩🤩
You nailed it guys 😂😂😂
🙏🙏🙏
I wish i can be able to handle my inlaws hivi in real life nina😂😂😂😂.....weee you made my afternoon gal🎉❤
😂😂😂😂🙌
Ivy apewe share Yake.. she did so well 😂
Sana sana 🤣
weh huku sikosi tena am new and huku ni kupoa wow
Welcome to the Circle 🤩
Best parts ziko mob but “hata wewe keti hapo “says Ivy,,,😂😂😂😂
Karibu atufukuze sisi wote🤣🤣🤣
Unfortunately these are things that happen in some families. May the Lord help the ladies to be wise
So sad 🥲
Just love the way Mwai love's the wife❤
🤩🤩🤩🤩
🤩
Aki nimesubscribe juu ya Ivy😊
Makofiii😂
Welcome to the circle
The girls have it
This is good
This is great
The creativity is on another level
Team Mwai we need a comeback🥺
We must comeback
Woiyeeeeeeeeee mwai surely❤❤❤
We need a proper comeback 🤩
Sorry Mwai, aki he's traumatised. I have really felt for him.
Nyiha and Mwai you are the best couple and Ivy, the best sister
Aki they traumatized me 🥹
I'm shifting to team Mwai for moral support, juu Nyiha ni 🔥 🔥 weee.
But I love you both, mature contents for all time.
🤩🤩🤩
Mwai Sasa hapa n ngumu who will you save😂😂
Let me tell you … ni noma 😂😂😂
😂😂😂😂 venye mwai ameketishwa na ivy..."hata wewe keti hapo"😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Cheza na big sister wewe 😂 lazima apange watu😂 vile inafaa
Manze si poa🤣
Mwai sa utashinda ukipatikana😂😂😂😂😂
Aki si poa 🤣🤣🤣
Acha apatikane imtoke
Acha apatikane imtoke
This guy has really suffered 😂😂😂😂😂 two women fighting you cant handle them😅😅😅
Very dangerous 😂
@@emiliet9121 hii ni moto kama pasi
Ivy can act😂😂😂
Sana 😅😅😅
Ivy understood it so well... 🔥
Sana
Khaiiiii Hawa wako na prank tamu
Asantee 🙏
Much love ❤,,, nipitieni please, let's go
🤩
Nipitie pia
Hii ilikua moto😅😅😅😅😅😅😅😅
🙏🙏🙏
this is crazy weuh😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Prank of the year 😂😂
Kabisa 😅😂
Team nyiha we have woken up like we never slept 😂❤❤❤❤
Lets goooo 🤣
We are coming for you
That one we assure them 😂
I love the Maturity in Baba Nat
🙏🙏🙏
We love Ivy
🤩🤩🤩
Team nyiha yeeeeeee
Kilituramba
Mwai knew this was a prank, his facial expressions tells
Not at all. Mwai is however not the person to panick ivo rahisi. Most of the times anakuwanga very calm even in very tense situations
Yaani mwai vile amerushwa kwa kiti na ivy wacha tu😂😂😂😂😂
Ivy ni motoo 🤣🤣😂
Yani Sister ya Mwai ako Team Nyiha ???! Am rethinking my membership kwa Team Mwai nikama nitajoin Team Nyiha
🤣🤣🤣🤣🤣
@@TheMwaisCircletumkaribishe na Ka supu bawl iko wapi tum serve 🎉🎉😂😂
Nyiha vile nimekuona unaweza kua drama queen 😂😂😂
Imagine sinanga drama 🤣
Ivy is a best actor
More fire
Waaah team Nyiha🎉🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥